MAMA KANUMBA Ashindwa Kuficha Hisia Zake Kwa WEMA SEPETU! | Afunguka Mapenzi Yake!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 70

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 лет назад +32

    Huyu mama hongera uwa nampenda sana!!
    Mama mwenye Hekima na Shukrani.Be blessed

  • @nadinemasengo5688
    @nadinemasengo5688 5 лет назад +8

    Pole mama kanumba na hongera kwahekima

  • @mercyfaith8126
    @mercyfaith8126 5 лет назад +6

    Leo umeongea jambo.God bless you

  • @happynessnjoka2702
    @happynessnjoka2702 5 лет назад +8

    Mama kanumba jamani nakupenda sanaaaa....

  • @irenepaul8237
    @irenepaul8237 5 лет назад +30

    Nakupenda mama unaongea point hongera sana

  • @patriciamassawe9174
    @patriciamassawe9174 5 лет назад +45

    Wema anaroho nzuri sana

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 5 лет назад +34

    Salamu za Zamani Mama Shikamooo....
    Marahaba Mwanangu Hujambo?
    Salamu za 2019
    Mama Heshima yako.....
    Mama anapashwa kuitikia Nashukuru sana kijana Wangu...
    Nimewaza kwa SAUTI

  • @mbogojaphet8713
    @mbogojaphet8713 5 лет назад +17

    Mungu akupe umri murefu mama

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад +26

    Mungu akupe umri mrefu mama🙏

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 5 лет назад +21

    Aisee mashalla wema mzuri urembo adi twabia jamani

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 лет назад +9

    Hongera sana mama nakupenda ubarikiwe sana Kanumba tutakukumbuka daima pengo lako halizibiki R.I.P

  • @idayakeymataifa7999
    @idayakeymataifa7999 5 лет назад +21

    Mama ka ukijua kwamba nakupenda sana wewe mama ningekua tz ningekutafuta ila usijali

  • @swaumumustaphamapondanga4707
    @swaumumustaphamapondanga4707 5 лет назад +17

    Big up kwa wema sepetu

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 5 лет назад +16

    Safi sana mama

  • @faithklove9419
    @faithklove9419 5 лет назад +17

    Maisha mrefu mama

  • @joannelson2260
    @joannelson2260 5 лет назад +2

    Mama pole pengo La mwanao halizibiki, tunakupenda Mungu Siku Moja nifanye kitu Kwa Ajili Yako,wema love hongera nausichoke, haijalishi mwanae alifanyaje ila Huyu mama anapofurahia unabarikiwa

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 5 лет назад +18

    Kifo kibaya kweli R.i.p kanumba

  • @Jolly_Jollyk
    @Jolly_Jollyk 5 лет назад +15

    Wema is a people person

  • @mosespwele1205
    @mosespwele1205 5 лет назад +1

    Wema Tanzania 🇹🇿 sweetheart...❤️

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 5 лет назад +13

    Mama kanumba big up still heshma haishuki

  • @tigridamassawe388
    @tigridamassawe388 5 лет назад +1

    Mama umependeza sana

  • @sweetjay7818
    @sweetjay7818 5 лет назад +21

    Good mamaa....love youuuuu

  • @veveveve6811
    @veveveve6811 5 лет назад +5

    Ubarikiwe sana mama.

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 лет назад +2

    Jina na muonekano wke ni swa japo mitihani ya binadamu haikoc we love you mma ningekuwa mtz ningekuwa nakupia ma but ni mkenya na life zenyewe za kuunga unga lkn mungu wetu sote we miss kanumba movie kwetu zilikuwa ziwika ata zilizima za Nigerian na za wahidi but god knows the best rest in peace kanumba

  • @nellycliviaaumaomondi2886
    @nellycliviaaumaomondi2886 5 лет назад +11

    Live long mama❤️❤️❤️❤️

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 5 лет назад +29

    Wema she is always humble

  • @virginiabigabe5553
    @virginiabigabe5553 5 лет назад +1

    She’s so lovely

  • @happynessnjoka2702
    @happynessnjoka2702 5 лет назад +2

    Mungu akupiganie mama ....

  • @agnesmwangombe6999
    @agnesmwangombe6999 5 лет назад +5

    Wema roho yake ni safii sana ndio maana Tz sweetheart

  • @faridahangedo5554
    @faridahangedo5554 5 лет назад +25

    Live long mama.

  • @happyclasic748
    @happyclasic748 5 лет назад

    Jamani yaani kila nikimkumbuka kanumba najikuta nalia tu mungu akuweke maali pema kanumba nakupenda

  • @sylviemutwale9527
    @sylviemutwale9527 5 лет назад +6

    Wema uypo na roho nzuri sana mashallah

  • @eddymireille3697
    @eddymireille3697 5 лет назад +3

    Iyo nikweli mama wema anakumbuka kila kitu

  • @sylviemutwale9527
    @sylviemutwale9527 5 лет назад +2

    Uyu mama nampenda yupo vizuri

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 5 лет назад +1

    Mama jipe guv.twakuobea

  • @dayanerrichy9842
    @dayanerrichy9842 5 лет назад +3

    upendo kama wote nimekupnda bure mama....lov u wema one love madam

  • @beatricejoseph5643
    @beatricejoseph5643 5 лет назад +1

    Nakupenda mama.

  • @abuuyassin3228
    @abuuyassin3228 5 лет назад +6

    Jina lake ni WEMA....ladhima awe mwema...

  • @khadijambuya794
    @khadijambuya794 5 лет назад +1

    Kadadaah ushatolewa mama usisemege hivyo tna baki nayo moyoni

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 лет назад +6

    NILILIA SAAAAANA KAMAAMBAE NILISHAWAI MUONA NA SIKUWAI ILA KAZI ZAKE NA UZURI WAKE DAH REST IN PEACE.

  • @zulisaid4283
    @zulisaid4283 5 лет назад +9

    Kama jina lake🌹🌼🌸🍉🍎

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 5 лет назад +2

    nakuelewa

  • @omanmobile3767
    @omanmobile3767 5 лет назад +5

    Tupoooooo🔥🔥🔥🔥🔥

  • @vanessaaisha705
    @vanessaaisha705 5 лет назад +14

    Maisha marefu bibi yangu nakupenda

  • @jojinamatiku4108
    @jojinamatiku4108 5 лет назад +12

    Wema uwe namoyo huo wakumsaidia mama kanumba

  • @norahndanzi4146
    @norahndanzi4146 5 лет назад

    Wema namjua kwa kumuona tu kwenye mitandao but aliye Mpa hili jina limesadifu na matendo yake hajisikii yupo humble kwa kila mtu hanaga mashauzi huyu Dada anatabasamu na kila mtu na nimwepesi kusamehe hata kama kakosewa

  • @naimakweyamba5340
    @naimakweyamba5340 5 лет назад +21

    Anae mkumbuka #Kadada akuje Apa

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 5 лет назад +1

    Nakupenda pia wema

  • @rahmajumanne8438
    @rahmajumanne8438 5 лет назад

    Mngu akutunze mama eetu mpendwa

  • @rachelmulonda6648
    @rachelmulonda6648 5 лет назад +1

    Mama amegonda kweli 😭

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 лет назад +1

    Siuamkie wazungu wanafunza utamaduni wetu ila nyie wafrika mnatoa utamaduni wenu eti heshm yako😁

  • @joaquimjose1511
    @joaquimjose1511 5 лет назад +1

    kinyama anapendeza mtu?

  • @zahrakazungu5026
    @zahrakazungu5026 5 лет назад

    Masha Allah mama Mungu akuzidishie umri ww na wema

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 лет назад +3

    Safi mama

  • @irineadisa7289
    @irineadisa7289 5 лет назад

    Lips super

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 5 лет назад

    Nmekupenda mama ya ngu waongea vzur mungu Akupe moyo huohuo

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 5 лет назад +1

    Wema ni mwema,!mapungufu ni ubinadamu tuu

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 5 лет назад +10

    Mtangazaji mbona una maswali ya uzushi?

    • @gggjjahhhh9419
      @gggjjahhhh9419 5 лет назад

      Asha Ali Huo unaitwa umbea wa mwanaume

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 5 лет назад +1

      @@gggjjahhhh9419 🤣🤣🤣 Kwa kweli

  • @merryn4891
    @merryn4891 5 лет назад +1

    Penda mama kanumba

  • @aristidiakamara5572
    @aristidiakamara5572 5 лет назад +1

    Safi sana mama

  • @abuuyassin3228
    @abuuyassin3228 5 лет назад +2

    Jina lake ni WEMA....ladhima awe mwema...