# BADILISHENI IBADA ZENU MAKANISANI-ASKOFU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 30

  • @winePaul-v2j
    @winePaul-v2j 3 месяца назад

    Amena ubarikiwe na Mungu na uzidi kuja na maono zaidi Tuweze Kukua kirohoo Kipitia Maandiko😢

  • @EzbonGodrack
    @EzbonGodrack 28 дней назад

    Ubarikiwe sanaa Asikofo

  • @makutimalubu
    @makutimalubu 20 дней назад

    Maneno mazuri ila vitendo tofauti. Kama we ni mkweli turudishie Rev Magembe ila vinginevyo wewe Askofu ni Msanii

  • @joycemshana4028
    @joycemshana4028 2 года назад

    Ameen na ameen...Jina la Bwana libarikiwe..nashukuru kwa ujumbe huu..nang'ng"ana na Bwana kama Yakobo!!

  • @NURuMANGA-p7s
    @NURuMANGA-p7s 28 дней назад +1

    Amina

  • @FikilinMyunga
    @FikilinMyunga 2 месяца назад

    Amen baba ubarikiwe

  • @mlungujackson3415
    @mlungujackson3415 Год назад

    Tunashukuru baba askofu wetu Mungu aendelee kukupa maono

  • @salmahassan3521
    @salmahassan3521 4 года назад +3

    Hayo unayosema ni kweli askofu, hila uku chini kama hawakuelewi kbs

  • @juliusmbuba8008
    @juliusmbuba8008 2 года назад

    Ubarikiwe asikofu wangu mkuu songs mbele usiogope

  • @EzekielCharles-j8x
    @EzekielCharles-j8x 4 месяца назад

    Amina mzee tukuko nyuma yako

  • @kostamhogofela6335
    @kostamhogofela6335 2 года назад

    Tunashukuru askofu mkuu ubarikiwe sanaa

  • @reginaldikimario4278
    @reginaldikimario4278 2 года назад

    Ubarikiwe Baba Askofu kweli tunahitaji uhai mpya

  • @albertbizoza335
    @albertbizoza335 8 месяцев назад

    Shalom wazee wetu, moja ya mambo yasiogusa moyo wa Mungu tunakosea kitaja sana majiana ya taaisi zetu , Tuondoe hisia kuwa tasisi yetu itayaona haya tuyahisio kibinfsi Tag, ...., ...., niubinfsi usiompa nafasi Roho mt,

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 2 года назад

    Mungu Mwema wakati wa Bwana kuliandaa kanisa

  • @EzekieliJanuari
    @EzekieliJanuari Год назад

    Amina ,imeeleweka hiyoooo!!!

  • @PhilipoMwandry-zw1gb
    @PhilipoMwandry-zw1gb Год назад

    Ubarikiwe sana baba

  • @jacksonsimon4453
    @jacksonsimon4453 3 года назад

    Amina kanisa liludi ktk viwango vyake

  • @alfakiyaulilo9508
    @alfakiyaulilo9508 3 года назад

    Amen Askofu wangu

  • @daisonipambalaga1891
    @daisonipambalaga1891 4 года назад

    Ujumbe wenye Nguvu Mungu akubariki Bishop

  • @PauloMaona-in4qh
    @PauloMaona-in4qh Год назад

    amen baba

  • @andrewkalyambeju2397
    @andrewkalyambeju2397 4 года назад +2

    Asante baba

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Год назад

    😂 Baba waanike hao wapone maana Leo wachungaji huku makanisa wanafukuza washirika kisa hawatoi, Leo macho kwenye hela

  • @asherymianga6294
    @asherymianga6294 3 года назад

    Baba huwaga nakukubali Sana.

  • @pastorjamesmajaliwa7843
    @pastorjamesmajaliwa7843 4 года назад

    Ubalikiwe Sana Baba

  • @richardkaula6847
    @richardkaula6847 4 года назад

    Amen Baba yangu

  • @jacobmsokwa5678
    @jacobmsokwa5678 4 года назад

    Ubarikiwe sana askofu

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 2 года назад

    MIMI NAMPENDA YESU ROHO MTAKATIFU. NA. ASKOFU MTOKAMBALI PIA NAMPENDA

  • @stanleysamuel906
    @stanleysamuel906 3 года назад

    Huku chini askofu kuna tatizo moto uwake

  • @godfridmbele5719
    @godfridmbele5719 3 года назад

    Ili ndio kanisa lenye misingi imara