Sincerely, TAG is a very strategic institution. Our Bishop Rev. Dr. Barnabas Mtokambali is a very strategic leader. This is how we should go about and it should be the lesson to other churches of our Lord Jesus Christ. I have really fallen in love with our beloved bishop Dr. Mtokambali and the Church of TAG in large.
Hingera Baba yetu wa Imani,umefanya Mambo makubwa kwa msaada wa Mungu.nilipokua kwenye tamasha nilishangazwa Sana na ujenzi wa kisasa wa kanisa letu la makao makuu lenye uwezo wa zaidi ya watu 3000 tumepiga hatua kubwa,Utukufu kwa Mungu wetu.
sikuwahi kuisikia NTV lakini leo nlipoiona sura ya askofu wangu nikafungua na kumsikiliza mpaka mwisho,,,,,,,,,,kwani nini kinanizuia ku-suscribe? yo've gotten me men!!
Mungu akiwaongoza basi hamna budi ila kutii. Niliwahi kuzuru Chuo cha Thiolojia Dodoma na Makao Makuu ya TAG kuhamia Dodoma ni uamuzi wa busara. Mbarikiwe ➕️➕️
Pole,kwakua wivu wa kufanya vizuri Ni wa kila mtu,Mungu akusaidie ujue Mambo kwa usahihi.kama Mungu akipenda bado tutahama kwakua tunasafiri,tukifika mbinguni tu ndiyo safari itakua imekoma.
Nimefurahi sana kuona hili jengo, hakika wewe ni Visionary Leader. Mungu akubariki sana Baba askofu Mkuu wetu Dr Mtokambali.
Sincerely, TAG is a very strategic institution. Our Bishop Rev. Dr. Barnabas Mtokambali is a very strategic leader. This is how we should go about and it should be the lesson to other churches of our Lord Jesus Christ. I have really fallen in love with our beloved bishop Dr. Mtokambali and the Church of TAG in large.
Nafurahi sana kuona kanisa letu zuri la TAG linapiga hatua kila siku. Sifa na utukufu kwa Mungu wetu mkuu.
Hongera sana mtumishi wa Mungu hakika Bwana ametenda. Aendelee kukutumia kwa ajili ya kazi yake.
AMEN Asante Sana pastor.mtokambali.
Hingera Baba yetu wa Imani,umefanya Mambo makubwa kwa msaada wa Mungu.nilipokua kwenye tamasha nilishangazwa Sana na ujenzi wa kisasa wa kanisa letu la makao makuu lenye uwezo wa zaidi ya watu 3000 tumepiga hatua kubwa,Utukufu kwa Mungu wetu.
Hongereni sana kwa hatua hii njema ya kumpendeza MUNGU
Wonderfull God is Good all the time be blessed
Be blessed baba kwa vision nzuri kweli kweli
Hongera sana kwa Utumishi uliotukuka.
Mzee wetu wa imani our beloved bishop Mungu azidi kukutumia kwa mambo makubwa zaidi
Mungu ni mwema Baba ubarikiwe sana sana
Hongera baba yetu Mungu aendelee kukutumia Kama chombo chake
Hongereni Baba Askofu na waumini wote wa TAG kwa kufanikisha ujenzi wa makao makuu tena kwa wakati, spidi yenu ni kama ya Serikali
Serikali Ipi
Great move.Weldone anticipated.
Mungu akubariki bishop
Safi Sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sana
Hongereni sana
Asante kwa baba askofu tumekuelewa vyema.
Barikiwa Askofu wetu BARNABA MTOKA MBALI.
Ingawaje mimi Muislamu ila nawapa kongole, mna vision ya mbali sana
Amen,
Ubarikiwe Rahim
tunashukuru kwa kuliona hilo
Hongereni sana NYT
asante ni Nytv siyo Nyt
Hongera sana Askofu Mkuu na Halmashauri kuu us TAG kwa mafanikio hayo. Mungu Awabariki sana
Zidum fikra za mwenyekiti👍
Askofu ogopa sana watu wanao kusifu kuliko kuku kosoa wengi wanafiki wanalo itaji lao katika nafasi yako wengi niwatu wanao jipendekeza zaidi
Dokt,balnabasi mtokambali
Asante!,baba kwa kicheko hichi kunamambo makubwa tunatalajia kutoka hapo makao makuu
Asante kazi ya Mungu iendelee amina
Nampenda askofu wangu
Ameen
MUNGU akubariki askofu
Mm sioTAG Ila nawapa hongera kwakuwa na uongozi Bora Mungu wawaongezee maarifa na hekima zaidinazaidi
Hakika TAG wako serious na Mungu kiukweli makanisa ya kiroho tuige mfano hapa
Asante baba Askofu
Asante Kiongozi wetu mkuu wa kanisa la TAG, Inapendeza ktk KRISTO.
Kazi unayoifanya tunaiona, ni kubwa na ni njema. Zidi Kubarikiwa na BWANA!
sikuwahi kuisikia NTV lakini leo nlipoiona sura ya askofu wangu nikafungua na kumsikiliza mpaka mwisho,,,,,,,,,,kwani nini kinanizuia ku-suscribe? yo've gotten me men!!
Mungu akiwaongoza basi hamna budi ila kutii. Niliwahi kuzuru Chuo cha Thiolojia Dodoma na Makao Makuu ya TAG kuhamia Dodoma ni uamuzi wa busara. Mbarikiwe ➕️➕️
Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi njema NyTV. Japo kwa tangazo maalum kama hili mngeweza kabisa kutuliza Camera kwenye stand kuongeza umakini. Hii video ina-shake sana.
VIDEO IKO VIZURI SANA NI WEWE TU ULIKO FUNGULIA VIDEO YAKO.USIFUNGUE PICHA FUNGUA KWENYE LINK YA MAANDISHI YA KIJANI OK?
MUNGU wetu wa Mbinguni ni mwema!!! Sifa, heshima na utukufu wote ni vya kwake pekee milele!
Amen
Mnahama hama! Baada ya miaka 20 ijayo makao makuu ya nchi yataamia butiama.
Mungu anakuona makao makuu yote yako dom kiserikal
Usiwe unapenda kucoment comment kwa kila kitu, ona sasa ulipofkia unaanza kuingilia hata hbr za kiiman, umekosea!! Tubu
Pole,kwakua wivu wa kufanya vizuri Ni wa kila mtu,Mungu akusaidie ujue Mambo kwa usahihi.kama Mungu akipenda bado tutahama kwakua tunasafiri,tukifika mbinguni tu ndiyo safari itakua imekoma.
Kweli TAG MUNGU ametupa huyu Askofu Mwenye maono Makubwa Sana MUNGU akulinde ,akuhifadhi ,akupe miaka mingi ,hata mm nimeingia kwenye jengo Hilo zuri.
Oio
Hongera sana kwa Utumishi uliotukuka.
Mungu ni mwema Baba ubarikiwe sana sana
Amen
Amen