🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 19

  • @ziporamachilu6877
    @ziporamachilu6877 Год назад

    Nabarikiwa sana na mahubiri yako hakika nimeponywa kiroho na kimwili

  • @IsayaMathias
    @IsayaMathias Год назад

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @joycerwabanu5961
    @joycerwabanu5961 Год назад +1

    Mimi pia nimetumia hilo fundisho nikamwambia kijana wangu alikuwa na urahibu wakitu fulani!
    Sasa ameponaa!
    Mungu akubariki mtumishi wa MUNGU.

  • @PendoOscar
    @PendoOscar Год назад +1

    Amina naamin mungu ataniponya ninayo mengi yanayo sumbua nafsi yangu

  • @omankadara6418
    @omankadara6418 Год назад

    Ubarikiwe sana pasita kwa mafundisho manzur

  • @ttuphenarutto653
    @ttuphenarutto653 Год назад

    Asante mchungaji Kwa maombi ninaamini kupitia maombi haya nimepata uponyaji kutoka kenya

  • @puritybonareri8794
    @puritybonareri8794 Год назад

    Nimegundua Yesu hawezi kukaa mazingira ama kusikiza mahubiri yasiyotoka kwake yeye
    Asante Pastor

  • @eustina0
    @eustina0 Год назад

    Pastor Mungu akubarikiwe sana hapo kwa usichukie mtu sisemi kitu

  • @doreenkimbusu5100
    @doreenkimbusu5100 Год назад

    Ubarikiwe sana mchungaji....Mungu aendelee kukutumia na ninashuhuda mchungaji....

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 Год назад

    Amina pastor hakika Bwana azidi kukubariki maana nina zidi kukua kiimani kila siku

  • @puritybonareri8794
    @puritybonareri8794 Год назад

    Mungu azidi kukutumia
    Kuna mambo yatakufanyikia ukijipata kwa hayo mazingira
    Roho inakuchoma mpaka unaondoka
    Mungu azidi kukutumia na akulinde

  • @natihaikamjema8513
    @natihaikamjema8513 Год назад +1

    Amina

  • @rhinakiza
    @rhinakiza Год назад

    Amina ubarikiwe ume nibariki sana katika maisha yangu 🙏🏼 🙏🏼

  • @pascanetfilmz5714
    @pascanetfilmz5714 Год назад

    Amen

    • @SAMWELMWIKA.-xl9eu
      @SAMWELMWIKA.-xl9eu Год назад +3

      Ubarikiwe sana Mchungaji nilisikiliza mahubiri yako namna ya kuomba, kushukuru . Nimejaribu kufanya ivyo kwangu mimi nimeanza kufanya zoezi la kushukuru ivi, Asanta Mungu kwa pumzi ulonipa, Asante Mungu kwa kunipa Mume Asante Mungu kwa watoto ulonipa, na pia nimejifunza kumshukuru Mungu kwa vitu ambavyo sijavishika nikiamini kabisa nimepokea maana Mungu adanganyi. Kumbe pia kushukuru kabla ujapokea inapunguza msongo kwa kiasi kikubwa sana, ila shukrani itoke moyoni kabisa uku ukiamini Mungu wetu ni tajiri sana

  • @SilvaNgwesa-hg8cy
    @SilvaNgwesa-hg8cy Год назад

    ARSANTENI KWA MAHUBIRI YAKO!

  • @puritybonareri8794
    @puritybonareri8794 Год назад

    Ilikuwa kambi la Mwenge

  • @ChristopherSigira
    @ChristopherSigira Год назад

    Amen

  • @WillesSesinga
    @WillesSesinga Год назад

    Amen