KWANINI MAZOEA YENU [ UMOJA FMC CHOIR] MKUTANO WA PASAKA PA ABILENE TEXAS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 34

  • @MSAFIRIRICHARD-mp3fk
    @MSAFIRIRICHARD-mp3fk 10 месяцев назад +7

    Alie tunga hiiii nyimbo Nampa big up sana

  • @damarcy1270
    @damarcy1270 10 месяцев назад +4

    Da Pasi Mama ubarikiwe na mbingu ziwe na nena mema kwajili yako Dada yahani utumaji upo unanena wasi wasi kwajili ya kanisa za Leo ndo ivyo tu wanavyo fanya Ila Mungu atufungue macho 💔💔

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 8 дней назад

    Mungu awabariki sana kwa nyimbo nzuri. Niwatie moyo kwamba msonge mbele. Mnaimba vizuri sana, kiswahili 💯. Mbarikiwe sana. Tunawafuatilia kutoka Tanzania

  • @RoseMkupala-xw7jo
    @RoseMkupala-xw7jo 10 месяцев назад +4

    Mko vizuri sana Kwa uimbaji mbarikiwe YESU Kwa huu utumishi

  • @KilimaWalwendo-t9j
    @KilimaWalwendo-t9j 6 месяцев назад +4

    Me uyo binti mtumaji tu dah uwaga voice yake inagusa moyo wangu akika Mungu azidi kumpa kipaji zaidi, hii kwaya jamani dah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @chalengosmmbingya-ns7te
    @chalengosmmbingya-ns7te 10 месяцев назад +8

    Hongereni sana kwa wimbo nzuri.
    Ila ndugu Joshua promise,huyo dada mtumaji huwa nzuri kwa nyimbo za kibembe na siyo kiswaili, maana huwa anatuma kiswaili kama kibembe.
    Kwa wakati mwingine,hangalie vizuri kwa kutumia mwengine au ajirekebishe kwa nyimbo za kiswaili.
    Maneno mazuri kwa utumaji wa kwanza na chorus ya kwanza.

    • @pasiwabala8970
      @pasiwabala8970 9 месяцев назад +1

      Asante mtumishi kwa mashauri ubarikiwe 🙏

    • @marthabiringanine5151
      @marthabiringanine5151 9 месяцев назад

      Ahsante mtumishi kwa maoni yako. Tutayafanyia kazi.

    • @anaclet2411
      @anaclet2411 5 месяцев назад +1

      Kwekweli kila mtu na mtazamo wake, kiukweli mimi naona huyo Dada yupo vizuri sana kwasababu nimesha fuatilia baadhi ya nyimbo ambazo amehimba kwa kiswahili, jaribu kusikia zingine ambazo alihimba kama mtumaji alafu uta niambia.

    • @chalengosmmbingya-ns7te
      @chalengosmmbingya-ns7te 5 месяцев назад

      @@anaclet2411 nitafuatilia kwanza

    • @GT3000-c1p
      @GT3000-c1p 3 месяца назад

      Inategemeana pia na melody . Ila yuko sawa kwa Kibembe na Kiswahili pia

  • @starfordmwambalange2809
    @starfordmwambalange2809 10 месяцев назад +3

    Mbarikiwe Sana madhabauni hapo panauwepo

  • @francoisebeti6989
    @francoisebeti6989 13 дней назад +1

    Guys this is very amazing keep up good work and may the lord bless you all ❤❤❤❤

  • @MalemboMarc
    @MalemboMarc 10 месяцев назад +3

    Ohhhh it was very wondering kuona jinsi mlivyo shusha magogo

  • @molinangoy893
    @molinangoy893 10 месяцев назад +5

    Huyu dada Mungu hazidi kumuinua kwenye viwango vya juu.❤️🤲🏾

    • @mtyona
      @mtyona 9 месяцев назад +1

      Mimi nampokelea izo baraka 😊😊😅 ubarikiwe pia da Molina 😊

  • @AndréKitungago
    @AndréKitungago 4 месяца назад +1

    Mungu awajaze nguvu zaroho mtakatifu

  • @gastondofra9151
    @gastondofra9151 9 месяцев назад

    Mungu awabariki sana uhimbaji nzuri mnaoimba ksabisa.Nimebarikiwa sana

  • @NeemaGrace123
    @NeemaGrace123 2 месяца назад

    Hii choir inabariki sana 🤲😇

  • @winnybaruani8
    @winnybaruani8 10 месяцев назад +2

    Wow ❤❤❤

  • @JosephineOmari-t5j
    @JosephineOmari-t5j 3 дня назад

    Aiseee nakosa ata ni Comment nini Basi Amen 🙏🙌🙌🙏🙌

  • @Victorina-wi1dl5py3s
    @Victorina-wi1dl5py3s 10 месяцев назад +1

    Batheli ❤❤❤❤

  • @FurahaMakele
    @FurahaMakele 3 месяца назад

    Sauti ya aliye hanza wimbo huu
    Lazima shetani akahe mbali
    Tuombe neema kwa yesu kristo

  • @MorataLouis-s5h
    @MorataLouis-s5h 5 месяцев назад +2

    Huyu Dada ni wa hapo Texas ama? Kama Kuna mtu alie na contact zake anisaidiye

  • @Jxena
    @Jxena 14 часов назад

    Amen

  • @iam_roza4
    @iam_roza4 9 месяцев назад +2

    Amen !!!❤

  • @NovathAllanymarangirwaNamboy
    @NovathAllanymarangirwaNamboy 10 дней назад

    🥺🥺🥺🥺🎧🎧🎧🎧🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @zakariaphilemon8275
    @zakariaphilemon8275 3 месяца назад

    Kwani hii kwaya ipo Texas Marekani ama kuna Texas nyingine hapa Tz msaada tafadhari

    • @MTYONA-t4k
      @MTYONA-t4k 3 месяца назад

      Texas Abilene INCHINI marecani

  • @MungaAsakya-fu7me
    @MungaAsakya-fu7me 5 месяцев назад

    Amena

  • @Iam.dato8
    @Iam.dato8 9 месяцев назад

    Amennnn❤

  • @GaryGarciae
    @GaryGarciae 4 месяца назад

    5846 Christiansen Row