Namuomba ALLAH afanye miujiza yake, zoezi liwe jepesi. Na watu wote wapatikane salama usalimin. Namuomba ALLAH awape nguvu waokoaji wote. Mnaopmbania roho za ndugu zetu. ALLAH atawalipa kwa juhudi zenu.🤲😭💕💖
Kl nikiangalia hili janga. Nackia machozi yananitoka. Huu ni mtihani mkubwa kwa watantania wote. Poleni sana ndugu zetu. Mimi sipo nanyi, bali moyo wng na mawazo yng yote ni kwenu. Naumia saana kwakweli. Nafatilia from Oman 🇴🇲
Mashujaa wetu mnaopambana kuokoa ndugu zenu. Naamini hamfanyi kwa ajili ya sifa au malipo ya binadamu. Mnahitaji malipo ya ALLAH na kupambania uhai wa ndugu zenu. Nawaombea kl la heri na mafanikio.💖💕😭💔

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Namuomba ALLAH afanye miujiza yake, zoezi liwe jepesi. Na watu wote wapatikane salama usalimin. Namuomba ALLAH awape nguvu waokoaji wote. Mnaopmbania roho za ndugu zetu. ALLAH atawalipa kwa juhudi zenu.🤲😭💕💖
Mungu akuweke
Pole sana ndugu zangu wa Tanzania kwa msiba huu mkubwa Allah awepe subra wafiwa wote ndugu awaponye majeruhi wote
Nassoro mwanangu MUNGU atakulipa insha allah
Kl nikiangalia hili janga. Nackia machozi yananitoka. Huu ni mtihani mkubwa kwa watantania wote. Poleni sana ndugu zetu. Mimi sipo nanyi, bali moyo wng na mawazo yng yote ni kwenu. Naumia saana kwakweli. Nafatilia from Oman 🇴🇲
Aksante Mungu Kwa nguvu zilizotumika kuwaokoa
Poleni sana wapendwa mungu awatie nguvu
Mashujaa wetu mnaopambana kuokoa ndugu zenu. Naamini hamfanyi kwa ajili ya sifa au malipo ya binadamu. Mnahitaji malipo ya ALLAH na kupambania uhai wa ndugu zenu. Nawaombea kl la heri na mafanikio.💖💕😭💔
Mungu akulinde kaka
Hongera sana kijana
Mungu awatangurie na kuwarinda
Mungu awasadie jaman
Asante brother
Poleni sana
Mtangazaji sauti kana marehem dida
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mqashqallqh