Yesu akubariki mtumishi wa mungu nabarikiwa sana na jumbe za nyimbo zako..ila Nina ombi kwako ninaomba simama. Na mungu katika roho na kweli usije ukadanganywa na mambo ya Dunia simama katika njia ya mungu kama alivyokuagiza maana shetani nae amejipanga kwaajili ya kupokonya funguo za wateule ..yesu akubariki Mt wa mungu
Niko imara kama mlima Sayuni Sitatikswa na mambo ya Dunia I am strong, strong like Mt.Zion I won't be shaken by the affairs of the world.Love from Kenya🇰🇪 🇸🇦🇺🇸🇶🇦
Bwana Yesu kwa kupitia wimbo huu naomba Mkono wako unifanye kuwa Imara nitie nguvu nisitikisike no matter whatever comes my way niimarishe lisiwepo jamb lolote litakalo nyanyuka kunitikisa, wala kuitikisa Imani yangu kwako.... In the Mighty Name of Jesus Christ eeeh nafsi yangu sikia Kwa mamlaka ya Jina la Yesu I decree and Declare juu yako kwamba I AM STRONG LIKE MOUNT ZION AND I WON'T BE SHAKEN no matter unayoyapitiaa uko Imara hautatikiswa na mambo yoyote ya Duniaa💪 na kwa ushindi mkuu unavuka na Hilo jambo linaanguka chini ya miguu yangu milele ameeeen🙏
Hakika ni wimbo ambao umenitia nguvu. Dada yangu Mungu AKUBARIKI sana kazi yako ni njema. Pia namuombea mwanao apone kwenye tatizo alilonalo.😭😭 Hakika najuwa hata hiii nyimbo umeitoa kwa sababu hiyo😭😭😭. Mungu wa mbinguni anaona unalopitia, Nawaombea wewe na mume wako wote Muwe imala katika hilo la mtoto wenu.🙏🙏🙏🙏🙏
Wooow amazing song rehema simfukwe and fantastic UBARIKIWE SANA kwa kazi nzuri sana ya uimbaji mungu AKUINUE KWENYE UIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU REHEMA SIMFUKWE
Niko Imara! Kama mlima Sayuni🙏🙏Huu wimbo sio wimbo wakawaida, Bali umebeba ufungulivu, uponyaji, majibu ya maombi yetu, imba kwa Imani na ukiimaanisha,utamrudishia Mungu sifa na utukufu.
My kid was admitted in hospital on Monday due to convulsions..today this morning my kid is okay he's being discharged..thank you Lord because am like a rock we won't be shaken🙏🙌🥳God is able dear brethren
Daaah huuu wimbo utaingiaaa rohon hata kama so mtu wa rohon. Ubarikiwe sana dada angu mungu azidi kuinuaa hii huduma yako. Hebu like hapa jaman kwa rehema simfukwe
Huu wimbo toka niusikie haujawahi kuzimika moyoni mwangu.Asante sana Rehema.Ulijua kunipa moyo wakati wa safari yangu ileeee.Yesu akutunzeeee Rehema umtumikie Mungu na mafuta mabichi juu yako
Kila nikisilizaga nyimbo zako kuna roho hunijia nataka kutokwa had machoz ubarikiwe saaana dada kupitia ww kuna wengi wanamrudia mungu na wengine wanamjua mungu kupitia ww
Amen 🙏,Niko Imara
Niko imara sitatikiswa na mambo ya Dunia aaah powerful
❤sana kuwa imara me mlima sayuni
Am strong like mount Zion am not going to be shaken by worldly things ❤😭😭🙌🙌🇰🇪🇰🇪
Niko imara 2025 woow so powerful
Niko imara ndani ya yesu🙏
Show love from Kenya 🇰🇪
Mungu nipe ujasiri ili niweze kuyashinda majaribu 🙏🏽🙏🏽😢
Sijachelewa sana .
Hongera
Yesu akubariki mtumishi wa mungu nabarikiwa sana na jumbe za nyimbo zako..ila Nina ombi kwako ninaomba simama. Na mungu katika roho na kweli usije ukadanganywa na mambo ya Dunia simama katika njia ya mungu kama alivyokuagiza maana shetani nae amejipanga kwaajili ya kupokonya funguo za wateule ..yesu akubariki Mt wa mungu
Niko imara kama mlima Sayuni
Sitatikswa na mambo ya Dunia
I am strong, strong like Mt.Zion
I won't be shaken by the affairs of the world.Love from Kenya🇰🇪 🇸🇦🇺🇸🇶🇦
Bwana Yesu kwa kupitia wimbo huu naomba Mkono wako unifanye kuwa Imara nitie nguvu nisitikisike no matter whatever comes my way niimarishe lisiwepo jamb lolote litakalo nyanyuka kunitikisa, wala kuitikisa Imani yangu kwako.... In the Mighty Name of Jesus Christ eeeh nafsi yangu sikia Kwa mamlaka ya Jina la Yesu I decree and Declare juu yako kwamba I AM STRONG LIKE MOUNT ZION AND I WON'T BE SHAKEN no matter unayoyapitiaa uko Imara hautatikiswa na mambo yoyote ya Duniaa💪 na kwa ushindi mkuu unavuka na Hilo jambo linaanguka chini ya miguu yangu milele ameeeen🙏
Powerful, psalms 125🔥🔥🔥
Wow wow that's is wonderful song ❣️❣️❣️❣️👌 Niko imara kama mlima sayuni sitatikiswa na mambo ya dunia oooooh God 🙌🙌🙌🙌
I will not be shaken by my current husbands health condition in Jesus Mighty Name
Hakika ni wimbo ambao umenitia nguvu. Dada yangu Mungu AKUBARIKI sana kazi yako ni njema.
Pia namuombea mwanao apone kwenye tatizo alilonalo.😭😭
Hakika najuwa hata hiii nyimbo umeitoa kwa sababu hiyo😭😭😭. Mungu wa mbinguni anaona unalopitia, Nawaombea wewe na mume wako wote Muwe imala katika hilo la mtoto wenu.🙏🙏🙏🙏🙏
Wooow amazing song rehema simfukwe and fantastic UBARIKIWE SANA kwa kazi nzuri sana ya uimbaji mungu AKUINUE KWENYE UIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU REHEMA SIMFUKWE
❤❤❤❤❤❤❤Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 father hear my prayers 😢😢😢am crying 😭😭
I am strong, strong like Zion Mountain, and will not shaken indeed, Niko Nimara!!
Rehema you have a different type of grace. May God take you to higher and higher levels, keep labouring for God
Wow power song God bless u mommy ❤️🙏🏾
Niko Imara! Kama mlima Sayuni🙏🙏Huu wimbo sio wimbo wakawaida, Bali umebeba ufungulivu, uponyaji, majibu ya maombi yetu, imba kwa Imani na ukiimaanisha,utamrudishia Mungu sifa na utukufu.
I am strong by the power of Jesus Christ who conquered death🙌. Niko imara💪
I will not be shaken am strong like mount Zion, 💪🎉🎉🎉🎉 that's my declaration today and forevermore.
Niko imara kama mlima sayuni,sitatikiswa na mambo ya dunia
Hallelujah 🙌🙌🙌
Omg…. This is such a powerful song ..we shall not be shaken 🙏🙏🙏 my church must learn this the next time am worshipping. Am so blessed 🥲🙏🙏
🎉🎉
Niko imara kama mlima 😢😢😢sayuni 😢😢😢
More Grace Woman Of God 🎉
I am Strong i won't be shaken 🙌
Amen 😢 NIPO IMARA SITATIKISIKA
My kid was admitted in hospital on Monday due to convulsions..today this morning my kid is okay he's being discharged..thank you Lord because am like a rock we won't be shaken🙏🙌🥳God is able dear brethren
Glory to God🙏🙏🙏
Hallelujah 🙌
I am Strong I won't be shaken or moved .. my trust is in my God, my redeemer
Niko imara 🔥🔥🔥Haleluyah 🥳🥳🥳
Imara katika Bwana Ni sahihi kuliko chochote
A powerful track. 🎉 More grace
My Lord my God help me❤
Amen ❤❤
Hongera Sana Minister Rehema, Nabarikiwa
Am strong like mountain
I'm strong 2025
I won't be shaken by the worldly challenges but fix my eye on the price which is eternal life
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Niko imara kama mlima sayuni ❤❤❤❤❤❤
Hakika umebarikiwa mtumishi Neema ya Munqu na izidi kukuinua milele🙌
Niko Imara kama Mlima wa Sayuni katika Yesu Christ
Ni ombi langu kwako Mungu wangu🙌
Asante Yesu 🙏 niko Imara sitatikiswa
What a powerful song 🔥 🔥 🔥..2025 na miaka yote ijayo Niko imara sana kama mlima sayuni...#sitatingishwa na mambo ya dunia 💪... baraka tele 🙏
I will not be shaken with any worldly manner in Jesus name
I'm strong❤❤❤❤❤❤wow
Barikiwa sana dada
I am strong like mount Zion, I won't be shaken for you are with me.
Jamani hako kasauti Mungu akubariki sana
I declare that aim strong in the name of Jesus.
Daaah huuu wimbo utaingiaaa rohon hata kama so mtu wa rohon. Ubarikiwe sana dada angu mungu azidi kuinuaa hii huduma yako. Hebu like hapa jaman kwa rehema simfukwe
Overwhelmed by His grace
I am strong in His Love
I won't be shaken
Such a timely word
Very powerful song❤
Those who trust in the LORD are like Mount Zion- Psalm 125
Finally, my favorite is Out.!
Me too kaka
Sitatikiswa na mambo ya dunia kwa maana Niko imara kama mlima sayuni🙏
Niko imara sitatikiswa wala kuyumbishwa 2025
Powerful Niko Imara
Amen🙌🙌
Hallelujah, I am blessed with this declaration
I am strong like Mt Zion.... I won't be shaken
Ooh Lord 2025 eee nafsi yangu lisikie neno la Bwana upo imara
Amen... hallelujah
Huu wimbo toka niusikie haujawahi kuzimika moyoni mwangu.Asante sana Rehema.Ulijua kunipa moyo wakati wa safari yangu ileeee.Yesu akutunzeeee Rehema umtumikie Mungu na mafuta mabichi juu yako
2025niko imara sitatingiswa
Amen 🙌🏾 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen 🙌🙏😭
Kila nikisilizaga nyimbo zako kuna roho hunijia nataka kutokwa had machoz ubarikiwe saaana dada kupitia ww kuna wengi wanamrudia mungu na wengine wanamjua mungu kupitia ww
I'm strongly 💪 like zion mountain ⛰️ ❤🎉🎉
You're A Blessing My sister ! Powerful Song
🙏🙏
Niko imara 🎉🎉
Asnte yesu
❤❤❤IMARA KAMA MLIMA SAYUNI
Wow,More Anointing and favor sister Rehema!
Much love from Uganda
Niko Imara kama mlima Sayuni😊
Yes I'm strong 💪
I'm blessed with this song
You're blessed sis 🙏
Waouh Nipo Imara kupitiya Nguvu za Mungu..
Asante sana kwa wimbo huu
🙌🙌🙌❣️👌
Amen
Beautiful, Powerful Confirmative song
A powerful song.... Hallelujah
Hakika niko imara
Hongela mtumishi wa MUNGU ,wimbo unatia nguvu Sana
Niko imara sitatikiswa na chochote,eeh mungu nisaidie🙏
I'm strong 💪 I won't be shaken
Yesu nipe ujasiri moyo umechoka sioni mbele tena Yesu
The song I have waited for a long time is time now
You know what your blessed my sister.❤❤
Amen and Amen
Niko IMARA kama Mlima Sayuni 🙌 hallelujah
Amazing song
Amen
🙌 amen,,niko imara
niko imara my favourite song
Hii 2025 Niko strong like Mt Zion 💪
Kwa miaka 3 sasa nimeusubiri huu wimbo