Fid Q Ft Q J - Kila Siku (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 98

  • @astevenarestus8299
    @astevenarestus8299 5 лет назад +4

    nani bado anasikiliza ngoma za fid....gonga like

  • @michaellimu2332
    @michaellimu2332 4 года назад +4

    Kama mziki ni kitanda kidogo mi ntalala katikati,Safi sana tajiri wa mistari.👍

  • @denisbartholome1071
    @denisbartholome1071 8 месяцев назад

    2024 bado ina vibe💯 "GOOD MUSIC"

  • @hinikasteve176
    @hinikasteve176 5 месяцев назад

    moja kati ya wimbo bora sana wa hip hop

  • @cesyrafael6221
    @cesyrafael6221 5 лет назад +1

    Jing'ate pua yako,,kam unaweza vyoteee...hahahahahahhaha nakukubali sana.

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 6 лет назад +10

    Huyu jamaa huaga na mkubali mda wote hua pia namuita #Jeshilamtum'moja #father,nikiskia boya
    ana mdiss hua na humia , tafadhali heshima kwa **The legendary of hip hop in tanzania**

    • @youngking7044
      @youngking7044 6 лет назад +1

      young killer msodoki we ndo mkubwa wao wa kazi

    • @robertmatonya1851
      @robertmatonya1851 6 лет назад

      +esaho louis huyo sio young killer ni fans wake tu man

  • @patrickmgihilwa7434
    @patrickmgihilwa7434 6 лет назад +15

    Kama unamkubali gonga like

  • @PeterJohnRukiko
    @PeterJohnRukiko 6 лет назад +3

    NYIMBO YANGU YA MUDA WOTE FEELINGS ZILIZOPO HAPA NI KAMA ZA KIBERITI

  • @barakalema7274
    @barakalema7274 Год назад

    Mashairi yanapiga ka Bruce Lee au Jack chan...nafanya dharau iniheshinu c am lucky men...

  • @magakasospeter2973
    @magakasospeter2973 3 года назад

    Kila MDA napokusikiliza uwa na chukuà Maakili mengi Sana
    Ahsante mwamba

  • @michaelbob4114
    @michaelbob4114 6 лет назад +8

    Q jay tunakumic mzee fanya urudi game bdo linakuhitaji coz hakuna wa kufanana na ww tumemic slow motion kama hizi mzee 👊👊💕💕✌✌✌✌✌✌✌👊👊👊👊💕💕💕💕💕💕💕

  • @mndigaboy2534
    @mndigaboy2534 6 лет назад +1

    DAAAH Q J UKO WAp kaka nakumiss san ndugu

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 4 года назад +1

    Ngosha 💥

  • @wankyroshna5544
    @wankyroshna5544 6 лет назад +1

    Npenda sana ukiflow kwnye bit flani ivi sio ngumu

  • @kiddykiddy2993
    @kiddykiddy2993 6 лет назад +1

    brooo amna umetishaaa naipataje album broo

  • @paschalmasanilo7852
    @paschalmasanilo7852 6 лет назад +1

    Nakupenda buuure my favorite and my addiction

  • @mathiasnnko9696
    @mathiasnnko9696 6 лет назад +1

    Ngulii ,, mtu mwenyewe

  • @issackmusalika66
    @issackmusalika66 6 лет назад +1

    Ugali ninaokula sio wa kengere, haya Madini huyakuti kwingine nakufananisha na Tanzanite

  • @chihomaempire5064
    @chihomaempire5064 6 лет назад

    mkali unajuaga toka kitambo na unazidi kujua kila siku usijue zaidi ya hapo ukaja kuharibu ''uko vizuri

  • @benedictclarence5905
    @benedictclarence5905 6 лет назад

    Jamani QJ fanya uje ukinukishe unajua sana

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 6 лет назад

    Sana mzee baba

  • @alishomar7549
    @alishomar7549 6 лет назад +2

    Rapa gabachori inamuuma ushikaji sitaki
    Huku nyangema mbeba vyuma anajaribu kuwa 2pac...Ngosha respect sn mzazi

  • @bobgichiri9585
    @bobgichiri9585 Год назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @b9media144
    @b9media144 6 лет назад +17

    Yote kwa yote kwenye ngoma ya #Sumu ulifanya poa sana. Yeyote anaielewa vyema ngoma, hadi wadada waliielewa. Na hz ndizo ripoti za mtaani bhana Ngosha!!
    Nachokimaanisha ushakielewa mtu mzima

    • @isaacamon1777
      @isaacamon1777 6 лет назад

      mi mpaka kesho ndio pini langu.. pamoja na Roho.. ukweli mwingi yani lakini watu wako busy na jibebe...

  • @kapona927
    @kapona927 6 лет назад

    Floor hakuna kama ww ila fid wa sasa sikama huyu huyu the best tena sana sijui ni mimi ninavoona ama kwa kua alinijenga sijui

  • @azizamalima155
    @azizamalima155 6 лет назад

    Umetish mzee baba

  • @MudyMessa-hi4mq
    @MudyMessa-hi4mq 10 месяцев назад

    🏆👊👊

  • @amederogers808
    @amederogers808 5 лет назад +1

    nani bado anasikiliza..gonga like hapa

  • @webbydanagu9667
    @webbydanagu9667 6 лет назад

    Vina mwanzo kati na mwisho one of the best album ever

  • @obi255
    @obi255 4 года назад +1

    2020 viewers ✊🏿mziki unaoishi

  • @GeraldMpangile
    @GeraldMpangile 6 месяцев назад

    2024🔥🔥🔥

  • @ussijuma8096
    @ussijuma8096 6 лет назад

    bamkumbwa huna mbaya . haijaundwa haitaundwa we mbishi!

  • @mudathirshabani2905
    @mudathirshabani2905 6 лет назад

    Ngoma kaliiiiiii kinoma Mzeee............

  • @onejay803
    @onejay803 6 лет назад +2

    GOD FATHER WA RAP@TZ

  • @alphankanizio3217
    @alphankanizio3217 Год назад

    Haipigw redio babu Wana tunakosa uondo

  • @ayubumwageni3992
    @ayubumwageni3992 6 лет назад

    nimechelewa kuisikia ila nimekubali hivi ndivyo vitu tulimis kuvisikia.weka vitu tajiri wa hzi mmb

  • @dizoboy8609
    @dizoboy8609 6 лет назад

    Mistar yao siijui,lakn yangu wanai flow

  • @abasimageta7695
    @abasimageta7695 6 лет назад

    hahaha hii ngoma kali sana, jing'ate puwa yako kama unaweza vyote

  • @deogratiusluwayi7306
    @deogratiusluwayi7306 3 года назад

    Nakubal

  • @alihaji3734
    @alihaji3734 6 лет назад +1

    q jay kwa sasa anaumw ana tatzo la msongo wa mawazo amban unamplekea kupoteza ufaham wa kiakil so tumuombee yuko mwanza kwa sas

  • @koja_26
    @koja_26 6 лет назад +3

    JaMani Q.J plz wadau mleTen uwaNjan mwaNa

  • @Bill_sailor1
    @Bill_sailor1 3 месяца назад

    Jingate pua yako kama unawez vyote

  • @wilsonleonard4073
    @wilsonleonard4073 6 лет назад

    Ngoshaaaaaaaaaaaaaaa

  • @yohanabaraka8192
    @yohanabaraka8192 6 лет назад

    Utajiri wa mashairi ni wako tu.......Salute

  • @IntoreSegihembe
    @IntoreSegihembe 6 лет назад +1

    Legend kila siku

  • @YourMindSettings
    @YourMindSettings 6 лет назад

    Big up my brother

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 6 лет назад

    Ngosha unajuaga

  • @cosmasdonasiani143
    @cosmasdonasiani143 6 лет назад +2

    Nikki mbishi ndo atari hapa bingo japo apewi promo

  • @breymbasa3451
    @breymbasa3451 6 лет назад +2

    Q j wapi mzee kimya Sana ila vyema tumesikia nice voice

  • @barakalema7274
    @barakalema7274 6 лет назад

    "The most dangerous MC mwanamalundi"

  • @kenethmbombwe9766
    @kenethmbombwe9766 6 лет назад

    Baba la baba hiz mambo tunaziomba kweny platform nyingine za mziki bhasi ili tuzipate kwa urahisi

  • @ramadhaninyabh4392
    @ramadhaninyabh4392 6 лет назад

    Qali sana

  • @dannyblaxx7122
    @dannyblaxx7122 6 лет назад

    Q J umeweza

  • @jabarhymestv5699
    @jabarhymestv5699 6 лет назад

    Haina haja ya kusubili hawa wabongo waamke

  • @husseinmilowe6903
    @husseinmilowe6903 6 лет назад

    album hatari sana hii

  • @swedysadick9279
    @swedysadick9279 6 лет назад

    Q-J 🙌🙌🙌🙌

  • @geraldsanzala8119
    @geraldsanzala8119 3 года назад +1

    Sasa hawataki beef, wanataka publicity

  • @isaacamon1777
    @isaacamon1777 6 лет назад +1

    yani Fid Q na J cole vibe zao ni zile zile.. wako true kwa fans wao and mziki wao pia.. yani trak zako ni shule kabisa.. unafundishia mtu na anaelewa..

  • @kuligigambo897
    @kuligigambo897 6 лет назад

    G.O.A.T

  • @tokal254
    @tokal254 6 лет назад +1

    Q. Jay where the hell have you been? You came, you inspired me, you became my idol when I was 17..... I started to do music... then you lost.. Why???????

  • @deejaybigmizuna4730
    @deejaybigmizuna4730 6 лет назад

    bro pamoja fid kipaj

  • @lenjeevara3407
    @lenjeevara3407 6 лет назад

    pwaaaaaaaaaa

  • @afmabeat9567
    @afmabeat9567 6 лет назад

    Jing'ate pua yako kama unaweza yote. Pumbavu. Fffff.

  • @dannyblaxx7122
    @dannyblaxx7122 6 лет назад

    Kali

  • @evancemariki6837
    @evancemariki6837 6 лет назад +1

    255##🔑🆔##mziki wa heshima

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia 6 лет назад

    Zinavuja au ndo maamuzi ya kung'oa koki

  • @azontozonto8855
    @azontozonto8855 6 лет назад

    Fid q safi

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 3 года назад

    2021 December, fid q the 🐐🐐🐐🐐

  • @estongomera2222
    @estongomera2222 6 лет назад +1

    Amen 🙏🏻

  • @cghmarcb91
    @cghmarcb91 6 лет назад +2

    Hawataki beef wanataka publicity 💯
    Huu mstari unamfaa MGK, wish angekua anaelewa mistari, Eminem sio ligi yake

    • @isaacamon1777
      @isaacamon1777 6 лет назад

      lakini distrack yake kali bwana.. kaongea ukweli wake

  • @officialtalenttv3882
    @officialtalenttv3882 6 лет назад +1

    Mmeua kinouma

  • @loth5
    @loth5 6 лет назад

    Gonga like hapa kama unamkubali #fid q
    .....#tanzania

  • @odongocronk9693
    @odongocronk9693 6 лет назад

    Raaa!!

  • @samtothedee
    @samtothedee 6 лет назад +1

    Always here for fod q

  • @florianmasawe9520
    @florianmasawe9520 6 лет назад

    🙌🙌🙌

  • @chatechikokonkblmkalimzeem2976
    @chatechikokonkblmkalimzeem2976 5 лет назад

    Ile ile mchizi mkali wng

  • @colinjunior3043
    @colinjunior3043 6 лет назад

    NGOSHA

  • @gaza8479
    @gaza8479 5 лет назад

    Elimu mtaa wape lecture ya kitaa

  • @oliverjelude5662
    @oliverjelude5662 6 лет назад +2

    KWA tunao kufatilia mda mref hii Ngoma ulishaitoaga zaman sana KWA WANAO KUJUA JUUJUU WANAONA NGOMA MPYA anyway ni nzuri wakumbushe wale product mzeeee @official did q

    • @fdqmwanzamwanza2952
      @fdqmwanzamwanza2952 6 лет назад

      oliver jelude Nikwer kaka hii ngoma kitambo sana tunaijua tunao mfatiria Kira mda tunaijua

    • @oliverjelude5662
      @oliverjelude5662 6 лет назад

      +Said Meza pomoja sana MZEE baba man nkumbuka kitambo sana in album ya pili kama sikosei kuna ma ngoma kama "unaua game n.k"

    • @nehemiabilphon2759
      @nehemiabilphon2759 6 лет назад

      Hajasema mpya ila alichopost twitter nkwamba watu wasikilize hii album kabla hajatoa album mpya

    • @alwatanafrikan5910
      @alwatanafrikan5910 6 лет назад

      Na mimi nilishawai siklza ktambo

    • @hermannbiniface9458
      @hermannbiniface9458 6 лет назад

      hajasem n ngoma mpya

  • @peterlibelinah8597
    @peterlibelinah8597 6 лет назад

    HIYO NI PROPAGANDA ALBAM BORA YA HIPHOP TUNAISUBIRIA KITAA OLOJIA