Njugush ni activist chini ya maji 40:10 🤭😂😂 Few are those people wenye wanaget hizo parables zake hadi kwa the music amekuwa akifanya using Mkuru kaa cover😅🤝🏽By The Way hii kitu isonge kusonga🤗
Mmi naye apo kwa kushindana shida reminds me of my grandma with her friend walikuwa wanashindana nani mgonjwa sana 😁😁😁😁 heri wewe unaumwa na mgonga mmi ni tumbo na mgongo heri wewe mmi na kichwa venye inauma😌
Cele's laughter always make this podcast a vibe and makes njugush aongee imtoke 😄😂 Anyway i think one should marry your best friend I love you guys ❤❤👏👏good job🤝
This podcast has to continue 😂💯 And emotional intelligence can be learnt. Yes we are born with emotions but we learn how to control, utilise, use them for yourself and the people around you
Nimetoka exam sai na alafu haikuenda as expected sasa nimejam tu the whole time until i came on RUclips and saw another episode of BTW uploaded and finally there was something to be happy about again 🎉
Btw I now understand why the previous episodes intro na outro zimekua silent... Dope stuff,🎉 hii nayo itakua one of the most streamed show on RUclips 2025 tukisonga.. Ngoja uone..
Hey Btw team, content yenu imeweza. Lakini this new set apana. The tables are so busy with “unnecessary stuff” it takes away our attention from the hosts to the njugu, water, glasses, decor accessories etc. Less is more, literally! Much love from 🇬🇧 to Miss Chaps and Mr. Not So Expert ❤️
Ati nyinyi mlikuwa mnalala njaa, sisi ata hatukuwa tunalala 😂😂. I have a friend who will say 'heri wewe' then proceed to say a better situation. 'Ati heri wewe nyumba ilichomeka mimi simu imeisha moto na sina charger' 😂😂
I'm never prepared for these episodes wallaiii.... Kila episode is on another level of funny😂😂😂😂.. hii nayo Kofia nikama ilikua imefunika roasts.... 😂😂😂😂 Zinalipuka tu na njugu zimeombewa "blessed Njugus"😂😂😂
Show nayo imekuwa lit sana🎉🎉I think kila msee akona compatibility yake but wengine wana over do...i guess this will the most streamed show this year 🎉.
Kuna classmate alikua anatudanganya tukiwa primary ati alizaliwa airport majuu na akaona airport😂😂😂😂😂we used to hang kwa bed tukimskiza kwa dorm...alikua anatuona kama kumbavu zake😂😂😂
Cele mi nilikua class five na sina baba simjui alipass nikiwa two years. So my friends nilikua nao shule walikua wanaongea stories za vile baba yao anataka kutengeza nyumba zao na kubuy furniture na mi sina la kusema nikawambia ata mimi brother yangu alinunua fridge tukanunuliwa sofas na nilikua naishi kwa kina mam nikawaongezea ata mahali naishi tuna stima nalala kwa bed yangu, hatuli ugali, na shule ilikua karibu na Kenya power nikawambia hiyo ni ya my uncle ata tunaishi ndani ya hizo machuma kuna ghorofa yenye haionekani na wanaamini. Wakitaka kunifata nikifika hapo kwa machuma naingia katikati ya lories za mafuta (denger petrol) kesho nikifika shule nawambia niliwaita nikiwa kwa ghorofa na hamkusikia 😂😂😂😂 . One day wakapatana na my cousin akawambia 'ata hawana stima,hawana floor na nyumba yao ikinyesha maji yaingia ndani ' weeeee guess what happened at school cele 😂😂😂😂😂
@@celestinendindanilichekwa story ikaenea the whole school and I was bullied hadi some boys wakaanza kunifata tukifika hiyo place wananivuruta niingie kwa machuma niwaonyeshe ghorofa yetu until nikakataa kuenda shule teachers wakajua story and I was told to act drama then I became the best time ya kuenda competition the drama teacher akapata accident and that was it. But it was a rough period na bado nikawa head girl
Kimani! FYI
KCPE - 398/500
KCSE - B plain
Usicheze na mimi please! 😂
kama ungetaka kuwa mwalimu si ungesema
12:53 cele umenimaliza jamenii, "wataaa!!"😂😂 alafu njugush anaendelea na kikamba😂
akii ni watu wa Nyumbani they are overworking😂😂😂😂
wataaaayu talking about😅😅😅😅😅
😅😅😅😂 kakelwa muyo
@@celestinendinda😂😅
from today wataaa is a thing now😅😅😅😅😅
Njugush ni activist chini ya maji 40:10 🤭😂😂
Few are those people wenye wanaget hizo parables zake hadi kwa the music amekuwa akifanya using Mkuru kaa cover😅🤝🏽By The Way hii kitu isonge kusonga🤗
Ficha hio akili please🙏
Njugush on kamba language ameniua ei 😂😂😂😂😂😂😂😂
kimani anakuanga na jokes mingi sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sahii naokotwa i can't stop laughing
These two😂😂😂😂😂i can listen to them forever😂😂😂❤❤❤❤
Akiiiiiii🎉🎉🎉🎉
Another day to remind you..marry your friend😂😂
Not just your friend but your best friend
Promised and delivered,Our not so expert alisema aletewe NJUGU-NA Cele amedeliver😅😅😅😅😅😅
LOL this joke ilinipita. I have just understood it 🤣🤣🤣enyewe hapa hakuna cha slow learner.
huku nikusema na kutenda😂😂😂😂😂
Bado kuku
Njugush you are paid peanuts 😂😂😂😂😂😂
Usiseme hivyo please😂😂😂😂
Literally 😂
@@celestinendinda Literally walai.😁😁😁
😂😂😂😂 Za ukweliiii aki
Petition alipwe na a nose gold ring.
Cele laughs so niiiice 🎉
Our not so expert leo ameamua kuvaa godpapa kama ya John D..... the show is amazing.....kudos madam chaps😂😂😂😂
Thanks for watching
Hi Celestine. Please consider putting these episodes on spotify in time. Anyway great episode darling 😁
Hapo 19:32 Michael Dudikoff tutututu... na Cynthia Ruth Rock 😂😂😂
That kam ba side was lit 😂😂😂😂im not kamba but i lov it.😂
Story inabamba hadi kikamba inaingilia😂😂😂by the way i love it😂
😂😂😂😂😂😂
Bytheway its on another level napenda hii na cele msijaribu kuacha ❤❤
40:03 kuna watu imewapita kwa kichwa 😂😂😂😂😂😂aSHA
Kumbe expert anajua kikamba 😀
@@gregorymweu5390 imagine nimeshangaa
Kikamba gani??😂😂😂😂
@@celestinendinda'Nundu muthuku muno', ngunie makovi' 'nzuu' although aliongea vibaya kuhusu nzuu😀
He's doing well lkn apunguze the capital letters 😀
Bytheway Asantiii Sana ❤️
It's njugush telling Cele "but niko mtu" 😂😂😂😂😂
Cele! stop flirting with the married man😂😂😂
Perfect definition ya marriage 😂
😂😂😂😂😂
Cele Umesema Wewe nikusema na kutenda,njugu zilifika😂😂. Love your logo and intro. Mimi every Friday dose yangu ya kucheka hapa hukuwa guaranteed. 😂😂😂
Iam happy i ever bought your kneet sweater and its so great 3years now❤
Mmi naye apo kwa kushindana shida reminds me of my grandma with her friend walikuwa wanashindana nani mgonjwa sana 😁😁😁😁 heri wewe unaumwa na mgonga mmi ni tumbo na mgongo heri wewe mmi na kichwa venye inauma😌
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 njugush hio kikamba iko in capital letters 😂😂😂
Aki huyu not so expert anachomea msupa wetu sana😂
But we love you wakavyne😂❤
Wakenya ni udaku tu na kimbelembele 😅😅😅😅😅
Cele's laughter always make this podcast a vibe and makes njugush aongee imtoke 😄😂
Anyway i think one should marry your best friend
I love you guys ❤❤👏👏good job🤝
🤣🤣🤣🤣 this two is a perfect combo, yenyewe kama si cele huyu baba nani yenyewe angekuwa ameokotwa mahali kwa hiyo thika rd.
The way Kimani is insisting that "ata hana baba"is crazy 😂😂
Kafaa nyinyi,, not so expert hapitukwi 😄😄😄
I love you guys… I desire to see you start a couples segment and encourage and advising youths on real marriage bibes
Ndio hio compartment ingine guys 😂😂
Kikamba Kya kamwana kaa kii very suspicious but vai thina ..ni sawa. Onakwa ni mukamba wa VA Zambia 🇿🇲 but nasomea masaku Vaya Mumbuni
😂😂😂😂😂😂😂😂
The logo is preettyyy💯💯
Thank you 😃
@@ndanukimanzi I agree on that 🤌🏽🔥
Kwanza mimi nisipokumbuka kitu hunisumbua sana 😂😂😂
Kimani injecting 😂 right, left and center 😂❤️🦑💉💉💉💉
Ati alisahau stori akachapia mwenye stori 😂😂😂😂
Kafaa Njuguna ako na Maji na Njugu 😅😅😅
The song translation is also another compartment 😂😂😂😂😂😂😂😂Jameni
This podcast has to continue 😂💯
And emotional intelligence can be learnt. Yes we are born with emotions but we learn how to control, utilise, use them for yourself and the people around you
Mmmh na Hio logo imewezaaa but mgeeka red😂😂😂😂😂unleashing my compartment
😂😂😂😂😂
Waah tugi hawa ndo watu anategemea awaletee mke wake wamekosana wamu advice @celestine ndinda
Emotions Intelligence can be learnt.
You peoples make my days, mnanikumbusha mbali jameni 🤣🤣🤣
Nimetoka exam sai na alafu haikuenda as expected sasa nimejam tu the whole time until i came on RUclips and saw another episode of BTW uploaded and finally there was something to be happy about again 🎉
By the way ni tamu Sana , Same case here
The love I have for By the Way❤❤ Friday siwezi kosa kuwatch, na marks za Abel mnaendelea kuscruitinize😂😂😂😂
😂😂😂leave alone people...I love kuskiza tu your conversation
Listening to this podcast while working is an extreme sport😂😂Watu apa karibu wadhani nimechizi..
Cele my namesake, much loveee❤❤❤❤, I really love your humility. You inspire me ❤
You guys my Guuyysssss.
You are just such a viibeeeeeeeee🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳.
Lot's of Looooveeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni 844 ilitufunza uongo, Insha na composition ilikua unaanzishiwa story umalizie na hujui ilikua aje sasa tukazoea ...😂😂😂😂😂😂😂
By the way this is true
Mmmmh yeah kumbe unarelate...😂😂😂😂❤
Miss chaps and our not so expert 😂😂 always making my day, much love ❤️❤️❤️
Cele's laugher gives goosebumps😂
Btw I now understand why the previous episodes intro na outro zimekua silent...
Dope stuff,🎉 hii nayo itakua one of the most streamed show on RUclips 2025 tukisonga..
Ngoja uone..
Shule kuna dem alikua anatwambia aty choo yao iko na balcony 😅😢
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Ile uongo hukua shule aki
Njugush speaking kamba making it even funnier 🤣🤣🤣🤣
Hey Btw team, content yenu imeweza.
Lakini this new set apana. The tables are so busy with “unnecessary stuff” it takes away our attention from the hosts to the njugu, water, glasses, decor accessories etc. Less is more, literally!
Much love from 🇬🇧 to Miss Chaps and Mr. Not So Expert ❤️
Ati nyinyi mlikuwa mnalala njaa, sisi ata hatukuwa tunalala 😂😂. I have a friend who will say 'heri wewe' then proceed to say a better situation. 'Ati heri wewe nyumba ilichomeka mimi simu imeisha moto na sina charger' 😂😂
29.21we see what did there 😂😂 also the detail of the john de mathew hat😂😂
Editor Leo aongezwe mshahara..edits on point 👌👌
Unakumbuka air force 1💯💯💯ngori 💯💯💯
Ukweli😂😂not so expert ukona compactment ya jushindana kwa mashida😂😂😂🤣😂😂
Woiye Njuguna unalipwa na maji na njugu😂😂😂😂😂😂😂😂
Yeye Aliitisha Njugu-na Cele last episode 😅
I'm never prepared for these episodes wallaiii.... Kila episode is on another level of funny😂😂😂😂.. hii nayo Kofia nikama ilikua imefunika roasts.... 😂😂😂😂 Zinalipuka tu na njugu zimeombewa "blessed Njugus"😂😂😂
Mtoto wa mutungatiri 😂😂just nyc venye cele anaisema
Njugush akonako kafaa nyinyi 😂😂😂😂😂
Aki Cele achatuweze kudownload for watching at home or later as we work.😂😂😂lots of love
Hebu mshooo😢nimejam tu sana
Wacha nirekibishe aki pole
@@celestinendinda thank you.tunapenda By the way Sana
The Kikamba part got me on the floor 😂😂😂😂😂
Kimaniiii😂😂😂😂😂😂 wataaaaaaaa,
Ulilelewa Na sadaka😂
Miko dudukof ft Sandra bullock
Took me back to watoto kaeni chini
Super..!!! I love it how Kimani is injecting undercover
This show hukuwa so therapeutic ❤Marry your best friend guyz😂
Mtu aniambie kama @Abel mutua hua anaongea kikamba😂😂😂😂
Mbna hamna download for watching later when someone is outside the house
Uliletea Kimani njugu ndio atupee stori za jabaa 😂😂😂. Timo hizo nazo we sema tu ulikuwa unasema for example 😂😂😂.
Cele mwanaume uwa haridhiki
Lazima uelewe iyo 😅
😹😹😹😹Huyo kijana uko nae hapo ameoa jamani,,asking for mother ❤
😂😂😂😂😂 The song translations always gets me 😂😂.
Njuguna maji!😂😂😂 Celeste enyewe tunajua ukambani hakuna maji 😂😂😂😂
Aki toeni sound effect zingine ... Mnakaa podcast ya 19..... Njugush much love
The kamba side is lowkey lit 😂😂😂
I like the way Not So expert injects 💉💉😂😂😂😂 hapo kwa wheelbarrow ni ukweli
Season 2 nayo Iko na mbwembwe tuko na mpaka intro,trailer na logo ya cele😂
Emotional intelligence is a skill and it can can be acquired..I'm a testimony
I agree with you Cele..Timo ako na hio compartment ya comparison ya mashida😂
Show nayo imekuwa lit sana🎉🎉I think kila msee akona compatibility yake but wengine wana over do...i guess this will the most streamed show this year 🎉.
My favorite not so expert ft Mrs chaps😂😂😂
Today I'm early 😅😅🎉 makofiiii 👏👏😁
👏👏👏👏
Wimbo imeweza 😂😂
Hii episode imebamba 😂😂😂
Kuna classmate alikua anatudanganya tukiwa primary ati alizaliwa airport majuu na akaona airport😂😂😂😂😂we used to hang kwa bed tukimskiza kwa dorm...alikua anatuona kama kumbavu zake😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Njuguna anafanya grogoni😂na machuma kichwa😂😂
Next week marks za Abel zitakuwa zimefika 250😂😂😂😂😂😂😂😂😂
I think rshps zinafai kukuwa hivi ndio zisurvive..😂😂😂 izi kuchomeana ni noma 😂😂😂😂
Kicheko ya wamajabati 😅😅😅😅😅. Hivo ndio yeye hulia😅😅
Mr. Kimani ungechinjwa tu xmas ju weeh😂😂😂😂😂😂😂I athawaiz nawapenda guys❤❤❤💯
Ata Mimi nimeclapia Tim meeehhhhn👏👏👏👏
58:44 Ei is naturally occuring and can be nurtured through observation from our care givers or adults as we grow.
Not so expert making my morning.Can cheat can die.number one kalamba down😂😂😂😂😂😂.
Got addicted to this dosage ❤
Cele anapeda kusema. "Wachaa"😂
Cele mi nilikua class five na sina baba simjui alipass nikiwa two years. So my friends nilikua nao shule walikua wanaongea stories za vile baba yao anataka kutengeza nyumba zao na kubuy furniture na mi sina la kusema nikawambia ata mimi brother yangu alinunua fridge tukanunuliwa sofas na nilikua naishi kwa kina mam nikawaongezea ata mahali naishi tuna stima nalala kwa bed yangu, hatuli ugali, na shule ilikua karibu na Kenya power nikawambia hiyo ni ya my uncle ata tunaishi ndani ya hizo machuma kuna ghorofa yenye haionekani na wanaamini. Wakitaka kunifata nikifika hapo kwa machuma naingia katikati ya lories za mafuta (denger petrol) kesho nikifika shule nawambia niliwaita nikiwa kwa ghorofa na hamkusikia 😂😂😂😂 . One day wakapatana na my cousin akawambia 'ata hawana stima,hawana floor na nyumba yao ikinyesha maji yaingia ndani ' weeeee guess what happened at school cele 😂😂😂😂😂
@rachaelchirindo1645 😂😂😂😂 I don't want to imagine what happened thank God uko alive juu ile bullying inakuwanga hapo wacha tu😂😂😂
Tumalizie story usituwache hivyo😂😂😂😂😂
@@celestinendindanilichekwa story ikaenea the whole school and I was bullied hadi some boys wakaanza kunifata tukifika hiyo place wananivuruta niingie kwa machuma niwaonyeshe ghorofa yetu until nikakataa kuenda shule teachers wakajua story and I was told to act drama then I became the best time ya kuenda competition the drama teacher akapata accident and that was it. But it was a rough period na bado nikawa head girl
By the way tunapenda njugush akituimbia🎉🎉🎉😂