"MO DEWJI HANA NIA NJEMA NA SIMBA" A-Z UNDANI NA UKWELI WA SAKATA LA MO DEWJI KUINUNUA SIMBA, BIL 20

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 фев 2024
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 51

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 3 месяца назад +6

    Mimi naipenda Simba Kwa dhati. Lakini Kuna vitu Simba havijakaa sawa. Simba ina mwekezaji ambaye anamiliki 49% ya hisa. Yanga Kuna mfadhili hamiliki chochote Yanga. Simba imeingia robo fainali ya CAF clubs championship+ Confederation cup pamoja mara nne. Imeshiriki CAF Super league. Ningetarajia Simba iwe na mafanikio kuliko Yanga. Ni kweli awali Simba ilifanikiwa sana lakini Sasa hivi ipo chini na inazidi kuporomoka. Ukiamgalia viwango vya wachezaji Yanga ni bora sana. Ukarabati wa jengo na ujenzi wa uwanja. Je MO anatueleza nini. Najua Kuna watu wakiona tunauliza wanafikiri Mimi nimetumwa. Ukweli naandika Kwa utashi wangu na naipenda sana Simba. Ningependa Simba iwe na wachezaji vijana wapambanaji kuzidi hata Yanga.

  • @user-py1nq7pv9u
    @user-py1nq7pv9u 3 месяца назад

    Napenda kazi za wachambuzi, lakini wale wachambuzi wenye uelewa na wanacho kichambua.

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 3 месяца назад +2

    Sasa kama kainunua tatizo liko wapi? Yaani ninyi siwaelewi

  • @user-py1nq7pv9u
    @user-py1nq7pv9u 3 месяца назад +1

    Unaonlea miaka 3?? Wewe c mchambuzi mwenye ufahamu. Kwani timu ikiwa na muwekezaji haifanyi vibaya??

  • @mr.saiduwesuomary1859
    @mr.saiduwesuomary1859 3 месяца назад

    Mo anapenda attention ya media sana... Transaction haziongopi... Aoneshe documents ambazo anamiliki hata hiyo ya uwekezaji pia bado tupo dillema. Asituletee uhuni alete vitu on table ifanyike business analysis aone kama yeye na SSC nani ananufaika

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs 3 месяца назад

    Hans nakubali mwili mdogo akili kubwa moo hana Nia njema na club

  • @stevenndossi
    @stevenndossi 3 месяца назад +2

    Msimshambulie Mo direct coz hatujui hat hao viongz wet makubalian yao yapoj au wanatufich nn ..na why Mo asem hvy maan yak kun kit kipo... alaf pia kw upand mwngn maybe amesem vil coz yy ana his kubw kw upand wa mtu binafs japokuw his kubw wanay wanacham

  • @emmanuelmwema8081
    @emmanuelmwema8081 3 месяца назад

    Wachambuzi bana

  • @jimmydizonga1335
    @jimmydizonga1335 3 месяца назад +1

    Hans we nimdogo sn uchawa haukufai chambua mpira.
    Hiyo enter view ipo youtube sikiliza yote. The billionaire that got kidnappdeMO Deewji Ep31. Eti ana nia njema we unais ela anazo ziweka simba anaokota ila nawaelewa mmegundua watanzania wengi wanapenda kusikia ujinga.

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 3 месяца назад

    Hatuna hata uwanja ........jkt Tanzania anauwanja ...AZAM ana uwanja ..ihefu ana uwanja. Geita ana uwanja.. tujenge uwanja mkubwaaa jmn

  • @PAKANYAUYOUNGWIZARD
    @PAKANYAUYOUNGWIZARD 3 месяца назад

    Simba

  • @aboubakarymsati7080
    @aboubakarymsati7080 3 месяца назад +1

    MO sio muwekezaji wa Simba,MO ni sponsor wa Simba,issue ya uwekezaji haijakamilika bado na hatuwezi kumuita muwekezaji.

  • @SaidMana-dp4et
    @SaidMana-dp4et 12 дней назад

    Huyo kijana mmwandishi kweli au ndiyo hao wanaowaibia watu? Kwa sababu anaongea vitu viisivyojulikana analopoka tuu akasome kwanza

  • @ismailisungura3491
    @ismailisungura3491 3 месяца назад

    Mo tapeli tu aachane na simba kenge huyo

  • @user-vb6zv8ov8v
    @user-vb6zv8ov8v 3 месяца назад +1

    Nani aliwambia mmpe Muhindi timu tulieni sindano iingie

  • @kiondomashaka6276
    @kiondomashaka6276 3 месяца назад

    Hapo mwanzo nlikuwa mda wakipindi hiki lakini tangu nlivyogundua kuwa hao wachambuzi wanatumika iliwai zohofishe simba sina hata mpango nao

  • @jacksportman5181
    @jacksportman5181 3 месяца назад

    Wachambuz uchwara😊,

  • @chillogeorge1383
    @chillogeorge1383 3 месяца назад

    Suala la kama Mo alishatoa hizo B20, ni jepesi sana, aulizwe mwenyekiti wa timu, ambae ndie msimamizi mkuu wa maslahi ya wanachama. UZITO UPO WAPI KUMUULIZA MZEE WETU, MR MANGUNGU???

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 3 месяца назад

    Tangu tumeanza pesa KWELI b20

  • @pascalemmanuel2557
    @pascalemmanuel2557 3 месяца назад

    Moo.kaweka Bilioni 20.kwenye Timu Ya simba ww vp

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 3 месяца назад

    Duh yani waandishi wote nyie mnamshambulia mo inaonesha nyinyi mnania mbaya na simba

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 3 месяца назад

    Hansi Huwa simwelewi sijui anafanya Nini hapo Hana professional ya uchambuzi

  • @kiondomashaka6276
    @kiondomashaka6276 3 месяца назад

    Najiuliza hawa wachambuzi kazi yao wanamkosoa mo wao ni mashabiki wa simba au ndio walewale wanye kampeni yakuichonganisha simba na mashabiki pamoja na viongozi

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 3 месяца назад

    Mnania ya kuhujumu Simba yetu

  • @SYLMASVISIONFORSCIENCE
    @SYLMASVISIONFORSCIENCE 3 месяца назад

    Yaani mchambuzi ambaye anabeza mafanikio ya simba kipindi mo akiwa nayo simuelewi Kama kweli ni mchambuzi, kwani club bingwa robo hizo, na ubingwa Mara nne mfululizo nalo haoni, huyu anataoka wapi jamani, yaani hata Mimi namzidi uchambuzi, Oscar uko wapi hii game umewaachia watoto??

  • @kiondomashaka6276
    @kiondomashaka6276 3 месяца назад

    Hao ndio walewale wakipata ushindi wanaanzakuizungumzia simba

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 3 месяца назад

    Mo ndo kila kitu Simba nyinyi WACHA MBUZI 🐐 hamna lolote mnalolijua. Mo ndo kaleta furaha iliyopo Simba Sc.

  • @user-oc9zo3bo6y
    @user-oc9zo3bo6y 3 месяца назад

    Moo acha kutuchanganya mbona hatukuelewi unajuakabisa keshe tunagem moo ahakutuchanganya

  • @Franccoz
    @Franccoz 3 месяца назад

    Yanga mmepata njia ya kuwavuruga wanasimbaa

    • @jifunze0042
      @jifunze0042 3 месяца назад

      mo ndio kalikoroga sasa yanga wanaingiaje? nyie mkigombana wenyewe kwa wenyewe mnaanza kuwasema yanga

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 месяца назад +1

      😂 kwahiyo mo anatumiwa na yanga ?? Mbona madunduka mkiwa mnavurugana 😂😂 lazima muwataje wananchi ?? Malizaneni mapema mkija round ya pili Bila nguvu moja 😂😂😂 tutawapasua 10 .....

  • @bakariramaddhani5689
    @bakariramaddhani5689 3 месяца назад

    huo pia ni uchawa...

  • @eliannko
    @eliannko 3 месяца назад

    Uyu mo ni kidudu mtu kwenye Simba anatakiwa kuachana na Simba

  • @HAKHASH312
    @HAKHASH312 3 месяца назад

    Hawa wachambuzi wanajuwa Nini mpira wanajuwa mambo ya umilikk they know nothing ila wanaongea tu

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 месяца назад

    leo MO hafai??????????

  • @bakariramaddhani5689
    @bakariramaddhani5689 3 месяца назад

    uone wee km nani

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 3 месяца назад

    Mnabishana ujinga. Kwani kama ndiye mdhamini mwenye hisa kubwa akisema nimenunia tatizo liko wapi? Kwani hisa tunapewa au tnanunia hiza. Mbona man akili tupo? Ninyi ndiyo mnaovuruga

  • @mr.saiduwesuomary1859
    @mr.saiduwesuomary1859 3 месяца назад

    MO Dewji....unajua anakosa content na Hana Nia njema na SSC kweli @Ambangile. Hawezi kusema amepata hasara ya 51B, atuoneshe basi na return ya kampuni zake baada ya Product Branding kwenye Jessy ya Simba...! Au Simba tungeamua alipie matangazo yake kwenye Jessy angelipa sh ngapi?
    Asilete ubabaifu.... Na anajitukanisha na experience yake na elimu yake ya biashara hii inaonesha hawezi kufanya BUSINESS ANALYSIS
    Inakwaza

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 3 месяца назад

    Acheni ujinga

  • @johnrogas7183
    @johnrogas7183 3 месяца назад

    Dogo dogo😂😂😂😂😂😂 acha nicheke

  • @kayutiOfficial
    @kayutiOfficial 3 месяца назад

    Mnajadili kununua Timu mnaitaka nyie

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 3 месяца назад +1

    Mtamkubuka kigangwala alimshtukia mapema alivyomuakia MO watu wenye njaa chawa kina kisugu mzalamo pasi eifu 1 wote walimtolea maneno machafu kigangwa

  • @abubakarmalinza9339
    @abubakarmalinza9339 3 месяца назад

    nyie wachambuzi ndio maana mnaambiwa mkasome. mmewahi kujiuliza toka safari ya simba kimataifa ianze takribani miaka sita iliyopita, mo ameshatoa kiasi gani. au mmewahi fikiri mchango wa mo kwenye kuikuza brand ya simba ni kiasi gani. hakika mafanikio ya simba kimataifa yamechagizwa na juhudi za mo. pesa ni ngumu sana, lazima tuheshimu mtu anayetoa mabilioni yake kuinyanyua klabu

  • @mgangamganga5095
    @mgangamganga5095 3 месяца назад

    Acheni uhuni wenu kama mmelipwa na hao wakina mangungu Ili muhalibu na sifa ya more baada ya kufanya udalali kwenye timu hatuwezi kukubaliwa na huo ujinga wenu . Nendeni mkawafanyie brainwash wajinga na vipofu wa akili wasioweza kuelewa mambo

  • @athumanindyema2302
    @athumanindyema2302 3 месяца назад +1

    Nyi wajinga nyinyi mshapewa ela muivuluge simba wajinga nyinyi

    • @kijanisaini5688
      @kijanisaini5688 3 месяца назад

      Mo ndokapewa Hela bac unaangalia mazingira yakuongea jambo unaloona hil kwamuda huu tupxhe maandaliz ya tmu kwanza