MANGE KIMAMBI AENDELEA KUTOBOA SIRI NZITO/ MAMA DANGOTE NA ESMA HAWAMPENDI ZUCHU/SABABU NI HII

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии •

  • @RaylaElmi
    @RaylaElmi День назад

    Hiyo familia wanatakaje hatakama wakimchukia zuchu sisi tunampenda ❤❤❤🔥🔥🔥🔥😊😊😊😊

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 День назад +1

    Ucku wa mipasho kakawa kanarusha vojembe

  • @Byme6434
    @Byme6434 День назад +1

    Hii Muisic Inahusika na nini jamani

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 День назад

    Nyienayajua ya nje ndani hamuyajui

  • @RossaRutasha
    @RossaRutasha День назад +1

    Kwa kweli mama Ndangote usikubali hako kaje kwenye familia yako hata Tifa anamshinda shepu hata uzuri katoke hako nyumbani kwako Esma kazaneni katoke kwenu

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq День назад +1

    Zuchu aondoke bana. Sio type ya Diamond hata kidogo

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz 2 дня назад +2

    Mungu saidia. Lete Amani kwa jamii ya Diamond. Esma na Mama Dangote watapenda yupi? Zuchu na Diamond kuwatenganisha itakua gumu manake Njiwa kike na kiume hawaja wahi tenganishwa, labda kifo pekee

  • @TabuMudi
    @TabuMudi 43 минуты назад

    Ujue unaweza ukakaa na mwanaume ukamfanyia kila jambo wala aside na wazo nawe ila. Alyeandikiwa nae utaona tu hawatachelewa kuandaa harusi

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 2 дня назад +1

    Sasa lipi la ajabu

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 День назад

    Shida zuchu analazimisha hatakiwa kwani kuwa mwqnamziki wq wcb lzma uolewe na Diamond unalazimisha ndoa kwa nini

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z День назад

    Kwan yeye zuchu aondoki?Kwan Kila siku maneno ya zuchu na Daimondi.Mondi Toka lini akaoa?

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 7 часов назад

      Nashangaa angekuwa muoaji angeshaoa cku nyingi yeye kama anataka ndoa akatafute mume mwingine