Re-Upload: Kipi Zaidi | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili
HTML-код
- Опубликовано: 9 ноя 2024
- Koba anaumia mguu na kukosa goli muhimu linalowakosesha ushindi. Anatamani angeumwa kitu kingine kuliko mguu. Hata hivyo mwishoni anatambua kuwa kila kiungo katika mwili kina kazi yake na umuhimu wake.
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: www.ubongokids.com