MBOWE AFOKA VIKALI "CHADEMA SIO MALI YA LISSU WALA MIMI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 16

  • @IssaJohn-kk8pb
    @IssaJohn-kk8pb 2 часа назад

    Nakusapoti sana muelewane myamalize ili msiwape maadui zenu mwanya ila mungu awasaidie kuwatambua wabomozi

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 31 минуту назад +1

    Lkn mbowe kwakweli naomba tu upishe tupate mwenyekiti mpy kama mnyika au lissu maana Hawa hawana matani na ccm

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 часа назад +1

    CHADEMA NI YA MKWE

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 часа назад +1

    CCM ikwanyuka kelele ya nini

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 часа назад +1

    Safari moja uanzisha nyingine.

  • @amosmangura
    @amosmangura 2 часа назад

    Mkiwa nakuli moja ndiooo niutumwa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Час назад

    Hivi mwenyekit wetu anawahusu nini nyie komaeni na wa kwenu kizimukazi

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 50 минут назад

    Kauli ya vichaa

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd Час назад

    Ccm ni kunyoka nao hivyo hivyo wajinga hawa wanakula bila kunawa chademaaa hoyeeee

  • @philemonnongu3222
    @philemonnongu3222 Час назад

    Huyu jamaa ni muongo mtupu hapo ameshakula pesa nyingi sana za maccm

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 59 минут назад

      Acha ujinga Philemon, CCM wana hela za kumnunua Mbowe? Umefikiri ana bei kama wewe? Unadhani kama unajiuza kila mtu anajiuza? Shame on you

    • @philemonnongu3222
      @philemonnongu3222 43 минуты назад

      @illomowerner7690 Sasa matusi ya nn

  • @MaigeChumvi
    @MaigeChumvi 2 часа назад

    Uongo mtupu mbona hurusu mtu agombee uwenyekiti wa chama achia wezako uwenyekiti wa chama tuamini

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 2 часа назад

      Shibuda alichukua form ya Urais ikawaje?. Hizo ni mbinu za kulinda taasisi

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Час назад

    Tupo mamilion wengi hata kadi hawana tunaipenda chadema