Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Masha Allah Mola akuhifadhi kwa juhudi zako
Shukran dada ❤❤❤❤❤
Afuan
إستفيد منك جدا .الله يبارك فيك
Asalam alykm dada mimi ni mwanafunzi wako
Waleikum salaam, MashaAllah MashaAllah niko dubai lakini sijui kiarabu InshaAllah ntakufatilizia
Asante
Mashallah hbbty
shukran
Kipenz naomba no yako napenda kujua kiarabu vizuri japo kua nawez kidogo so sana please 🙏❤️
Mwalim wetu Asante
Darasa zuri unafundisha maneno machache lakin ni vizuri kwa tunaojifunza 💯
Asante sana
حلوه
Iwe sadaka yako kwa atakae jifunza 🥰
Safi sana Maashaa Allaah nime penda sana
Assalamu aleykum warahmatullahi wabarakatu.Nafuatilia kipindichako lkn video zako nyingi sauti nindogo sana
Assalam alaykum warahmatullah my beautiful sister Ramadhan Kareem
Nataka cha oman
Mashaallah
مشاءالله
naitaji namba yako umeolewa nataka nikuowe
Dada yangu unapatikana wapi
Assalamualaikum ebu naomba niandikie hayo maneno
Samahn kam una group bas naomb uniunge
Kwa kweli nahisi kiarabu ni kigumu, hususan kiarabu hicho cha Emirates. Maana nimeona ni maneno mapya au matamshi mapya tofauti na tuliyo yazowea. (Kiarabu cha shamba/Africa).
Sio kigumu ukiwa makini mbona
@@Maina_kakoso nitajitahidi. Allah anifanyie wepesi, maana natamani sana kuongea lugha za kigeni hususan Kiarabu na English. Lakini bado sana.
NataKa kujua mate yanaitwanje
kiarabu cha wapi hiko yani inta sio anta
Naipend iyo lugha ya kiarabu naomba uniunganishe unipe mazoez ya kuongea
Leo ndo naanza
Karibu
Cjawahi ckia kiarabu cha ajabu kama hicho
🤣🤣🤣🤣🤣
Yeye anawafunza lahaja na hiyo ndio inayotumika kwa wafanyakazi wengi wanaofanya kazi nje. Inaitwa عمية
hata mm nakubaliana na ww
Masha Allah Mola akuhifadhi kwa juhudi zako
Shukran dada ❤❤❤❤❤
Afuan
إستفيد منك جدا .
الله يبارك فيك