MACRON: WAAFRIKA WAMEAMKA NA WANAJITAMBUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 32

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 20 часов назад +11

    Siyo wamebadilika awajaota pembe au mikia nyuma sema wamejielewa yesu alietangazwa na wazungu ni wa uongo yesu wa kweli ni ukoo wa daudi mtoto wa Maryam si mwizi kama wao na nimpenda Amani ni muislam wa kweli alie wafukuza waroma katika msikiti wa al aqswa wasifanye biashara uongo umefika mwisho haki itasimama batili itapotea kwa Reema zake mwenyezi mungu in sha Allah

    • @Awatee
      @Awatee 14 часов назад +1

      Kuna watu watakuja kupinga hapa

  • @AnzoMtebwa
    @AnzoMtebwa 21 час назад +7

    Akuna inch hata moja ya africa yenye kambi yamajesi Europe ao America waafrica tumelala sana hamkeni mfukuze wote hao wezi dhuu huruma sana africa😢😢😢

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 18 часов назад +2

    HAKUNA NCHI ILIYO TAWALIWA NA UFARANSA PAKAWA MAENDELEO....HAWA UFARANSA NI WANYONYAJI......HAO WAASI NDIO NYINYI WENYEW FUKUZA KOLONI

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 4 часа назад

    Wengine wanafukuza wengine wanamkaribisha 😂😂😂 Djibouti Babu Halina akili😅😅😅

    • @MohamediOmari-nz4vv
      @MohamediOmari-nz4vv Час назад

      Tatizo njaa inawasumbua Africa ufaransa ana chochote anachotegemea kuzalisha zaidi kupola mali Africa sasa muda umefika mwisho wanatapatapa huyo rais wa Djibouti anaonekana akili imeganda afali ya museveni

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 12 часов назад

    Waafrika tukipendana wenyewe tutandelea. Tukichukiana tutawapa mwanya wanyonyaji kutumaliza kabisa.
    Mungu ibariki Afrika.
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 6 часов назад

    Lazima wabadilika kwasababu nyinyi niwezi amujui kula n'a mwenye inchi jibuti mufukuze n'a uko kwenu ahana umuhimu wowote niwezi ata marekani afukuzwe

  • @juliusjulius1067
    @juliusjulius1067 8 часов назад

    Hakuna ukweli kwenye kulinda magaidi,watu wa ulaya na marekani ni wezi,waongo,wachochezi na washenzi,kama hatutojifunza kusimama wenyewe basi yesu atatukuta tumechakaa

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 19 часов назад +2

    Wangapi tunaojua kuwa America Ana kambi yake ya jeshi Tanzania fanya ku likes

  • @AbdulazizMohammed-wi8qz
    @AbdulazizMohammed-wi8qz 18 часов назад +1

    Africa tumeamka kitambo sana ndo maana mnatumia nguvu nyingi sana kututawala

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 21 час назад +1

    Wengine bado wamelala, akina Babu Bola Tinubu na wenzie bado wanaendelea kumkumbatia, vijana hatumtaki kabisa huyu bwana ni mnyonyaji mnooo

  • @bossej1212
    @bossej1212 9 часов назад

    Nyani afukuzwe shambani. Kambi zote za jeshi za kigeni lazima zitolewe Africa, wapende wasipende

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 12 часов назад

    Vita kubwa na mbaya inakuja Afrika tujiandae. Nchi za ulaya zina njaa zimeungana kuhakikisha zinaitia dunia mkononi na kuyamiliki tena makoloni yao. Waafrika wengi wengi watapelekwa utumwani, watahamishwa Afrika ili kuwadhoofisha. Yote yanayofanyika yameishapangwa. Ukoloni unarudi.

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 19 часов назад +1

    Make apo kwanza nicheke kumbe walikua wanatulisha matango pori sio na kuiba Mali zetu Africa sio masikini

  • @agneskayange2804
    @agneskayange2804 10 часов назад +1

    Ufaransa ni shetani!

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 10 часов назад

    Kila mtu aende kwao wezi wakubwa

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 11 часов назад

    👏👏👏👏👏

  • @KatemboJeremica
    @KatemboJeremica 20 часов назад

    uyu tasa nimjeuri sana kibaraka wa marekani uingereza mujinga sana shoga ngurue toka ume zaliwa auja wayi kuoga janaba jufa kwenye utafiya

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 17 часов назад +1

    Wameamka ila WATANZANIA Bado sana TUMELALA na MAMA Yetu

  • @GadafSalum
    @GadafSalum 12 часов назад

    Utakutaki

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma 21 час назад

    Tokeni wajinga ☝️☝️😭😭🐍
    Majizi nyie ugaidi uko wapi? Pumbavu ufaransa zero mmetuchosha 😠😠😠

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 20 часов назад

    Waande kwao tu tumecoka na vita

  • @mussajohn7397
    @mussajohn7397 12 часов назад

    warudi.kwaotu.tumewachoka