Hii mikataba ya wachezaji inakuaga mibovu sana kwanini mkataba kisiwekwe kipengele cha kumbana mchezaji anaposhindwa kufanya kazi yake ya Uwanjani msumeno ukate pande zake sio klub pekee ndio iwajibike wakati mchezaji ndio kafeli
Ni mutual agreement.. kabla haja sign mchezaji husoma vipengele vya mkataba ... Hivyo akiona Kuna vipengele vigumu kiupande hawez ku sign by that time ikumbukwe kuwa mchezaji ndo anakuwa na power coz yeye ndo anakuwa demanded na club .... Ikiwa mchezaji na ataka yeye kwenda kwenye club apo inakuwa afadhali ila ikiwa club inahitaji huduma ya mchezaji Tena mchezaji awe anatakiwa na vilabu vingi hapo inakuwa ngumu Sana kwa vilabu kuwa na condition ngumu . Ila wana jitahidi ku balance ila Mara nyingi kwenye kuvunja club ndo huathirika Sana.
Kumbe saido ndio alitegemewa kuibeba simba kimataifa haliyakuwa simba iko na chama na miquison na mishahara yao mikubwa kumzidi saido watanzania badilikeni
kumbe rais wa vilabu kuna madalaka mengine aya ishu ingeli kuwa ishu waalabu wasinge mpa uyo mbugila wenu kama cheo cha mwenye kiti wa kitongoji siku ya mshaala yeye ndiyo siku ya kukopa shika iyoo
Mzee wa Friji bovu hapo nyuma ulisema matokeo mabaya Msimbazi yanachagizwa na wachezaji kutolipwa Bonas zao.sasa leo unaongea hivi mara vile.Tukueleweje sasa😂😂
Wachambuzi wa bongo walisema simba wanahitaji kufanya maamuzi magumu kuwaacha magod fadher. Na leo hao hao wanasema tumekosea kumuacha saidoo. Sijui wanataka uongozi wa simba ufanye nini yaani
😂😂😂😂 Mbona kama unaongea halafu unajistukia ndugu yangu 🤣🤣🤣🤣 .... Yanga Wana imarisha mtani wewe unajenga so why yanga waweweseke ?? Wewe ndo una kazi maana isije kuwa unaacha miquissone unaleta Charamba as kama kwa Baleke na Jobe au Phiri kwa Fred 😂😂😂 unatoa chuma una leta kamba 😂😂😂
Serikali ya Amerika inadaiwa. yanga ni ajabu kwa wajinga kama nyinyi. Halfu timu bingwa nchini wachezaji wakifeli sio kwa yanga tu. Halafu kulinganisha na simba ni udunduka tafuta uongo mwingine.
Kosa la simba au kocha awapangi we aliyekwambaia Simba awapendani
Viongozi wanafanya maamuzi mazuri ili kutengeneza timu big up Viongozi
Hii mikataba ya wachezaji inakuaga mibovu sana kwanini mkataba kisiwekwe kipengele cha kumbana mchezaji anaposhindwa kufanya kazi yake ya Uwanjani msumeno ukate pande zake sio klub pekee ndio iwajibike wakati mchezaji ndio kafeli
Ni mutual agreement.. kabla haja sign mchezaji husoma vipengele vya mkataba ... Hivyo akiona Kuna vipengele vigumu kiupande hawez ku sign by that time ikumbukwe kuwa mchezaji ndo anakuwa na power coz yeye ndo anakuwa demanded na club .... Ikiwa mchezaji na ataka yeye kwenda kwenye club apo inakuwa afadhali ila ikiwa club inahitaji huduma ya mchezaji Tena mchezaji awe anatakiwa na vilabu vingi hapo inakuwa ngumu Sana kwa vilabu kuwa na condition ngumu . Ila wana jitahidi ku balance ila Mara nyingi kwenye kuvunja club ndo huathirika Sana.
hawana hela kwa sasa
Friji bovu sasa walio baki simba walifanya nini mmichezo ya kimataifa ? Watanzania mnatanguliza mapenzi mbele kuliko kutazama namba za mchezaji
Kumbe saido ndio alitegemewa kuibeba simba kimataifa haliyakuwa simba iko na chama na miquison na mishahara yao mikubwa kumzidi saido watanzania badilikeni
Thank you zipo 4 bhana chirunda nae
Sababu kubwa ya kumwacha Miquison Ni mshahara mkubwa 52m kila Mwezi.Siyo kiwango
Wao watupeleke tu.Haiwezekani tuweke mbele kulipa mtu anayerukaruka tuache kulipa ingizo jipya.huyu acha tudaiane nae tu.
Njaa inakusumbua
Wazawa wa yanga wako na viwango vya juu
Kiwango chá Luís miquisoni Dakika 87 utafanha nini tuachieni aludi nhumbani kuetu mozambiqui
Jina jipya hilo hadi nimelipenfa madeni FC
Friji Bovu makocha hawatazami uzawa wanatazama kiwango tuu
Mdomo wa mzze Saidi ndio ume mleteya nuksi saido
Kuna baaz ya wapezi hawafai hta kushabikia mpira wanatuharibia mpira hawajui wanalolitaka
Friji bovu nishabiki wa SIMBA kwani nani kakwambiya kama yanga ni wamalaika?!!! Nasio kweli sababu Rais wa yanga ndiye Rais wa vilabu vya Africa
Yaani ww ujawahi kuandika chamaana
kumbe rais wa vilabu kuna madalaka mengine aya ishu ingeli kuwa ishu waalabu wasinge mpa uyo mbugila wenu kama cheo cha mwenye kiti wa kitongoji siku ya mshaala yeye ndiyo siku ya kukopa shika iyoo
Jina jipya Makolo Chakavu ni jina sahihi
Baadhi watafuatwa tena
Mzee wa Friji bovu hapo nyuma ulisema matokeo mabaya Msimbazi yanachagizwa na wachezaji kutolipwa Bonas zao.sasa leo unaongea hivi mara vile.Tukueleweje sasa😂😂
Ben tv
MWANAUME UNATAKIWA UDAIWE.😅😅😅😅😅😅
Hueleweki.
Walipe ww
Unataka sifa ng'ombe wewe inakuhusu nini wewe fisi,unahitaji followers.
Nyuma mwiko chuma hicho chukueni wazee wakuokota walioachwa nasimba
Hatuchukui uchafu
Wachambuzi wa bongo walisema simba wanahitaji kufanya maamuzi magumu kuwaacha magod fadher.
Na leo hao hao wanasema tumekosea kumuacha saidoo.
Sijui wanataka uongozi wa simba ufanye nini yaani
Huu usajili wetu utoporo tumbo joto sana kwao
😂😂😂😂 Mbona kama unaongea halafu unajistukia ndugu yangu 🤣🤣🤣🤣 .... Yanga Wana imarisha mtani wewe unajenga so why yanga waweweseke ?? Wewe ndo una kazi maana isije kuwa unaacha miquissone unaleta Charamba as kama kwa Baleke na Jobe au Phiri kwa Fred 😂😂😂 unatoa chuma una leta kamba 😂😂😂
Wewe vipi unawalipa au unaganga njaa