Governor Kingi plays audio recording to show how Kenyatta 'misled' Ngala

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 20

  • @joekipropkimtai9401
    @joekipropkimtai9401 5 лет назад +2

    Kingi anaongea ukweli wengi ni wakenya lakini wangali wageni kwa nchi yao noma

  • @alexjaddu377
    @alexjaddu377 3 года назад +1

    Mr.Kingi,pongezi sana!kuongea ukweli....Haki yetu wa pwani na sisi wamijikenda itasimama sikumoja na siyo tena mbali.

  • @DzuyaRehema
    @DzuyaRehema Год назад

    Thanks king that's true😮

  • @hassanwanje7373
    @hassanwanje7373 4 года назад +1

    Mkataba wa Kenya na pwani ilikua 50years lakn ad ss hatujapewa nchi yetu hio n n kutudhulumu??? Kenya inatunyanyasa sisi,

  • @bezaleli
    @bezaleli Год назад

    Ok

  • @nathanbaya7840
    @nathanbaya7840 4 года назад

    Hapo hapo

  • @soitawafuke3752
    @soitawafuke3752 3 года назад +2

    Kingi u are stupid,u can't make your brother Governor Kilifi How stupid can u be to groom your own brother as Governor yet wewe mwenyewe umekuwa Governor Kilifi? Umbwa Sana wewe. I thought unaakili kumbe simegma tu!!!?

  • @wambuialice957
    @wambuialice957 5 лет назад

    He is right on spot

  • @hassanwanje7373
    @hassanwanje7373 4 года назад

    Kama ameanza kujua kua iliunganishwa taree nane mwez wa kumi kwa mazungumzo c kuna mkataba?? Je mwambie aumalzie mkataba huo unasmaje mwishowe??

  • @joekipropkimtai9401
    @joekipropkimtai9401 5 лет назад

    Hio ni ukweli hakuna Uhuru huna ata pahali pa kukaa hao watu walikua kwa serikari ya mzee kinyatta siku inakuja generation fulani mtawapea mashamba mwache ujinga tunawajua tunapea watoto wetu habari pole pole .

  • @hassanwanje7373
    @hassanwanje7373 4 года назад

    Ni kma uwe una nduguyo Wa kiume nyote muowe muwe na watoto , kisha nduguyo afe kabla kufa akwambie walee wanangu hawa , wakishakua wakubwa wakiwa na umri Wa 18years wape Mali zangu ,

  • @hassanwanje7373
    @hassanwanje7373 4 года назад

    Apa anamaanisha pwani sio Kenya weweee kiprono, anatumia tu mafumbo. Huyo kingi msimamo wake n kama msimamo wetu , sote cc n MRC, pwani c kenya

  • @osmansaid4745
    @osmansaid4745 5 лет назад +1

    It's seems mr governor doesn't know more about history go to school