JINSI YA KUPIMA H. PYLORI | H. PYLORI LAB DIAGNOSIS | SWAHILI | SBK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 окт 2024
  • ‪@sanirutv2300‬
    LAB DIAGNOSIS OF HELICOBACTER PYLORI
    What are helicobacter pylori (H. pylori) tests?
    Helicobacter pylori (H. pylori) is a common type of bacteria that infects the lining of the stomach and the first part of the small intestine. Most people with H. pylori never have symptoms. But in some people, the bacteria can cause problems with digestion.
    There are different ways to test for an H. pylori infection. The most common tests use samples of your breath or stool. In certain cases, tests are done on a sample of tissue that's removed from inside your stomach and blood.
    Other names: H. pylori stool antigen, H. pylori breath tests, urea breath test, rapid urease test (RUT) for H. pylori, H. pylori culture. H.pylori antibody blood tests, H.pylori Microscopy.
    *What are they used for?
    H. pylori tests are used to: Find out if an H. pylori infection is the cause of digestive symptoms, Find out if treatment has cured an H. pylori infection
    Because there are many possible causes of digestive symptoms, providers often order tests for other digestive disorders along with an H. pylori test.
    *Why do I need an H. pylori test?
    You may need an H. pylori test if you have symptoms of gastritis or an ulcer. These conditions are often caused by H. pylori bacteria. The symptoms may include: Pain in your upper abdomen (belly), Bloating (a feeling of fullness or swelling in your belly), Feeling full too soon while eating a meal, Nausea and vomiting, Burping or belching, Loss of appetite, Weight loss, Gastritis can lead to an ulcer, which is a more serious condition. The symptoms of an ulcer can become severe if you develop complications. Get medical help right away if you have: Signs of stomach bleeding which include: Black or tarry stool, Red blood in vomit or vomit that looks like coffee grounds, Sudden, sharp or severe belly pain that doesn't go away, Dizziness or fainting, A rapid pulse (heartbeat) or other symptoms of shock, A chance or worsening in your symptoms if you already know you have an ulcer, If you've been treated for an H. pylori infection, you may need testing to see if treatment worked to get rid of all the bacteria. If H. pylori remains in your body, it can grow and cause symptoms again.
    ***************************************************************************************
    By SANIRU BIA KIMWERI
    The Laboratory Medicine Academician | Cyber Tutor
    Email: kimwerisaniru01@gmail.com

Комментарии • 19

  • @muhamadyusufu6663
    @muhamadyusufu6663 7 месяцев назад +3

    Au unapatikana wapi

  • @jessalaisaac.a2599
    @jessalaisaac.a2599 Год назад +2

    And here we are...
    Good and great work
    Bravo...........

    • @sanirutv2300
      @sanirutv2300  Год назад

      Daah thank you so very much Mtaalam...tuishi humoo✊✊✊✊

    • @maureenadhiambo6625
      @maureenadhiambo6625 9 месяцев назад

      Naeza kkpata aje daktari niliambiwa Nina hplori na shida iko kwa kifua pekee

    • @muthamaaron759
      @muthamaaron759 9 месяцев назад

      Where can I find you in Nairobi? Yaani nitawapata wait Nairobi? Anwan.

  • @muhamadyusufu6663
    @muhamadyusufu6663 7 месяцев назад +2

    Habari tunaomba mawasiliano yako

    • @sanirutv2300
      @sanirutv2300  5 месяцев назад

      Salama whatsup +255767265466

  • @roselinemosha
    @roselinemosha 7 месяцев назад +2

    Mnapatikana wapi tunaomna namba

    • @sanirutv2300
      @sanirutv2300  5 месяцев назад

      +255767265466 whatsup meseji

  • @Dovimego
    @Dovimego 2 месяца назад +2

    H pylori ni madonda ya tumbo au ni bacteria wanao sababisha madonda ya tumbo

    • @sanirukimweri9275
      @sanirukimweri9275 2 месяца назад

      Ni bacteria wanaosababisha madonda ya tumbo Mtaalam

    • @Dovimego
      @Dovimego 2 месяца назад +2

      @@sanirukimweri9275 Kuna utofaut gan kat ya amiba na H pylori maana nimejalibu kufuatilia nikagundua H pylori Wana tokana na ulaji unywaj n.k. pia hata amiba wanatokana na ulaji unywaji , je Kuna uhusiano oote kati ya H pylori na amiba.

    • @sanirutv2300
      @sanirutv2300  2 месяца назад +1

      Ndio zipo tofauti kubwa Mtaalam: H. pylori ni bacteria kwenye ile kingdom Monera, wakati Amiba ni parasite (protozoa) kwenye ile kingdom Protoctista.
      Asilimia kubwa ya watu tayari wana H.pylori wanawabeba bila kuonekana madhara mpaka wakaweka aina flani ya mifumo ya maisha ndio wasababishe vidonda vya tumbo na kwa mara chache kutoka kwenye ulaji wetu, lakini kwa Amiba (Entamoeba histolytica) yeye unampata tu kwa kula vyakula vilivyochafuliwa vyenye maambukizi ya hawa protozoa.
      H.pylori madhara yake na matibabu yake ni ya muda mrefu kutokana na asili ya hawa bacteria wanakuathiri taratibu sana na hata utibiwaji wake unatumia muda mrefu kwakuwa wananyonya kemikali kwa speed ndogo, wakati Amiba (Entamoeba histolytica) wao maambukizi yakiingia hayachukui muda yanaanza kuonekana (unaweza kwenda kwenye sherehe ukala siku hiyohiyo ukaanza kuumwa).
      Dalili pia zinatofautiana kwa kiasi flani.
      Inaonekana asilimia kubwa ya watu wanaopata ugonjwa wa Amiba wanamaambukizi ya H.pylori ambao wanaonekana wameharibu kuta za tumbo na kuwapa uwanja mkubwa hawa wanaosababisha Amiba (Entamoeba histolytica) kuleta madhara makubwa zaidi.
      Pia aina ya tiba inatofautiana.
      Asante sana.

    • @sanirutv2300
      @sanirutv2300  2 месяца назад

      patient.info/travel-and-vaccinations/travellers-diarrhoea-leaflet/amoebiasis

    • @RabieGerard
      @RabieGerard 2 месяца назад +1

      doctor nakupataje

  • @teddyurasa3547
    @teddyurasa3547 2 месяца назад +1

    Doct.mimi jinasumbuliwa sana tumbo, nikaenda hosp.nikapima choo,nikaambiwa ninahuyo mdudu! Nimeandikiwa Metronidazole tablets bp 200 mg.vidonge 50, na amoxicillin capsules 250 mg.vidonge 100! Je! Nikivimaliza huyo mdudu atakuwa amekufa! Nisaidie!

    • @sanirutv2300
      @sanirutv2300  2 месяца назад

      Pole sana. Mchakato wa matibabu wa H.pylori unachukua muda na nidhamu ya mifumo ya maisha. Nitumie meseji kwenye Whatsup yangu 0767265466 nikushauri zaidi ili upate matokeo bora zaidi ya kitaalam Teddy. Karibu.

  • @AdmiringAgilityPuppy-kt7de
    @AdmiringAgilityPuppy-kt7de 5 месяцев назад +1

    Tunaomba namba

    • @sanirutv2300
      @sanirutv2300  5 месяцев назад

      Karibu whatsup meseji +255767265466