Mwenyezi mungu awalaze mahali pema peponi wazee wetu Na kumbuka sana Baba yng Zimataa capriso nisikipo kazi zako mkono yako ndani ya Dar jazz majini ya bahari 😭
Wengi walimwita Teacher,mwalimu na wengine walimwita King Michael Enoch Chinkumba,alianza mziki mwaka 1958.Maisha ni Safari,Wimbo huu unanikumbusha Baba zangu,Bakari Mohammed Hizza(Mamwindi)aliyekuwa Mtumishi wa mradi wa misitu Shume Lushoto Tanga, na Mwl Emmanuel Hizza(Shakaza) aliyekuwa Shule ya Msingi Kizara Lushoto Tanga, walikuwa wapenzi wa Muzik wa Dar Jazz.Mwenyezi Mungu awarehemu na Kuendelea Kuziweka Roho za Marehemu mahali pema pepon.Amin
Dar Jazz wakiitwa majini ya Bahari wakiwa upande wa Sunderland (Simba SS) wakiongozwa na soloist Michael Enock wahasimu wao wakiwa Western Jazz (wana saboso) wakiongozwa na soloist Rashid Hanzuruni na Shamba Ramadhan wakiwa upande wa (Young Africans ss). Dar iliwaka moto!
nimekulia hapa Dar jazzy wakichukua mazoezi hii nyimbo nilikuwa ndani hapo na kina Micheal Enoki umri wangu ulikuwa si Zaidi ya miaka 9 nakumbuka sana , kariakoo yetu ya zamani manyema na mchikichi nyuma ya club ya Simba Msimbazi, nyumba ya mzee Muba na ndio mwenye Band ya Dar jazz woh ,,,
I loved Western Jazz band as a child. During my youth, and I still love Western Jazz Band to my old age today. Their music still makes a lot of sense to the public and is more appealing today than it did when they sung most of their songs. I truly love mpangilio wa vyombo vyao. I wonder as to what has become of our current artists, their music is tasteless and unappealing which cannot last beyond one year listening to the same music.
this song reminds me when l was 7 years old l used to sde my mom singing this song,so beautill time.natamani zile enzi zirudi tena niendelee kumsikia my mom akiimba tena wimbo huu.mariam fritsi,switzerland 30.01.17.
I was 6, this song means a lot to me too! whenever this song came on the radio! my Mom use just grub me and she would say "dance with me" and i would dance while trying ti run away from her LOL! NOW i play it every time I think of my Mom! I wish I could have just one dance with her!
Asante Power Nguzo kwa kutuwekea wimbo huu. ni miongoni mwa nyimbo ninazozipenda. Mwenye wimbo wa FAT uliopigwa na Mbaraka Mwinshehe, atuwekee jamani!!
Anaye ukumbuka wimbo WA juwata nilipo kuwa kwa mume maisha yalikuwa manzuri nimetafuta hadi sasa sijaupata wadau wenzangu nisaidieni niupate vijana WA zamani na wimbo WA wakati WA huai wake shangazi kila mtu alimpa msaada nao nautafuta
Huu wimbo sio utunzi wa Rashidi Hanzuruni,wimbo huu ni wa Dar JAZZ Majini wa bahari,akina Mzee KIng Enock,Juma AKida ambae baadae alijiunga na NUta Jazz,na akina Mzee Hamisi Nguru.KIng Enock wakati huu alikuwa kijana na ndiye alikuwa mpiga solo waa kutegemewa.Rashdi Ha nzuruni alikuwa mpiga solo hodari Tanzania ila ailkuwa Western Jazz.
Mwenyezi mungu awalaze mahali pema peponi wazee wetu Na kumbuka sana Baba yng Zimataa capriso nisikipo kazi zako mkono yako ndani ya Dar jazz majini ya bahari 😭
Pole sana ndio dunia hiyo wao wametangulia mbele za haki na sisi tunaelekea huko huko
Wengi walimwita Teacher,mwalimu na wengine walimwita King Michael Enoch Chinkumba,alianza mziki mwaka 1958.Maisha ni Safari,Wimbo huu unanikumbusha Baba zangu,Bakari Mohammed Hizza(Mamwindi)aliyekuwa Mtumishi wa mradi wa misitu Shume Lushoto Tanga, na Mwl Emmanuel Hizza(Shakaza) aliyekuwa Shule ya Msingi Kizara Lushoto Tanga, walikuwa wapenzi wa Muzik wa Dar Jazz.Mwenyezi Mungu awarehemu na Kuendelea Kuziweka Roho za Marehemu mahali pema pepon.Amin
Namkumbuka Sana Mzee sinangoa
@@saidimiraji8117tate acha kabisa
Dar Jazz wakiitwa majini ya Bahari wakiwa upande wa Sunderland (Simba SS) wakiongozwa na soloist Michael Enock wahasimu wao wakiwa Western Jazz (wana saboso) wakiongozwa na soloist Rashid Hanzuruni na Shamba Ramadhan wakiwa upande wa (Young Africans ss). Dar iliwaka moto!
Habari kokote pale ulipo hivi sasa uko wapi mimi ndio ilikuwa mitaa yangu niliyokulia mtaa masasi baadae tukahamia mtaa muhonda tuwasiliane
I remember a song "nilifungwa jela, kuwatembelea ndugu zangu nivibaya tangu lini?" Really miss it. Anyone?
wimbo huu hunitoa machozi. Marehemu babangu alikua akiuimba wakiwa na mama miaka ya themanini mwanzoni!
Pole sana tumuachie mwenyezi mungu
"Na mabaya yataniponya duniani". Those are great words to be said when you put yourself on God's side.
nimekulia hapa Dar jazzy wakichukua mazoezi hii nyimbo nilikuwa ndani hapo na kina Micheal Enoki umri wangu ulikuwa si Zaidi ya miaka 9 nakumbuka sana , kariakoo yetu ya zamani manyema na mchikichi nyuma ya club ya Simba Msimbazi, nyumba ya mzee Muba na ndio mwenye Band ya Dar jazz woh ,,,
Long time sana mjnii
Tuwasiliane kama ukipata hii msg
I loved Western Jazz band as a child. During my youth, and I still love Western Jazz Band to my old age today. Their music still makes a lot of sense to the public and is more appealing today than it did when they sung most of their songs. I truly love mpangilio wa vyombo vyao. I wonder as to what has become of our current artists, their music is tasteless and unappealing which cannot last beyond one year listening to the same music.
Charles Mecheo Mayaka safi sana wimbo umetulia
This GREAT SONG Seng by DAR JAZZ BAND, that time known as MAJINI YA BAHARI in the year 1960s.
Dansi lililotulia halina vurugu kwa raha zetu.
Matthew Nkanyemka.
Za miaka mingi bado tunasikiliza zilipendwa
Nakumbuka nikiwa darasa la pili,mama akifagia huku akiuimba huu wimbo asubuhi kipindi cha zilipendwa jumapili. R I P wazee wetu wote.
H mwik mida ya saa NNE asbh alikuwa ana swirch on...Rest in peace babu
Dada yangu Mkubwa nakumbuka alikuwa anapenda Sana dansi Dar Jazz walikuja pale Dodoma Welfare Hall alikuwa hakosi kwenda
this song reminds me when l was 7 years old l used to sde my mom singing this song,so beautill time.natamani zile enzi zirudi tena niendelee kumsikia my mom akiimba tena wimbo huu.mariam fritsi,switzerland 30.01.17.
TUPEANE POLE MARIAM,,,UKO KAMA MIMI EXACTLY!!!
I was 6, this song means a lot to me too! whenever this song came on the radio! my Mom use just grub me and she would say "dance with me" and i would dance while trying ti run away from her LOL!
NOW i play it every time I think of my Mom!
I wish I could have just one dance with her!
Asante kaka nguzo kwa wimbo huu kwani umenikumbusha marehemu mama yangu alikuwa akiupenda sana wakati nikiwa mdogo.big up.
Aaah!! wapi mamaangu Mungu amekutwaa hupo duniani nakumbuka sana ukiimba wimbo huu wakati ule. Dunia ilikua imepoa sio sasa imevamiwa
Yanikumbusha Sekioni kitojo na saidi omari walikuwa RADIO TANZANIA DAR ES SALAAM
Majini wa bahari tungo zenu zitabaki kuwa juu
Hayo ndo maudhui, ama kweli, aiseee!!!!
Cha ajabu mabaya hayawajaponya wazazi wangu paka kaburini,ee mwenyezi mungu watangulie
Ooh nakumbuka mbali sana nisaidie wimbohuu wa dajazz .sioni dalili yakuniPenda rukia
The really taste i miss..y youthful age with my late father tuning RTD..."unapofanya kazi"
Asante Power Nguzo kwa kutuwekea wimbo huu. ni miongoni mwa nyimbo ninazozipenda. Mwenye wimbo wa FAT uliopigwa na Mbaraka Mwinshehe, atuwekee jamani!!
Kifo usitufanyie ivyo bwana,wapi Michael king enock?
Unanikumbusha mbali sana, Kenya masiku za VOK
Asante Power Nguzo ni muendelezo wa moja moja.Unanikumbusha Redio Tanzania na Transistor Radio
Pole saana hata mimi ninalia
Marehemu baba mzee mtumbi pumzika kwa amani ulikuwa wakati wako huo!!
Simple profound and simply pristine Afro lyrics…
john choma yani hatari sana´, wazee wetu walifaidi sana
music ya zamani haichuji wewe mzee mwenzangu unasemaje
Heko Power Nguzo.Ndo enzi zao.Wakumbusha Bukheri ya adhuhuri-Idhaa ya biashara RTD-Pugu Rd
Charles Otunga Utunzi stadi
Hakika wakati huo vijana wa mundo walitoa masikitiko yao
Sauti za huzuni sana wakati mzuri umekwenda wapi, natamani nitoeke
Good for our memory,
Rashid Hanzuruni mwaka 1969
Anaye ukumbuka wimbo WA juwata nilipo kuwa kwa mume maisha yalikuwa manzuri nimetafuta hadi sasa sijaupata wadau wenzangu nisaidieni niupate vijana WA zamani na wimbo WA wakati WA huai wake shangazi kila mtu alimpa msaada nao nautafuta
walikua wanajulikana kama majini wa bahari Old Dar Jazz at its best
john choma KINDLY LET US the composition of the Band.Nyimbo Nzuri K weli.
Nostalgic
Inahusu nini humu Hapa Kazi Tu? wataisoma namba? Mafisadi! Ekhe! tupo katika starehe ya zilipendwa bana! usituletee siasa humu..
enzi zenye burudani isiokifani
muziki wa Tanzania uliopo kwenye ubora wa hali ya juu.
❤
Nilikuwa la4
Safi sana
nauliza hu wimbo in wa rashid hanzuruni? ambae alkuwa mwana muziki mashuhuri kama vile kina sakum abdalah na juma kilaza
Huu wimbo sio utunzi wa Rashidi Hanzuruni,wimbo huu ni wa Dar JAZZ Majini wa bahari,akina Mzee KIng Enock,Juma AKida ambae baadae alijiunga na NUta Jazz,na akina Mzee Hamisi Nguru.KIng Enock wakati huu alikuwa kijana na ndiye alikuwa mpiga solo waa kutegemewa.Rashdi Ha nzuruni alikuwa mpiga solo hodari Tanzania ila ailkuwa Western Jazz.
Abubakar Omar tafadhali una weza kutupa kwa kifupi tu historia ya mwanamuziki huyu Rashd Hanzuruni,
Abubakar Omar .Wimbo huku na mawaida
Dar es Salaam Jaz majini wa Bahari hawa
Ukimfanyia mtu ubaya ukumbuke pia kuna mwenyezi Mungu, asanteni sana Dar es Salaam Jaz majini wa Bahari kwa ujumbe nzuri.
Musiki bora
Je waweza ku-upload 'Salamu Baba na Mama'? Asante
Enoch Opuka eenunguinaunassanawengihawapoduniana. Anen
Dunia zama I ilikua tamu
Dunia zamani ilikuwa tamu
mwaka gani huu wimbo
+Flower Twila 1967
evans muluka kaka yangu nashukuru sana kwa jibu lako, hii ngoma kali sana kupita maelezo tangu miaka hiyo mpaka leo ipo vizuri hii ngoma..
1968
Muluka asante kaka
Waimbaji_juma zawayai,issa ibrahim,omari salumu,magitaa_michael enock,Ahmed manyema,macklin ibrahim,makwaya sudi, saxphone_dixon christiano,stuart Andrew,hussein yusuf, drums_zimataa kalipso,malakasi_mzee uporoto suleiman ,
5555