Albert Shehi Lete raha ya pendo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии •

  • @RitaAndai-uy8zb
    @RitaAndai-uy8zb 9 месяцев назад +6

    Wallahi tena nyimbo zako Bado ziko top, nahisi Raha sana nikiskiza. Mistari mwaaa🥰🥰🥰🥰🥰

  • @paulmanoti1070
    @paulmanoti1070 3 года назад +36

    Suary who gives such a beautiful song a thumbs down??? I can listen this all the way from Mombasa to Timbuktu.... ❤️ It

  • @sophieatsiaya6141
    @sophieatsiaya6141 Год назад +5

    Nimetulia nikiwa hapa vihiga, unanikubusha nyumbani Rabai may God bless you shehi

  • @ALBERTSHEHICoastalBangomusicKe
    @ALBERTSHEHICoastalBangomusicKe  8 лет назад +116

    Kwa yule anaetaka Audio za nyimbo zangu, anaweza kuzipata na kuzidownload kwa [Mdundo.com] halafu search jina langu. Enjoy.

    • @eustarmwambanga5131
      @eustarmwambanga5131 8 лет назад

      ALBERT SHEHI nitumie wassup 0712044390 please

    • @sharoncharo5774
      @sharoncharo5774 7 лет назад

      ALBERT SHEHI ntumie whaup plz +971521415809 nko Canada

    • @bettykenga3500
      @bettykenga3500 7 лет назад +1

      ALBERT SHEHI Hi Albert sheshi nakutaka plz unitungie song ya wedding yangu plz ni how much

    • @christinenicholas4852
      @christinenicholas4852 7 лет назад +1

      mdundo.com

    • @rangemoja717
      @rangemoja717 6 лет назад

      Nyimbo zako nzuri penda sana!!!

  • @maryphuyo2432
    @maryphuyo2432 5 лет назад +5

    Kupendwa raha aaaaah leta raha ya pendo wewe.....Saudi bt nkama nko malindi🔥♥

  • @halimamshami3279
    @halimamshami3279 5 лет назад +5

    Mimi hizo ala za mzikii tuu abooo aboooo, wangu ntaadundaa naee♥♡♥, nalizegedaaa ndanii ya Qatar.

  • @gladyswambua4935
    @gladyswambua4935 4 месяца назад +13

    Who's here 2024🥰

  • @margaretnthenya4535
    @margaretnthenya4535 9 лет назад +6

    am n dubai bt feel like am n kenya while listening to bango music,lete raha moyoni dedicate it to my hubby Deri kahindi mtwapa

  • @lucybabys7791
    @lucybabys7791 8 лет назад +13

    albert,kaka ukojuu sana nalizegeda nikiwa saudia namiss watamu ndani ya kalahari pwani hooooyeeee

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa 3 месяца назад +2

    Nyimbo zako ni nzuri sana❤️❤️❤️🌺

  • @bettylozie9038
    @bettylozie9038 9 лет назад +3

    Halooooooooo àaa ni wewe thu umenitachi lete raha ya Pendo wapi wale tulizedeee Albert sheee hongera sana nakuona nikiwa Jordan

  • @habelkalume9011
    @habelkalume9011 6 лет назад +5

    Albert safii sauti hiyo kama ya Mzee mwenyewe ngala uko juu

  • @ahmedabdalla3712
    @ahmedabdalla3712 5 лет назад +5

    Udzulu Albert.mohaa from mjanaheri(klf county)magarini concituency!!!.

  • @grantonymwandoe1844
    @grantonymwandoe1844 4 года назад +4

    shehi ngependa kutungiwa wimbo ntakupataje...heading for my wedding

    • @albertshehi3338
      @albertshehi3338 4 года назад +2

      0722834904. Tuwasiliane hali itakapo kua shwari tena Kaka.

  • @SaidTsimba
    @SaidTsimba 7 дней назад

    Mzee nyimbo zako ni raha tupu 🎉

  • @christineinonda450
    @christineinonda450 5 лет назад +3

    So sweet nakumbuka harusi nilohudhuria Rabai, napenda bongo sana

  • @joycechizi3314
    @joycechizi3314 2 года назад +5

    Albert this is memorable. 5 years down the line but it feels like today’s fresh hit. Dedicating to my hubby sweetie Omera

  • @kazushkmilly3635
    @kazushkmilly3635 18 дней назад +1

    UTAMU MTUPU. NOVEMBER 2024. 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @JereKim-u5s
    @JereKim-u5s 5 месяцев назад

    Jamen msifanye nikaoa coast ,the love for you ❤️❤️❤️🌹

  • @raysamiya3760
    @raysamiya3760 4 года назад +3

    Safi kabisa penda ww bure

  • @chrisian7446
    @chrisian7446 8 лет назад +2

    Kupendwa raha, wangu ntadunda naye ee bwana kazi nzuri, mashairi yametulia kaka.

  • @rozdoris9529
    @rozdoris9529 4 года назад +2

    Big up kaka,waleta raha sana,moyo wangu baridi,nimetulia ndani ya Bahrain

  • @bonifaceongera7457
    @bonifaceongera7457 8 лет назад +2

    Mimi hupenda sana nyimbo zako baba.

  • @annezawadi3039
    @annezawadi3039 Год назад

    Waaaaaah, sijui wangu atatoka wapi..zegenda ndani ya Qatar, baridi tu

  • @mwaringadzuya4996
    @mwaringadzuya4996 9 лет назад +2

    Albert, Kaka utanitolea song" yangu kama hii Inshaallah niki dunda Kenya.Moyo wateketea, Utamu xanaaaaa.

  • @hgshjdkwelibwananimuezaway5981
    @hgshjdkwelibwananimuezaway5981 8 лет назад +1

    rana najipa nikiwa saudi miss sana kuzegede from watamu kenya

  • @selinakwekwe9483
    @selinakwekwe9483 2 месяца назад

    Wenye tuna watch 10/ 2024

  • @naima3335
    @naima3335 7 лет назад +1

    wallahi nimeipenda nazegedee ndani ya saudia jambo yuko mbali wangu iko juu sana🙅

  • @priscillacharo9597
    @priscillacharo9597 3 года назад +10

    2021 gonga like tukisonga

  • @katamabada3839
    @katamabada3839 4 года назад +1

    safi kaka wanikumbusha most recent ezekiel na mercy ndani ya riani...i still have your clips...nakuheshimu kazi kubwa

  • @eldadchumba6900
    @eldadchumba6900 10 лет назад +4

    The best ever.Bigup and salute to you the one and only ALBERT SHEHI.

  • @Helen-zs5ti
    @Helen-zs5ti 4 года назад +1

    Haha Haha lete Haha yapendo zegedeeeee wapi najma

  • @halimamshami3279
    @halimamshami3279 5 лет назад +1

    Wakule mombasaa mogadishu nyali, nalizegedaaa nkiwa Qatar habo habooo aboooooo upo juuu!

  • @dayseye3583
    @dayseye3583 8 лет назад

    Albert Shehi hongera sana tena sana ....Nakuhitaji unitungie wimbo .......nitakutafuta sana ndugu yangu from another mother....kazi nzuri na tamu tamu kuliko asali

  • @abdi5146
    @abdi5146 5 лет назад +2

    Kazi mzuri babu,

  • @malikamaingu6765
    @malikamaingu6765 8 лет назад +1

    big up with song.wangu yumikononi hahaha lete raha ya pendo.😚😚😚💑

  • @lydiawambuimaina4407
    @lydiawambuimaina4407 3 года назад +1

    Hii sauti jameni,una kipawa ndugu

  • @EstherNeema
    @EstherNeema 8 лет назад +4

    Ni wewe umeni touchy. looooooooove it :) :)

  • @javankilango6533
    @javankilango6533 8 лет назад +4

    Albert uko ju sana wimbo mzuri unapendeza

  • @ffbfgfbg4210
    @ffbfgfbg4210 5 лет назад +2

    Hapo hapo kaka

  • @nyundoamani9356
    @nyundoamani9356 6 лет назад +1

    nice one tuwekee mix next time raha ya pendo

  • @heriwale2133
    @heriwale2133 7 лет назад +8

    Big up Albert .... sina usemi i salute you ... wa Qatar mpo?

  • @fredndurya
    @fredndurya 7 лет назад +2

    Safi sana....angalau twakumbuka mdzini...

  • @jacklinekatana4434
    @jacklinekatana4434 2 года назад

    Naomba no.ya Albert shehi pls...tuongee biashara

  • @raphaelkaibiru4
    @raphaelkaibiru4 8 лет назад +3

    I love Shehi songs. Hasa huu wimbo

  • @joycekasunggo762
    @joycekasunggo762 9 лет назад

    nalizuga nikiwa USA but now imfinish my work imcoming very soon kenya

  • @aminah3333
    @aminah3333 9 лет назад +2

    Haha wangu yumikononi, wangu nitandunda nae, lete raha ya pendo, heheheyaaaaaa pole kam nakuchoma shost chezaaaaaa mbaliiiiiiii na hubby wanguuuuuuuu upo;

  • @ongaronandwa1185
    @ongaronandwa1185 7 месяцев назад +1

    mashairi mwa❤

  • @khamismjimba5446
    @khamismjimba5446 8 лет назад +1

    Smart sana...uko juu!!

  • @malikamaingu6765
    @malikamaingu6765 8 лет назад

    Tutazeda nalo tu inshalla.hv we we hv notiiiiiiiii

  • @lifestyle8569
    @lifestyle8569 6 лет назад +1

    Hii nyimbo haiishi utamu, duh

  • @akolongakolong440
    @akolongakolong440 3 года назад +2

    Lete raha

  • @hdaeahhdaeah694
    @hdaeahhdaeah694 7 лет назад

    uko juu nakubali nikiwa oman

  • @malikamaingu6765
    @malikamaingu6765 8 лет назад +1

    special dedication to my habby ukoooo mudzini......zegede zegede

  • @gloriamwanjala1455
    @gloriamwanjala1455 5 лет назад +2

    Kupendwa raha jamani.... Sikia utaaaaamu sasa.... Abo abo abo abo....

  • @aminadavidamina3542
    @aminadavidamina3542 8 лет назад +4

    waaa wanazegedee hoyeee mm nalizegede nikiwa ndani ya saudi nitamu walai ......

    • @queenmaa7892
      @queenmaa7892 7 лет назад +1

      Aminadavid Amina stress za waarabu zile na free Wi-Fi

    • @aminacute8033
      @aminacute8033 7 лет назад

      +Queen Maa free wapi kwani mtu akiwa saudi lzma wifi za bure wee chunga mdomo wako

    • @bjbnbnjj538
      @bjbnbnjj538 5 лет назад +1

      Aminadavid Amina saudi yawapi mrembo

  • @fredndurya
    @fredndurya 3 года назад +3

    Who else is watching this in 2021🔥🔥🔥

  • @AllSwiss-xv9tr
    @AllSwiss-xv9tr 6 лет назад +1

    Tuma nyimbo new we need to watch you Mia.dear

  • @myrasgoodies6713
    @myrasgoodies6713 3 года назад +2

    Mashallah..nimependa

  • @ummubilal5771
    @ummubilal5771 7 лет назад

    Nazikwenda mdogo mdogo nikiwa Saudia.....

  • @fadelmwakailovumorriy2721
    @fadelmwakailovumorriy2721 8 лет назад

    hogeŕa kwa kututuliza mafudisho tofauti ya ni uko juu nakarim

  • @bintimohammed8746
    @bintimohammed8746 8 лет назад +2

    pole kama wasemwa 😁😁😁😁utamu wa pendo kama mko wawili

  • @aishamunga3056
    @aishamunga3056 4 года назад +1

    Wow so nice Albert I salute u

  • @jerushacharles8088
    @jerushacharles8088 9 лет назад +1

    zegedeeeee nikiwa ndani ya saudi

  • @sharoncharo5774
    @sharoncharo5774 7 лет назад

    Hallooow pole Kama nakusema tutaduda na............ Aaaaa Hapo cha-cha

  • @lucasmunisi2229
    @lucasmunisi2229 8 лет назад +3

    from tz but I love this sound band coz am a big fun of saxophone instruments. .big up brasso

  • @ashurachariomar1701
    @ashurachariomar1701 3 года назад

    Uko ju sana babangu

  • @mweusipains6435
    @mweusipains6435 4 года назад +2

    Nice trumpetting

  • @johnirungu9955
    @johnirungu9955 4 года назад +1

    Upload cherrie amor

  • @mercyk6665
    @mercyk6665 2 года назад +1

    2022 am still listening this song watching live from Saudi Arabia madina city

  • @hellenmatani250
    @hellenmatani250 9 лет назад +4

    nalizegeda nikiwa Jordan wapi Betty lozie

  • @catejoseph7127
    @catejoseph7127 5 месяцев назад

    Asojua maana aambiwi maana❤

  • @michaellimu2332
    @michaellimu2332 3 года назад +1

    Safi Sana.👍

  • @joycekasunggo762
    @joycekasunggo762 9 лет назад +4

    kweli asojua maana hambiwi maana hahahaha

  • @mwaringadzuya4996
    @mwaringadzuya4996 9 лет назад +4

    @qatar, hahahahaaaaaaa....Haki Utama ni rahatele moyo wangu xafi xnaaaaaaaaa

  • @alfablondy4206
    @alfablondy4206 6 лет назад +1

    Uko juu .

  • @rukisfuraha894
    @rukisfuraha894 7 лет назад

    upo juu sana lete raha ya pendo zegede

  • @eustarmwambanga5131
    @eustarmwambanga5131 8 лет назад

    malaika wanisimama walai....wangu ntadunda nae...lete raha ya pendo

  • @jacksammy7356
    @jacksammy7356 4 года назад +2

    👌👌👌

  • @fatimaumazi166
    @fatimaumazi166 2 месяца назад

    Tamu sana

  • @khadijachengo3864
    @khadijachengo3864 3 года назад +1

    Kupendwa raha jameni

  • @khadijachengo3864
    @khadijachengo3864 3 года назад +1

    Wangu yumikononi

  • @tabithanjihia264
    @tabithanjihia264 5 месяцев назад

    God bless

  • @fatmajuma8889
    @fatmajuma8889 9 лет назад +2

    Utamuuuu....home sweethome.najiskia nimefika home.nalizegeda nikiwa ndani ya shuhudia.😃

  • @marygatiru8235
    @marygatiru8235 4 месяца назад

    Real songs 🎉🎉🎉❤❤

  • @abdilahihashimmgomi2069
    @abdilahihashimmgomi2069 7 лет назад

    hi bro mm kuna nyimbo ya bango inaitwa ujerumani

  • @oolivearouko4842
    @oolivearouko4842 9 лет назад +1

    serious muzik. I love

  • @bonifacemumbo3824
    @bonifacemumbo3824 9 лет назад

    utamu wa pendo>>>zegede

  • @aminah3333
    @aminah3333 9 лет назад

    Arooooooooo kupendwa rahaaaaaaa jamani

  • @jupitersammy687
    @jupitersammy687 7 лет назад

    Lete raha ya pendo,ona day one time......

  • @alfredmazera2877
    @alfredmazera2877 5 лет назад +1

    tutadunda na pressmen

  • @noreennafula60
    @noreennafula60 4 месяца назад

    🔥🔥🔥

  • @mzeemombasa.3456
    @mzeemombasa.3456 9 лет назад +1

    Albert uko chonjo, mizani unazigonga mia kwa mia.

  • @khadijachengo3864
    @khadijachengo3864 4 года назад +1

    Haki ukobali nami wewe

  • @VirginiaMuthoki-wt6ig
    @VirginiaMuthoki-wt6ig 6 месяцев назад

    Is this guy alive? Unlike this song. Where does he perform

    • @albertshehi3338
      @albertshehi3338 6 месяцев назад

      Msinione nasinzia, msemayo nasikia. [Nipo Nairobi]

  • @marriedama3678
    @marriedama3678 Год назад

    Naeza kupata aje Shehi nitakuhitaji Kwa party

  • @AAa-wz9cd
    @AAa-wz9cd Год назад

    Ni wwe tuu umeni touch... Looooooooo❤

  • @nanasaid5152
    @nanasaid5152 9 лет назад

    nimeipenda kweli

  • @monicawanza9911
    @monicawanza9911 2 года назад

    How can I get him nataka anitungie?

  • @taluwanjai7401
    @taluwanjai7401 2 года назад

    Missing home