Samahani sana kwa swali hili. Kiswahili ni kwamba siku hizi hakifundishwi katika usahihi au? "Leo ana hoha" ( ki kawaida ni leo ana oa kama nipo sahihi na kama si basi nakaribisha masahihisho pia) jamani ni mara nyingi sana naona watu wanatamka baadhi ya maneno kimakosa . Japo najua si watu wote wana tamka maneno yote kwa ufasaha. Tatizo kubwa nilijualo ni kwamba kuna baadhi ya watu wanakuwaga na matatizo ya kutamka "R" na "L" nadhani wengi wanalifahamu. God bless you.
jimmy hebu jitahidi ulifanyie kazi swala la sauti limeshapigiwa kelele sana lakin hamna mabadilko mbona dr akiwepo kipindi cha termino sauti inakuwa shwari?
Ahsante kwa madini Dr elie. Barikiwa mafundisho yako yamefanyika baraka kubwa sana maishani mwangu.
The most intellectual person I understand to open your mind just with words.
Kwani Jimmy huwa unapunguziwa mshahara doctor akiptiliza hata dk1 tu!?
Doctor Ellie barikiwa sana..Mungu azidi kukutunza 🙏
Asant brother Jimmy kwakutusikia ombi letu.. nimemwelewa Dr bila shida kabisa🙏🏽
Mnakera sana Sauti iko chini mno mnamwaribia cv Dr. Eli
Kuna ufungukaji wa kasi wa uelewa na ufahamu wetu
Huyu doctor ni Tunu ya Taifa🌟 His intelligence z outa this world.............how comes this video hasnt reached 1B views???
Ubarikwe
Hii ni hekima ya juu Sana ...najifunza kwako Dr.
Msalimie sanaa Dr Elie mwambie lazaro nimemtembeza hifadhini mikumi
Alikuja kutembea???? I wish to him kwakweli.
DR Elie Asante sana
Amen Niko pamoja nanyi
Samahani sana kwa swali hili. Kiswahili ni kwamba siku hizi hakifundishwi katika usahihi au? "Leo ana hoha" ( ki kawaida ni leo ana oa kama nipo sahihi na kama si basi nakaribisha masahihisho pia) jamani ni mara nyingi sana naona watu wanatamka baadhi ya maneno kimakosa . Japo najua si watu wote wana tamka maneno yote kwa ufasaha. Tatizo kubwa nilijualo ni kwamba kuna baadhi ya watu wanakuwaga na matatizo ya kutamka "R" na "L" nadhani wengi wanalifahamu. God bless you.
Chomoza mnakera Sana mnajisahau zingatieni sana sauti Jamani mnamatatizo gani?!
Sauti ipo chini sana.
jimmy hebu jitahidi ulifanyie kazi swala la sauti limeshapigiwa kelele sana lakin hamna mabadilko mbona dr akiwepo kipindi cha termino sauti inakuwa shwari?
Sam unaboa unamtoa Dr kwenye mstari alafu anaaanza kuongelea dini
Pamoja team chamoza
Amen
Next time mjitahid saut coz iko chini Sana
Hv chomoza mna nn mbona hakuna sauti?huyu dr anamambo mazuri lkn huna hta hamu yakusikiliza hamna sauti
Sauti inakuwaga ndogo sana
🙏🙏🙏🙏
Jimmy kama unasoma comments unatumia vibaya mda mfono halikua mhim Sana Cha ajabu hujaongeza hata mda wa kufidia.
Kipindi kizur San ila sauti IPO chini san