Ali Mukhwana - Bwana Naomba [Skiza 9521372 sent to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 872

  • @hidiatatiana6775
    @hidiatatiana6775 11 месяцев назад +18

    Bwana naomba nitawaliwe in this year of 2024🙏🙏🙏

  • @thee_jimmie254
    @thee_jimmie254 Год назад +13

    Tuko 2023 ,wangapi wako NAMI kwa hii worship..tukiomba bwana Atutawale

    • @JosephineAgwa
      @JosephineAgwa 3 дня назад

      Mi ndio huyu hapa 2025 naomba anitawaliwe asubui nimejipata siwezi

  • @linetkinyangi
    @linetkinyangi 10 месяцев назад +23

    I'm here 2024naomba nitaliwe nawe Bwana

  • @innocentjulie8400
    @innocentjulie8400 3 года назад +44

    I wonder why Kenyans we can't just support such powerful music which lift souls 😢😢😢😢mtu anakuja anaskiza, na anadislike😐
    May our God bless each and every soul that is breathing today in Jesus name

  • @nelsonbarasa7717
    @nelsonbarasa7717 4 года назад +250

    Whoever made that decision to declare you the winner of Exodus to Stardom never disappointed the gospel industry. That was a revelation from God. Gospel does not need sophisticated jargon, simple but powerful words that take you to a different realm of worship. Sky is the limit Ali

    • @muriukikarimi7090
      @muriukikarimi7090 3 года назад +7

      He is so humble

    • @dominickaranja2635
      @dominickaranja2635 3 года назад +4

      True

    • @KM-ln3nq
      @KM-ln3nq 3 года назад +4

      My eyes were glued on TV and praying the best for Ali. When he won Stardom I cried tears of joy with him.

    • @beatriceiloveugreeadhiambo3517
      @beatriceiloveugreeadhiambo3517 3 года назад +4

      That's true if you ask me iwil tel you I also voted for him he is a great singer

    • @edwardmalaba1999
      @edwardmalaba1999 3 года назад +2

      Great and true worship. God lift you to impact the generation of your time. Shalom.

  • @Evjudieben
    @Evjudieben 5 месяцев назад +1

    Naomba nitaliwe nawe 🙏🙏🙏.

  • @mercybetty7676
    @mercybetty7676 Месяц назад +2

    Yesu naomba nitawaliwe nawe🙏🙏

  • @pastorheri2428
    @pastorheri2428 2 года назад +12

    Nasikia nguvu za Mungu zikishuka kutoka mbinguni kupitia wimbo huhu. Barikiwa na Yesu mtumishi 🙏🙏🙏🙏

  • @carolyneamondo1604
    @carolyneamondo1604 Год назад +1

    This is on another level,Nitawale baba yangu🙏

  • @josphine254
    @josphine254 4 года назад +2

    Eh Mungu nitakase😭😭 na unitawale🤲🤲🤲🙏🙏🙏

  • @winniekazungu4953
    @winniekazungu4953 Год назад

    naomba mungu kutawaliwa nawe wimbo mzuri sana 🙏🙏🙏👏👏👏🤲🤲💯

  • @successfulsue
    @successfulsue 3 года назад +1

    Nitawaliwe nawe bwana mungu mwenye nguvu

  • @VailetWenseslaus
    @VailetWenseslaus Год назад +3

    Niuimbapo au kuusikia najihisi kama Niko mbinguni vile alafu sina shida yeyote

  • @joanauma3737
    @joanauma3737 Месяц назад +2

    2024 December 13th Bwana naomba nitawaliwe na wewe 🙏🙏🙏

  • @pastordanielbundi5409
    @pastordanielbundi5409 Год назад +2

    Nitaweliwe nawe is my prayer.
    All the days of my life.

  • @linetnyarangi9520
    @linetnyarangi9520 Год назад

    Amen...naomba kutawaliwa tu na yesu🙏🙏🙏

  • @kengaswedi3989
    @kengaswedi3989 2 года назад +4

    Bwana hii 2023 naomba uniongoze BABA mwema.

  • @marygandi5412
    @marygandi5412 4 года назад +1

    Bila ww cwez Bwana....so touching

  • @virginiamutheu2343
    @virginiamutheu2343 3 года назад +1

    BWANA naomba nitawaliwe nawe ninayo pitia sitaweza bila wewe YESU naomba nitawaliwe nawe. 🙏🙏🙏🙏

  • @hilarrymbati1660
    @hilarrymbati1660 4 года назад +42

    Am here 2021 naomba Baba anitakase...wapi likes za Ali 2021

    • @faythequeen
      @faythequeen 2 года назад +1

      Iam here 2022 still watching thanks to God,may he give you richness and prosperity Ali 👏👏👏👏👏.

  • @AliMukhwana
    @AliMukhwana  3 года назад +17

    We thank God for this far is Ebenezer we have hit 1 million views Glory to almighty God.
    #Nitakase
    #TheAmplifier

  • @mercymaradi1844
    @mercymaradi1844 2 года назад

    Amen siwezi bila wewe bwana...Nitawaliwe nawe...

  • @productofgrace315
    @productofgrace315 7 месяцев назад

    Naomba nitawaliwe nawe yesu😓😭😭😭😭😭😭

  • @EstherMutii-m4o
    @EstherMutii-m4o 8 месяцев назад

    Baba naomba nitawaliwe nawe😢😢😢hii safari nakuhitaji bwana

  • @peterkiarie8222
    @peterkiarie8222 3 года назад +1

    Baba naomba unitakase😭😭😭

  • @luselose9944
    @luselose9944 Год назад

    Haki hii nyimbo yanisongeza mbele za Mungu❤

  • @Modesta-yr6mc
    @Modesta-yr6mc Год назад

    Naomba nitawaliwe Bwana siku zangu zote❤❤

  • @emmyroseissack5331
    @emmyroseissack5331 2 года назад +3

    Bwana naomba 2023 nitawaliwe nawewe unitakasae Mungu mwenye nguvu amen Mungu akubariki sana mtumishi nyimbo zako zinanibariki mno kila nikisikiliza

  • @annetariri694
    @annetariri694 Год назад +3

    Eeh baba yangu naomba unitakase maovu yangu nitawale yesu wangu.

  • @alexanderjohn4770
    @alexanderjohn4770 2 года назад

    Nitakase yesu kristo,tawala maisha yangu Yahweh.

  • @pamelanyakoa9878
    @pamelanyakoa9878 5 лет назад +1

    Alli munyenyekevu wako Mungu atakuinua zaidi nilifurahi kukuona kwa matakanga huko koyonzo siku moja tatu Mungu akubariki saana,

  • @kamikaziannemarie5124
    @kamikaziannemarie5124 2 года назад

    Oh my God 😭Bwana naomba unitakase Bwana naomba nitawaliwe na wewe 🤲🤲👏😭😭😭🇧🇮

  • @mirimelukiyo1016
    @mirimelukiyo1016 Год назад +2

    You are the only gospel artist with no dramas. May God bless you in good measure

  • @RuthOnyango-r3i
    @RuthOnyango-r3i 6 месяцев назад

    Yesu pekee anitawale,nimebarikiwa barikiwa pia

  • @marynakutwa277
    @marynakutwa277 2 года назад

    Mungu wangu nioshe na damu yako takatifu na unipe mwelekeo wa kipekee.

  • @lucymbushili9918
    @lucymbushili9918 2 года назад

    Aki brother Ali you resemble my brother Robin imagine😳how I wish angekuwa saved kama wewe ,but yeye maybe amekuwa na mikosi mingi inamwandama ,lakini tunaamini atabatilika na kukimbilia mungu 🙏🙏🙏 na pia awe ushuhuda kwa wengine amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rmusundi5
    @rmusundi5 2 года назад +4

    Whatever the Lord does shall be forever Ecc 3:14. ...Keep worshipping Jehovah till Jesus comes back.

  • @douglaskipchirchir9763
    @douglaskipchirchir9763 11 месяцев назад +2

    What a powerful song God bless you so much servant of the lord

  • @nellyrobi6
    @nellyrobi6 2 месяца назад +2

    The best decision I've ever made in life is accepting CHRIST.Bwana naomba nitauliwe nawe.❤

  • @jaykasungura
    @jaykasungura Год назад

    God bless you.huu wimbo ulinitoa mbali wakati nilikuwa mgonjwa hali maututi nilikuwa siwezi hata kuomba hii song ilikuwa ndo maombi yng.❤

  • @peterjames5
    @peterjames5 3 года назад

    Hallelujah.....baba naomba nitawliwe na wewe

  • @MumbiMaliku
    @MumbiMaliku 4 месяца назад +1

    Here in September..praying for the spirit of God to lead me and to order my steps.

  • @HrRt-sm3is
    @HrRt-sm3is 8 месяцев назад

    Ubarikiwe ndugu napenda sana nyimbo zako

  • @catherinekaymusic9780
    @catherinekaymusic9780 2 года назад +34

    Every Sunday I always find myself leading this worship.... Naomba nitawaliwe nawe bwana 🙌🙌😭😭😭... More Grace minister of God 🙏🏾

  • @mutunedaniel8479
    @mutunedaniel8479 Год назад

    Bwana naomba nitawaliwe nawe....Nice song

  • @atalizaulali2832
    @atalizaulali2832 9 месяцев назад

    Nasikia nmekuzwa kupitia huu wimbo, Ali may lift you up

  • @futbalfutbal4683
    @futbalfutbal4683 8 месяцев назад +1

    Bwana naomba bwana nitawaliwe nawe

  • @piliibrahim4057
    @piliibrahim4057 2 года назад

    Ameen mtu wa Mungu nimebarikiwa sana . Barikiwa sana mtumishi

  • @carolynekidamba205
    @carolynekidamba205 4 года назад

    Wooi ombi langu Bwana naomba nitakase nitawaliwe nawe

  • @damariswanjiku5818
    @damariswanjiku5818 3 года назад

    Bwana naomba nitawaliwe nawe 🙏🙏🙏😭

  • @collinsomondi8112
    @collinsomondi8112 5 лет назад

    Mungu akubariki kwa kazi njema ya kutia mafuta mioyoni mwa batoto ba Mungu

  • @julithamasanja3948
    @julithamasanja3948 Год назад

    Mungu akubariki sn Mtumishi. Nyimbo Zako zimenibariki sana!

  • @sabakikilinyo6792
    @sabakikilinyo6792 10 месяцев назад

    Baraka zake mungu ziendelee kuzidi katika maisha Yako, umekuwa wa Baraka kwangu 😢🙏🙏🙏

  • @ghyuguyuo6742
    @ghyuguyuo6742 5 лет назад

    Bwana naomba nitawaliwe na we maisha yng yamejaa vikwaso sana

  • @millicentatieno1912
    @millicentatieno1912 2 года назад

    Am always listening to your songs again and again upako iko ndani yako sio kidogo

  • @mirriammutheu-nv4yu
    @mirriammutheu-nv4yu Год назад +15

    This song is on another lever.... It has saved my life... Am going through alot in life ,.. I just came across the song and am assured that God is going to come through for me
    This my 10th time playing it
    God bless you Ali. Only God knows how this has restored my Faith in Him.
    Baba naomba unitakase ,.that's my prayer

  • @johnafula549
    @johnafula549 3 года назад +2

    Ala ! Kumbe Kuna waaabudu mungu.xlent Glory to the most high God🙏🙏🙏

  • @alex_vincent
    @alex_vincent Год назад +1

    BWANA NAOMBA UNITAKASE😭

  • @josephmuigai6195
    @josephmuigai6195 6 лет назад

    Bwana nitawale siwezi bila wewe,,,,Bariki mtumishi wako Ali Mukhwana

    • @AliMukhwana
      @AliMukhwana  5 лет назад

      Kindly subscribe to my you tube channel

  • @loicemwatete6193
    @loicemwatete6193 3 года назад

    kuna nguvu kwa huu wimbo mungu atawale kwa huduma yako

  • @susankkamau623
    @susankkamau623 2 года назад

    The way you hold yourself into the song, your face look connected to your song wait into salvation again

  • @annab9243
    @annab9243 4 года назад +1

    Amina...Ombi langu kila wakati.

  • @ilvgod1188
    @ilvgod1188 3 года назад

    Bwana naomba unitakase ,nitawaliwe na wewe Mungu wangu .

  • @sangalojimmy4466
    @sangalojimmy4466 4 года назад

    Nasujja kwa furah ju ya hu wimbo. Unanilaza Kwa imani ilio kuu saana

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 2 года назад

    Bwana hakika naomba ,nitawaliwe nawe na unitakase

  • @janenabwire3221
    @janenabwire3221 2 года назад

    Katika wokovu wangu nitawaliwe nawe🙏😭

  • @chea636
    @chea636 8 месяцев назад

    this song uplifts me whenever am down or i just want to feel close to God, thank you Ali for such an amaizing song🙏

  • @elizambilinyi2880
    @elizambilinyi2880 5 лет назад +3

    Bwana ninyooshee mkono wako ktk mapito yangu, nipitishe ktk haya.Amen.

  • @Josee-mtumishi
    @Josee-mtumishi 4 года назад +32

    If this guy was not in the spirit while composing this song, then he was out of this world. Powerful song- deep worship- i could repeat it a 1000 times

    • @millicentochieng5740
      @millicentochieng5740 Год назад

      Ako na jina la kislamu !they normally serious wakiokoka.

    • @mamy1605
      @mamy1605 Год назад

      Amen amen 🙏🙏

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 Год назад

      For it's all times till Jesus comes bcz it's more than that 1000 TMZ 👏👏👏👏

  • @Gloria-eq6rg
    @Gloria-eq6rg Год назад

    God bless you bro unanikumbusha far sana penye mungu ametoal Hadi hapa nilipo

  • @mildredwekesa3357
    @mildredwekesa3357 3 года назад

    Ameen,nakuhitaji bwana unitakaze na uniongoze bwana.asante bro

  • @gloriahmaghema3368
    @gloriahmaghema3368 6 лет назад

    Ameni ubarkiwe sana MTU wa Mungu,, kila ninapouckia wimbo juu hunkumbusha mbali

    • @AliMukhwana
      @AliMukhwana  6 лет назад

      Amen Glory to God Tunastahili kumuabudu Muumba wetu

  • @kyusakyusa3433
    @kyusakyusa3433 4 года назад

    Siwezi bila ww bwana nitakase barikiwa Sana Ali

  • @marynjenga9692
    @marynjenga9692 Год назад +1

    Hi Ali thanks for signing this song 🎉

  • @liliannjeri7032
    @liliannjeri7032 3 года назад

    Bwana naomba unitakase kila siku🙏🙏

  • @judynight8554
    @judynight8554 3 года назад

    Wonderful song I feel to cry tuombe kama muda bado upooo

  • @BasilOselu-pv9pn
    @BasilOselu-pv9pn Год назад

    Hii safari ni ndefu sio kwa nguvu na uweza bali ni kwa roho wa mungu. Utusaidie yesu kristo

  • @ghyuguyuo6742
    @ghyuguyuo6742 4 года назад

    Bwana naomba nitawaliwe nawa maishani mwangu

  • @Ryna2020
    @Ryna2020 Год назад

    Was looking for this song forever.this is real worship

  • @neemakingori4044
    @neemakingori4044 2 года назад

    Thanks God for this song much blessed,may Lord keep you up in your service,I am speechless

  • @catherineodongo7329
    @catherineodongo7329 Год назад

    Bwana naomba nitawaliwe na wewe kwa huu ulimwengu wa mambo mengi ya giza siwezi bila wewe mungu.Amina. Barikiwa sana mtumishi wa mungu.

  • @metrinenyakoe1764
    @metrinenyakoe1764 2 месяца назад +1

    BWANA NAOMBA NIMALIZE 2024 NIINGIE 2025 UNIVUSHE UNIONGOZE NA FAMILIA YANGU TUVUKE SALAMA TUTAWALIWE NAWEWE YESU UTUTAKASE NA DAMU YAKO YESU. 🙏🙏

  • @vennahobadiah9111
    @vennahobadiah9111 4 года назад

    Nitakase bwana na unitawale...ombi langu kwako mungu wangu

  • @jacksonwinda7876
    @jacksonwinda7876 2 года назад +1

    1.2millions views na jamani hamja subscribe,let's support this wonderful man of God for the amazing songs he has done🙏🙏🙏

  • @miriammutisya8386
    @miriammutisya8386 4 года назад +1

    Ni ombi langu pia.Bwana nitawale

  • @gorgekenndy8950
    @gorgekenndy8950 4 года назад

    Amen. Ombi langu unitakase Bwana

  • @MariaMwangomo
    @MariaMwangomo 9 месяцев назад +2

    Nitawale yesu 2024

  • @jovialrutto9727
    @jovialrutto9727 7 месяцев назад +1

    This song restored factory settings and make you only have devine connection with God...I don't know how to describe how I feel.I can sing this song the whole day over and over again and can't get enough

  • @dampheensangatati1695
    @dampheensangatati1695 2 года назад +2

    🥲🙏🙏tutawale mungu wetu...🧎‍♀️🧎‍♀️🙏🙏be blessed man of God...🙏🤍

  • @emilymajala1703
    @emilymajala1703 2 года назад

    Mungu wangu nikumbuke kupitia hu Wimbo yamekua mazito sana bila wewe bwana siwezi

  • @merciekahavitsa6481
    @merciekahavitsa6481 Год назад

    For real i always get emotional when listening to your songs and I believe through your songs something great will come to happen to my life

  • @maryaoko8087
    @maryaoko8087 4 года назад

    Bwana naomba unitakase na Utawala ujana wangu nisije nikateleza kamwe

  • @stephenmaluki7779
    @stephenmaluki7779 7 месяцев назад

    Tawala maisha yangu, ya watoto wangu, mke wangu na jamaa zangu ewe MUNGU wa mbinguni.... Amen Amen....❤

  • @cecileadundo7424
    @cecileadundo7424 2 года назад

    Am blessed 🙏May God continue to use you as a vessel🙏🙏ubarikiwe sana

  • @suzanchosenblessing2576
    @suzanchosenblessing2576 11 месяцев назад

    I have been looking for this Song thank God I have got it today

  • @janejanny672
    @janejanny672 4 года назад

    Hii safari ni ndefu sana bwana naomba nitawaliwe

  • @puritykanditaqueen6866
    @puritykanditaqueen6866 2 года назад

    The power of this worship ,,,,, God I also want want you to lead me in every direction and wilii G to be a gospel singer my God fulfill it for me

  • @monicahmuange1555
    @monicahmuange1555 Год назад +1

    Im blessed this morning

  • @JM-ub6mp
    @JM-ub6mp 2 года назад

    Haleluya hii wimbo inanibariki sana

  • @irineabade7872
    @irineabade7872 Год назад

    Amen InukaNaSyombua Osiany still brought me here today, Ali you are a blessing may Numbers 6:24-26 be your portion in Jesus Name 🙏