Serikali yaombwa kuanzisha vyuo vya walimu wa mchepuo wa Kiingereza
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Serikali imeshauriwa kuanzisha vyuo maalum vitakavyofundisha walimu wa mchepuo wa kiingereza (English Medium) ili kuwa na walimu wengi wazawa wenye uwezo wa kufundisha katika shule hizo.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz