DR CASSYPOOL PRAISES DIAMOND PLATINUMZ AFTER LONG PERIOD OF CRITICISM - AMEGEUKA WAKENYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 57

  • @MbokaRechadi
    @MbokaRechadi День назад +2

    Wabongo Wana kupenda sana

  • @CleopaNzogera
    @CleopaNzogera 3 дня назад +7

    😂😂😂😂😂 mkenya anae ipenda🇹🇿 oyae🤝🤝🤝

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 День назад +1

    Viongozi wa dini na diamond na 😮😮😮😮😮😮njaaa hiyoooo

  • @lyimoedmund
    @lyimoedmund 2 дня назад +5

    Huyu jamaa nimtu mzuri anajuwa kuunganisha watu

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 дня назад +8

    Huyu jamaa anaongea ukweli siku hizi mm namfuatilia

  • @kangaelias7782
    @kangaelias7782 День назад +1

    Da!uko vizuri Sana ndugu yangu

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 3 дня назад +3

    Manu alisema, shehe alikuwa anatumwa soda😂😂😂😂😂

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 2 дня назад

    Mwijakuuu kaziii Unayoooo umembatizaaa mwenyeweee uyuuuu uchawaaa anakumbuaaaa

  • @frankayswaggz170
    @frankayswaggz170 2 дня назад +2

    Kenya watu wana hela bna.Imagine Diamond amelipwa pesa kibao kuja tu kufanya show harusini.

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni 3 дня назад +4

    Jamaa anaongea ukweli

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 День назад

    Innallillahi wainna ilayhi Rajiuun 😢😢😢na miskiti mashamabani haina majamvi ma imam na walimu madrsa hawana hata kula makafiri wakubwaaaaa

  • @Khalid-mf3iu
    @Khalid-mf3iu 3 дня назад +2

    At 5:00 hapo casspul amekosea sana tajiri wa matajiri ni mungu wala sio binadamu...hata kama ni kusifu but si namna hiyo😂

  • @mrokay1time958
    @mrokay1time958 3 дня назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂 niatariii hataki kutajwa sijui nimemtajia Nini huyuu🎉🎉🎉

  • @FestoMadumba
    @FestoMadumba 2 дня назад +1

    Hahahaha jaman huuuu uchawa unazd kupanda cheo kilicho Baki vyuo vitaanzishwa

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 3 дня назад +2

    Hii jamaa atali

  • @bonfacewachira3297
    @bonfacewachira3297 3 дня назад +2

    Aliskumwa casypool 😂😂😂

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 дня назад

    Casspool 🎉🎉🎉🇹🇿

  • @ZeyanaKhamismashaka
    @ZeyanaKhamismashaka День назад

    Huyu jmaaa ni mtu na nusu 😂😂😂😂😂

  • @JIKUZENYAYOWASTELTD
    @JIKUZENYAYOWASTELTD День назад

    Hichi ni kifala sana si ulisema mondi ni takataka 😂😂😂😂

  • @LorkizzyCufulaneNassoro
    @LorkizzyCufulaneNassoro 3 дня назад

    Anatumia Nguvu nyingi kwa kuhongeya huyu Nsengue poxa

  • @rhodandunge
    @rhodandunge 3 дня назад

    Huyu msee ako na mdomo mingi sana

  • @HabibaMohamed-h3n
    @HabibaMohamed-h3n 3 дня назад

    Mbona hawatufungulie biashara hao matajiri

  • @HassanHassan-dk5db
    @HassanHassan-dk5db 3 дня назад

    Kasspool ndo habar ya mjini.

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 День назад

    Huyu analipwa kwongea ,unasifu mtu hiyo kiasi ni kama kumramba .

  • @amalsilim6894
    @amalsilim6894 3 дня назад +7

    Lakin ukweli usemwe, kulipa waimbaji k165m kwa mara kidogo engetumiwa vizuri maskini wengi wenge faidika. Iyo ilikua israf hali ya juu akiwa Muislamu. Walimu wa madrasa wengi walala njaa, saizi wa firia wako vizuri. Wagonjwa Wengi wako siptali hawana pesa za bill.

    • @NgasaMaduhu
      @NgasaMaduhu 3 дня назад

      You mean angempaa show pozee na si diamond 😅😅
      Anyway maskini hatumdai chochote wala pesa yake hatuna nafasi ya kumpangia matumizi na kabla ya kusema haya kaa ukijua maskini hatujawahi kumpa chochote so tusipende kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu tujipiganie wenyewe mbona diamond kapambana na alikua maskini tena kushinda wengi wetu.

  • @PaulineMbeke-n6j
    @PaulineMbeke-n6j 3 дня назад

    Huyu jamaa ako na njaaa sana.anasukumana apate pesa kwa watu,kujipedekeza

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 3 дня назад

    😁😁😁kiroho safi karbu tz

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q 2 дня назад

      Hatuwezi kuja maana hio nchi inatawaliwa na mtu twaeza mtia mimba akaenda nyumban kuzaa😊

    • @johnmeshack4431
      @johnmeshack4431 2 дня назад

      @Mzalendo-n8q tunatawaliwa na mungu ciyo binadamu sisi tuna hofu ya juu

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q 2 дня назад

      @@johnmeshack4431 ety Mungu...hivi nyinyi Tz mnamjua Mungu kwel!!?..kama mngekua mnamjua Mungu, mwadhan mngetawaliwa na mwanamke!!?..ama vitabu vya dini (Mungu) wenu vinaruhusu huo ujinga!!?..m

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 2 дня назад

      ​@@Mzalendo-n8q Kama watanzania wanavyowatia mimba wanawake wenu wa Kenya bila kuwaoa 😂😂😂

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q 2 дня назад

      @yusternyirenda7231 hebu niambie..kina nani hao wanafanya hivyo!!?..juu huku kwenye nko..nko na watanzania wengi sana wanawake wanadanga tu..na wengine wanafanya kazi ya mbocha mshahara 5k per month..Sasa Kati ya wakenya na tz .Nan wajinga..

  • @zaxy_5ive
    @zaxy_5ive 3 дня назад

    Atakuja akutikue

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 3 дня назад

    Jamaa kaona fursa😂😂😂au nifungue kampuni ya uchawa nisajili watu kama hawa

  • @mohamedhassan1179
    @mohamedhassan1179 2 дня назад

    Subhana wallah 😢😢😢😢

  • @ShabaniRashidi-d2v
    @ShabaniRashidi-d2v 3 дня назад

    Kama alitoa mzigo kwa p.diddy Mombasa si ndo watamuharibu kabisa

    • @lyimoedmund
      @lyimoedmund 2 дня назад +1

      Hiyo nimisemo ndugu ukweli upowapi

  • @jamesemillion6530
    @jamesemillion6530 3 дня назад

    Endelea kuwalamba

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 3 дня назад

    Umbwa ya wapi hii

  • @JobOganga
    @JobOganga 3 дня назад

    Hawa nao they don't have people wa ku interview we need to unfollow hii Media coz every day ni Caspool

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 День назад

    Aitwe ata nani atakwenda na AMALI yake na jahannam yake

  • @KILINDONIMEDIA
    @KILINDONIMEDIA 3 дня назад

    Kula chuma hiii

  • @bonfacewachira3297
    @bonfacewachira3297 3 дня назад

    Nani anaitwa mbumbu mbumbu😂😂😂

  • @HamisiKiyeye-j9t
    @HamisiKiyeye-j9t 3 дня назад

    Huyu Ame loose Focus

  • @jameskiyondi5681
    @jameskiyondi5681 3 дня назад

    Mondi😂😂😂

  • @jonniethomas7788
    @jonniethomas7788 3 дня назад

    jishikilie cassypool ww n mtoto wa kiume unataka uchawa na huuwezi? diamond ataku pididdy

  • @PaulineMbeke-n6j
    @PaulineMbeke-n6j 3 дня назад

    Huyu kidomo simpedi kabisa hafai kuongea kwa media dio maana alisukumwa akikaa sura ya njaaa sura ya kuomba omba..mkenya mfala

    • @Mammy-eq7ef
      @Mammy-eq7ef День назад

      Pia mm ananikera we acha tu baba zima halitakaa kuongoza family yake bc ni kelele tu

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 День назад

    Astaghfiruالله