DR MO ATOBOA SIRI usajili Wa FEI TOTO NA KIPRE JUNIO | WAUNGANA NA MPANZU SIMBA MPYA KUTIKISA AFRICA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 15

  • @SaidMana-dp4et
    @SaidMana-dp4et День назад

    Maneno unayoongea dr moh ni ya kweli?habari za feisal tumezichoka sasa kwa kua kila siku mnaongea na feisal hatumuoni ni bora muachane nae msitupe presha za uongo kila siku tumechoka ❤❤❤❤❤

  • @lwelenjalferdinand671
    @lwelenjalferdinand671 2 дня назад

    Jan Charles Ahua ni mzuri sana. Kazi ya mfungaji ni kufunga na kusaidia kufunga. Wasiojua mpira wanamlaumu Ahua.

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 2 дня назад

    Mpanzu big up kijana safii sana

  • @AMANIAMANI-c5e
    @AMANIAMANI-c5e 2 дня назад

    Org ni mpanzu kibisawala fundi toka congo

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA День назад

    UONGOZI WA SIMBA UANDAE TUZO KWA AJILI YA WACHEZAJI WATATU MOHAMED HUSSEN,SHOMARI KAPOMBE NA MZAMIRU YASSIN Kwa kazi ya kudumu kwa UBORA NA AFYA NJEMA ,

  • @charleslinhege690
    @charleslinhege690 2 дня назад +1

    Zile goli mbli za kagera zilitoka kwa mabeki kuwa down sana hasa upande wa hussein yeye akiwa ameshachoka.

  • @bensonhalinga4121
    @bensonhalinga4121 21 час назад

    Utamkubali pamoja na uongo wake tunatengeneza tim

  • @HoseaKigembe
    @HoseaKigembe День назад

    Ni uongoooooooo!

  • @JacobTapwaaLaizer
    @JacobTapwaaLaizer 3 дня назад

    Simba wanewasajili wangapi

  • @LailaCharles-t7k
    @LailaCharles-t7k 2 дня назад

    Simba wamesajil wagap

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 2 дня назад

    Uyo nae huwa ni muongo muongo sana yaani hapo hana analolijua 😂

  • @inesskasale-hr1em
    @inesskasale-hr1em 2 дня назад

    Huyo anatafuta tu kiki

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 2 дня назад

    Muwe na siri asipo sajiriwasi unakuea muongo

  • @LailaCharles-t7k
    @LailaCharles-t7k 2 дня назад

    Sumba wamesajil wagap