TUNDU LISSU AIBUKA MAHAKAMANI KUMTETEA DK SLAA - MAHAKAMA YATOA UAMUZI wa DHAMANA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • TUNDU LISSU AIBUKA MAHAKAMANI KUMTETEA DK SLAA - MAHAKAMA YATOA UAMUZI wa DHAMANA...
    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 14

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 дней назад

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @felixmsengi1084
    @felixmsengi1084 7 дней назад

    Jambo jema jamani kwani ameua mpaka iwe Ivo, hongera kiongozi kutumia taaluma yako na sio uongozi, ameenda kama mwanasheria sio kama mwenyekit

  • @herbertnzowa8657
    @herbertnzowa8657 7 дней назад

    Em imagine una kesi, afu wanasheria wako ni "Lissu" "Mwabukusi" "Madeleka" 😅😅😅😅

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 7 дней назад

    Kama amekosa lazima awajibishwe haijalishi hata kama yuko na miaka 1000

  • @jacksonmsola154
    @jacksonmsola154 7 дней назад

    Mbn wanyonge wengi wapo mahakamani na hatuoni wakitetewa

    • @evansdecaprio8196
      @evansdecaprio8196 7 дней назад

      Wakina kabudi,tulia si wapo issue ya kutete raia sio ya madeleka tu na lissu waulizeni hao wanao jiita watetezi wa wanyonge

    • @GililaJonas
      @GililaJonas 7 дней назад

      We umesaidia wanyonge wangapi ama majungu tu?​@@evansdecaprio8196

  • @jacksonmsola154
    @jacksonmsola154 7 дней назад

    Kwa maelezo hayo unatuaminisha kuwa wazee wanahaki ya kufanya makosa uzee ukiwa ni kigezo

  • @ruttades745
    @ruttades745 7 дней назад

    uswaiba huu wa Lisu na Dk Slaa usije ilisha cdm yenu matapishi...huyu mzee alipewa cheo na kuwasaliti wakati wa uchaguzi na kwenda kulabata sasa bata wamekata anajidai kuwa karibu...huo ndio uchafuambao hampshwi kukaribisha cdm....

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 7 дней назад

    SASA HIZO KAZI ZA UWAKILI SI AWAACHIE MAWAKILI WENGINE ?

  • @Werema3760
    @Werema3760 7 дней назад +1

    ■MWISHO WA HAYA NI MWAKA HUU.
    👉Confirmed from the heaven. Mene mmene tekeli na peresi🙏

    • @barryrioba3934
      @barryrioba3934 7 дней назад +1

      "mene, mene, tekeli na peresi"
      "Mungu Ameuhesabu Ufalme Wako Na Kuukomesha.
      Umepimwa Ktk Mizani Na Umeonekana Kuwa Umepunguka"
      Daniel 5:25 👍