Seif no mwalimu kweli . nataka kusema hivi hata simba wa porini akiwa anamuwinda nyati akazidiwa anarudi nyuma haimanishi amekata tamaa anajipanga upya halafu kinachofata nyati lazima aliwe ndio kinachotokea kwa msimbazi sasa. Uchawi hausaidii Kama ungesaidia Africa tungekua mabingwa wa kombe la dunia. Simba nguvu moja from Germany 🇩🇪
Fact broo
Uko vizuri kaka umeongea ukweli mtupu yanga bila marefa kileleni itapasikia kwa jina tu
Simba bingwa 🏆🦁💪💪🙏🙏
Dah jamaa kaongea ukweli sana...upana wa kikosi cha Yanga ulikaa kimajina tu..ila kiuhalisia hakuna
Seif no mwalimu kweli . nataka kusema hivi hata simba wa porini akiwa anamuwinda nyati akazidiwa anarudi nyuma haimanishi amekata tamaa anajipanga upya halafu kinachofata nyati lazima aliwe ndio kinachotokea kwa msimbazi sasa. Uchawi hausaidii Kama ungesaidia Africa tungekua mabingwa wa kombe la dunia. Simba nguvu moja from Germany 🇩🇪
Sef noma sana 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏
Pamoja sana bro nakujubal
FUNDI SANA KAKA ANGU SEIF
Ujawahi kosea brother
Pamoja mdogo wangu
Wachambuzi njaa seif wasomeshe mpira
uko sahihi saluti kwako
Waandishi wanaharibu yanga kuisifia kwa ujinga wa matokeo ya kununua nakushinda kwa mipango mipango tu... Waache waendelee kuwasifia tu
Bro unaongeaga kweli nakufuatiliaga napenda kukusiliza
jana kidogo tu na mimi nipigweee
Kweli yanga Bila uchawi hakuna kitu pale
Daaaah jamaa usimalze maneno
Walisema waje malaika wacheze nao akaja mtu mwenye jina la malaika jibril kafungua mlango tabora wakapita
Unayu sana kak adi unakera 😅😅😅😅😅😅😅
Pamoja ndugu
Mwamb huyu apa
Fact broo