IMANI PETRO...ATHARI YA KUPANDA MAGUGU KATIKATI YA NGANO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024

Комментарии • 211

  • @selemanimsofe7321
    @selemanimsofe7321 4 года назад +13

    Hii video naiangalia kila wakati imani petro allah akufanyie wepesi huko uliko niliyapenda mahubiri yako

  • @nassorshaaban7295
    @nassorshaaban7295 3 года назад +2

    Imani Petro Allah akulipe their na Amuhifadhi na Adhabu za Kaburini.Nilikupenda sana na bado huwa Naangalia Mahubiri yako Machozi yananitoka.Allah akulipe Pepo.

  • @aidarusabubakar5776
    @aidarusabubakar5776 7 лет назад +18

    Innalillah waina Ileyh Rajiun..Allah akueke pema kwenye wema shk Eman..Allah atujaalie nasi Ilmu , kutangaza Kalima LAILLAH☝

  • @dullahmamu2165
    @dullahmamu2165 7 лет назад +16

    Mungu akuzidishie kher shekh na kule uliko mola akuweke penye na wema na akufufue hli yakuwa umuislam ameen in sha Allah

  • @mariamnyamawi3188
    @mariamnyamawi3188 6 лет назад +7

    Mashallah shekher wetu mwenyezi mungu amamahe makosa yake amueke mahali pema peponi yarabialamin

  • @حميدهخلفان
    @حميدهخلفان 7 лет назад +29

    mungu akurehemu akuepushe na adhabu za kaburini akupe kauli thabiti na akuweke peponi amiin

  • @mrsramadhani2400
    @mrsramadhani2400 4 года назад +4

    Nimemkumbuka.sana.leo
    Tareh.15.mwez.wa4
    Mwaka.2020
    Shekh.iman.petro
    Mungu.ailaze.rohoyake
    Katika.moja.yabuctani.peponi
    Amin

  • @makaranihassani3238
    @makaranihassani3238 3 года назад +2

    Nimejifunza kwako Imani Petro Allah akulaze mahali pema peponi na awe jerani yako bwana mtume Muhammad saw ishallah mwenyezimungu utuongoze na cc tuliopo hai ishallah

  • @salehhemed9388
    @salehhemed9388 Год назад

    Akili kubwa sana
    Allah amuhifadh ustadh Imani Petro

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 6 лет назад +7

    Mashallah Mashallah,,sheikh wetu,Allah akulipe malipo mema huko uliko,,na makazi mema,,in sha Allah,,,,,

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 Год назад

    Sheikhe Imani petro Allah kurehemu akulaze pahala pema peponi inshaAllah amiin

  • @كريملو
    @كريملو 2 года назад

    Allah yar hamuka yaah shkh IMAN PETRO nlitaman walau kupata chakula nawe ila ckuaga na uwezo nlikuaga mdog sana ila kiukwel uliwanyoosha sana in shaa allah allah a2kutanishe pepon tukiwa na Mwamba we2 muhammad Sw

  • @BigMan-oe4iw
    @BigMan-oe4iw 4 года назад +4

    Allahumma ghfirlahu Warhamhu Waskanhu fii Janna

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 4 года назад +3

    Sawa Iman petro
    Uislam ukiupiga vita ndio unakua kwa kasi
    Takbeer
    Allah amlipe pepo

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 Год назад

    Mungu amuweke pepon iman petro w ni mwalimu bora sana

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 4 года назад +3

    Jazakallah Mungu akujalie umenipa jaziba na nimefurahia somo lako sana,

  • @zamratchande4429
    @zamratchande4429 Год назад

    Inna lillah wainna ilayh rajuun, Allah akuhifadhi na kukupa pepo ya darja ya juu Sheikh Iman Petro hakika umejua kuitangaza dini ya haq Allah pekee ndio mlipaji wa kila jambo nasi twamuomba akulipe yaliyo ya kheir In shaa Allah

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 8 лет назад +22

    huyu ni mwalimu haswaaa anaeleweka vzr sana

  • @mwandumazaoidrossa1702
    @mwandumazaoidrossa1702 7 лет назад +57

    huyu ustaz Imani petro na Ustazi Shafii. wamenifanya nisilimu niwe muislam. maana wanayaongea ni kweli kabisa Mungu ni mmoja na hafanani na kiumbe chochote

  • @engomaryshibe8445
    @engomaryshibe8445 7 лет назад +18

    Mungu akulaze pema peponi

  • @yahyasinani1483
    @yahyasinani1483 4 года назад +4

    Allah akurehem
    Iman petrol Namkubali sana tu

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 5 лет назад +2

    Mungu akulaze maala pema peponi Imani petro,Mutume ametabiriwa jina najinsi atafika apambane maana kazi uneiaca duniyani inaendana na aya amepirwa mawe kama jinsi vitabo vya zamani vinasema ikashuka haya wanatakakupigwa wene wanamupiga Mutume wakajibiwa wawaace maana patatoka migongonimwao watakuja kushuhudiya Maneno ya Allah ya njia ya kweli la nyinyi mutatuma haturitadi tumeponeya kufa makafiri

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi8203 2 года назад +1

    اللهم اغفر له ورحمه واسكنه فى الجنة يارب العالمين انك سميع الدعاء

  • @sienajacobs4012
    @sienajacobs4012 4 года назад +2

    Allah akurehemu sheikh Iman Petro

  • @FitFazal
    @FitFazal 3 года назад

    Allah akupee Jannatul Firdhows Sheikh Imani Petro. Ameen.

  • @saifalbarwani4993
    @saifalbarwani4993 6 лет назад +14

    mungu akurehemu imani petrol

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 3 года назад +2

    Daah ! Allah akuepuxhe na adhabu ya Kaburi

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 8 месяцев назад

    May Almighty Allah SWT grant him high jannatul firdous sheikh imani petro

  • @solomonone7653
    @solomonone7653 4 года назад +2

    M. Mungu atakulipa ujira mwema. Kwa kazi nzito ulioifanya. Na sisi atuongoze njia hiyo. Amin

  • @kibibimwanamvuamohammadmoh9823
    @kibibimwanamvuamohammadmoh9823 8 лет назад +11

    Allahu akbar
    Ma shaa Allah hapo aliyekuwa hakuelewa basi cmuelewa ndo hayo magugu yaliopandwa kati kati ya ngano yasubiri cku ya mavuno yachomolewe moto.

    • @hdkabange4979
      @hdkabange4979 4 года назад

      Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad mashallah

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 5 лет назад +5

    Wema Hawana Maisha Hichi Kifaa Kumbe Kimeshaondoka!!!!!! INNALILLAH WAINNAILLAIHIR RAJIUUN. Allah Akufanyie Wepesi Huko Aliko Inshaallah

  • @kunuzaljannah506
    @kunuzaljannah506 7 месяцев назад

    سبحان الله yani sheikh wetu Alikua anaongea mambo na yanafanyika sahii SubhanaAllah

  • @samxx411
    @samxx411 Год назад

    Wallahi hili darasa kubwa hii 2023 bado naangalia tena elimu hii ya iman petro..Amani ya Mungu iwe kwako huko ulipo

  • @kunuzaljannah506
    @kunuzaljannah506 4 года назад +8

    الله يرحمك ويغفر لك ويجعلك الفردوس الأعلى من الجنة

  • @adamsalim587
    @adamsalim587 2 года назад

    Allah Akbar, Mungu awajaalie kila la kheir wanaotangaza dini ya ALLAH(S.W.T) hakika dini ya hakki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Mungu awajaalie na awazidishie eilm zaidi muweze kuitangaza dini yake .Wabillah Tawfiq...

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 года назад

    Shukraan Sana ustadh wetu Allah akuraham akupe kauli thabiti akujaalie jannat firdaus ya daraja ya juu kabisa Aamiin yaraab Aamiin

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 5 лет назад +1

    Mwenyezi Mungu Akurehemu Imani PETRO Huko Uliko. Na Juhudi Zako Ulizozifanya Juu Ya Kuupigania Uislamu Mwenyezi Mungu Akuwekee Katika Mizani Ya Mema Yako In Sha Allah.

  • @fadhilimohammedi9004
    @fadhilimohammedi9004 6 лет назад +4

    Mungu amrehemu Imani petro kafanua kwa ufasaa hasa

  • @shindanokhamis2793
    @shindanokhamis2793 3 года назад +3

    Mungu akupe makaz mema

  • @mwanahamisiallt8215
    @mwanahamisiallt8215 3 года назад +1

    Allahumma ghufir lahu warhamhu waafiihi waaf anhu.

  • @mussamohamedmohamed7048
    @mussamohamedmohamed7048 6 лет назад +3

    Allahumma ghufirlahu warhamhu waskaanahufil janna

  • @hamisishafii1645
    @hamisishafii1645 6 лет назад +6

    Maa shaa Allah

  • @zakariaidowa1115
    @zakariaidowa1115 2 года назад

    Allah amrehemu Shekh wetu , Allahumah Aaammiiin

    • @zakariaidowa1115
      @zakariaidowa1115 2 года назад

      Allah ampee pepo ya juu ya firdaus Allahumma Aamiiin

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 4 года назад +2

    Allah Amruzuku pepo
    Amin

  • @mayasama147
    @mayasama147 7 лет назад +14

    mwenyez mungu tufishe tukiwa waislam na utufufue ktk hali yakuwa waislam. .......amiiiin rabil amiin ...

  • @bekaali8930
    @bekaali8930 4 года назад +5

    Maneno yako shekhe tumeyaona 2019 New Zealand wameuliwa waislam kidogo wamesilimu wengi. China,Marekani,Ujeruman nk idadi ya wanaosilimu inaongezeka kila siku kwa uwezo wa ALLAH.Tunamuomba ALLAH atujaalie mwisho mwema na atulipe pepo waislamu wote dunian waliohai na waliotangulia mbele ya haki Ameeen.

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 7 лет назад +13

    wakristo cjui wana nini hata huyu pia hawamuelewi! lakn Mungu ashasema kuna watu mioyo yao kama mawe na katka andko jengne kuna watu wanamacho lakn hawaoni wanamasikio lakn hawasikii na andko jengne kuni zake ni watu na mawe ndo hao wakristo wasioelewa hata iweje

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 3 года назад

    MashaAllah lmani Petro

  • @aaaallahakuzidishieimanuzi422
    @aaaallahakuzidishieimanuzi422 6 лет назад +5

    Iman petro ni kiboko ya makafili

  • @ramzanqarim4977
    @ramzanqarim4977 4 года назад

    Innalillah wa innailaihi rajiun....
    Mwenyezi mungu akurehem mwalim iman petro.

  • @rashidiathumani2300
    @rashidiathumani2300 3 года назад

    Mwenyezi mungu akuripe pepo

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 7 лет назад +22

    al- ghaffar msameh mja wako huy sheikh wetu alikuwa akitangaz din yako allah mpe kaul thabit uko alipo muepushie adhab ya kabri na umuwek katka pepo yako iliyotukuf amiiiin

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 5 лет назад +9

    Huyu Ni Mwalimu Hasa Na Kama Humuelewi Huyu MTU Basi We Ndio Hutoelewa Tena.

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 4 года назад

    Mungu akupe makazi mema peponi kutuachia usia dini hakika allha atakulipa mema yako iman petro punxika pema peponi baba

  • @Omrankasiga
    @Omrankasiga 8 лет назад +8

    mashallha

  • @allyissa5801
    @allyissa5801 4 года назад +1

    Allah akurehemu in shaa allah

  • @maryammusa4319
    @maryammusa4319 8 лет назад +5

    ma,shaAllah

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 года назад

    Innalilahi waina illaih rajiun, mungu ailaze roho yako mahali peponi shekh wangu

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 7 лет назад +6

    Masha Allah

    • @suleimanmdoe1076
      @suleimanmdoe1076 3 года назад

      Alhahuma ghiflahu walhamahu waskanahu firjanna

  • @ssss-fn5ph
    @ssss-fn5ph 8 лет назад +8

    lmani mashallah Allah azidi kukuongoza

  • @bakarimavura2293
    @bakarimavura2293 3 года назад

    Alhamdulillah

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 5 лет назад +7

    Imani PETRO Umeniacha HOI, Wanafunzi Wa Yesu Waliomuona, Na Kufanya Nae Kazi, Wanamjuwa Yesu Ni Mwalimu. Lakini Wanafunzi Walioko Tanzania,Wanamwita Yesu Ni Mungu!!!!!! Hahahahahahaha.

  • @ssss-fn5ph
    @ssss-fn5ph 8 лет назад +5

    mashallah imani

  • @ummua5006
    @ummua5006 4 года назад +2

    انا لله و إنا إليه راجعون.
    Allah amrehemu na amsamehe dhambi zake na amjaalie jannatul Firdaus makazi yake. Amiyn

  • @athoumatoure542
    @athoumatoure542 8 лет назад +16

    naskia amesha fariki iman petro jamani Ya'RABI waongoze wetu wanafanyakazi kubwa saana wepe mwisho mwema bipezi wetu minawapenda kweli.

    • @saidpolenikwamsbakinidi6232
      @saidpolenikwamsbakinidi6232 7 лет назад +1

      athouma toure hajafa yupo hai

    • @AliMohammed-mj4ec
      @AliMohammed-mj4ec 6 лет назад

      huyu hakufa kauliwa maksudi ksb alikua anafunua watu macho vibaya sana hivyo makafirr wakaona akibaki ukafirr finish Tanzania

    • @giftmusa6543
      @giftmusa6543 4 года назад

      @@AliMohammed-mj4ec alikufa ln na ilikuaje

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 3 года назад +1

    Kweli kwa somo hili ukiambiwa bado wakristo wana pinga ni mtihani sana

  • @allyissa5801
    @allyissa5801 5 лет назад +3

    allah akurehem shekh huko uliko kwani umefikisha dhimaa imekutoka

  • @ahmedmaulid1424
    @ahmedmaulid1424 8 лет назад +8

    Allah Kareem wote walio simamia muhadhara huo

  • @swaleheswaleheamri5911
    @swaleheswaleheamri5911 6 месяцев назад

    Allah aifanye kaburi yako iwe kiwanja miongoni mwa viwanja vya peponi.

  • @ramadhankisila452
    @ramadhankisila452 6 лет назад +6

    Mungu akujaalie uine janna yake

  • @jumaabdallah2755
    @jumaabdallah2755 3 года назад +4

    Ukiristo ni kampuni ya wazungu

  • @emmanuelibrahim3000
    @emmanuelibrahim3000 4 года назад +2

    MashaAllah

  • @aaaallahakuzidishieimanuzi422
    @aaaallahakuzidishieimanuzi422 6 лет назад +6

    imani petro ni kiboko wa makafili

  • @habibulukanya2400
    @habibulukanya2400 6 лет назад +3

    Allah atulizie pepo.

  • @elizabethfares4650
    @elizabethfares4650 6 лет назад +3

    Allah subuana wA tahala akubaliki Sana AMEEN

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  6 лет назад

      ASHATANGULIA MBELE ZA HAKI

    • @elizabethfares4650
      @elizabethfares4650 6 лет назад

      AKASHA DAAWAH , kumbe inalilai wainalilai inalijuna bwana ametwa na bwana ametwa jina lake liimidiwe 😢😢😢 AMEEN

    • @zuberimgwila9114
      @zuberimgwila9114 6 лет назад

      Elizabeth Fares امين

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 5 лет назад +3

    Mungu hawezi kuwa nakitabo cakuongoza watu kama bibilia kwanza kinamatusi muno,kinamapungufu injili yamabandiko yawatu afu nimbili injili kuna injili yayesu naingine injili inatiliwa mikono yakugeuzageuza duhh sio dini zile nikutupa muda tu

  • @husseinkatana4573
    @husseinkatana4573 Год назад

    Janna thul fridhus iwe ndio makaazi yako pamoja na wema walio tangulia Insha Allah

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 года назад

    Mashaallah tabarak allah

  • @mussamalugu1793
    @mussamalugu1793 3 года назад

    Allah amrehemu shekh wetu

  • @mwahahadiabakari5584
    @mwahahadiabakari5584 3 года назад +1

    wAllahi hakuwezi

  • @adijahassany3410
    @adijahassany3410 5 лет назад +2

    Mashaallah

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 4 года назад

    Inna lilahi wainna ilaihi rajiun Allah akueke mahala pema peponi amin ww na waislam wote na wazazi wetu Allah a waeke jannat firdausi amin amin

  • @mohamedkikale7241
    @mohamedkikale7241 6 лет назад +3

    Allah tujaalie mwisho mwema

  • @mtipulaiddy6694
    @mtipulaiddy6694 4 года назад +1

    Subhuannallah

  • @miambayankeba1084
    @miambayankeba1084 4 года назад

    Allah akusamehe kwa kila jambo imamu wetu

  • @ngorweurongo8276
    @ngorweurongo8276 7 лет назад +1

    maashaalah

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 4 года назад

    Mashaallah 🙏

  • @khuzeimaabdul4275
    @khuzeimaabdul4275 4 года назад +1

    Ni pengo katika mapengo ya duniani hakika malipo yake ni ALLAH

  • @waltershayo1339
    @waltershayo1339 3 года назад

    Allah amsamehe madhambi yake

  • @dullyvidully7798
    @dullyvidully7798 5 лет назад +2

    Yaani unaongea vitu true imani pedro

  • @muddyabdul8755
    @muddyabdul8755 7 лет назад +5

    wanamacho lakini awaoni na wanamasikio lakini awasikii takbir Allah Akbar

  • @fakiabdallahmwinyi8604
    @fakiabdallahmwinyi8604 6 лет назад +2

    allah atuingize peponi firdaus

  • @kissoyisogoyi77
    @kissoyisogoyi77 3 года назад +1

    Ukweli mtupu

  • @mussaally2722
    @mussaally2722 7 лет назад +2

    Allah amrehem amuweke mahala pema peponi amiin

    • @othmanabdallah1948
      @othmanabdallah1948 7 лет назад

      Asaalam aleykum Mussa Ally amekufa lini? unaweza nips habari zake japo kwa ufupi kama hutojali walleykum Asaalam walhamatullahi wabarakatuh

    • @mussaally2722
      @mussaally2722 7 лет назад

      Kaka nakumbuka tulitangaziwa msiba wake kwa njia ya sms muda kidogo ushapita

    • @othmanabdallah1948
      @othmanabdallah1948 7 лет назад

      Mussa Ally Aaah, sawa nimekulewa

    • @muhammadfarijala2324
      @muhammadfarijala2324 7 лет назад

      Mussa Ally amiin

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 5 лет назад

    Allah wakbar

  • @minaminaa1669
    @minaminaa1669 5 лет назад

    Inalilahi wainailahi rajiun

  • @anisamresh9168
    @anisamresh9168 7 лет назад +5

    Hamuna video za Imani petro Zenfone???

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 года назад

    R.I.P Allah akurehem kwa kweli kwa kaz za dini!

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 3 года назад

    Sheikh wakati umefika

  • @fubub3595
    @fubub3595 3 года назад

    R.I.P bwana kaka