PART 2: MCHUNGAJI ASIMULIA MTOTO WAKE (16) ALIVYOMKATAZA ASIOLEWE, FAMILIA ILIVYOMDHARAU | HARD TALK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 62

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 года назад +2

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @victoriajohn4047
    @victoriajohn4047 2 года назад +1

    Jamani nimelia mnooooooo 😭😭 huuu shuhuda Kuna mahali umenivusha wenda kila kinacho endelea kwenye maisha yangu kina makusudi makubwa ooooh yesu hakika naamin 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @shalletnguma3375
    @shalletnguma3375 2 года назад +6

    Huyu dada yuko vizuri.nimempenda bure.ameponya moyo wangu

  • @mayungaagnes5660
    @mayungaagnes5660 2 года назад +2

    Asante sana hakika nmebarikiwa na hii mada nzr.Mungu naomba aniponye na Mimi jeraha la moyo wangu.Amina sana

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 2 года назад +1

    Very powerful testmony❤️❤️❤️🔥🔥🔥🙌🙌.Kwakweli kuolewa huku una watoto dah! Huu ni muujiza mkubwa kwakweli.Huyu ni Mungu mzima mzima anatenda kazi kwenye ndoa yenu dah!! Asante Mungu wetu!!

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 2 года назад +1

    Amina,Amina Sana mtumishi! Kwakweli tusimuweke Mungu kwenye kizuizi maana anaweza kufanya hivyo.

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 2 года назад +1

    Najifunza kwamba,Mungu ni Mungu anayeweza kubadili jina la mtu wake haijalishi limeenda mbali kiasi gani

  • @tinnamsuya8221
    @tinnamsuya8221 2 года назад +2

    Dah aisee huyu mtumishi amenipq nguvu ya ajabu kwa huu ushuhuda wake na amekuza imani yangu kwa kiwango kikubwa sana

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 2 года назад +3

    Akuna kukata tamaa coz MUNGU ajatukatia tamaaa😘

  • @subirajuma9050
    @subirajuma9050 2 года назад +3

    Amen Mungu Asante kwakweli tena shikamoo Baba🙌

  • @eveissa9732
    @eveissa9732 2 года назад +1

    Asante dada hellen umenivusha mahari mungu akubarik sana

  • @lavelinengatale8718
    @lavelinengatale8718 2 года назад +4

    Wow what a testimony🙌
    Nimevuka mahali

  • @jacklinelyimo6133
    @jacklinelyimo6133 2 года назад +1

    Kiukweli mungu anaweza kwa Kila Jambo atubariki tuu

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 2 года назад +4

    Da lilian asante kwa part2 umenivusha mahali barikiwa sana

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 года назад +2

    Nimependa sana kipindi pia nimejifunza usiwe muoga kwenye kujaribu mapenzi huwezi jua nani atakuwa wa sahihi kwako, kama mamaetu hapa angegoma kupenda tena asingepata mume wa maisha yale

  • @pascazianhigula1900
    @pascazianhigula1900 2 года назад +2

    UMENIPA nguvu Mungu akubariki kwa kushare story Yako

  • @monicastephen8796
    @monicastephen8796 2 года назад +1

    This is powerful. But dada Lily, you have ka fun thing...😃😃 " Asante shikamoo"

  • @kizadina6448
    @kizadina6448 2 года назад +1

    Nimempenda uyo mama Mungu hakubariki sawa

  • @gracekalinga795
    @gracekalinga795 2 года назад

    Dada lily, thanks you yaan nimepona na nimepata nguvu. God bless you

  • @janechogoro6502
    @janechogoro6502 2 года назад +1

    Sijui kwann nalia😭😭😭

  • @nyakatomutegeki1694
    @nyakatomutegeki1694 2 года назад +2

    Amen,Mungu ni mkuu sana.

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي 2 года назад +1

    Ameen , asante sana mama Na mungu akubariki

  • @eddygrefen7788
    @eddygrefen7788 2 года назад +1

    Mungu akubariki snaa

  • @hapi6113
    @hapi6113 2 года назад +3

    Nimepata nguvu barikiwa sana

  • @jacklinejerr2447
    @jacklinejerr2447 2 года назад +2

    Congratulations to you

  • @sophiamponi6666
    @sophiamponi6666 2 года назад

    Nimebarikiwa sana nilikuwa napitia magumu nimepata nguvu

  • @patriciamtangi5544
    @patriciamtangi5544 2 года назад +2

    Mungu anakufinyanga upya

  • @annangosso6680
    @annangosso6680 2 года назад +2

    Amina kubwa💕

  • @kamalaeditha5864
    @kamalaeditha5864 2 года назад

    Wonderful story glory be to God Almighty 🙏🏾🙏🏾🙏🏾💃💃💃

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 2 года назад +1

    Dada Lili umbea uooo eti huyo baba jamaniiii😂😂😂😂

  • @starlight100-o2l
    @starlight100-o2l 2 года назад +1

    Am blessed🙌🙌🙌

  • @erikalutevele8362
    @erikalutevele8362 2 года назад

    Ahsante nimebarikiwa sana

  • @alicekadzo340
    @alicekadzo340 2 года назад +3

    God of a second chance

  • @miriambethuel8892
    @miriambethuel8892 2 года назад

    We call Jesus...God of impossibles❣

  • @enaimtanga624
    @enaimtanga624 2 года назад +3

    Asnt mumeponya moyo wangu sana

  • @dosianasimon312
    @dosianasimon312 2 года назад

    Amina

  • @witnessminja988
    @witnessminja988 2 года назад +1

    Amen
    Nimepona

  • @nyotamariamu9001
    @nyotamariamu9001 2 года назад

    Tunaomba parti 3......20

  • @rosembaga2658
    @rosembaga2658 2 года назад +2

    Nimeliaa mimi jamani nimeliaaaa uwiiiiii

  • @jovitakilua9998
    @jovitakilua9998 2 года назад

    amina mtumishi

  • @asteriamahudi6663
    @asteriamahudi6663 2 года назад

    Nimebarikiwa

  • @aishacastrol6369
    @aishacastrol6369 2 года назад +1

    Amen

  • @wakutombokadsk3722
    @wakutombokadsk3722 2 года назад

    Ahsante kwa kipindi chako

  • @emmymateni8952
    @emmymateni8952 2 года назад

    Nimebarikiwa na ushuhuda huu

  • @Kidotii
    @Kidotii 2 года назад +1

    Ameniponya

  • @gracepatric4371
    @gracepatric4371 Год назад

    😅😅😅😅😅ila lilian😅😅😅😅😅

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 2 года назад +1

    Ukipenda uwepo wa mtu tyr ushampenda

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 года назад +1

    Anatia moyo huyu dada.

  • @lovegodwine7868
    @lovegodwine7868 2 года назад +1

    Uwiiii😥😥😥😥

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 2 года назад

    Ameen

  • @linazebadia7555
    @linazebadia7555 2 года назад

    lilian umenibariki mno mno

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 года назад

    Da Lilian ulivyocheka pale mwishoni haha

  • @zawadizawadimussa23
    @zawadizawadimussa23 2 года назад

    Niliisubilia

  • @annathomas5845
    @annathomas5845 2 года назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lovegodwine7868
    @lovegodwine7868 2 года назад

    Eeeh nianze kukataa lift

  • @hildahfox1763
    @hildahfox1763 2 года назад

    Poo

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 года назад +2

    Una wajukuu wewe

    • @wakutombokadsk3722
      @wakutombokadsk3722 2 года назад

      Amina sister kipindi chako nimeanza kukipenda Ahsante sana kwa vindi vyako vyote

  • @gentillessebutoyi2366
    @gentillessebutoyi2366 2 года назад

    Amina

  • @elizabethmanala6117
    @elizabethmanala6117 2 года назад +1

    Ameen

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 2 года назад

    Amina