dah I was too young kipindi kile hii ngoma inapigwa kwa meradio nilikua ata sielewi nan kaimba,...leo ndo nomemjua mzungu kicha,...yani all the lyrics zilikuepo in my head zimejificha all those years nashangaa naimba tu hahaha 😅, #kwio sio poa, excuse us generationX, big up mzungu kichaa
0:20 anapoanza kupiga hilo guitar🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥🔥Mzungu Kichaa: Uchumi unashangazaaaaa...!!! Wengine wanao Wengine Hawana. We tajiri sikiliza mara moja Usingekuwepo bila Mama yakoooooo...!!!! Nani aliamua uwe Mama yako Huu ndio uamuzi wa dunia Kwa hiyo lazima uyaheshimu Pamoja na akina Mama woteeee...!!!! Chorus (Mzungu Kichaa): Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu Upendo usipotee Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipote Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipote Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipoteeeee...!!!!!! Heshima kwa Baba Heshima kwa Mama 🔥🔥Prof J: Heshima kitu cha bure Kila mtu anastahili Ila dunia ya sasa imejaa kitendawili Unyama ufedhuli sasa umeshika hatamu Vilio vya kina Mama imekuwa kama salamu Jiulize ungekuwa nani kama asingekuwepo mzazi Ubinaadamu kazi dunia inapata radhi Kila ninapopita matajiri hawana utu Roho za maskini zimetawaliwa na kutu Wanataka maisha bora wavivu wa kuthubutu Waliokata tamaa sasa wanashika mtutu Majani ananiambia twenzetu ado ado Rusha mikono juu kama upo kamili gado Aspen obrigadooooo...!!! Chorus: Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipotee Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadam upendo usipotee Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipotee Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipoteeeee...!!! Mzungu Kichaa: Kuna watu tofauti katika dunia yetu Mmoja anajaribu kusaidia jamii Wakati mwingine hajali kitu kuliko dola na senti Maendeleo hayana mwelekeo Kama tamaa inadumu kwenye kichwa chako Hautakuwa na umoja na dunia Binaadamu bado wanalia Umaskini unawabaniaaaa...!! 💙💙Mwasiti: Kwa nini hautaki kuwasaidiaa Kwenye kaburi hautatuliaa Sababu ya kuleta kwenye hii dunia Bado yatafanikiwaa We ndo masikini hakuna mwingine We ndo masikini hakuna mwingineeeee...!!!!! Chorus: Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipotee Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipotee Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipotee Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipoteeeeee...!!!! Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu usipotee Mikono juu jitolee na usaidiee Ombi kwa binaadamu upendo usipotee Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipotee Mikono juu jitolee na usaidie Ombi kwa binaadamu upendo usipoteeeeee...!!!!
He is practically tanzanian himself, been living there for almost his entire life :) I think swahili is one of the harder languages to learn if your not there "hands on", since its so filled with double meanings and slang, especially if you want to translate swahili to english :)
Did you even think about how you would sound before posting such a comment. This artist is an inspiration to many and proof that music knows no barriers. He speaks our language and therefore is one of us. Lakini wewe mkikuyu unamtukana kisa ngozi yake nyeupe. Kama hali yenyewe ndo hiyo usilalamike amani inapokosekana kati yako na wazungu.
Titled Jitolee- means volunteer or be selfless. Song talks about life, the rich should help the poorer and stop being greedy. All their riches will remain on earth if they die, so they are the REAL poor.
Hehehehehehehe..nimekubali mtu wangu hizo naona ni mbwembwe tuu manake obrigado kiportugees. Sema huwezi kuwa na uhakika ukija kwenye kiswahili cha mtihani
omg for once i thought there was someone singing behind him- i cant even sing my own language straight! but god he's good! that guitar......its amazing!
Nyimbo nimefaigilia!! Simchezo lakini kaniacha kidogo aliposema "Bajana ananiambia twenzetu ado ado . Rusha mikono juu kama uko kamalikado .Espen obrigado :" Bajana ni nani au kamaanisha - Kijana twende zetu pole pole? Hizo ado ado, kamalikado, obrigado ni mbewembwe au ni kiswahili kipya kicho??? Naomba ufafanuzi kama kunamabingwa hapa wakutusaidia. Hiyo Espen ni mahali au kinwaji? Asanteni.
My favorite Swahili song. Uko Juu jo. This song contains fascinating insight information which is community cohesion and helping the people who are less fortunate than you
Mikono juu / Jitolee na usaidie / Ombi kwa binadamu / Upendo usipotee Throw your hands up / Stand up and help / This is a plea to humanity / Don't lose the love. Great message this.
hey @shazmeeny , he is born in denmark and is danish ..... and he is not albino . He grew up in tanzania , so he speaks and write fluent swahili , well.... hope my info helps !!! - so please let this text stand on the top ... so others can see it !!!
I remember when i saw this video on tv i really wanted this song so badly....and i would never see it again until after 3years thats when i accidentally heard it in a matatu i didnt really know Mzungu Kichaa but when i heard Professor Jay in the beat that was my opportunity to actually get the song... i love this song till date big up bro
Espen Sorensen jeg håber du læser dette, du skal vide at din musik har givet mig den gode optur i en tid hvor jeg ellers har haft det svært... når jeg høre din musik drømmer jeg mig tilbage til dengang jeg boede i Malawi. Gode Afrika minder. For det skal du ha' tak :) .... håber du kommer på Gøjlertræf i år så jeg kan trykke dig i hånden og evt købe en cd mere... MVH Tim.
Nipo hapa 2024 tujuane
2024 here we go bdo tnaendlea kuanglia hili goma like twende pmja
Hapo lazima niwe wa kwanza ku “like” maana washabiki wangu nawapenda sana!
@@nuttywhite asante san kaka dah here we go🙏🙏
Mikono juuu tuendeleee kusikiliza na kuangalia 🎉🎉🎉 siku zote ili uendeleee❤❤
@@AAAAlphan Asante sana sana.
Mzungu kichaa my fav artist❤❤❤
Reminds my Childhood, grewup listen to this song over and Over❤ 1st Octorber 2024, Who's here?
Much appreciated. Thank you for the love. It warms the heart. Asante
Hii ngoma naifatilia hadi Leo 2024
Pamoja sana! Asanteni sana kwa upendo - kitambo na hadi leo hii 🙏
nani anacheki hii ngoma 2020 nailewa sana safi mzungu kichaa
Asante sana bro
dah I was too young kipindi kile hii ngoma inapigwa kwa meradio nilikua ata sielewi nan kaimba,...leo ndo nomemjua mzungu kicha,...yani all the lyrics zilikuepo in my head zimejificha all those years nashangaa naimba tu hahaha 😅, #kwio sio poa,
excuse us generationX, big up mzungu kichaa
@@nuttywhite naqbar kk
Mziki Mzuri sana ❤
Good Sound,Quality Imekaa sawa,Mashairi Mazuri yenye Ujumbe wa Muda wote,Big Up Mzungu Kichaa🤜🤛
Oh man! I remember hearing this when i was young 😭
0:20 anapoanza kupiga hilo guitar🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥Mzungu Kichaa: Uchumi unashangazaaaaa...!!!
Wengine wanao
Wengine Hawana.
We tajiri sikiliza mara moja
Usingekuwepo bila Mama yakoooooo...!!!!
Nani aliamua uwe Mama yako
Huu ndio uamuzi wa dunia
Kwa hiyo lazima uyaheshimu
Pamoja na akina Mama woteeee...!!!!
Chorus (Mzungu Kichaa): Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu
Upendo usipotee
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipote
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipote
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipoteeeee...!!!!!!
Heshima kwa Baba
Heshima kwa Mama
🔥🔥Prof J: Heshima kitu cha bure
Kila mtu anastahili
Ila dunia ya sasa imejaa kitendawili
Unyama ufedhuli sasa umeshika hatamu
Vilio vya kina Mama imekuwa kama salamu
Jiulize ungekuwa nani kama asingekuwepo mzazi
Ubinaadamu kazi dunia inapata radhi
Kila ninapopita matajiri hawana utu
Roho za maskini zimetawaliwa na kutu
Wanataka maisha bora wavivu wa kuthubutu
Waliokata tamaa sasa wanashika mtutu
Majani ananiambia twenzetu ado ado
Rusha mikono juu kama upo kamili gado
Aspen obrigadooooo...!!!
Chorus: Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipotee
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadam upendo usipotee
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipotee
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipoteeeee...!!!
Mzungu Kichaa: Kuna watu tofauti katika dunia yetu
Mmoja anajaribu kusaidia jamii
Wakati mwingine hajali kitu kuliko dola na senti
Maendeleo hayana mwelekeo
Kama tamaa inadumu kwenye kichwa chako
Hautakuwa na umoja na dunia
Binaadamu bado wanalia
Umaskini unawabaniaaaa...!!
💙💙Mwasiti: Kwa nini hautaki kuwasaidiaa
Kwenye kaburi hautatuliaa
Sababu ya kuleta kwenye hii dunia
Bado yatafanikiwaa
We ndo masikini hakuna mwingine
We ndo masikini hakuna mwingineeeee...!!!!!
Chorus: Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipotee
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipotee
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipotee
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipoteeeeee...!!!!
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu usipotee
Mikono juu jitolee na usaidiee
Ombi kwa binaadamu upendo usipotee
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipotee
Mikono juu jitolee na usaidie
Ombi kwa binaadamu upendo usipoteeeeee...!!!!
Safi sana.
umetisha. asante, na karibu tena
Salute kwako mzungu kicha na p fank majani
Asante. Long time
Here in 2024… Throwback moja hatari!
yeah. karibu sana !
This guy is an white African even though he is originally from Denmark..
Fantastic song...
Who is with me July 2020?
He is practically tanzanian himself, been living there for almost his entire life :) I think swahili is one of the harder languages to learn if your not there "hands on", since its so filled with double meanings and slang, especially if you want to translate swahili to english :)
Try Chinese bro....Swahili is simple...since we have Arabic words in it...
It's not hard I learned it in seven months living there
Niko hapa 2024 Nasikiza hii song ❤❤❤❤❤❤❤
Safi sana mzungu big up
Wacha niwe wa kwanza kulike
Did you even think about how you would sound before posting such a comment. This artist is an inspiration to many and proof that music knows no barriers. He speaks our language and therefore is one of us. Lakini wewe mkikuyu unamtukana kisa ngozi yake nyeupe. Kama hali yenyewe ndo hiyo usilalamike amani inapokosekana kati yako na wazungu.
Mzungu kichaa noma sana miaka mingi pale THT namkubali sana jamaa sijui kwann hatoi Ngoma mpy
karibu sana...... ngoma mpya zipo nyingi tu...... usikose kusubscribe
I miss home Tanzania namba moja # waching this in 2021
2024 na bado Kali sana
Mzungu Kicha wee ni mwana Tanzania kweli. Nimecheki interview unazungumza Swahili safi hata mimi Mkenya siwezani. Ngoma safi kabisa. Hongera.
asante sana kwa upendo wako. karibu tena na tena. Thanks for your support
I love this language. Nakupenda hii lugha sana.
2023 still ngoma iko moto sanaa ase
Nani bado anasikiliza ngoma hadi mwaka 2021
Its 2022 and I’m tuned to this song😊
If you put thumbs down you are straight up jealous you cannot sing as good as he. Well done dude well done
😂😂 that’s a great theory. I like that…. So…. A thumbs down is actually a compliment 😅
Namkubali sana huyu jamaa
asante. karibu
I still love this song, still valid
I appreciate your support. Thank you!
Hej jeg er en af de bøn som hørte din musik på skolen
Titled Jitolee- means volunteer or be selfless. Song talks about life, the rich should help the poorer and stop being greedy. All their riches will remain on earth if they die, so they are the REAL poor.
Here 2024 still valid
asante mwana
Ngoma kali aiseee. Mzungu ameimba poa, naye professor akamalizia vizuri pia
amesema "Wanataka maisha bora wavivu wakuthubutu " . Yani wanataka maisha bora lakini wao ni wavivu hawataki hatakujaribu.
Hehehehehehehe..nimekubali mtu wangu hizo naona ni mbwembwe tuu manake obrigado kiportugees. Sema huwezi kuwa na uhakika ukija kwenye kiswahili cha mtihani
Tanzania kichaa
Here we go 2024
thanks for tuning in! lets go!
mzungu kichaa, bwana wee, you are the best artist in TZ,
10/10 imenikumbusha huyu msanii na wimbo huu
thanks for tuning in.
omg for once i thought there was someone singing behind him- i cant even sing my own language straight! but god he's good! that guitar......its amazing!
Mzee Mzungu Kichaa, hii imetulia; period!
Naifaigilia chorus..dah, masela wa Kariakoo sokoni naona wanajirusha kama hawana akili nzuri. Dahm inanikumbusha nyumbani. Endelea kuwakilisha.
wimbo huu ni mzuri
Mzungu kichaa love your music im a eritrean born in finland and grew up in tanzania so feel related to ur thing. congrats n all the best
Wimbo mzuri sana
asante anko! karibu tena.... nina kuandalia video ya wimbo wangu wa "London Town". Usikose kuidokoa.
Jeg er meget stolt af ham der Espen..
han er en legende..
nakupenda mzungu kichaa sana
2024 5 stars
🙏
daa hii nyimbo nilikuwaga naisikia tuuila sikujua mwenye nayo nani,big up sana mzungu kichaa,this land is ours,together as one
Ujumbe mzuri, Mzungu kichaayupo wapi siku hizi?
Godt spilde i Toftlund Idag
I miss Tanzania. I've been watching this on repeat today... so great! Can't wait to get back
You're welcome
Yeah. It’s hard not to miss Tanzania 🇹🇿 such a beautiful place with so many warm hearted and friendly people
2024 still on fire
this song inspires me too much
Oyoooooooo
I like the quality of the video...this type of Bongo flava i can listen to.. hongera!
Nyimbo nimefaigilia!! Simchezo lakini kaniacha kidogo aliposema
"Bajana ananiambia twenzetu ado ado .
Rusha mikono juu kama uko kamalikado .Espen obrigado :"
Bajana ni nani au kamaanisha - Kijana twende zetu pole pole? Hizo ado ado, kamalikado, obrigado ni mbewembwe au ni kiswahili kipya kicho??? Naomba ufafanuzi kama kunamabingwa hapa wakutusaidia.
Hiyo Espen ni mahali au kinwaji?
Asanteni.
Reminds me of 3 amazing weeks on Zanzibar... Miss that place....
Yes! Zanzibar is beautiful. Next time try Pemba or Mafia Island
the old bongo flava singers gretings from my you are the best in afrika
Message nzuri sana.
this song called Jitolee, correct? and the dude playing guitar, is from denmark but grew up in tanzania.. track is nice..
the old bongo flava singers gretings from my you are the best in afrika best wiches fom freddy the muzungu
napenda sana wimbo huu. Kichaa una uwezo sana. Ukifika Ujerumani uniambie
Ngoma hii mwanzo na mwisho
pamoja sana. thanks for your support
fun meeting you in denmark
a pleasure meeting you too
jamani wakuthukutu manaake nini? huyu Professor Jay ameiuwa kiswahili kabisa
Beautiful.. I feel my Dar childhood calling me.. Thank you Bongo Flava and Mzungu Kichaa,, inspirational! See you in London...
Can’t believe how time flies. Check out the new song called London Town. The video is dropping soon.
AW AW AW AWWWWEEESSSOOOOMMMEE!!!!
nani kama wewe...thumbs up!
My favorite Swahili song. Uko Juu jo. This song contains fascinating insight information which is community cohesion and helping the people who are less fortunate than you
thank you for the kind comment.... comments like this have kept me going all these years !
Tzpamoja na katrobella,
Asanteni sana!!
my favorate
Mikono juu / Jitolee na usaidie / Ombi kwa binadamu / Upendo usipotee
Throw your hands up / Stand up and help / This is a plea to humanity / Don't lose the love.
Great message this.
Det er mig fra Ørding friskole
karibu. dejligt at du ser med her også
Good music + message= vitamins
yeaah vitamins za mziki zina tibu vitu vingi !!
Great music mzungu kichaa the lady as a beautiful voice as well not forgetting prof Jay,keep up the gud work i love the message as well.
ishima ni lazima
Whoa!
hey @shazmeeny , he is born in denmark and is danish ..... and he is not albino . He grew up in tanzania ,
so he speaks and write fluent swahili , well.... hope my info helps !!! - so please let this text stand on the top ... so others can see it !!!
Safi sana. mwenye kusema huyu ni msenge labda yeye ndie, amejuwaje ?
Wewe ni mkali sana!
mzungu kichaa ny bomba kabissa!!!!ibarikiwe!!
One Love! Keep hoping for more good things for you Mzungu Kichaa! Keep speaking up for Social Justice!
Thank you 🙏 this next season is full of love songs as a drop my new album Fade Away
I remember when i saw this video on tv i really wanted this song so badly....and i would never see it again until after 3years thats when i accidentally heard it in a matatu i didnt really know Mzungu Kichaa but when i heard Professor Jay in the beat that was my opportunity to actually get the song... i love this song till date big up bro
i have subscribed too
amazing story chailee ! sorry for the late ready and reply. hope you got the latest videos too here in 2024
Wazi wazi.... hii ni poa sana.
wow! good music, good message...............
Love the delivery. Can't wait to hear more.
Thanks. Great name by the way 😅 lots more videos have dropped since this post 13 years ago and a few more a coming 🔥
Kaka, hicho kichaa chako kizuri, ngoma poa sana....
Poa sana mwanangu.
🥁 ngoma kali sana hii
Asante
nakukubali sana mzungu
Kipindi kile good vibe
Best.i repeat it all the time. Nice msg.love it aaaah
the funniest part ever is at 0:54...lol. look at his face....haha
Huyu ni mtoto wa Mwafrika :)
love it!!! peace out from tunisia
Vijana wabongo ni wajanja! :)
WOW !!!
Paul van tongeren
🔥🔥🔥
Big respect from Italy
Mikono juu, jitolee na usaidie. Safi mzee. Track imetulia MK. Inapatikana itunes?
maneno ya busara ndugu yangu,,,,
He also sings a bit of what I believe is Maa (Maasai language) towards the end. Good stuff!!!
Espen Sorensen jeg håber du læser dette, du skal vide at din musik har givet mig den gode optur i en tid hvor jeg ellers har haft det svært... når jeg høre din musik drømmer jeg mig tilbage til dengang jeg boede i Malawi. Gode Afrika minder. For det skal du ha' tak :) .... håber du kommer på Gøjlertræf i år så jeg kan trykke dig i hånden og evt købe en cd mere...
MVH Tim.
yu a great man,,wat a name,,ati mzungu kichaa!!
Fik den største optur over deres koncert på gøjlertræf i år :) super nice!