ASLAY afunguka ukweli wote kuhusu kumpiga mama mzazi wa mtoto wake (SONIA) "Kuna watu wanamshawishi"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 163

  • @sharonmakungu9185
    @sharonmakungu9185 4 года назад +1

    Hiyo kugusa ndio nini sasa? Hiyo kugusa ndio huleta kupiga baadae.mbona kumgusa? Ata labda sio huyo mwanamkr anayeongea kwenye simu.Then mbona huongei kuhusu kushughulkia mtoto wako

  • @lalyilaoman5800
    @lalyilaoman5800 4 года назад

    Pole dogo asly mung atakusimamia kwa kipindi hichi kigumu laiti ingikuwa mtt mkubwa ungechukua damu yako, lakin usisubutu kutupa damu yako pole sana my brother inauma sana😭😭😭😭😭

  • @hadija846
    @hadija846 4 года назад

    Huyo Malaya katumwa tu. Asley hana makosa wadangaji wanajipeleka wenyewe eti mpaka wapewe mimba na staa ili awe maharufu Asley chukuwa mtoto wako umtunze mwenyewe🙏🏼💞

  • @naiyammoud6409
    @naiyammoud6409 4 года назад

    Alee mtoto tu ...tz ndo nchi pekee ukizalishwa lazma uhudumiwe kwetu kenya ni jambo lakawaida sana watu wanalea watoto zao tna bila shida yyt

  • @Kingajang0
    @Kingajang0 Год назад

    ❤❤

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 4 года назад

    Aslay jamanii bint mrembo mpolee kimtizamo tu inaonyesha Kuna mtu Ana wavuruga Kati yako na mrembo wako hebu kuwa mtulivu nausome alama ya nyakati kuweni wawili tu jamanii mbona mnafanya hivyooo 😔😔😔 niwatu wabongo kimtizamo wala sihuyo mwana mke niuongo kuwavuruga tu Maisha yabint nimagumu mno inaonyesha minahisi haswaaa Kuna anae vuruga Kati ya Aslay na huyo mama waToto wake

  • @bujsaudaselemani5562
    @bujsaudaselemani5562 4 года назад

    Niatari sana kweli

  • @wardajoseph6909
    @wardajoseph6909 4 года назад

    Hakuna msiba ukupatayo isipokuwa umechuma kwa mikono yako tubuni kwa mwenyezi mungu acheni uzinifu

  • @aay2925
    @aay2925 4 года назад

    Duh ishakua thabu

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 4 года назад

    Alisema kua alizimia,dogo ungekua unamutake care vizuri haya yasingetokea kupigwa siyo issue hapo issue acha kuzalisha wanawake nakuwakimbia mdada mzuri si umuweke ndani ona anapo lala no haikubaliki

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 4 года назад

    Jamani mwisho Wa siku ,baadae tutakuwa na watoto weeengi...mitaani walozaliwa nje ya ndoa au mama zao kuachwa kwa tamaa tu za kuonja onja mapenzi,jamani !!tuache umeamua kuoa au kuolewa basi tulia na mmoja,maana siku hizi sio wanaume tu kuachwa wanawake ,hata baadhi ya wanawake hawataki ndoa wanataka kuzaa tu!tunaelekea wapi??watu wanapotongozana hatusikii hata!! Ila kaugomvi kidogo tu basi matangazo dunia nzima,haipendezi jamani ...na siku hizi hata wazazi tumeacha malezi Yale tulolelewa na wazee wetu,(Namaanisha unyago),msichana unaingia kwenye mahusiano kabla ya wakati ,wazazi hawajui,mwisho Wa siku mimba!na majuto,kwani unazaa bado mdogo,matunzo huwezi bado yaani unakuwa baba au mama wakati nawe no mtoto.Jamani ukisikia ndoa usidhani lele mama!Muulize watu wazima!!!Asante!!

    • @ellysilwani9287
      @ellysilwani9287 4 года назад

      Wasichana nanyie tumewachoka! Usione mtu maarufu basi nawe unataka umaarufu,acheni mteremko! Na Sonia umesema wewe ni mkulima basi kaendeleze kilimo,kuliko kukimbizana na baba Wa mtoto wako,unapoteza muda kuhangaika na mtoto, hayo mambo yashatokea ,yaache yapite ,kafanye kazi ule jasho lako!kama kweli wewe ni mama umezaa,huyo mtoto atakula unachokula,Aslay akiamua kuleta matumizi sawa ,asipoleta sawa tu, uwe kama simba jike, mtoto ni Wa mama siku zote ,mradi uko nae wewe ,weka akili yako yote kwa mwanao,achana kukimbizana na baba Wa mtoto.!!!

  • @asnathybabychussy5729
    @asnathybabychussy5729 4 года назад +22

    Mbona anang'ang'ania kumpiga tuu habari za kumtunza mwanae mbona hasemi?

  • @halimams2127
    @halimams2127 4 года назад

    ndiomana nasema ukishauriwa na watu 10 chambua maushauri utakuta watu 2 ndio wapo sasahihi dada ndio umezid kupoteza sasa pole sasa jipange umlee mtoto kwa pekeako Chua wee jitunza sikuingine

  • @jumanatv417
    @jumanatv417 4 года назад +20

    Wanaume punguzeni kudinya pekupeku mtu huna future nae halafu kitandani unamfakamia Kama umetoka jela hayo ndo matokeo mtayumbishwa Sana maana kimkojo kiduchu tuu kinakudhalilisha. 😢😢

    • @tausilifestyle795
      @tausilifestyle795 4 года назад

      Fact

    • @azizihamoudi8318
      @azizihamoudi8318 4 года назад

      Sio kuwa nyie wadada mpunguze kutoa peku peku sbb anaeadhirika sio aslay ni huyo Dada alofukuzwa kwao au we unaona je.

    • @sixbertkigomakwetu7742
      @sixbertkigomakwetu7742 4 года назад

      Nash Chyna nyie wenyewe ndio mnataka peku😂😂

    • @azizihamoudi8318
      @azizihamoudi8318 4 года назад

      Na nyie kukataa kulala nao peku mmezuiwa na serikali?? Inabidi binti ujue mda sahihi na mtu sahihi wa kufanya ngono nae bila Kinga coz sisi Nia yetu nikufurahisha maungo yetu wewe ukijisahau mzigo utaubeba wewe Dada angu.

    • @theglobalreform
      @theglobalreform 4 года назад

      Hahahaha eti kama umetoka jela😂, yaani nimecheka duh

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 года назад +1

    Unajuwa mapenzi humgeuza mwanamke hata akipigwa vipi hukana mapenzi yanamfanya chizi kwahio penzi jamani haliingiliwi na huo mwanamke atapigwa kweli na watu wasishuhulike nae nadhani aslay kamzimisha akane yani umepigwa mpaka kuzimia kisha inakuwaje

  • @samniza1763
    @samniza1763 4 года назад

    Mtoto wa kiislam hasemi uwongo right? Je kulala ovyo na kujaza mimba watoto wa watu bila kutunza mtoto na mama yake ni sawa kwa kijana wa kiislam? Msitumie dini kwa agenda zenu, kama angekuwa a responsible father kama hiyo dini yake inavyomfundisha asingefikishwa hapa tulipo leo kusingiziwa, the girl is going it out of desperation. If you are a deadbeat daddy let people know that you are one, what will it take for you to be a good daddy to your own blood?

  • @issa4really758
    @issa4really758 4 года назад +1

    ASLAY nasema naww mtuu atakaee soma ujuee huuu asambaze nayy ufike mbali mpka ukufikiee ASLAY ulipo Skiza mdogo wetu achausenge kama ange kuwa mama yko Inge kuwaje kama uspo udumia mtoto hyu takufila. Amini usiamini viwanja vyoko tunavijua kwann unafanya jambo lakipumbavu cna unajiona unajua kuchezeee Watoto wawatu au vp tasema naww mjinga mkubwa

  • @hassanabdallah6239
    @hassanabdallah6239 4 года назад +1

    broo pambana achana nawo bhn mungu yup nawe wanao taka kuku alibia kwa uwezowa allah wata shindwa

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 года назад

    Watajuana wenyewe

  • @officialifruit_x7549
    @officialifruit_x7549 4 года назад +2

    Sawa hata kama hajapigwa ila huyo bado ni mwanamke bwana huyo alitaka malezi na attention ya Asly na kumuangalia ila hamuangali sasa unatarajia nn mtoto wa watu umemzalisha kwao hatakiwi kksha wamkimbia nakumnyanyasa

  • @rmmbone90
    @rmmbone90 4 года назад

    Mimi najua Aslay haezi kafanya...hata Mimi mwenyewe Aslay hajawahi ni guzaa...hata Aslay haezi humiza kunguni hata akiiona kwa bed...

  • @hamzanyimkuu8002
    @hamzanyimkuu8002 4 года назад

    Hapo tatzo la kwanz ni huyo mama, huyo mama anaonekana kbs ni mswahil na anazid kumuharbia hata huyo Sonia mwenyew. Nadhan km mamruki wa kwnz kumchunguza ni huyo mama

  • @yearm669
    @yearm669 4 года назад +9

    Tatzo uyo Dada haelewek kahojiwa Global kasema kapgwa na vtu vng, then kwa Ayo kasema hakupgwa.

  • @khatibuhijja459
    @khatibuhijja459 4 года назад +2

    Nyie mmekuja kumtetea huyo Aslay ingawa ni kweli kwa mujibu wa yule mwanamke anasema hakumpiga, lkn je yule mwanamke yale mazingira aliomuweka na mtt mchanga wa miezi 2 ni haki? Huyo mwanamke sawa ni mtumzima lkn je yule mtt nae na ni damuyake huruma iko wp, kaboa bhanaa

  • @dmaik673
    @dmaik673 4 года назад +8

    Inawezekana Aslay kafaya mpango wa kumpgia mdada mwingine kupoteza Ukwel Kama unaaminihilo Gonga like Apa

  • @asiakilea2590
    @asiakilea2590 4 года назад

    Wanabadirisha wanawake kama nguo ndo faida take hiyo

  • @khadijachacha9275
    @khadijachacha9275 4 года назад

    Ni shida zake ndizo zilizo msababisha aseme ajapigwa sababu akisema kapigwa asley atomsaidia ndio mana kasema ivyo

  • @judyrevisoni5556
    @judyrevisoni5556 4 года назад +1

    Umeshatudhibitishia hujampiga, sasa tunaomba utoe huduma ya mtoto; mtoto ndo kwanza anamiez miwili ushaana kusuasua

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 года назад +9

    Aslay amefanya vizuri Sana, Dada amempenda aslay ndio anatafuta kila sababu ya kuishi nae

  • @blandnamasala8513
    @blandnamasala8513 4 года назад +9

    Angeacha umalaya yasingetokea yanyuma ya pazia Lea mtoto wako toa huduma

  • @shamsaabubakar7897
    @shamsaabubakar7897 4 года назад +4

    Hahaha😂😂😂😂mtoto wa kiislamu huku ulizini nae dooh

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 4 года назад +1

    I trust you aslay thumb up 👍

  • @josephinejoachim1878
    @josephinejoachim1878 4 года назад +17

    Yule dada pia amesema hajapigwa jamani dah,,,amesema ulitokea ugomvi kati ya yy na aslay ila aslay hakumpigaaaaaaa

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 4 года назад +2

      Lkn Grobal TV kaseme yeye kapigwa na kwenye vyombo vingine vya habar anasema yeye hajapigwa sasa tuelewe vp

    • @graceedson3029
      @graceedson3029 4 года назад

      Kwa ayo TV kasema ajapigwa ila walijibishana kwa maneno

    • @kirupyseleman582
      @kirupyseleman582 4 года назад

      @@niaanthony9588 glbl ni mashoga

  • @bittybitty2712
    @bittybitty2712 4 года назад +2

    Mipango wakati dada wa watu nalala chini na mtoto kweli jaman sio kweli asley muogo mimi kama mzazi yule binti anaumia mwanaume jamani

  • @moringelangas7276
    @moringelangas7276 4 года назад +1

    Ukimfuatilia vizuri huyo sonia utagundua kuwa kuna mchezo anaucheza,inkuwaje anapangiwa nyumba na mtu mwingine huku analalamika aslay hamtunzi mtoto?kwa asiende kwa wazazi wake?

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 4 года назад

    Aslay udumia mtt km unamjua mungu sie tumeshajua km ujampiga.....saw mpe huduma stahiki usijiharibie

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 4 года назад

    Mh minapita2 maana atamkosefu ajulikani wanajua wenyew2

  • @wardajoseph6909
    @wardajoseph6909 4 года назад

    Mmezidi maovu mwashindwa oa kazi kuharibu watoto wa watu

  • @everinemichael7457
    @everinemichael7457 4 года назад

    Aslay mshamba mmoja ww kubali umeharibu lea mtoto usishikilie kumpiga uyo dada kajielezea ayo tv tumemwelewa, acha porojo vuna ulichopanda. Na nyie sns msimpaishe uyo aslay mchafuzi tu

  • @aishasalum2963
    @aishasalum2963 4 года назад +1

    Tatizo watoto wakike hawajishungulishi kutafuta pesa mwanaume akikuzingua mupotezeeee kwani yupo peke yake jamani tufanyeni kazi

    • @mimiapa8436
      @mimiapa8436 4 года назад

      Kabisa yaani hamna kusubiri

  • @matildamkombachepa4320
    @matildamkombachepa4320 4 года назад +3

    Hakufai huyo mwanamke achana nae mswahili sana

  • @rashidmatata4369
    @rashidmatata4369 4 года назад +3

    Jamani itakuwa hawamtaki Aslay iyo familia ya mama sonia maana alisema adhalani mama sonia kwamba hawampendi Aslay tangu mwanzo na izo njama tu za kumuaribia jina Aslay

    • @lovvy854
      @lovvy854 4 года назад

      Sio kumuharibia jina Tu ni kumuharibia Hadi asimpe usaidizi huyu Sonia huyo antiake ni hasidi ya nafsi yake wamama kama hawa ndio hawana maana kwenye jamii yeyealikua awakalishe chini kama mtumzima awape mawaidha kuliko kuwagonganisha kwa unafiq

  • @jamilamasoud1216
    @jamilamasoud1216 4 года назад +1

    Nami naamini nimuongo kaulizwa na na miladi Ayo kasema hakunipiga

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 4 года назад +5

    Linda mapenzi yako....achana na wapitaji

  • @petrodaud3032
    @petrodaud3032 4 года назад

    Kumamayo aslay, hichi kidogo kinapaswa kifungwe hata miez miwili, kila mwanamke kinamuacha

  • @a.856
    @a.856 4 года назад +5

    Ichi kirusi cha kutelekeza watoto wasanii inabidi kitokomezwe makonda....📢📢📢📢

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 4 года назад

      Aslyi💖💖💖mung.anakuona

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 года назад +7

    Basi huyo Dada sio mzima ameshajiharibia huyu mdada anampenda asya lakini asya hamtaki

  • @saudaclaris7095
    @saudaclaris7095 4 года назад +6

    Nakuamini Aslay 🤘🏾

  • @kennix6457
    @kennix6457 4 года назад +3

    Ama umerekodi mwingine lakini mtoto Leo kama WA kwako. Acha kukimbia mtoto

  • @hidayaking3383
    @hidayaking3383 4 года назад +3

    Ajapinga ata mwanamke amesema jamani

    • @lovvy854
      @lovvy854 4 года назад +1

      Ausio waambie ukweli Sonia mwenyewe amekiri kua hajapigwa na hakua naniya mbaya shida niyule antiake amemuharibia maskini mungu atakuhifadhi dadaanggu

  • @abdulkarimhamissi3755
    @abdulkarimhamissi3755 4 года назад

    Kilicho fanya niamin huyu Dada sie embu sikiliza io cm aslay anavyo ongea nae embu tujiulize why alihisi anarekodiwa na kumuuliza unanirikod kitu ambacho hakiingii akilin sio kweli kwamba huyu bint alie pigwa ndie alie pokea cm kama unaakili utaelewa

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 года назад +1

    😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔kwanini lakini

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣Uyo bidada nikisonoko

    • @Mamatonny2065
      @Mamatonny2065 4 года назад

      Acheni ushamba wenu.hizo kukurukakara zenu hazituhusu!
      Matatizo ya ndani myamalizie ndani.sio kwenye TV.

  • @kirwamoita2707
    @kirwamoita2707 4 года назад

    aslay umtunze mtoto acha ubishoo, ubishoo waachie wakina flan wewe sie, mtunze mtoto wako nyau wewe

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 4 года назад +5

    Na kilichonishtua na kunishangaza zaidi nakutoamini japo yule dada alikua alia vile..... Ni pale aliposema nyumba kapangishiwa na wasamaria wema........ Huku ndani ukiangaalia vizuri video utaona tunzo ya RUclips ya Aslay

    • @AhmedSalah-ri3es
      @AhmedSalah-ri3es 4 года назад

      Jayratu Maulid hio tuzo ya aslay nikwa aslay alivyoenda kudai hamna kitu nyumban ila cio anapoishi huyo Dada analala chini kwa godoro alipofanya interview

  • @Tiffany2-Jr
    @Tiffany2-Jr 4 года назад +3

    Mmh ukiona kwako kunaunguwa ujuwe kwa mwenzio kunateketea, hila umaarufu unagharama zake

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 года назад +1

    Kweli huwenda hapewi usaidizi ila basi hangetumia binu nyegine ila siyo kma hiyo

  • @omarkitwana5244
    @omarkitwana5244 4 года назад +14

    Mana ata haelekei sasa jmni we aslay kufanya hivi ni nini ? Mnawatongoza wanawake mkiwapa mimba mnawageuka ata wewe aslay ? Ata huelekei mpuuzi weee

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 4 года назад +6

    Mm ni mzazi lkn aliniuzi yule mama kuingilia na kuongea uongo

  • @phannyshiggs5472
    @phannyshiggs5472 4 года назад +1

    Aslay mm hukupenda bure but usijiingize kwa tabia mbaya ka za wenzako sio vizuri ni haramu

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 года назад +1

    Ongoo kampiga..tunajuwaje kama niyeye yule mwanamke..mnauhakikaa nyinyi..??mbona global walivopigia wamekwepa kuongea naglobal..?

  • @mwajasiomar9809
    @mwajasiomar9809 4 года назад +2

    Mm pia nilishangaa umepigwa hadi umezimia lakini hauna hata kijijeraha wala uvimbe wala alama yyte hatakama anakukutesa na mtoto ni bora kuwa mkweli kuliko ku fake kwa midia

    • @asuminhakim1607
      @asuminhakim1607 4 года назад +1

      Yaani kama mimi ndio Asley sasa ndio nampiga kweli tena mangumi ya uso ili watu wakimuangalia tu wajue nimemtwanga nahic itapendeza 😄

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 года назад

      Mmhhh!! Kuzimia sio lazima mtu achubuke, anaweza akawa kampiga sehemu mbaya akaumia ndani kwa ndani au kaangukia pabaya na anavokataa labda katishiwa kuwa hatapata matumizi ya mtoto

  • @shekinahfaymatatiana5875
    @shekinahfaymatatiana5875 4 года назад +5

    Anatafuta umaarufu wabongo wana amini kwamba kuwama arufu ndo maisha peke mixxyuuuu😏😏

  • @asinatjuma8088
    @asinatjuma8088 4 года назад +1

    Hii sauti ni ya huyu dada kabisa Sonia,nyoko sana we dada unatafuta kiki ilikumshusha mwenzio sio powa kabisa imebaki dakika chache tu tutajua ukweli kabisa

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 года назад

      Subiri nawewe ushushiwe kipigo na mwanaume siku

    • @asinatjuma8088
      @asinatjuma8088 4 года назад

      @@eneolatukio8493 😂😂😂😂 haiwezi tokea

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 года назад

      @@asinatjuma8088 😁😁😁safi kama una msimamo huo💪💪

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 4 года назад +1

    bonyeza 👇
    ruclips.net/video/99u5eZQM9AM/видео.html
    like,subscribe,comment

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 4 года назад +1

    Hz voice n za uongo mm siwezi kuamini mtu hawezi kurupuka tuu huyo sio Sonia kama ni yy tunataka kuona interview y huyo Sonia ndio tuamini Voice waeza mpa mtu yoyote tuu

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 года назад +8

    MI naamini aslay anajielewa na anajiheshimu

  • @aminabakary7938
    @aminabakary7938 4 года назад +2

    Huy dada anataka umaarufu ila hakumbuki bila asley 2singemjua, anatafuta Kikiiiiiiii2

  • @JumanneMungula
    @JumanneMungula 4 года назад

    Mpigieni simu muulizeni inawezekana Aslay katufanyia usanii katuma voice note fake so tafuteni ukweli

  • @ashahally9347
    @ashahally9347 4 года назад

    Mbona haongerei kuhusu kumlea mtoto atamlea maana yule dada inaonekana hana matozo

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 года назад +4

    Tutajuaje ni huyo baby mama yake ulikuwa unaongea nae

  • @jumaamwarizo1773
    @jumaamwarizo1773 4 года назад

    jamani mwenyew Sonia alisema hakupigwaaa mbn mnapenda kukuza maambo

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 4 года назад

    Mimi simlaum aslay naendelea kusema apigwe Tu km ni kweli mabint wanaegesha maksud ili wapew mimba wapat umaarufu kujulikan ,kazi hawatak kufanya wakijiona warembo mtabebebeshwa Sana mimba na kupigwa Sana,alafu Huy bint anaish na mama Ake mzazi kwa nn asimchukulie hatua Aslay km kweli anapigwa tokea mwanzo?maan Yule dad maelezo yake anasema anapigwa kila siku hiy ndo swali najiuliza

    • @hjklhjkl4108
      @hjklhjkl4108 4 года назад

      Kwaiyo watu maarufu sio watu

    • @nasraali3027
      @nasraali3027 4 года назад

      Khadija unazingua tena una usenge mwegi😅

    • @laisajumanne2517
      @laisajumanne2517 4 года назад

      aslei wanawake kama hao ukitembeya nao tumiya uzazi wa mpango ili usizae nao

    • @mishibabu8946
      @mishibabu8946 4 года назад +1

      Mm pia kanishangaz unadundwa daily but umeng'ang'ania mpk ukapata mtt ladies we should work hard en not depending on man life itakua poa

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 года назад

      Shilingi always ina pande mbili, hapo mmoja anatafuta umaarufu, mwingine anatumia umaarufu wake vibaya! Ila wa kujishikisha mimba ili walelewe wamezidi nao Tz khaaa!! Lakini wote wanakomoana wanaume wanaopenda kuzalisha bila kufikiria wanakiona cha moto na wanawake tegemezi wanatia akili

  • @tatiya6883
    @tatiya6883 4 года назад +2

    wanadam tunayo shida sonia nayeye hampendi ASLAY unawezaje kukubaki kutengenez kitukibaya kwa Mtu umupendae nyoooo ASLAY sonia mubaya sana hakufai

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 4 года назад +2

    Wanawake wanajua kuekti wallahi duh shida sana

  • @naomilukani2279
    @naomilukani2279 4 года назад

    Dada mwenyewe hajielewi

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 4 года назад +10

    HATUNA HAKIKA KAMA HIYO SAUTI NI YA SONIA,🥺 we Aslay acha kututibua, umemrekodi binti mwingine tu, acha kuchezea akili za watu, lea mtoto 😡

    • @ALiBAba-zz2td
      @ALiBAba-zz2td 4 года назад

      Amekiri sonia kwenye milard ayo kwamba hajapigwa

    • @rukyaabdilo7921
      @rukyaabdilo7921 4 года назад

      Wanaume ni warogo..

    • @ndayisengafrorence3991
      @ndayisengafrorence3991 4 года назад

      Muwe munajiongeza na nyie maelezo ya uyo dada ayakuelewek kabisaaa pole Aslay Mungu atakuepusha na mabay yote

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 4 года назад +5

    Aslay pia???waaaaaah

  • @emanuelimkoni4408
    @emanuelimkoni4408 4 года назад +3

    nawapenda sana sns

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 4 года назад

    Bongo bana, mna vituko vya uswazi sana.

  • @nyembogwazibaka8655
    @nyembogwazibaka8655 4 года назад +7

    Waja mnapenda kulaumu kabla hamjajua UKWELI upi?

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 года назад +2

    Kma ni yy hapo huyo dda kadhirika kweli mmh

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 года назад +3

    Acha nende kusikiya😂😂😂

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 года назад +3

    Mh haya acha tuwe watazamaji...

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 года назад

    Me nipo na aslay dem kaongopa ajapigwa labda tu kitelekezwa

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 4 года назад +2

    Atakuwa kamkodi mty mwingine

  • @OfficialEK17
    @OfficialEK17 4 года назад +3

    Alafu demu mkali kweli, wanaume wa siku hizi tunafeli Sana aisee

  • @vitalresgalus8460
    @vitalresgalus8460 4 года назад +1

    wanawanke wa kibongo wanashida sana kwanini

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 года назад +1

    Dou nimechoka na mapenzi

  • @emanuelizack7087
    @emanuelizack7087 4 года назад

    Matuzo ya mtoto je asiulize tu kipgwa

  • @asmaally8353
    @asmaally8353 4 года назад +3

    Kwa matatizo ya ngozi, nyama uzembe, kuongeza shape, hips,n.k
    Dawa zipo, karibu ofisini, sms/whatsap 0693_330284

  • @juslainendayikeza6376
    @juslainendayikeza6376 4 года назад +3

    Tizameni Ayo tv walimuoji

  • @mdmubrak8152
    @mdmubrak8152 4 года назад +6

    Yani wanawake wengine wanatak umaarufu wakijinga kumshusha mwenzie nyoooo

    • @fatumaally3444
      @fatumaally3444 4 года назад

      Umeonaeeee jaman muache kuchafus majina ya mwenzenu mkitafta umaarufu

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 4 года назад

      @@fatumaally3444 kajichafua mwenyewe aslay angekua hataki hayo angeshughulikia mtt wake .lkn yote hii ni kwa sababu hamtunzi mwanawe...

  • @annethsteven428
    @annethsteven428 4 года назад

    Wadada tunakwama wapi

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 4 года назад +3

    Mm nilishtuka saanaa ila cku amiin

  • @priscahnyakundi2425
    @priscahnyakundi2425 4 года назад +3

    Ukizaa lea

  • @fatumamngumi2069
    @fatumamngumi2069 4 года назад +1

    Tanzanian kwa Drama duuu

  • @hjklhjkl4108
    @hjklhjkl4108 4 года назад +4

    Alimdunda mwenzie mpaka alafu anajishaua
    Mnawatongozea nn Kama mimba amtak mmbwa nyie

    • @OmanOman-hr6cb
      @OmanOman-hr6cb 4 года назад +1

      Yule bint amehojiwa na ayotv amesema hakupigwa

  • @raymondkanyama6387
    @raymondkanyama6387 4 года назад +2

    hawa mademu wanapenda umaarufu mno

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 4 года назад +1

    Mlianza wenyewe mapenzi ..acha kuwashirikisha ndugu..we bidada