@HabibuMuhunzi akuna alie sema ni rahisi ndio maana nimetumia "Akifuzu" sio "atafuzu" na chochote kinawezekana nyinyie mlisema maneno kaa CR Bilozdad na akapgwa 4 nyie mlisema kwa son down na akupata ata goli nyie mlisema watabaki na point yao 1 na sasa zipo 7 😂.
Lets play for our team together🤲🤲🙏🙏 we will won the matchon that day we all know that we have big and well trained players, hopefully we will won.💪💪. All the best champions of all times. DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.... Amen.
Mimi nishabiki wa simba lakini hawa MC Alger wanavyo onekana kesho utopolo watawapiga kama ngoma hawa! Yanga anaingia robo fainali ila ndio mwisho wake kwa msimu huu.
Mbwembwe za mbu nje ya neti hizo akisha ingia ndani kkimyaaa kama maji kwenye mtungi🤣🤣🤣🤣
Nimeanza kwa kucheka 😂😂 maana kesho kuna jitu haliendi robo 😂😂😂
Na iwe ivo..
Yanga akifuzuvu utasikia sio team kali 😂 roho zinawauma.
Yanga wanaumaliza mwendo kesho
Kufuzu sio rahic ivyo
@HabibuMuhunzi akuna alie sema ni rahisi ndio maana nimetumia "Akifuzu" sio "atafuzu" na chochote kinawezekana nyinyie mlisema maneno kaa CR Bilozdad na akapgwa 4 nyie mlisema kwa son down na akupata ata goli nyie mlisema watabaki na point yao 1 na sasa zipo 7 😂.
Kesho yanga hamutaamini kesho ngoma suruuuu
Dua ni ile ile
Kesho chura fc tumammywa supu mapema tu
sisi kama Mc Alger tunakunywa hadi supu ya chura
Sawa wala hatuongei sana vyetu vitendo inshaallah tutawaacha midomo wazi kesho inshaallah
Lets play for our team together🤲🤲🙏🙏 we will won the matchon that day we all know that we have big and well trained players, hopefully we will won.💪💪. All the best champions of all times. DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.... Amen.
We will WON?😂😂
Sisi awooo
Kila lakheir mc alger❤❤
Kama mhindi kuliwa analiwa kesho
Makolo msijebadirisha maneno.
Mimi nishabiki wa simba lakini hawa MC Alger wanavyo onekana kesho utopolo watawapiga kama ngoma hawa! Yanga anaingia robo fainali ila ndio mwisho wake kwa msimu huu.
Ww uto kwenda huko
Nyuma mwiko kesh mtaisoma namba
Kila rakheri waarabu wenzangu 😅😅
Aamin
Kila la heri mc alger
Wapigwe2 aoooo uto
Hawajafanya kwa sababu wanaenda kucheza na simba veterani team yetu imechoka
Amini side hapo hamchomoi
@@Uloli2000 kesho hawaruhusiwi timu kufanya mazoezi
Uto apigwe
Tunawapiga to vizuli
Ni kichapo tu nina ham nao
Nyuma mwiko mmeisha
Kila la kheri Mc Alger
Mbona wale wapinzani wa simba hawajafanya mazoezi yao ya mwisho?nauliza jmn
Match juma pili zoez ni kesho asubui msemaji wa costantine
wapooo kuleee shambaa la nyanii wenzaooo yaani uhuruuu hukuu ni wakubwa wa sokaa afrika
Watafany kesho ...ambay ni siku moja kabla ya mechi
Utopolo lolote liwapate
😂😂😂😂