MZEE WA UPAKO AFUNGUKA MAZITO YA ELIONA KIMARO,,,SIWEZ KUVUMILI HATA KIDOGO,,,TAZAMA HAPA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 535

  • @boazisanga746
    @boazisanga746 Год назад +5

    Ubarikiwe Sana mzee wa upako, umefafanua kiroho zaidi na sio kimwili

  • @marianlemomomasia5499
    @marianlemomomasia5499 2 года назад

    Ifike mahalii mnao jiita watumishi kama huyu aliye m comment Dr Eliona kimaro mjitambue maana hakuna hekima yyte aliyoitumia Mungu azidi mpigania Mch kimaro ♥️🙏

  • @nariviloviloli5698
    @nariviloviloli5698 2 года назад +21

    Huko safiiiiiiii sanaaaaaaaa Mtumishi umeiva Kiroho. Nimependa sana mazungumzo yako. Mungu akubariki sana aendelee kukupa Hekima na Busara.

    • @godrivernicholous3536
      @godrivernicholous3536 2 года назад +1

      Kanisa ndilo huanza namba moja mchungaji ni mtumwa wa KRISTO hii ni mbaya sana mchungaji kuwajengea misingi wakristo/washilika KUKUAMINI yeye Pasipo kuanzia kuamini Madhabahu penye uponyaji

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 2 года назад +1

    Umeongea hekima tusiyoweza kuipinga kwa neno la Mungu labda kama kwa hekima zetu, na wakristo hatuongozwi na hekima zetu bali neno la Mungu.
    Kuhusu waumini kuandamana mtumishi wa Mungu Kimaro atakuwa hana kosa kama aliwaambia waumini wake warudishe mabango yao ndani kama Yesu alivyomwambia Petro arudishe upanga wake alani,
    Kama alichochea aidha kwa wazi au kwa chini chini, hapo ndipo atakuwa na makosa.
    Yesu ametufunulia hekima zote kupitia neno, kuna mahali alipigwa mawe, alichokifanya alichoropoka tu sio kulianzisha japo alikuwa na uwezo huo,
    Hata aliwaambia wanafunzi wake kuwa baba yake ana uwezo wa kumuagizia malaika, lakini hakutaka.

  • @elegantladieszone7301
    @elegantladieszone7301 2 года назад

    Safi sana Chief Mwantembe.
    Umejaa hekima, Bwana YESU azidi kukubariki Baba.

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 2 года назад +8

    Daaah nimekuelewa sana mzee wa Upako🤗🙏ubarikiwe sana

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 года назад +4

    Mzee baba umenifurahisha sana!! Maana unayoyasema aise ni kweli!! Ubarikiwe sana!! Kimaro alikosea bana!! Tena alikosea kweli!!

  • @rubenkategere3348
    @rubenkategere3348 2 года назад +8

    Inatubidi tutambue ya kwamba mkiona hivo huwezi kujua ni vitu gani walivipata kutoka kwa mchungaji dkt Eliona Kimaro ko msimlaum Sana mchungaji wala wakristo Kwanza mjue kiundani ulitaka kuoji kiundani Kwanza uelewe sakata kiundani na tatizo siyo misingi ya KKKT binafsi namuelewa mchungaji Kimaro popote pale Mwenyezi Mungu akujalie sanaaaaa Baba Mchungaji 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌

    • @rozaliageofphrey6049
      @rozaliageofphrey6049 2 года назад +2

      Changamoto ni waumin kuto mlilia Mungu na kumlilia kimario

    • @emmanuelndanu770
      @emmanuelndanu770 2 года назад +1

      Mungu hutumia mtu mtu kubariki mwingine. Kumlilia mtu haimaanishi humtambui Mungu Yesu mwenyewe alimlilia Lazaro alipofariki, hii ni ukaribu uliopo baina ya mtu na mtu huleta majonzi Kwa wampendao hata ww ukipoteza au kuwekwa mbali na mtu mwenye thanani kwako huzuni lazima.

  • @nasibusapali9025
    @nasibusapali9025 2 года назад +1

    Point Sana umeongea mzee, I think kitu kingine kilicho kosewa hapo kkkt alipo kua kimaro Ni uhamisho huenda amehudum kwa mda mrefu na akaanza kujijengea ufalme wake na sio ufalme wa mwenyez Mungu, Sasa Kama akirud kutumika bas inafaa awe anapewa mda mfupi mfupi sehem ya kutumika CZ tayali kupitia hili limemtia doa sana

  • @livingstonemsungu9694
    @livingstonemsungu9694 2 года назад +3

    Daaaah Aiseee, Ninazidi kuelewa na kujifunza Mengi, kuna Baadhi ya Mambo nimekuwa sikuelewi elewi but Katika hili well speaking 100%%%%
    My God bless you.

  • @aristidesvedasto7855
    @aristidesvedasto7855 2 года назад +5

    Hongera mzee Lusekelo kwa maneno mazuri ya busara

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 года назад +5

    Uko vizuri baba.Mungu azidi kukutumia

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 2 года назад +1

    leo Lusekelo kaongea pointi 100% kkkt ni taasisi kubwa kuliko kimaro inamisingi yake imara lasivyo isingefika leo hii, wanaoandamana hawajui misingi na kanuni za kkkt. kimaro ni mwajiriwa kama waajiriwa wengine anapangiwa na mwajiri wake, anaweza akapelekwa sehemu yoyote kwaajili ya kutumika pasipo kusita, anaweza kuachishwa kazi au kusimamishwa kazi kwa mujibu wa kanuni za utumishi. kimaro yeye anazijua taratibu za kanisa lake ndio maana kakubali kwenda likizo. kazi imebaki kwa washirika wasioshika neno wanaandamana.

  • @luganojimmymwakalinga5392
    @luganojimmymwakalinga5392 2 года назад

    Basi tu wajumbe kwa ajili ya kristo kana kwamba Mungu anasihi kwa vinywa vyetu,twaomba ninyi kwa ajili ya kristo mpatanishwe na Mungu.2wakorintho5:20.

  • @melikizedekingimbuchu4555
    @melikizedekingimbuchu4555 2 года назад +1

    Mzee wangu ubarikiwe sana

  • @johnlukanga2004
    @johnlukanga2004 2 года назад +7

    Nimekuelewa sana baba barikiwa sana

  • @bensonlaizer8224
    @bensonlaizer8224 Год назад +3

    Mzee wa upako umenyooka kama Rula…Shikamo Mzee wa Upako🙏🏽

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 Год назад +1

    Word of wisdom

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 2 года назад +1

    Umeongea point sn... Eti asitamani kuja huku, kuna mawe...!!! 🤣🤣

  • @peterrose2022
    @peterrose2022 2 года назад +1

    na ndio maana mnatumia uganga kuvuta waumini kuwadanganya pia. wewe sio Mungu ni binadamu acha kuhukumu. nibora ungekaa kimya kuliko kumsema mtumishi mwenzako. Mungu akurehemu.

  • @jovinathobias7163
    @jovinathobias7163 2 года назад +3

    Nakukubali sana Mzee wetu wa upako, Mungu akutunzeeeee, Amina

  • @yasinimmbaga1061
    @yasinimmbaga1061 2 года назад +2

    Barikiwa sana mzee wa upako,,,,una hekima sana. Tunahitaji viongozi wa dini wa aina yako

  • @marryswai5456
    @marryswai5456 2 года назад +1

    Asante baba kwa maneno yako ya.busara Mungu akubariki sana

  • @blessednassary8432
    @blessednassary8432 2 года назад +8

    Umetisha Mtumishi barikiwa sana kwa maneno yako yanayoonesha ukomavu mkubwa katika imani

  • @festaelieza3556
    @festaelieza3556 2 года назад +5

    Uko sahihi kabisa mtumishi hata mimi binafisi nimechukizwa mno na matamshi ya kimaro Kkkt hatutaki ujinga analeta udini na dharau

  • @judicagodwin6147
    @judicagodwin6147 2 года назад

    Mzee wa Upako Mungu akubariki.umejawa na hekima.ulichozungumza ni ukweli asilimia 200

  • @jefrineliaselias691
    @jefrineliaselias691 2 года назад +1

    Kwani wao wanamuabudu kimaro au wanamuabudu YESU Kristo kimaro yeye Nani kwani kanisa ni kubwa kuliko Kimaro

  • @gracejoshua9872
    @gracejoshua9872 2 года назад +1

    Umenifundisha sana leo Imani Mtumishi,umeiva ki Imani,
    Nimejifunza sana kwako,

  • @irenelulu530
    @irenelulu530 2 года назад

    Too much wisdom mzee wa upako nmekuelewa

  • @christophercostantine7497
    @christophercostantine7497 2 года назад +5

    kinachotusumbua watanzania Tunapenda Sana Madhehebu/ Dini kuliko Neno la Mungu ,pia Tunapenda Sana miujiza kuliko ile kweli ya Mungu na ndio maana hao waumini walimpenda Sana Mchungaji wao kuliko kulipenda Neno la MUNGU, maana Upendo haubagui Wala hauchagui , kwahilo waumini wamechemka Sana .

    • @jovinathobias7163
      @jovinathobias7163 2 года назад

      Sana, pia mchungaji kwakweli alikoseaaaaa

    • @kimaroamon9008
      @kimaroamon9008 2 года назад +1

      Huyu anatafuta kiki chapii hananipya kashalewa k vant huyu

  • @deodatuschristian3447
    @deodatuschristian3447 Год назад +1

    Mzee waupako mwenyezi mungu hakubariki unaongeaga ukweli

  • @bettykihwele7713
    @bettykihwele7713 2 года назад

    Mtumishi wa Mungu ni moto . Haya ni matokeo ya kazi yake njema. Isipokuwa ni wakati tu inabidi apitie ili kesho amende kule kwenye kusudi la Mungu. Nyakati kama hizo lazima watu wengi hata usip tegemea wainuke kinyume na wewe. Hii interview inaonyesha ili andaliwa kabisa. Yote katika yote Mungu atadhihirika

  • @mdhakirukashakara1626
    @mdhakirukashakara1626 2 года назад +1

    Shindeni ubaya kwawema, huu niwakati wakumwombea kimalio, tusiangalie alikoangoka bali alikojikwaa. Kumbuka anapopingwa mtumishi wa mungu na wakristo wenzake shetani anakuwa anafanya sherehe kuzimu na jeshi lake, nawaomba Jaribu hili tulishinde tusinungunikiane Bali tuelekezane.

  • @ennyngalawa2809
    @ennyngalawa2809 2 года назад +1

    Uko vizuri

  • @meshackhaule
    @meshackhaule 2 года назад +1

    Angepachikwa swali je yule aliecheza nyimbo ya harmonize kule arusha je ni sawa??

  • @godwinemanuel4546
    @godwinemanuel4546 2 года назад +1

    Noted...

  • @rehemaomary842
    @rehemaomary842 2 года назад +2

    Mtumishi wa mungu unazungumza kweli mtumishi umesema kweli wewe endelea kufundisha mungu akubailiki sana.

  • @yonauriyo1221
    @yonauriyo1221 Год назад +1

    Nadhani tu, angalia zaidi kanisa lako, waache na yao, maana kila mtu ana maoni tofauti hata kuhusu huduma yako pia.

  • @elinsamoshi3213
    @elinsamoshi3213 2 года назад +1

    Barikiwasana mtumishi

  • @ernestgeorge8412
    @ernestgeorge8412 2 года назад +1

    Baba upo sawa kbsa huwez kusifia watoto wa jirani naww funza wakwako.... Kimario ajipange kisawa sawa bado sanaaaa

  • @westmanmoses541
    @westmanmoses541 2 года назад +4

    Yuko vzr sana aisee. Mungu akuongezee hekima na busara

    • @zawadikimaro4087
      @zawadikimaro4087 2 года назад

      Unaongea nn wewe mbona hueleweki. Mchinjaji yupo vizuri sana hakuna Kama KIMARO

    • @haruniaisha5905
      @haruniaisha5905 2 года назад

      @@zawadikimaro4087 pole ndugu naona linakugusa ila ujue kkt sio ya kina kimaro

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 2 года назад

      Kimaro kwisha kabisa

  • @prophetmlokozi4633
    @prophetmlokozi4633 2 года назад +5

    Ubarikiwe mzee wetu

  • @dicksonpangani1644
    @dicksonpangani1644 2 года назад +23

    Uko safi sana kutafsiri mambo kwakweli big up kiongozi

    • @ngusekisu6746
      @ngusekisu6746 2 года назад +1

      Nimekuelewa baba kumbe unakitu cha Mungu sana. Mimi niseme TU Mungu akutunze na Mungu akukumbuke

    • @michaelbengesi9838
      @michaelbengesi9838 2 года назад +1

      Majibu yenye Hekima Sana

  • @modestsharia7127
    @modestsharia7127 2 года назад +9

    Umenena vizuri sana Mzee wa upako

  • @jeremiahmarcell9116
    @jeremiahmarcell9116 2 года назад +3

    Kuna kitu tunatakiwa kujifunza Ukristo ni Upendo,Uvumilivu na Maombi kwa maana vita vyetu sio vya mwili bali vya rohoni,Hekima itutawale siku zote, Mwenyezi Mungu atusaidie tupate mwisho Mwema.

  • @maarifatime5391
    @maarifatime5391 2 года назад +4

    Nimekukubali Leo
    Umeongea vizuri sana

  • @hosianaisrael8939
    @hosianaisrael8939 2 года назад +4

    Nimeipenda hekima iliyoko ndani Yako mtumish wa Mungu,,,,

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 2 года назад +1

    Kawahi kuhukumu, ameonesha haguswi na kusimamishwa kwa Mchungaji Kimaro, imani haiendi hvyo... Ana chuki ndani yake dhidi ya Mchungaji Kimaro.

  • @erickmisilakuba6426
    @erickmisilakuba6426 2 года назад +6

    Mzee Leo umeongea points, hakika umeongea vzr

  • @ebenezermachange1073
    @ebenezermachange1073 2 года назад +6

    Oo haleluya baba mchungaji mzee wa upako nnakkbali sana Kwa hekima zako zenye ukweli hakika umekamaa kiroho, ushauri wako umebeba mapenzi ya Mungu..Oo Glory to God

    • @eshimbise3096
      @eshimbise3096 2 года назад

      Ongea kweli Ebenezer Machange.itakuweka huru.Acha kumuogopa mwanadamu.Lazima kuilewa biblia sio mtu.Pole

  • @israelgershom4198
    @israelgershom4198 2 года назад +3

    Mwenyez Mungu akubarik mzee wa upako

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 2 года назад +10

    Ila kiukweli kimaro alitoa choz lenye hasira na maumivu ya kitu alichotendewa ambacho waumini hatukijui..ila alikosea tu alipotamka kuwa nimewatumikia sana.alisema ivo akiwa kwenye dimbwi kubwa la majonz juu yalomkuta.pia waumini hawajafanya vema kuandamana wangefata taratibu za kitaasisi.

    • @elizabethmrema6598
      @elizabethmrema6598 2 года назад +3

      Mungu amesamehe tu lkn pia jmn kuna ubinadamu jmn hayo maomb ameyafany kwa uchungu aliokua nao jmn ubinadamu umemwingia jmn akapata uchungu alioshindwa kuustahimili jmn asamehewe jmn

    • @boscomwangosi1042
      @boscomwangosi1042 2 года назад +1

      Ni kweli lkn alitakiwa ajutie kosalake kwanza unaposema vijana wa kikristo sio waamifu nawewe ndio mchungaji yaan ni mwalimu wao inamaana umefeli.pia unaposema wanaksimama mdhabauni ni matepeli umemaanisha na wewe pia ni tapeli.sasa Kama wewe ni mwajiwa wa luthelani unataka muajili wako akufanyeje?na umekili wazi vijana wa kiisilamu ndio waaminifu .inamaana vijana wa kikristo wahamia kwa waisilamu kwa maana ni waaminifu.hapa tukubali tukatae yeye alikusea aomve msamaha

  • @elizabethkayombo5284
    @elizabethkayombo5284 2 года назад +1

    Amina baba Mch umeongea vema.

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 2 года назад +4

    Hongera sana, umenena vyema

  • @meshackmwangiministries.1748
    @meshackmwangiministries.1748 2 года назад +4

    Ubarikiwe sana mzee weyu Lusekelo neno hilo na ushauri ni wa busara sana, nakubaliana na wewe kwa asilimia Fzoote. Mungu wa mbinguni akulinde.

  • @dafrosasaturuminmarandu1095
    @dafrosasaturuminmarandu1095 2 года назад

    Mungu akusaidie mwenyewe hauko sawa!!!!

  • @TheMakala21
    @TheMakala21 2 года назад +3

    Umeongea kweli kabisa mtumishi wa Mungu

  • @samuelmwaipopo1302
    @samuelmwaipopo1302 2 года назад +2

    Wa upakooooo tuko pamoja Hapo 😁😁😆😆 yule mwamba kimaro kazingua Sana.

  • @meckmafie2732
    @meckmafie2732 2 года назад

    Tatizo kubwa dini zikikosolewa mnafikiri ni Mungu ameguswa. Poleni lkn huo ndio ukweli mtupu. Kwa mfano tukisema tuliwahi kumuona mmoja anatukana waziwazi majirani zake tutaambiwa tumemkosea Mungu.
    Tujirekebishe tumrudie Mungu na tubaki ktk uaminifu. Hivyo tu

  • @joycemichael4086
    @joycemichael4086 2 года назад +1

    Hapo umeongea point baba,,,hakuna kuandaman ni kupiga goti kwa MUNGU

  • @priscamavindi4082
    @priscamavindi4082 2 года назад +3

    Mungu akutunze,na aendelee kuidumisha hekima iliyo ndani yako

  • @gwamakangwala6468
    @gwamakangwala6468 2 года назад +1

    Kimario au Kimaro?

  • @mesaitv
    @mesaitv 2 года назад +6

    Uko sahihi sana sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana sana, kweli kabisaa maandamano ya mkristo ni MAOMBI

  • @ej4409
    @ej4409 2 года назад +4

    LEO NIMEKUELEWA SANA MZEE, UKO VIZURI SANA, UBARIKIWE.

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 2 года назад +4

    Ubarikiwe sana

  • @amibeamibe7261
    @amibeamibe7261 2 года назад +1

    Kkkt navyoijua na uongozi wake, kuna jambo wanaona waliweke sawa kabla ya magumu huko mbeleni. hivyo basi MUNGU azidi kuwapa hekima zaidi. Mzee wa upako una busara nyingi na kwa maongezi haya UMEONGEZA uaminifu mkubwa kwa waumini. Mungu awaheshimishe nyote watumishi wa Mungu.

  • @kikotietv1576
    @kikotietv1576 2 года назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi umeongea vema

  • @ldngowo
    @ldngowo 2 года назад +17

    Kwakweli huyu mzee ana busara sana. Hongera mzee wa upako. Ameongea vizuri mno na ukomavu mkubwa. Kanisa linayo misingi lazima ifuatwe. Nimeipenda hiyo na ushauri alioutoa kwa mchungaji pendwa kimaro ni ushauri mzuri sana. Hongera

    • @richardmoses973
      @richardmoses973 2 года назад

      Kwani Kimaro wakati wanaandamana alikuepo? maana huyu mzee anamwandama mtu aliyekua nyumbani kwake ambaye hakuepo kwenye maandamano sasa sijui kamwingiza vip kwenye maandamano

    • @alexandernkwamah5905
      @alexandernkwamah5905 2 года назад

      Umekomaa. Ubarikowe na ushauri mzito lwa Kimaro. Bado mchanga kwa mambo ya kiutawala. Utii ni bora kuliko sadaka.

  • @chadulagajuliard2130
    @chadulagajuliard2130 2 года назад +1

    nimekuelewa sana mchungaji mtu wa iman anaandamanaje kwa mfano hiyo ni siasa sasa sio dini

  • @kamazimakyaruz1219
    @kamazimakyaruz1219 2 года назад +1

    Kwakweli umeiva ,mala ya kwanza numekuelewa, umempa ushauri bila unafiki. Kkkt imejengwa kwenye misingi imala. Walijaribu ,kuitikisa baadhi ya maaskofu, akiwemo Mgwamba, iko imala, Mungu uwapinga wenye kiburi na uwape neema wanyenyekevu,, Kimalo, kiburi .

  • @agnesmangale3163
    @agnesmangale3163 2 года назад +2

    Mungu awasaidie wachungaji na awalinde wanapo pitia majaribu in Jesus Name. Naawaongoze kwa kila jambo..Ninawaombea Mungu awajaze Imani ipitayo yote ili mjaribiwapo msilitende dhambi in Jesus Name..

    • @adeladaudi2047
      @adeladaudi2047 2 года назад

      Mara ngapi wewe unaongea Mambo ya siasa kanisana? Acha hizo kawambie watu wapokee magari aliyoyasahau Babu yako, acha kumsemea maneno magumu Mtumishi aliyekemea dhambi, usihukumu usije ukahukumiwa. Kwanini nani alikwambia mtu anahubiri kumtisha Mungu? Kumbe haujui kuwa watu wanahitaji kuhubiriwa?

  • @eaglecrown6470
    @eaglecrown6470 2 года назад +5

    Nimekuelewa sana🙏🏿🤔

  • @rachelngereja7209
    @rachelngereja7209 2 года назад +6

    Mungu akuweke miaka mia Mzee wa upako umeongea point

  • @naomiphabian2393
    @naomiphabian2393 2 года назад

    Hapo sio sawa baba nawewe ni walewale

  • @fmachenje
    @fmachenje 2 года назад +8

    Mzee wa uko sahihi, napenda hekima yako! Ubarikiwe

  • @fibesolomon926
    @fibesolomon926 2 года назад +1

    Uko sahihi mchungaji Lusekelo wamwabudu Mungu sio Kimaro

  • @everlynenanjala9747
    @everlynenanjala9747 2 года назад

    Oooh mpotevu wewe unambingu ww unayejita mzee wa upako mnafiki kabisa,, kimaro alikosea wapi??unapo sema Anakin hukohuko,, unamaana wewe ,una mbingu?? Mungu ndiye mwanye enzi na hesha ,, wewe ndiwe utakataliwa siku y mwisho wewe mnafiki kweli kweli,,hamtaki dhambi ikemewe?? Oooh poleni sana MUNGU aingilie Kati , wee wa upako hunalolotee wewe heri unge funga kinywa usiwe shahidi mwongo,

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 2 года назад +3

    Excellent Mzee wa Upako hata angefanya nini amekosea na watoto aliowalea ndio wameharibu zaidi sasa wamfuate huko huko. 🌹🌹🌹🇹🇿🇹🇿🇹🇿Uhamisho wa Makanisa makubwa ni utaratibu kama mwalimu unapelekwa popote nchini huna kwako alitakiwa kukaa kimyaa ona sasa umechochea uharibifu.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Год назад

    Umeeleweka.mzee.wa upako watu wanaweka iman kwa wachungaji anae wasaidia sio kimaro bali yesu ndani ya kimaro

  • @sarahitambu5586
    @sarahitambu5586 2 года назад +2

    Mmh,' Kukaa kimya pia ni sehemu ya ushindi! Mungu ndio ataweka wazi kila jambo kwa wakati wake!

  • @emmanuelmashita8834
    @emmanuelmashita8834 2 года назад +3

    Nimemuelewa Sana huyu mtumishi. Hivyo ndivyo ilipaswa kuwa

  • @bahatifrank4869
    @bahatifrank4869 2 года назад +1

    Good sir

  • @dunstanmlundilo84
    @dunstanmlundilo84 2 года назад

    Jamani jamani mh mimi nasema migogoro inasbabishwa shetani na ujinga kumpa nafasi shetani 2 mwl mkuu hawezi kumgomeza mwl wakawaida mbele ya wanafunzi wanao mpeda nawanafunzi wenyewe wakubwa .......akili ni mali karudishwa ameshinda sasa

  • @upendomollelu7260
    @upendomollelu7260 2 года назад

    Safi I Sana Mzee lusekelo nimependa hekima iyo ya Kimungu kabisa nimejifunza pia.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 2 года назад

    Kimaro huwezi kumsemea vizuri kwa sababu alifanya kazi kubwa ya kufungua waumini wanaoumizwa na manabii wa uongo.

    • @nicksonthomas5429
      @nicksonthomas5429 2 года назад

      Kama umemsikiliza vizuri mzee wa upako hajamsema vibaya kimaro ila amesema waumini ndio waliokosea kufanya maandamano imekuwa kama siasa lakini pia yale maombi kiukweli hayajakaa sawa kivile yanachochea kitu rohoni maana alipendwa

  • @ivanmatalu4028
    @ivanmatalu4028 2 года назад +9

    Kwa MUNGU kuna kila aina ya uzuri. Umejaliwa Hekima nyingi mno Anthony Lusekelo(Mzee wa upako). Anapaswa akusikie Mchg. Kimaro. Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 2 года назад +1

    Japo mm sijaona mahali mchungaji Eliona Kimaro amechochea vurugu Wala sijasikia Kwenye interview yeyote

    • @nin6324
      @nin6324 2 года назад

      Zipo interview anazobeza vijana wa kikristo kwakuwa tuu kuna vijana wake shambani kwake sio waaminifu lakini pia ipo clip anatukana hadi wazee wa kanisa na watu wanaosimama madhabahuni. Kiufupi amehasi dini yake kama vile anataraji kuwa Muislam Hivi karibuni.

    • @mbarikiwambarikiwa6479
      @mbarikiwambarikiwa6479 2 года назад

      Angalia kwenye vyombo vya hbr ndg utaona. Hata Mimi baada ya kuziona nilimpatia muda kidogo tu., Na kweli ikawa.

    • @shadrackkassale2968
      @shadrackkassale2968 2 года назад

      @@nin6324 hizo bado sijaona kweli nimeona tu Ile anasifia vijana wakiislam

    • @shadrackkassale2968
      @shadrackkassale2968 2 года назад

      @@mbarikiwambarikiwa6479 mana yake ulijua tu lazma iwe shida sio

    • @mbarikiwambarikiwa6479
      @mbarikiwambarikiwa6479 2 года назад

      @@shadrackkassale2968 ndio ndug

  • @nabiiwabwanafjcc7593
    @nabiiwabwanafjcc7593 2 года назад

    Siokweli mzee umebugi Sana hakuhamishwa kasimamishwa kazi angalia kosa usiropoketu

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 2 года назад

    Wale watatangulia kwa moto ,ni wachungaji , mmpewa kibali Bali mnapoteza kondo za mungu ,na kuweka chiki na mambo mengi kwa wenzenu ,,kanisa limekuwa kitega uchumi ya watumishi ,na hata hamna haja ya kushugulikia ,,Wajane na Yatima ,,,Yesu yuhaja upesi ,,

  • @yohanasosimbwilo2039
    @yohanasosimbwilo2039 2 года назад

    Ni sawa lkn msisahau historia....Yesu alipokwenda kanisani na kuwasambaratisha watu walioligeuza hekalu kuwa sehem ya biashara ...wale thenashara walikuwa upande wa Yesu kumkinga dhidi ya Ile fujo....kwa hiyo muyaonapo haya ... Asomaye na afahamu.....chukizo la uharibifu limesimama mahali pasipo pake!!!!

  • @guzurajonas3334
    @guzurajonas3334 2 года назад +3

    Upo sahihi mzee wa upako!
    Kimaro hakupaswa kulia kbs mimbarani, pale alikuwa anawachochea waumini kuandamana.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 года назад

      Saana na ameleta fujo kanisank,Kanisa lote haliwezi kwenda Mbinguni leo

  • @josiahbineguro6393
    @josiahbineguro6393 2 года назад +5

    Mungu akubariki Sana kwa kuuongea ukweli safiiii

    • @mkuukimaro2001
      @mkuukimaro2001 2 года назад

      Nakukubali sana mzeewaupako ukovizur

  • @jastinmdaki8025
    @jastinmdaki8025 2 года назад +1

    Kweli kabisa Chief

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 2 года назад

    Waganga njaa bhana. Huyu nae mmemuhoji 😂😂😂 aliye sema tupige ulabu. Dah! Waandishi wa habari bhana.

  • @eliamanigolitagolitamsengi9348
    @eliamanigolitagolitamsengi9348 2 года назад +5

    Mzee wa Upako uko sahihi Kwa 100%.

  • @robertnicodemas5853
    @robertnicodemas5853 2 года назад +3

    😂😂😂😂 mzee wa upako jamani yaani anapasua mawimbi hatari

  • @robertmodestmushema1297
    @robertmodestmushema1297 2 года назад +2

    Amesema ukweli Mtumishi wa Mungu. Option sahihi ilikuwa ni kuingia kwenye maombi.
    Haya ya kuandamana ni siasa tu.
    Sasa..CHADEMA njooni mchukue clip mkamtukane huko Twitter.

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 2 года назад

    Hivyo ndugu zangu katika KRISTO tusiwadharau wakuu wa wachungaji wetu maaskofu wadogo na wakubwa, hata YESU ✝️ alijishusha baada ya kumponya mwenye ukoma akamwambia nenda Kwa kuhani mkuu ukatoe sadaka Kwa mujibu ilivyo pangwa, japo YESU alikua anauwezo wa kumwambia Mimi ndio kuhani mkuu lete sadaka yako hapa.

    • @lameckmathias1188
      @lameckmathias1188 2 года назад

      Kama na kuelewa hivi!, Maana yake utukufu na ukuu apewe Mwenyezi MUNGU baada ya matendo makuu na uponyaji na siyo kumtukuza mwanadamu. "Noted"

  • @officiallugano8991
    @officiallugano8991 2 года назад +30

    Huyu mzee kaongea vizuri but if you out of mind you can't understand

  • @mc_lookx_wa_ole_sauroo
    @mc_lookx_wa_ole_sauroo 2 года назад +1

    Hapo mzee umeongea SAWA kuwa waumini wamekiuka waliyofundshwa...ila naona kimaro Hana tatizo