KIINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 29

  • @MasoudNyoni-g8o
    @MasoudNyoni-g8o 20 часов назад

    Pongezi nyingi kwa ujumbe mzuri sana

  • @CultureWizard-w3z
    @CultureWizard-w3z 2 дня назад +1

    Shukran sana Mrindoko Kwa maneno yako ni mazito Kwa wasioelewa bali niya hekima Kwa wanao elewa huo msemo wako,kuwa kilichopo hakipo,kisichokuwepo kipo

  • @RamadhaniBahebe
    @RamadhaniBahebe 2 дня назад +1

    Uwezo mkubwa sanaa brooo

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 2 дня назад +3

    Mm naamini unaweza kuendelea kutufundisha bila kudhihaki Imani za watu , haijalishi unachoamini au usichoamini ila bado unaweza kutoa mafundisho bila kudhihaki DINI za watu.

    • @nickyvanich6214
      @nickyvanich6214 2 дня назад

      Imani nayo ni topic ambayo anaiona ni nyeti sana inayotutoa kwenye huo msitari anaoutaka yeye, ktk vitu vyote ambavyo anaona vinatuyumbisha yeye anaona ni dini, ugonjwa mkubwa ni dini, sasa lazma aiseme dini kwenye kila topic.

    • @Abdulrahmanhassan18
      @Abdulrahmanhassan18 День назад +1

      @nickyvanich6214 wapo watu ambao hawaamini kwenye DINI lakini wanapofundisha kile wachoamini wao huwa hawadhihaki dini za watu wengine.

    • @sangafedrick6619
      @sangafedrick6619 День назад

      Surely bro, anaweza kutufundisha vema Bila kuwa na dhihaka Kwa wengine Kwa kile wanachoamini

  • @magnioisso6792
    @magnioisso6792 2 дня назад +2

    Ishu hapa vitabu tunapatajee, Jomri Mlindoko.. kuwa serious bro

    • @paulmanjutu7553
      @paulmanjutu7553 День назад

      Tafuta video yake aliyotoa namba kwaajili ya kujifunza viapo 9 pale ipo namba yake

  • @PARTCOVERS
    @PARTCOVERS 2 дня назад

    Vizuri

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 2 дня назад +1

    Hii inamaana hatupaswi kuonyesha jitihada katika kutafuta kile tunachikiita mafanikio.?

  • @HajiSuswi
    @HajiSuswi День назад

    broo naomba mwongozo hicho kitabu ntakipataje

  • @AhaziBahalaye
    @AhaziBahalaye 2 дня назад

    🎉🎉😮

  • @DuoJoseph-rz6qx
    @DuoJoseph-rz6qx 2 дня назад

    Asante japo wengi hatukukaribishwa Duniani

  • @kitaadeogratiasackland208
    @kitaadeogratiasackland208 2 дня назад

    Nanunua at any cost

  • @sangafedrick6619
    @sangafedrick6619 День назад

    Hahahaha!! Unachosema ni kweli
    Kwa sababu unaweza Kuta mtu alikuwa anatamani Sana kuwa na kitu Fulani, akishakipata kile kitu anjikuta bado kuna kitu Zaidi anahitaji katika maisha
    Mfano mtu alikuwa anatamani amiliki nyumba akiipata anakuta aah!! Natamani niwe na gari, so naweza Amini unachozungumza

  • @donamaradona8035
    @donamaradona8035 2 дня назад +1

    Joseph tunapataje vitabu

  • @kitaadeogratiasackland208
    @kitaadeogratiasackland208 2 дня назад

    Tupatie vitabu mkuu

  • @RashidiYusuphu-f5q
    @RashidiYusuphu-f5q День назад

    Tunataka vitbu

  • @EmilyTembo-k7e
    @EmilyTembo-k7e День назад

    Sasa ambao hawajakaribishwa wafanyeje maana wameingia bila hodi wala karibu

  • @Mabokitz
    @Mabokitz 2 дня назад

    MRINDOKO UNATOA ELIMU KUBWA MNO IZO LUGHA TUNAOKUELEWA NI WACHACHE SANA AMINI KAKA

  • @jacksonseleman4292
    @jacksonseleman4292 2 дня назад

    🙌🙌🙌

  • @YusufBrazil
    @YusufBrazil 2 дня назад +1

    Jo wewe sio mtu wakawaida bal massy mweus umekokea ngombania kuelimisha jamiy

  • @BoscoMyinga
    @BoscoMyinga 2 дня назад

    Apa unaongea kama ticha sasa

  • @kingnyamafutv8646
    @kingnyamafutv8646 2 дня назад +1

    Sasa tatizo lenu wachokonozi niwabinafs vitabu hamuuzi mafundisho ya kindani zaidi hamtoi

    • @YalucLileZairois1643
      @YalucLileZairois1643 2 дня назад +1

      Fatiliya vizuri video yake ya dawakuu 2025 utaele vitu tofauti kama tu uta vitembeleya, tusiwa waku sikiliza tu asante.

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d 2 дня назад

    𝚂𝚊𝚏𝚒 𝚔𝚊𝚔𝚊🎉🎉