Hi dear naomba unisaidie juu me nina ngozi ya mafuta tena niko sehemu baridi ady saa zingne uso inanikua na makunzanzi yani mstari ngne chini ya macho na mdomo juu nilikua natumia cream kwa xaxa nmeasha juu inanishoma na pia cream inazeesha mapema kwa sababu iyo ndio nmesaha nataka uniambie mafuta mazuri ni ngae kam wwe
Na baweza kuwa namix hivyo vitu 3 t pale t ninapokuwa nataka kustrub mwili wng na uso wng ?yaan nisischanganye ikawa iko tayar tayar namix ndo napaka?nikihitaj kupakaa ndo namix ?hivyo
Jamani malaika nakupenda bure ila samahani unatumiya mafuta gani umependeza sana usijali jina la you tube natumiya e-mail y’a husband iPhone bwana na kichwa cangu cepesi kusahau nambiye unatumiya nini na hiyo scub uliyo yitaja ndiyo unayo tumiya
Jamani dada malkiya nimeitumia ni nzuri sana sana sana nakushukuru sana je naweza kujifanyia mwili mzimaa maana kiuso kimekuwa wawooo
We ni mrembo hiv wenzetu mnatumiaga mafuta yan had mnang'aa
Je haiachi ile rangi ya manjano mwilini? Hivyo vijiko vya manjano na asali ni vijiko vya chakula au chai?
Asante nimependa bureee nataka kujua zaidi mpenz
Thxsss so much dear. Nimekuewa vyema
Asante kwa somo,mie,ninakunyamo
Shower jel ya dove inafaa?
Samahan dada hv oliva oil unaweza kuweka kwenye loshen yoyote
Asante dear naomba kujua shower jelly ni Nini nipe mfano wake maana Mimi ni mgeny ktk urembi
Shower.gel ni sabuni ya maji
sabuni ya maji ya kuogea
Namim nikitaka kuuliza Asante dear kuuliza
Hi dear naomba unisaidie juu me nina ngozi ya mafuta tena niko sehemu baridi ady saa zingne uso inanikua na makunzanzi yani mstari ngne chini ya macho na mdomo juu nilikua natumia cream kwa xaxa nmeasha juu inanishoma na pia cream inazeesha mapema kwa sababu iyo ndio nmesaha nataka uniambie mafuta mazuri ni ngae kam wwe
Asante dadaa...nina swali....naeza eka shampoo?
Da malaika Mimi Nina madoa sugu nitumie Nini madoa ya sulua yalibaki usoni nikitumia hiyo scrub inaondoa kabisa?
Kwan nilazima kuweka shower jerry
Jelly wash nitatengeza mwenyewe ama nitaipata wapi
Je naweza changanya vitu 3 t manjan asal na Oliver oil ?
Sukari hauna??
Dada Mimi uso wangu una madoadoa na hayatoki nifanyeje nanimefanya iyo scrab toka mwezi wa 3
Asante da da. Nimeelewa somo ila nataka kujua kwenye shower jelly. Unatumia yoyote tu?
Shukran acha nijaribu nione
Nimekupenda bure
Shukran mamii
Na baweza kuwa namix hivyo vitu 3 t pale t ninapokuwa nataka kustrub mwili wng na uso wng ?yaan nisischanganye ikawa iko tayar tayar namix ndo napaka?nikihitaj kupakaa ndo namix ?hivyo
Asante sana kipenz changu penda sana
Asante kipenzi
Ahsante
Mi nimetemgeneza Ila hailainiki dear
Nakuelewa sana mpenz
Jamani malaika nakupenda bure ila samahani unatumiya mafuta gani umependeza sana usijali jina la you tube natumiya e-mail y’a husband iPhone bwana na kichwa cangu cepesi kusahau nambiye unatumiya nini na hiyo scub uliyo yitaja ndiyo unayo tumiya
Anatumia product zake...nhc fika dukani dear or mtafute whtsp
Safi sana dadate
Kam nnamanjano mabich naexa kutumia
Inadumu kwa mda gan
Sukar yoyote
Nimeitengeneza leo i wan try it
😍❤️
Samahan shawa jely ikoje
Unawez kupaka mwili mzima
Sukari kiasi gani mpenzi
Shabu Jyrr
Namba Yako dada
Je unachanganya na liwa
Upendeza sana sory my naomba ushaur wako nimetoka wekundu kwenye macho je naweza kutumia serum ya gluta kwa ajili yakuondoa wekundu
Tatizo awajibu maswal
Asante Madam
Nasi tunakupenda pia
Mimi uso wangu Haua chunusi nitumie nn
Uso wangu niwamafuta nifanye nn sijapenda
Mashaallah
Asante sana aialobiki
Hapana
@@malaikatvurembo samaan dada Kam una shawajery inakuwaje unaweza wek nn
Hicho cha mwisho no nn nifahamishe vizur
Hiyo scrab niliitaji ya biashara mtaniuzis sh nap
manjano yanapatikana maduk gan
Nenda maduka ya madawa ya asili au sokoni
Shawajeli ndo nn
Naomba unisaidie mafuta ya kuondoa makovu sungu na kuondoa vitundu usoni napatikana Moshi Kilimanjaro ntapataje na nibei gan?
Njoo whatsap 0786272249 nitumie picha ya ngozi yako ntakushauri
Huo mchanganyiko unafaa kwa uso wa mafuta??? Plz Dada🥰
Yes dear
Kwahy mwenye uso mkavu atafanyaje
Una rangi mzuri baby
Asantee mama🥰🥰
Asant sn dada umependeza rangi yk
🥰🥰
Nakupendaaa
my showjeli ni Kitu gani
Sabuni ya kuogea ya maji
Da malaik ujambo mm nilimtumia glute white lkin imenifny weusi mikononi
Zimechakachuliwa saivi mpenz njoo whatsap nitumie picha ntakushauri baada ya kuona ngozi yako
We Mwanamke ni mrembo sana
🥰🥰
Jamani shawa jelly ndo ipoje
Sabuni ya maji ya kuogea
Naje Kama Sina shawa jelly na tumia nini
Shawa jelly ipo je
Na inakaa mda gan bila kuhalibika
Haiaribiki kwasababu akuna kitu cha maji