Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mm natumia vaseline oil lkn uso wangu wa mafuta sana je naweza kutumiq na serum gani?
Unaweza kuchanganya bodyoil ya wix na wix serum yke
What a beautiful colour on a malaika❤But slow down Please while taking Dear your too quick...😘😘😘Greetings from Germany
Hi
Mm namadoa usoni alaf na uso wang una wang una mafut nipake mafut gan
Naipataje hii oil vitamin c
Dada.nina shida namabaka nitumia tumeliki oli
yaaan mmmmmh we umetumia ???
Asante nitakutafuta kipindi chako kizuri
Sasa hapo ungekuwa unatuambia ipi inafaa kwa watu weusi na weupe pia kwa aina gani ya ngozi zinazofaa🙏
Namba yenu
Naomba namba yako ili niipate hata Leo tafadhali
Nataka kuwa mama ww ila nikipaka mafuta nakuwa mwekundu
Mko wapi
Congratulations beautiful 💞💞💞💅💅💅
Asante kipenz❤️
Naomba namba kunamafuta natafuta au unayo nitapataje Isispharm neotone
Thanks
Samahani je ambao Wana ngozi kavu anaweza kutumia mafuta gani
Mafuta ya oil yanaweza kutoka vitundu usoni? Nijibu dada dijah
naomba niulize jamani bebecom glycerin normal and dry skin nizuli kuchanganya kwenye rosheni ya papaya
Tunazipataje
Unatumia kwamda gan
Bei gan
Naomba ni ulize nikuchanganya na mafuta ao nikuyapaka yenyewe mwili mzima???
Body oil unapaka yenyewe dear
@@bitunmwangas7231mnitoe ushamba ivi body oil na serum ni kitu kimoja au
Naitaji mafuta ya uson napataje
Unapaka mpaka uson mana ngozi yang ya mafuta na inateseka na chunusi
Hapana mwilin tu
Zipi tupakae mwili mzima Hadi usoni pls@@firdausissa1337
Zinapatikana wap
What can l use to look like you
Hello dear, Check me on my whatsap 0786272249
Mimi nahitaj ya kuondoa mabka
M nataka ya mtu mwny mafuta
Kabisaaa maana naona tuu anaongelea ngoz kavu🤔
Duka Leni liko wap
Mko sehem gan
Inapakwa mda gani?
Baada ya kupaka lotion juu unapaka oil
Mwaka usoni
Mwenye ngozi kavu anaweza kutumia mafuta gani
Yote nlotaja apo
body oil unaweza kupaka usoni??
Yes kama hauna chunusi
Turmeric oil inafaa kupaka usoni
Wakwanzaa muwe natwambia unaipaka mdagani na jinsi yakuipaka
Okay dear
malaika baby tulioko iraq my tusaidie tupate na sisi my dear
Nadhan kwa dhl mnatumiwa japo sijawah tuma iraq
Me ni mweus natak nin,gae
Mm natumia vaseline oil lkn uso wangu wa mafuta sana je naweza kutumiq na serum gani?
Unaweza kuchanganya bodyoil ya wix na wix serum yke
What a beautiful colour on a malaika❤
But slow down Please while taking Dear your too quick...😘😘😘
Greetings from Germany