KARANGA ZA MAYAI ZA BIASHARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • .KARIBU KUJIFUNZA ZAID KWENYE MAGROUP YETU YA WHATSAP
    0682456819
    0628080322
    ✡️KARIBU KUJIPATIA VITABU VYETU ILI UWEZE KUJIFUNZA ZAIDI
    BONYEZA LINK HIYO
    👇👇👇
    bit.ly/3TE8lKz
    KWA MAELEZO ZAID PIGA
    0682456819 Airtel WhatsApp
    VIDEO ZINGINE ZA MAFUNZO YETU MENGINE
    1. KWA VIDEO ZASABUNI YA MCHE NA MAGADI
    LINK.
    bitly.ws/XSwN
    2.KWA VIDEO ZA VIJORA
    LINK :
    bitly.ws/XSx2
    3.KWA VIDEO ZA SABUNI YA MAJI LINK
    bitly.ws/XSxg
    4.KWA VIDEO ZA UBUYU WA ZANZIBAR NA VIPANDE
    LINK
    bitly.ws/XSxt
    5.KWA VIDEO ZA PILIPILI
    LINK
    bitly.ws/XSxG
    6.KWA VIDEO ZA MAPISHI NA BITES
    LINK
    bitly.ws/XSxT
    7.KWA VIDEO ZA BATIKI ZA AINA MBALIMBALI
    LINK
    bitly.ws/XSy7
    8.MIREJESHO YA WANAFUNZI WANGU ONLINE
    LINK
    bitly.ws/XSyp
    9.VITABU VYETU
    👇👇
    Link
    10 .SEMINA MBALIMBALI
    👇👇
    bitly.ws/XSAb
    11.KWA VIDEO ZA POCHI ZA SHANGA
    👇
    bitly.ws/XSAg
    12.KWA VIDEO ZA SABUNI YA TIBA
    👇👇
    13.VIUNGO VYA CHAKULA
    👇👇
    bitly.ws/XSAx
    14.DARASA JIPYA LA VIUNGO
    👇👇
    bitly.ws/XSAF
    KARIBU SANA SUNRISE UJASIRIAMALI NI AJIRA
    NAITWA MWALIMU SALANGA

Комментарии • 38

  • @Rachel-q9m
    @Rachel-q9m 4 месяца назад +1

    Asante mwalimu ila minina swali hapo kwenye karanga hukutaja kama tayari ulikua uzikaanga pembeni mwanzo kabla hujamix au zilikua mbichi..naomba kueleweshwa ili nisikosee katka mapishi yangu..alafu pili unga uloutumia hukueleza labda ni unga wa Nini ni wa ngano au upo tofauti mwalimi naomba jibu lako.. Asante kwa kazi nzuri pia wengi tuna elimika sana

  • @roselinemihambo3203
    @roselinemihambo3203 Год назад

    Vizurii mwl 🥰🥰

  • @RizikiRaphael-c7g
    @RizikiRaphael-c7g Год назад

    Nzuri

  • @EdisaLaulian
    @EdisaLaulian Год назад

    Asante

  • @SalimAbdallah-fe7hg
    @SalimAbdallah-fe7hg Год назад

    Daaaah nimejifunza vzr sana nmekuelew asant sana bro mungu akuongezee ulipopunguziwa

  • @denisaugustino3570
    @denisaugustino3570 Год назад

    Nice congratulations 🎊 👏 💐 🥳 👍 👌 🎊

  • @shukrathhamza4298
    @shukrathhamza4298 Год назад +7

    Kwann tunaweka baking soda mwl

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  2 месяца назад

      Karanga za mayai huwekewa baking soda kwa sababu zifuatazo:
      1. Kuboresha ladha: Baking soda hutoa ladha ya kipekee kwa karanga kwa kuongeza kiasi kidogo cha uchachu unaochanganyika vizuri na viungo vingine.
      2. Kusaidia unga kushikamana: Inapochanganywa na mayai na unga wa ngano, baking soda husaidia mchanganyiko huo kushikamana vizuri na karanga, kuhakikisha mipako ya nje ni laini na yenye muundo mzuri

  • @Carren-ms2sc
    @Carren-ms2sc 5 месяцев назад

    Kaka asant samahan naomba unisaie nazingatia vitu gan ili nibandik stika kwen biashara yangu

  • @HusnaMaftah-n1w
    @HusnaMaftah-n1w Год назад

    Mwalim karanga kiasi gani?

  • @philemonPaul-d2b
    @philemonPaul-d2b 3 месяца назад

    Kazi ya baking soda ni ipi?

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  2 месяца назад

      Karanga za mayai huwekewa baking soda kwa sababu zifuatazo:
      1. Kuboresha ladha: Baking soda hutoa ladha ya kipekee kwa karanga kwa kuongeza kiasi kidogo cha uchachu unaochanganyika vizuri na viungo vingine.
      2. Kusaidia unga kushikamana: Inapochanganywa na mayai na unga wa ngano, baking soda husaidia mchanganyiko huo kushikamana vizuri na karanga, kuhakikisha mipako ya nje ni laini na yenye muundo mzuri

  • @NDAKASIMON-ym9pw
    @NDAKASIMON-ym9pw Год назад

    Vizurii mwl🔥🔥🔥

  • @roz3990
    @roz3990 Год назад +1

    Mwalimu karanga umetumia kiasi gani?

  • @zulfinachende1692
    @zulfinachende1692 Год назад

    Mashllh mwalimu unajua.. naomba kujua lengo la baking soda tafadhali

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  2 месяца назад

      Karanga za mayai huwekewa baking soda kwa sababu zifuatazo:
      1. Kuboresha ladha: Baking soda hutoa ladha ya kipekee kwa karanga kwa kuongeza kiasi kidogo cha uchachu unaochanganyika vizuri na viungo vingine.
      2. Kusaidia unga kushikamana: Inapochanganywa na mayai na unga wa ngano, baking soda husaidia mchanganyiko huo kushikamana vizuri na karanga, kuhakikisha mipako ya nje ni laini na yenye muundo mzuri

  • @RobertMeangomorrah-sg4oh
    @RobertMeangomorrah-sg4oh Год назад

    Mwalimu naomba unisaidie kazi ya baking powder Kwenye karanga

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  2 месяца назад

      Karanga za mayai huwekewa baking soda kwa sababu zifuatazo:
      1. Kuboresha ladha: Baking soda hutoa ladha ya kipekee kwa karanga kwa kuongeza kiasi kidogo cha uchachu unaochanganyika vizuri na viungo vingine.
      2. Kusaidia unga kushikamana: Inapochanganywa na mayai na unga wa ngano, baking soda husaidia mchanganyiko huo kushikamana vizuri na karanga, kuhakikisha mipako ya nje ni laini na yenye muundo mzuri

  • @EpikaAnastasius
    @EpikaAnastasius Год назад +1

    Samahani mwl Nina swali karanga zinachukua Mda gani mpaka zinaharibika

  • @RithaMushi-xn8ct
    @RithaMushi-xn8ct 9 месяцев назад +1

    Hv nikisagia eliki kwenye sukari inafaa.??

  • @IreneLasway-n5g
    @IreneLasway-n5g 2 месяца назад

    Ujajibu kazi ya baking powder!

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  2 месяца назад +1

      Karanga za mayai huwekewa baking soda kwa sababu zifuatazo:
      1. Kuboresha ladha: Baking soda hutoa ladha ya kipekee kwa karanga kwa kuongeza kiasi kidogo cha uchachu unaochanganyika vizuri na viungo vingine.
      2. Kusaidia unga kushikamana: Inapochanganywa na mayai na unga wa ngano, baking soda husaidia mchanganyiko huo kushikamana vizuri na karanga, kuhakikisha mipako ya nje ni laini na yenye muundo mzuri

    • @IreneLasway-n5g
      @IreneLasway-n5g 2 месяца назад

      Asante ​@@mwalimusalanga

  • @theresiakaoneka
    @theresiakaoneka Год назад +2

    Mwalimu naomba kujua kazi ya baking soda kwenye karanga

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  2 месяца назад

      Karanga za mayai huwekewa baking soda kwa sababu zifuatazo:
      1. Kuboresha ladha: Baking soda hutoa ladha ya kipekee kwa karanga kwa kuongeza kiasi kidogo cha uchachu unaochanganyika vizuri na viungo vingine.
      2. Kusaidia unga kushikamana: Inapochanganywa na mayai na unga wa ngano, baking soda husaidia mchanganyiko huo kushikamana vizuri na karanga, kuhakikisha mipako ya nje ni laini na yenye muundo mzuri

  • @NiahMrema
    @NiahMrema 10 месяцев назад

    Kaka unaweza kutumia karanga nyekundu

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Год назад

    😍😍😋

  • @Mwanaarab-m5e
    @Mwanaarab-m5e Год назад +1

    Huo unga vijiko vingap umetia

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  Год назад +1

      Unga unakadiria Hadi kiwango kinachotoshea

  • @mariamramadhani9282
    @mariamramadhani9282 Год назад

    Naomb kujua kwa kilo mbili nitumie ngano kiasi gani

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  Год назад

      Kiasi Cha unga unakadiria wewe tu unachohitaji na kutosha