ASKOFU KONKI AWAGEUKIA WANASIASA "WANAJIPENDEKEZA, WANAMPONDA JPM WANAMSIFIA SAMIA, NI UNAFIKI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 апр 2021

Комментарии • 221

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 3 года назад +24

    Leo nimetambua kwa nini Mungu alimchukua JPM mapema. Alitaka kuonesha kua Tanzania kuna hazina ya kutosha ya wazalendo. Mungu tujalie na umlinde Rais wetu mama Samia Suruhu Hassan

  • @staralive9260
    @staralive9260 3 года назад +24

    Baba Askofu umewasema watanzania asilimia 90% ambao walipenda kuyaongea hayo mbele za watu, lakini wewe umenena kila kitu kwa uwazi na Mungu akubariki sana, sana tena Sana. Hatuwezi kukubali ili wamshushe chini Magufuli halafu wao wapae juu kwa lengo la kuendeleza yao.!

    • @neemayangpigahaohaojamsjam1174
      @neemayangpigahaohaojamsjam1174 3 года назад

      Mungu akuongezeee uwaz uendelee kuwaeleza ukweli watu wanafiki

    • @rwandaafrika6173
      @rwandaafrika6173 3 года назад +1

      Nimefurai sana Na baba Askofu kwakweli Tuache kujipendekeza hahahah handi Raha kwakweli hivi kweli Ndugai na wezake wapeipata hilo

    • @Worldunite
      @Worldunite Год назад

      Nimekukubali

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 3 года назад +18

    Upendo wajabu Tanzania ndugu moja God bless us.

  • @evapendo7255
    @evapendo7255 3 года назад +18

    Umeongea ukweli baba mungu akuzidishie

  • @mosesmkoma6882
    @mosesmkoma6882 3 года назад +27

    Na kawaida ya mnafiki anataka awe rafiki wa kila mtu kwa kumfitini mwingine

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 года назад

      👌🏿😂😂😂 kweeeeliiii

  • @jozeeamos1160
    @jozeeamos1160 3 года назад +6

    Yaani Askofu umetufurahisha saana watanzania na Mungu akubariki sana

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 3 года назад +14

    Baba askofu umenena KWELI RIP MH JPM MWENDO UMEUMALIZA IMANI UMEILINDA

  • @adelambilinyi3625
    @adelambilinyi3625 3 года назад +15

    Waambie hao baba unafik ni mbaya sana

  • @catherineamos7087
    @catherineamos7087 3 года назад +2

    Umenifurahisha sana Asikofu kweli ww ni Mtumishi wa Mungu

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 года назад +4

    Jamani askofu wa kanisa gani? Shikamoo baba askofu Mungu akulinde Mama yetu Samia mpendwa umesikia, tunaomba usijewasahau wanasiasa ukawateua kwenye hata nafasi ya ukilanja.👏👏👏👏👏👏

  • @bahatisanga8664
    @bahatisanga8664 3 года назад +13

    Tanzania kwanza mengine badaye rip jpm

  • @husseinymhini9424
    @husseinymhini9424 3 года назад +42

    Umeongea kweli askofu wanasiasa ni wanafiki Sana!

  • @zakamorash9210
    @zakamorash9210 3 года назад +5

    Asalamu Alaikumu Askofu. Kauli yako Ina nguvu ya mungu Hao Wanafki Washindwe.

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 3 года назад +10

    Wape bababaaaaaaa👏👏👏👏👏👏

  • @michaelluoga5131
    @michaelluoga5131 3 года назад +13

    Haya makongamano yakifanyika mara kwa mara hakika hakuna mtu atakaekuja kutukugawa

    • @hamisikaisi461
      @hamisikaisi461 3 года назад

      Kabisaaa

    • @beaugosseadam6831
      @beaugosseadam6831 3 года назад

      Kutokumheshimu na kuacha kumzihaki JPM vitatugawa tena sana. Kumheshimu na kumheshimisha vianzie kwa huu Rais aliepo madarakani. Bila hivyo aisee!!!!

    • @MiaTheLathini
      @MiaTheLathini 3 года назад

      Samahani kwa usumbufu
      ruclips.net/video/ZdxcRPDbVIc/видео.html
      👆Tafadhali naomba unisaidie kubariki Safari yangu ya Sanaa
      Kwa kunipa maoni yako juu ya wimbo wangu huo mpya
      UbArikiwe
      Thanks

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 3 года назад +14

    umejua kuwanyoosha, akili zao wizi tu, wanasiasa malaya malaya washindwe kwa jina la yetu, RIP JPM 💔 daima kila la heri mama Samia💖#kaziiendelee

  • @victormlokozi5103
    @victormlokozi5103 3 года назад +10

    Kweli wanajipendekeza kabisa

  • @khatibumwalimu591
    @khatibumwalimu591 3 года назад +4

    Shekh jongo asante sana sana asiyeelewa haelewi tena mpaka aonfoke duniani

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 3 года назад +8

    Umesema ukweli baba ubarikiwe sana

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 3 года назад +3

    Be blessed servant of God i agree with that servant of God

  • @samsonjoseph670
    @samsonjoseph670 3 года назад +7

    Asante sana mzee,umenena!..

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 3 года назад +6

    Asante kwa kuwapa vidonge vyao.

  • @hamisim.likulile5087
    @hamisim.likulile5087 3 года назад +1

    Sheikh has critical thinking GOD BLESS U

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 3 года назад +2

    Viogozi wa dini muhimu. wanatupa moyo na wanapo shirikiana mungu hubariki.nafurahia umoja

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 3 года назад +1

    Ndiyo uwo uzalendo Big up askof 🙏🙏👍👍

  • @vailethliduke5165
    @vailethliduke5165 3 года назад

    Fact kwakweli Mungu akujalie maisha marefu.yenye Barak a Tele baba askofu

  • @robertsamsonmasanja9097
    @robertsamsonmasanja9097 3 года назад

    Congatrationn baba asikofu wanataja kujinufaisha kisiasa kupitia hayati raise wetu

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 года назад +3

    Wewe ni mtumishi wa Mungu wa kweli.

  • @florajoseph2786
    @florajoseph2786 3 года назад +1

    Asante mtumishi wa Mungu 👃

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 Год назад

    Ahsante askofu..waeleze.wanafki.

  • @charlestogolai1407
    @charlestogolai1407 Год назад

    Mungu akubariki sana wewe nimsema kweli

  • @tumainimnzava320
    @tumainimnzava320 3 года назад +7

    Haya maneno yataendelea kuishi. Tanzania ni moja

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 3 года назад +1

    Masha allah 👏👏👏👏

  • @barakamwakapoma2702
    @barakamwakapoma2702 3 года назад +2

    Safi Sana baba askofu kweli una upako wa Mungu

  • @annejacobilkiuyoni2971
    @annejacobilkiuyoni2971 3 года назад

    Duh asante sana mtumishi wa Mungu uko vzr sana.Nimekuelewa

  • @calolinamwandali3599
    @calolinamwandali3599 3 года назад +2

    Ofcourse your right

  • @senyagwadickson9084
    @senyagwadickson9084 Год назад

    Safi sana askofu waoe ukweli wao hayo machawa

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 Год назад

    Safe sana mtumishi wa Mungu.

  • @deograthiaslupindu255
    @deograthiaslupindu255 3 года назад +1

    Respect Askofu Konki, unatakiwa ulihutubie bunge!!!

  • @hassanmsipi4094
    @hassanmsipi4094 3 года назад +1

    Wamenifurahisha kwajuzingatia Afya zawatu wanaotumia mc kwakubadilisha cover ile

  • @benardsenguji8254
    @benardsenguji8254 3 года назад

    Tulijali Taifa letu.Vizur sana Shehe Jongo

  • @amoskalinga4146
    @amoskalinga4146 3 года назад

    Saaafi sana wstanzania ndicho tunahitaji, Sikh zote tukihubiri kwa majukwaa mbalimbali. By; makamu wa Askofu mkuu, wa makaniss ya Sinai mission's International, Edward Amosi Kalinga, wa makani

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 года назад

    Shukrani sana sheikh sahihi kabisaa

  • @pendosospeter2418
    @pendosospeter2418 3 года назад

    Ubarikiwe saana mtumishi

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 3 года назад

    Ubarikiwe baba Askofu

  • @raymondmsuya7127
    @raymondmsuya7127 3 года назад

    Asante Sana baba askofu

  • @tonnyford5782
    @tonnyford5782 Год назад

    Yan umeongea ukwel mtupu mungu akuongezee umri mkubwa zaid

  • @msetikebwasi1469
    @msetikebwasi1469 3 года назад +6

    Kiakili ukiangalia sana hiyo kauli utagundua kwamba inamaanisha kuwa endapo mama ataunga mkono mtu wa aina hiyo na kumpa cheo inamaana anaunga mkono wanafiki hao .

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 Год назад

    Allhamdulah Askofu

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 3 года назад +1

    Msema kweli ni mpenzi wa mungu

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 3 года назад +1

    Safi sana, a routa continua 👏👏👏

  • @tumainimnzava320
    @tumainimnzava320 3 года назад +3

    Safi kumbe konki umeyaona hayo? Ubarikiwe

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 года назад +6

    Askofu umenifurahisha sana sana. Washenzi sana hawa wana siasa wa Tanzania. Wajinga kweli kweli. Cheo ni dhamana. Ni kazi ya muda mfupi sana. Wanataka kuanza kuiba. Walizoea kuiba kujaza mapesa wasiyokuwa na maana kwenye majumba yao. Wao pia watakufa washenzi, mapumba. Yaani nimekupenda sana endelea kuwapasha

  • @marthaanton6967
    @marthaanton6967 3 года назад

    Mungu akubariki sn umeongea vizr mno

  • @muhezadc4413
    @muhezadc4413 3 года назад +1

    Tunakuombea Rais wetu samia Mungu akusimamie! katika maamuzi

  • @nishasalim2880
    @nishasalim2880 3 года назад +2

    Askofu konki oyeee! 🇹🇿🙏🏾👏💪

  • @chachajaphetth3404
    @chachajaphetth3404 3 года назад +1

    ubarikiwe baba mtumishi zimefika

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 3 года назад +3

    Ndiyoooooo waambie wanafiki Sana. Aibu imewapata shame on them.

  • @medicalamon908
    @medicalamon908 8 месяцев назад

    Sure Tanzania Hatuna viongozi wanaosimamia HAKI ni WANAFIKI sana.

  • @tagdymagdy7301
    @tagdymagdy7301 3 года назад +3

    Mama Anawaona Lakini Ametulia Tu

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 3 года назад

    Hakika maneno ya askofu KONGKI ametusemea wananchi wa hali ya chini ambo tusinge pata nafasi milele kusema hayo mbele ya wahusika. Wanasiasa wanatugawa . wamelewa posho na mishahara. Baba Askofu MUNGU akutunzee na kukuongezea ulinzi mara dufuuu.💪💪💪💪

  • @nda.mboarasamulinda.mboara370
    @nda.mboarasamulinda.mboara370 3 года назад +1

    Ok askf wa mungu

  • @babusbabu3699
    @babusbabu3699 Год назад

    mungu alituleteaa magufuli alipendwaa mnoo na alimpomchukuaa akatuonyesha kati ya waliokuwaa wanampendaa kuna waliokuwa wanamchukiaa wanafikiiiii kbsaaaaaa

  • @burnmotto1876
    @burnmotto1876 3 года назад

    Asanteeee Sana baba askofu konkiiiiiiiiiiiiii

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 года назад

    Kweli kabisaaa

  • @nelsonmbai885
    @nelsonmbai885 3 года назад +1

    Wapeleke unafk wao mbli n sis

  • @ev.eliezangiruketv8902
    @ev.eliezangiruketv8902 Год назад

    BABA ASKOFU NIMEPENDA SANA UMESEMA UKWELI KABISA KAMA NENO LA MUNGU LINALOTUONGOZA KUSEMA KWELI.

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 3 года назад

    Amina

  • @johariiddy5150
    @johariiddy5150 2 года назад

    Kweli kabisa wanafiki hao chaja ya kobe aichagui betri

  • @mao9622
    @mao9622 3 года назад

    Konki Konki Konki fire 🔥🔥

  • @ezekielkandonga9238
    @ezekielkandonga9238 3 года назад +1

    Wawe wanapewa makavu,baadhi ya wanasiasa wanafiki Sana,Wamepata Elimu lakini hawajaelimika,Mungu atupe uhai tutakutana nao hukohuko juuu.

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 3 года назад

    Hyo kweli

  • @user-qv2hj9rc3f
    @user-qv2hj9rc3f 3 года назад

    Bishop Konki baba nimekukibali umetusemea baba tumekuwa nyuma wapentekoste Sana Ila kuna hazina CPCT

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 3 года назад +8

    Ujumbe umefika kwa hawa wanafiki

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 года назад +1

      Kabisa

    • @annamkude9039
      @annamkude9039 3 года назад +1

      Kazi ya kiongozi wa dini kusema ukweli wewe unaesema anajipendekeza omba toba na mungu akusamehe

    • @annamkude9039
      @annamkude9039 3 года назад +1

      Nimelipenda kongamano la leo na nimejifunza kitu maana mungu alituagiza kazi moja tuupendo madhehebu yote pamoja mungu awabariki

    • @MiaTheLathini
      @MiaTheLathini 3 года назад

      Samahani kwa usumbufu
      ruclips.net/video/ZdxcRPDbVIc/видео.html
      👆Tafadhali naomba unisaidie kubariki Safari yangu ya Sanaa
      Kwa kunipa maoni yako juu ya wimbo wangu huo mpya
      UbArikiwe
      Thanks

    • @godfreymlula1038
      @godfreymlula1038 Год назад +1

      shehe safi sana

  • @Itarusii
    @Itarusii 3 года назад +3

    Tena ni unafiki kabisa!

  • @abdulrahmanpaskalina7627
    @abdulrahmanpaskalina7627 3 года назад

    Konki fayaaa😀😍

  • @marcokanyama4533
    @marcokanyama4533 3 года назад +3

    Mh.Rais hilo vibe liangalie Sana
    Msipo wadhibiti kumkejeli Magufuli nikutengeneza Bom wakiendelea Litalipuka

    • @florakapesa923
      @florakapesa923 3 года назад

      Kumbe wengi tuona nilifikili mie tu ndio nawaona wanafiki

  • @elizabethfaustine3114
    @elizabethfaustine3114 3 года назад +2

    Spika Ndugai na January Makamba nadhani mumeckia nyie wanafiki wakubwa

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 года назад

    Sahihi kabisaa askofu konk

  • @mussaelisha3733
    @mussaelisha3733 8 месяцев назад

    Kumbe Tanganyika Ina watu wazuri tu vibaraka Ni wachache mwisho wao na Mali zao

  • @abdulrahmanpaskalina7627
    @abdulrahmanpaskalina7627 3 года назад

    Wengine kabla hata Hayati Rais JPM hajazikwa wakaanza kwa jazba kuipangia Serikali cha kufanya looh🤔😥

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 3 года назад

    Duh,

  • @mabeleleheven1467
    @mabeleleheven1467 3 года назад

    Kweli baba askofu wewe ni mtumishi wa kweli na mungu hapendi unafiki

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 3 года назад

    Konki, Konki, Konki Master 🔥

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 3 года назад

    Kumbe umeona hilo baba eeehe ahsante sana kwa kuwa mkweli

  • @juliansjuicebarmalindi1156
    @juliansjuicebarmalindi1156 3 года назад

    Kweli kabisa

  • @yusuphaman3449
    @yusuphaman3449 3 года назад +2

    Bomu ilo askofu

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 года назад +2

    Sheria za gharama za vibali vya ujenzi ziangalieni kwa makini,wizi mtu umejaa,watu wanakandamizwa

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 2 года назад

    Tatizo la baadhi ya waTz ni wanafiki sana (wanyama na kupuliza) mama waangalie sana hawa wasikuchanganye.
    Kila Kiongozi mnamuona hafai, mlikuwa mnamfurahia Kikwete ameingia Magufuli mkawa mnapiga kelele oooh.. "vyuma vimekaza..."!
    Ameingia.mama anarekebisha mambo mnaanza kupiga kelele na akiondoka mama mtajifanya kumsifia mama !

  • @kunyaobelela4062
    @kunyaobelela4062 9 месяцев назад

    Tumeshawaona ni wanafiki sana, sisi hatuna pa kusemea bora umelisema wazi wamesikia

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 3 года назад +1

    Nimependa hiyo. Kongki MUNGU wa mbinguni amzidishie ulinziii.

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 3 года назад +1

    Na wanajilendekeza sana hata hivyo walifanya hivyo hivyo kwa MAGUFULI LEO WAMEMGEUKA na Mama Samia watafanya hivyo hivyo muache kutuchanganya.

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 3 года назад

    Yakweli kabisa mtu wa mungu

  • @abdulrahmanpaskalina7627
    @abdulrahmanpaskalina7627 3 года назад

    Ndiyooo kujipendekeza tena ni ushamba na fikra fupi, tabia mbaya sana!!!

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 года назад

    Hadi viongozi wa dini mbalimbali huonekana wakijipendekeza kwa viongozi mbalimbali wa kisiasa ,kiasi kwamba hatakama Mungu amempa kiongozi wa dini Neno la kumuonya kiongozi hamuonyo Bali anampa maneno laini laini hata Kama kaona wazi uovu hausemi,

  • @mr.paulminja7894
    @mr.paulminja7894 3 года назад

    Alichoongea shoo na konki ni vitu viwili tofauti, angalia muitikio wa watu... Hapo.... Wazalendo wataelewa

  • @seleshaban48
    @seleshaban48 3 года назад +4

    Hapa wanafiki huwa wananishangaza , Katajwa Magufuli Wamepiga Makofi, Katajwa MamaSamia Wamepiga Makofi. Nadhani mme wajuwa wanafiki

  • @emmanuelmauki2938
    @emmanuelmauki2938 3 года назад

    wanafki Wapo Tena Wengi Sana Mmoja Yule Wa Kusini Sijui Nani Na_y___

  • @kasimmwango2200
    @kasimmwango2200 3 года назад +1

    Tena wanajipendekeza haswaaa

  • @hassanmassaga2476
    @hassanmassaga2476 3 года назад

    😂😂😂kweli konki