Martha Mwaipaja ashutumiwa na mdogo wake, Beatrice kumtelekeza mama yao, binti yake afunguka mazito

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 392

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 12 часов назад +17

    Nashukuru Mungu nimejifunza kumuachia Mungu

  • @fashionKalmahouse
    @fashionKalmahouse 9 часов назад +5

    Weee,hii ni kali sana.woi family can be toxic sometimes.... Lord have mercy. I love both of them, can't judge.

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 8 часов назад +10

    INNAA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN😢

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si 12 часов назад +17

    Wee Beatrice muogope Mungu, Mungu atakuadhibu mpk utakuta.... Pole Sana Mather mwaipaja... MTETEZI wako yu Hai... 🙏 Kemeeni Hii roho.

    • @HellenMatindo
      @HellenMatindo 12 часов назад +9

      Hujui kile unasema .those two are sister with blood

    • @RobertsonNandime-eo9fp
      @RobertsonNandime-eo9fp 12 часов назад +2

      Kwani Nani anamakosa kabra ya kujibu fuatilia kwanza

    • @HellenMatindo
      @HellenMatindo 12 часов назад +1

      @@RobertsonNandime-eo9fp I do follow up so keenly and very much interested.joan is problem

    • @HellenMatindo
      @HellenMatindo 11 часов назад +1

      @RobertsonNandime-eo9fp ama Joan alimwigiza mwezake kwa illuminati coz those are characteristics of illuminati demands

    • @RobertsonNandime-eo9fp
      @RobertsonNandime-eo9fp 11 часов назад +2

      @@HellenMatindo ooooh okay lakini kajutia makosa yake Na kaomba msamah

  • @NeemaStephen-oe4ww
    @NeemaStephen-oe4ww 7 часов назад +4

    Ila hii story inafanana na mama mmoja huko huko Tz alikuja mitandaoni akilia kua alikua tajiri sana anaendesha magari makubwa ila ulikua amefungwa asiwahi kumsaidia kabisa mamake😢😢so huenda hii ya Martha ikawa ni kweli😢hawa nduguzetu waimbaji baadhi yao wanapitia vifungo vikali sana wanateseka chini ya maji huku inje sisi twawaona wanaishi maisha ya raha😢😢

  • @fashionKalmahouse
    @fashionKalmahouse 8 часов назад +2

    The way i love Martha Onely God knows

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 12 часов назад +16

    😢😢😢😢😢 Mmmh ee Mungu naomba niwe na mwisho mwema Dunia hii kuna watu wameficha mengi miyoni mwao

    • @evalinemalole6709
      @evalinemalole6709 11 часов назад +1

      Sana 😢😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 10 часов назад

      ​@@evalinemalole6709MNOO,waweza kukuta hata mume WA Martha ana mengi sema tu wanaume huwa hatusemi,waimbaji wa injili ni nyoka na ndo maan wengi ndoa imekuwa mtihani kwao😢😢😢

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 13 часов назад +116

    unaweza ukadhan kuwa unatoa ushuhudua kumbe unajidhalilisha wewe mwenyew na familia yako, kuna vitu vingn vya kifamilia vinatakiwa vibaki kuwa vya kifamilia, maan sisi mitandaon hatutakusaidia saana saana tutacheka tu, so unawez ukawa na elimu kubwa na isikusaidie

    • @edmundnkarangu134
      @edmundnkarangu134 13 часов назад +18

      Ujumbe mkubwa sana ambao watu wengi hawautambui

    • @kabulapatrick2765
      @kabulapatrick2765 13 часов назад +23

      Ujajua bado nn maana ya kukombolewa ndo maana bado unaishi kwajili ya watu..😢

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 13 часов назад +5

      Kabisa.Kajidhalilisha sana

    • @emmanueljohn7
      @emmanueljohn7 13 часов назад +18

      Huo ni Ukweli watu wengi Wana mapepo ya kuwasahau wazazi wao wakishafanikiwa na Ukweli lazima usemwe hivyo hivyo ni Injili lazima ifike unajiitaje umeokoka alafu unafanya tabia Kama za kina Diamond kumkataa Mzazi wake

    • @stephanosospeter1709
      @stephanosospeter1709 13 часов назад +21

      Kwa Mungu ushuhuda, sio kujidhalilisha, bali ni kumwaibisha shetani,

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 13 часов назад +24

    Tuliookoka hatuingii mtandaoni kulaumu piga magoti uombe Mungu ambadilishe dada yako, mafanikio ya mtu ni siri yake huwez jua kuna maagano kaingia yenye masharti kibao sasa wew umri wote huo mbona umekosa hekima ya Mungu, pambana kamsaidie mama wew acha kumtegemea dada ambae hana nia ,na wew sio mtot sasa komboa familia yako pengine huyo dada yako nae anasubir wew ukomboe familia pamoja na yeye Martha anasubir wew ndo mkomboz wao ,sasa unavyolia kulaumu sikuelewi hujaokoka wew bado sana, ushauri tu acheni kutangatanga kweny madhabahu tofautitofauti ,tulia kwa Yesu.Utakua mshauri wa dada yako usirudie tena kumsema vibaya.

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 13 часов назад +1

      Kweli kabisaaaaaa

    • @SarahSanga-p6d
      @SarahSanga-p6d 13 часов назад

      Kabisa umeokoka unalala na shemeji yako

    • @Mahene-w1l
      @Mahene-w1l 12 часов назад

      Bora Amesema wazir kwasababu Shetani alipokuwa anamtesa hakuuambia ulimwengu

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 11 часов назад

      Ye mwenyewe alifungwa anamuonbeaje
      Ndo kasrma SS na nyie mumuombee

    • @fashion_michezo-habari
      @fashion_michezo-habari 7 часов назад

      C amesema kipindi kile hakuokoka angeshindwaje kufanya Ivo na hajaokoka kiukweli​@@SarahSanga-p6d

  • @amonmfuruki939
    @amonmfuruki939 12 часов назад +13

    Oyaa 😢, hapa unapita kimya kimya mambo ya familia na kiroho haya

  • @msanjilajames4961
    @msanjilajames4961 13 часов назад +16

    🙄 ME NAOGOPA SANA

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 10 часов назад

      Nimefuta NYIMBO zao zote,SIHITAJI ,SIAMINITI YEYOTE DUNIANI SA HII,AWE MCHUNGAJI,MWIMBAJI WOTE TUPA KULE ACHA TUGANGE NJAA TU,NYOKO MIMI😢😢😢

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 5 часов назад +6

    We listen we don't judge😂😂 mambo ya ndugu mimi🤐

  • @beatricejoseph2784
    @beatricejoseph2784 13 часов назад +28

    We listen we don’t judge 😂

  • @PATIENCEKIRINDIRO
    @PATIENCEKIRINDIRO 25 минут назад

    Ukweli huyo mtoto ana pepo Martha siyo maman yake Na hizo posti kuzalilisha Béatrice ni uongo tu, ukweli una uma, Ina wajuwe tuna wapenda ote wakae kifamiliya wayamalize Sisi tuna wapenda tu ❤️❤️

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 10 часов назад +7

    Vep Kwa sisi ambao tumeondokewa na mama zetu na tunataman hta siku zirud nyuma ili tuwatunze mama zetu😢😢😢😢😢😢Mungu tupe mwisho mwema,🤲🤲🤲🤲🙏r.i.p mama Linda😭🙏🙏

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 13 часов назад +6

    Hizi hela daaaah😭😭😭😭😭

  • @DaynesKileo
    @DaynesKileo 11 часов назад +4

    Siwezi mhukumu Martha,mpaka nione atakachoongea maana kusikiliza upande mmoja bado hujabalance story, ngoja Matha aje aeleze hapa ndio tutajua ukweli jko wapi,tusipende kupokea maneno ambayo hatuna uhakika nayo,kweli Matha na maisha aliyonayo amtelejeze Mama yake,Daaaah sijui kama ni kweli

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 11 часов назад

      Haijalishi ila mtu akiacha kumhidumi amama yake hiyoo ni mpuuzi

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 10 часов назад +1

      ​​@@christinewomanoffaith5479SIYO upuuzi ndugu,je Mali zangu kama ni za free mansoon?! Na moja ya masharti yangu ni kutomuhudumia Mama yangu,unadhani nitafanyaje sasa?!😂😢 Inabidi mbwai na iwe mbwai tu,ili Mimi niwe tajiri jamani😂😂😂😢

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 Час назад

    Umenigusa tu apo uliposema, sio yeye, sio yeye 😭😭😭😭 Mungu akupiganie na akuinuwe zaidi ili umsaidie mama zaidi 😭😭😭

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 12 часов назад +4

    😢😢😢😢walllah nimelia😭😭

    • @Vick-9o-c
      @Vick-9o-c 3 часа назад

      Unalia Kwa kusikiliza upande mmoja? Kuna mengi kwenye familia.

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 12 часов назад +6

    Dunia inatisha wallah mungu atujarie mwisho mwema

  • @Neema-m6s
    @Neema-m6s 13 часов назад +6

    Duuu amabao hatuna mama tulitamani tuwe na mama jamani 😭😭😭😭

    • @EnessiSosten-gd7yy
      @EnessiSosten-gd7yy 11 часов назад

      Nikweli

    • @samwa9496
      @samwa9496 2 часа назад

      Huwezi amini haya maneno wamama wengine akiwa na watoto anakuwa ndumila kuwili akija huyu anamsema akiondoka huyu nae anamsema vibaya maneno ya wazazi sio ya kuyachukuwa, mimi mama yangu alikuwa mchonganishi sijawahi mchukulia ya ukweli amekufa wamehitambua hiyo ni roho ya mzazi wa kike ya uchonganishi wailaani isivuke kwenye uzao

  • @buraplay
    @buraplay 10 часов назад +7

    Kusaidia ni lazima?
    jifunze kujitegemea na kuishi maisha yako acha kuwapa lawama watu.

    • @IrankundaAnit
      @IrankundaAnit 9 часов назад +1

      Hajasema amsaidie Ata mama ako kweli

    • @ramahkesh9360
      @ramahkesh9360 9 часов назад

      TAHIRA LINGINE LIMEMILIKI SIMU😂😂😂

    • @NeemaRashid-z2i
      @NeemaRashid-z2i 9 часов назад

      Jaman kumsaidia mama sio ombi ni lazima

    • @buraplay
      @buraplay 9 часов назад

      @@IrankundaAnit tatizo lenu mnawek hisia walio telekezwa na familia mama zao je?
      usiongee au kuhukum bila usibitisho
      Data mtu analia kwenye media mama mbona hasemi?

    • @buraplay
      @buraplay 9 часов назад

      @@ramahkesh9360 Tafuta maisha Wazazi kukulea ni jukuma lao wew kulea wazazi sio jukum lako maana na wew una familia yako.
      tatizo umasikin ndo unawatesa

  • @violetoloo445
    @violetoloo445 5 часов назад +2

    We listen but we don't judge.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 часов назад +5

    Huyu Joan ni chizi .Malipo ni hapahapa duniani😢😢Joam wewe siyo mtoto Wa Martha😮

    • @king_King-4029
      @king_King-4029 4 часа назад

      Unaushahidi?

    • @tiamo726
      @tiamo726 Час назад

      swali langu ni very simple vile alikuwa kwa ndoa martha alizaa watoto wangapi. ju aliekuwa mume wake pia ni kama hamtambui huyu joan. joan anasema they r not sisters are they cousins?

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 12 часов назад +8

    Bora umezungumza ili usije pata sonona na kujiua lazima useme ili utue mzigo hakuna et kusema ni ya kifamilia

    • @JosephKingwere
      @JosephKingwere 8 часов назад

      Bora jmn kweli kuongea ndio kila kitu

  • @lwiticomwalukumba4148
    @lwiticomwalukumba4148 6 часов назад +2

    shida hapo kwenye huyu baba ndo shida mwamini MUNGU ... ila HUYUJOAN mshirikina sana mbona kaongea kama kashaloga 😭😭

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 12 часов назад +9

    Mpka hapo tu Huyo joan Anashida Coz Alivyojibu inaonekana huu ni ukweli coz kam kaokoka vzur na ana Roho wa Mungu huwez kuandika hivyo maneno ya Matusi so Beatrice Ameongea ukweli ndio maana Katika Shuhuda yake hajaponda mtu na kusema kile Ukweli uliopo so it means Amekombolewa na Yesu na Ana Roho Wa Mungu

  • @nightwishisthegreatestband6355
    @nightwishisthegreatestband6355 11 часов назад +3

    Kutakuwa na sababu. Lakini hii ndo maana nasema, kuzaa sio lazima. Unazaa kwa uchungu na kupambania future ya mwanao huku ukitegemea atakutunza uzeeni, mwishoni anakutelekeza.

  • @Gwandumi-r2v
    @Gwandumi-r2v 4 часа назад +1

    Dada yangu Beatrice ndagha fiijo kulisyosa, ila naomba ujue kuwa kilichozaliwa Kwa Roho ni Roho, na kilichozaliwa kwa mwili ni mwili, kisha upepo huvuma utokako kuelekea uendako, nakuomba zidi kumpigia MUNGU magoti bila kuchoka, hakika kila kitu kitakaa Sawa. MUNGU akutangurie, usiogope

  • @magrethmwigune6494
    @magrethmwigune6494 3 часа назад

    Martha nyamaza kimya.ukijibu utawapa watu faida.kaa kimya fanya kazi ya Mungu.huwezi kuzuia ndege asikunyee .

  • @florah-jw9wk
    @florah-jw9wk 11 часов назад +3

    Namshukuru. Mungu kwakunipa neema yakusamehe asante yesu. Iladada. Usiseme mambo ya familia kwenye mitandao hu

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 10 часов назад +1

      Alikuwa anatoa ushuhuda baada ya kuokoka

    • @mwajumaseifu216
      @mwajumaseifu216 8 часов назад

      Hapendi maisha hanayopitia mama yake

    • @bonvivant3704
      @bonvivant3704 7 часов назад

      @@mwajumaseifu216amsaidie mama yake sasa anajiliza nini?

  • @vero57
    @vero57 11 часов назад +2

    No comment

  • @annboke4979
    @annboke4979 8 часов назад

    Kuna watu wanaishi maisha mazuri lakini wazazi wao nishida tu kuna watu wanafunga watoto wa watu😭😭😭😭

  • @neemajohn6142
    @neemajohn6142 12 часов назад +1

    Binafsi mama ni mama tu huwezi kumwepuka , Ila haikuwa na sabb ya kuongea haya wazi haya hapana hapana haya maneno yataishi 😢😢 Ila Mama ni mama

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 6 часов назад

    Alfu ev, Pascal Cassian Na barikiwa wakisema Hawa hawana wana Mungu tunabisha tunarudisha matusi lol mi nimeshtuka 😢😢😢😢😢😢

  • @ZuhuraMarande-fl2zw
    @ZuhuraMarande-fl2zw 11 часов назад +3

    Hata muna love Alimkataa mama yake hivi hiv leo yamekwisha wako pamoja Huyo joan Anaonekana ni kibaka kabisa

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 2 часа назад

    Mama ni mtu special sana sana

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 8 часов назад

    Mmmh which is which

  • @GdgCxv-tf4lj
    @GdgCxv-tf4lj 2 часа назад

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 48 минут назад

    😢😢

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 11 часов назад +3

    Usiamini machozi ya mwanamke daima

  • @footballlove4413
    @footballlove4413 2 часа назад

    Mambo ya Imani ndio yanapoteza wengi
    Wachungaji ambao hawaeleweki
    Wanafiki Mtu Analia si atafute pesa zake yy.
    Mambo ya kupuuzi haya.

  • @AnneMwasile
    @AnneMwasile 11 часов назад +2

    Beatrice hajamnenea dada yake vibaya Bali ameshuhudia kua dada yake hajitambui pia amefungwa kama yeye alivyofungwa kwaiyo inatakiwa dada yake aokolewe na Mungu hamaniishi kumchukia dada yake muelewe jaman

  • @RozaliaSanka-kv5dy
    @RozaliaSanka-kv5dy 5 часов назад +2

    Kumbe anaongea kwenye mahafali sasa dada kafungwa na roho za shetani

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 8 часов назад +5

    Watajuana wenyewe na mafreemason yao😂😂😂😂

  • @djoxygenthemasterkeyboard3595
    @djoxygenthemasterkeyboard3595 10 часов назад

    Mbona Maelezo yapo...Clear....😢😢😢

  • @RachelMbega
    @RachelMbega 26 минут назад

    Martha tunakupenda wewe ni mtumish wa Mungu

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 8 часов назад +11

    Nafikili kwa hapo dada hapo amefanya vizuri kusema ili mwaipaja na asaidiwe kwa maombi kuhusu hilo

  • @NicksonyPeter
    @NicksonyPeter 23 минуты назад

    Huo sio ushuhuda niujinga nikujidharirisha,ovyo kabisa,tatizo hamumwamini yesu mnaamini watu,hakuna MTU anaweza kuchange destiny yako ndio maana shakahola walizikwa,dada utalia sana

  • @LovenessValerian
    @LovenessValerian 13 часов назад +4

    Sasa bite amejichanganya maana binti joan ameanza kutoboa Siri zingne kabixa

    • @rogathengowo1099
      @rogathengowo1099 11 часов назад

      Hakuna ambacho hajasema kasema maisha yake ni magumu sana na hakuna kitu alichokuwa anafanya kikafanikiwa na hata yy Kuna kipindi alifika nae akawa hataki kumpigia tena mama yake

  • @annndunda3953
    @annndunda3953 12 часов назад +2

    Siwezi amini mpaka nisikie the other side of story, huyu Beatrice roho yangu imegoma kabisa kumuamini

  • @lovebondtarimo2942
    @lovebondtarimo2942 5 часов назад

    we listen ,we dont judge 😢

  • @stevealfred8968
    @stevealfred8968 13 часов назад +1

    Sio Binti yakee😢😢😢

  • @AbelCharles-co6qb
    @AbelCharles-co6qb 13 часов назад +5

    Kwakwel mimi nnachokumbuka..wakat mama ananilipia ada kwanjia anazozijua yy..alikuwa anasema...nakusomesha co kwamba uje kunisaidia mimi..bali ni ili uje usimamie familia yako vzr....ss nashindwa kuelewa kwakwel

    • @alphamenson3784
      @alphamenson3784 12 часов назад

      So mama yako sio familia yako au sio?

  • @ChadoraMANYENGA
    @ChadoraMANYENGA 10 часов назад +1

    Swala La Kusaidia Familia Si Jambo La Mtu Mmoja Nayeye Afanye Kazi Ili Aweze Kulea Familia ….😊

  • @marympochela7903
    @marympochela7903 12 часов назад +7

    Miaka ya nyuma , siku moja nikiwa ndani ya daldala, nyuma ya kiti nilichokuwa nimekaa, walikaa akina mama wawili waliokuwa wakizungumzia kuhusu ndoa ya Martha Mwaipaja kuvunjika, wakaenda mbali zaidi, mmoja akasema kwamba, nilitegemea hilo sababu huyo kaka aliyekuwa amemtaka ni Beatrice ila Martha alikuwa anajipeleka peleka tu, tena mimi nilivhangia mada, nikasema kwamba, kuna makabila mengine huwezi kuoa mdogo kabla mkubwa hajaolewa,inawezekana ni hivyo. Sasa kwa sakata hili, naona kama kuna ka ukweli hapo , Ushauri wangu kwenu.Familia c mmeokoka? Sameheyaneni, mmalize tofauti zenu, maana bila toba mtaingia mbingu gani?

  • @janetngowa
    @janetngowa 13 часов назад

    Jamanii,haya ni Hali kweli😢

  • @eliachalamila2259
    @eliachalamila2259 13 часов назад +1

    Mungu wangu, hii dunia ya ajabu sana

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 13 часов назад +7

    Ngoja tusubiri martha akijibu

    • @irenematari6218
      @irenematari6218 11 часов назад

      Amesema afundishwe kunyamaza jamani yeye hajibujibu

  • @MariaWema
    @MariaWema 12 часов назад +5

    Mmmh Sasa alipewa 🎤 ashuhudie ashuhudie Au aonyeshe kipaji cha kilio 😢Huu umaskini unajuaga sana kudhalilisha Watu Haya Dadako kashindwa yeye aliweza nini sasa😢Na baada yakujitafutia huruma za watu amepata huo msaada anaoutaka??😏😏ndo kutafuta kiki Kwenyewe huko Shida ya familia Yako simmalize wenyew Mambo ya Dada kuendesha gari la 100M inawahusu nini

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 3 часа назад

    No coment

  • @samwa9496
    @samwa9496 2 часа назад +1

    Wazazi wa kiike wengine ni wachonganishi watesi akija huyu yule mbaya nae akija mwingine ndio mzuri akiondoka anamsema sasa kama utayabeba utaumbuka na atakuruka futi mia oooo

  • @GraceAgape-xh6iy
    @GraceAgape-xh6iy 8 часов назад +1

    No me I won't judge Martha this is a family issue.they should solve it privately.To me Martha cannot fail to help her mother it seems there re issues in the family

  • @Georgebush-g3r
    @Georgebush-g3r 10 часов назад +1

    Kwenye vitu vinavyo hitaji akili mstumie hisia kutoa hukumu😢

  • @SembikeMzava
    @SembikeMzava 7 часов назад +1

    Hawa wote ndoa zimebunjika

  • @dullahvoko743
    @dullahvoko743 12 часов назад +1

    Hapo anasema amefungwa kumbe sio kosa lake inauma saana 💔

  • @luganojohn2673
    @luganojohn2673 5 часов назад

    akili ndogo hapo anadhalilisha familia duuhh 😢😢😢

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 7 часов назад

    Duh kunasiri kubwa sana hapa hawa ugomvi wao nimkubwa mno na umemuumiza sana Betrice jamani itakua Bitrice katengwa na family poleni wote

  • @PeninaAdam
    @PeninaAdam 13 часов назад

    Ipo iyo roho kweli kabisa

  • @Wanisimbula
    @Wanisimbula 4 часа назад

    ya ngoswe tumuachie ngoswe😊😊

  • @FLYINGPIGSLIMES
    @FLYINGPIGSLIMES 12 часов назад

    😢😢😢😢😢

  • @zumasamson6603
    @zumasamson6603 2 часа назад

    Hapa hatujui nani mkweli nani mwongo lakini muda utaongea tu...tuvute subira...haya mambo ya kifamilia kuyaweka mitandaoni ni hatari sana

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 12 часов назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂shenziiiiiiii woteeeee

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 11 часов назад +1

    Naogopa walokole sana ni wanafiki sana.

  • @MwantumRashidi
    @MwantumRashidi 4 часа назад

    Ahaaaaa nshagundua jambo mchungaji ameomba kakiki hapo apate waumin wakutosha Dunia inamambo hii jaman haya sikiliza tena hayo ya Joan sijui nan jaman mbona mnatuchanganya na sumu juuuu😮😮😮uwiii bitebiteee acha kama ni kiki zitakukosti kwakwel biteeee

    • @gladnessshola2718
      @gladnessshola2718 2 часа назад

      Mchungaji kahusikaje hapo, mchungaji ndo aliyeweka maneno mdomoni aongee alichokiongea?

    • @MwantumRashidi
      @MwantumRashidi 2 часа назад

      @gladnessshola2718 kwa upande wang.na kingne hebu ngoja tufatilie hadithi hii kwa pande zote mbili tutagundua wap panashida.ila wachungaji kuwatumaga watu watoe shuhuda za uongo wapo tz hihii

  • @JENNIFER-q4k4r
    @JENNIFER-q4k4r 12 часов назад +2

    Uongo mtupu Kwanini mnapenda kutengeneza matukio..yani bila kiki Mambo ayaendi

  • @user13375
    @user13375 4 часа назад

    Wote mna mapungufu😮😮

  • @YuniceChuma
    @YuniceChuma 8 часов назад +1

    Napesa kama izo huwa zinakuwa sio za harali zinakuwa za mashart

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 2 часа назад

    😂😂😂 ukute pesa za masharti

  • @shonzafelicitee3466
    @shonzafelicitee3466 13 часов назад

    Jamani

  • @annboke4979
    @annboke4979 8 часов назад +1

    Hizo roho zipo mimi nimejionea kwetu

  • @isabelakerubo3753
    @isabelakerubo3753 2 часа назад

    Sisi tunampenda Sana Martha is the best but Mbona mlete Mambo yenu kwa media MTU akibarikiwa mwasema abudhu shetani MTU ako na akili awezi Anika kwa mitandao

  • @SwalehSelemani
    @SwalehSelemani 12 часов назад +2

    Labda pesa zake amezipata Kwa jicho la 3

  • @YuniceChuma
    @YuniceChuma 8 часов назад

    Wala sishangai Ndugu kama ao wapo unakuta mtu anapesa lkn yupo tyr kusaidia watu baki kama nikusomesha atasomesha watu baki kama nipesa ata wapa watu baki lakn sio ndugu zake naunakuta mtu kama uyo anajisifu kama nina marafiki ambao tumekuwa kama ndugu

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 13 часов назад +1

    Pesa na mali za kichawi hayo ndio masharti yake ufanye mabaya matupu ili uende motoni hata sadaka huwezi yani haitumiki kwa Mungu

  • @VeroniqueNgoy-f3q
    @VeroniqueNgoy-f3q 7 часов назад

    Sio ushuhuda huo.
    😢😢😢

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 2 часа назад

    Maigizo tu,,,kwann anawasema watu wengine makanisani,,,,yamekuwa makanisa ya ,kusema watu

  • @Shadia544
    @Shadia544 9 часов назад

    Hii vita jamaniii ni ngumu jamaniii hadi tumsikie MAIMATHA naee ili tujuwe 😢

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 11 часов назад +1

    Kuna mengi yamejificha hapa.

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 12 часов назад

    Mtihan wallah

  • @PidfourYoungTz
    @PidfourYoungTz 13 часов назад

    Dada yako anapesa za kishirikina kumwimbia mungu kajificha tu maovu yake pesa zakichawi hazina ruksa kusaidia ndugu yake wadamu a pole sana kadadaa..

    • @kiazikitamu3985
      @kiazikitamu3985 13 часов назад +1

      Unajuaje labda Martha walitaka kumtoa kafala na wakashindwa na huyo mama yake huwezi kujua mambo yaa ushurikima kwenye familia inawezekana Martha ni muhanga kawashitukia familia yake na sasa wanataka kumuabisha kwa sababu wamemshindwa kwa hiyo usiwe mwepesi kumjaji Martha

    • @LovenessValerian
      @LovenessValerian 13 часов назад

      Acha uongo wew,,martha naye mjua Mimi anamtumikia mungu wake aliye muumba,,usiongee kitu usicho kijua,Kuna sababu labda iliyo fanya asimsaidie ,kwanza inasemekwa kwamba mama ake ni mchawi

  • @ministerneyarblessjoel1953
    @ministerneyarblessjoel1953 9 часов назад

    I think Beatrice anatamani dada yake asaidiweeee Martha anahitaji msaaada inaumizaaaa kuona dada anapotea JOAN NI AGENT UYOOOO yawezekanaaaa

  • @DaynesKileo
    @DaynesKileo 11 часов назад

    Mungu aingilie kati tujue ukweli uko wapi

  • @japhetmombia
    @japhetmombia 2 часа назад

    Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 4 часа назад

    Kujidhalilisha na kushuhudia ni kitu kinachoenda pamoja sio kila ushuhuda utakufurahisha hayo ni maisha halisi kuna jana leo kesho

  • @gabrielsylvanus5705
    @gabrielsylvanus5705 11 часов назад +1

    Kaka sky imebidi niende you tube kutafuta mahojiano ya Matha aliyoyafanya na TV ya Eest Africa katika kipindi cha KIKAANGONI unapata majibu yote ya Beatrice so Beatrice yuko sahihi kaitafute hiyo interview utapata kusadifu mwandishi alimuuliza Matha kitu gani huwezi sahau unapata majibu yote pale

  • @nikrahayubu-sz3pw
    @nikrahayubu-sz3pw 10 часов назад +1

    Huu sio ushahuda bhnaa watu wengii tu wanafamilia kun anaetoka kimaisha anasahau wazew wake yy aseme ameenda kuongea mbele za watu ili amkumbishe dada yake awakumbuke

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 9 часов назад +1

    Huenda huyo si mutoto wake hunda kunakitu nyuma ya pazia

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 4 часа назад

    Nimependa post ya mama P😂😂

  • @TheReporter-A47
    @TheReporter-A47 12 часов назад

    Sasa huyo binti ndy kasema ukweli huyu Beatrice ni muongo don't trust a crying 😭 woman and don't trust a smiling 😊 Man