COUNTRY WIZZY - TANGU NITOKE KONDE GANG, SIJAPOKEA HELA YANGU KWA MIEZI 7 | BIG SUNDAY LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 179

  • @marijanamrope3804
    @marijanamrope3804 2 года назад +34

    KONDE GANG FOR EVERYBODY EVERYBODY HE HE HE HEEEEEE 💪 NO1 IN 🇹🇿 TANZANIA

  • @Deezingotz
    @Deezingotz 2 года назад +27

    KONDE GANG hukuenda kufanya mziki KONDE GANG ulienda kumfundisha harmonize kuvuta bang lakn yeye bang zake zimepeleka pazurii katoemo kitu kizuri Kohkohkoh YAWYWA

  • @officialInchakali
    @officialInchakali 2 года назад +4

    Country wizzy🔥💯💯⚡⚡🙌🙌🙌🙌

  • @milazoomilazoo4494
    @milazoomilazoo4494 2 года назад

    Canty wizy mkaliii namkubaliiiii

  • @ramaosman8060
    @ramaosman8060 2 года назад +29

    Konde Gang For Everybody Number One In Tanzaina Let's Goo Winin Team Konde Gang 🏆 💪 🙏 💯.
    #LuckyHavana #ljaystunner #ljaykitchen #NyamaChoma

  • @alvinmwendwa8356
    @alvinmwendwa8356 2 года назад +1

    Punguza kiburii kaka,, bila harmonize we si country wizzy

  • @abdulmalikali9063
    @abdulmalikali9063 2 года назад +5

    Kondegang to the world 🇰🇪🇰🇪 nilitoka wcb sahii Niko kondegang jamani Raha na sihami tena

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 2 года назад +8

    Country boy music blooood 🔥🔥💪💪💪💯💯💯

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 2 года назад +5

    Yaan mtamuongelea sana harmo maana yy ni km maji,alafu hana mda mchafu wa kuwajibu wasenge,anazid kwenda juu

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 года назад +11

    Kumbe nae ni msanii katika wasanii yaan eti una poteza muda kuandaa show kuna msanii anakuja ku perform 🙆🙌😄

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 года назад +11

    Awa wasanii nifundishe kunyamaza😁😁😁

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 2 года назад +9

    TANZANIA TUNataka icon upande wa teknlojia,biashara,kilimo

  • @kyle-j4d9m
    @kyle-j4d9m 2 года назад +5

    Big Sunday bla KONDEBOY Haiwezekan

  • @sunrisemusic3440
    @sunrisemusic3440 2 года назад +8

    Mmakonde katulia tu anawaskiliza wangese

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 2 года назад

      Naona unawashwa makalioo ,,😀😀

    • @yunyun799
      @yunyun799 2 года назад

      @@malianonicass7029 😂😂😂

  • @newgeneration730
    @newgeneration730 2 года назад +6

    Unavimba sana Mzee

  • @purechuse
    @purechuse 2 года назад +1

    unajipamba sana home boi hatutoboi

  • @guzomc
    @guzomc 2 года назад +5

    Kwenye PlayStation umefeli brother
    Watu tumemaliza mitaa uku💪

  • @nicholausmwinuka7640
    @nicholausmwinuka7640 2 года назад +4

    After this let me meet country hit store

  • @gastokenya8983
    @gastokenya8983 2 года назад +1

    Kwani bongo dar hakuna joto juu mnavaa jacket sana

  • @janvierbin1455
    @janvierbin1455 2 года назад +30

    Wasafi is not Wasafi without KondeGang (harmonize) 🔥🔥

  • @princewilliam6662
    @princewilliam6662 2 года назад +2

    Mkiwa na mjifanya umarekani muwe fluent mkikutana na wenyewe😂😂😂

  • @abaspaundy8081
    @abaspaundy8081 2 года назад +5

    Ata wa nyamwez wenyewe awana swag hizo

  • @reenkim2221
    @reenkim2221 2 года назад +8

    Wah muonekano wake ulivutia wazungu wah mgani muonekano huo na mijacjet ya mtumba ya elfu mbili tu. Hao wazungu haikosi ni makimbo

    • @mucci_AI
      @mucci_AI 2 года назад

      😂😂😄😄

    • @controlTheoryChamps
      @controlTheoryChamps 2 года назад +1

      Anasweat, na bado yupo na jacket nzito, ha ha ha ha

    • @Saidkhel
      @Saidkhel 2 года назад +2

      Usicho jua wazungu hawapend mwanaume wa kiafrica kiafrica aliye kuwa smart sjui sharo wao wanapenda wanaume kama hao jux anaweza kataliwa na mzungu na akakubaliwa dudubaya au Afande sele wazungu wanapenda wanaume wa hovyo kiufupi marasta wahuni wanyamwez

  • @hbbobanonlinetv1034
    @hbbobanonlinetv1034 2 года назад +13

    KONDE GANG FOR EVERYBODY

  • @johnobiang461
    @johnobiang461 2 года назад +2

    Konde gang 4 everybody 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥💪🏽💪🏽💪🏽

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 года назад +2

    Nic interview big up

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 2 года назад +4

    Ata iweje #kond Gang sihami🔥🔥🦣🦣🐘🐘🐘🦣🦣💪💪💪💪💪💪

  • @issakhan260
    @issakhan260 2 года назад +2

    Nimependezwa na hii ya leooo

  • @abinelikagezi9217
    @abinelikagezi9217 2 года назад +6

    Sasa young lunya mtoto wako au big kwako kimziki.. acha ujinga ww lunya sio level zako na humuwezi kwa Chochote unaimba mziki wa vichakani alaf unasema lil Wayne ndio role model wako oooooops 😗😗😗

    • @emanuelsanga1218
      @emanuelsanga1218 2 года назад

      Unafatilia mzk saiz lazma useme lunya yupo juu ya country wz

    • @GUESSNOW
      @GUESSNOW 2 года назад

      @@emanuelsanga1218 watoto wa 2000 hawa bro, 😁

    • @jumaa_manandi1149
      @jumaa_manandi1149 2 года назад

      Yaani Lunya Awe mkubwa wa Country 😆😂hii Nchi 🙌🙌😎

    • @wavuvitv2025
      @wavuvitv2025 2 года назад

      @@jumaa_manandi1149 ni mdg wake lkn

    • @benprosper8983
      @benprosper8983 2 года назад

      Rudia interview acha ku-catch feelings buda

  • @mkalitalkshow
    @mkalitalkshow 2 года назад

    Unyamwezi gani wa kuvaaa ma jacket kwenye joto 🔥 la bongo...😁😁😁
    Nakubali harakati zako hila kwa izo jacket kwenye jua kali la bongo unayumba...😁🤣🤣🤣

    • @wilsonjaphet5547
      @wilsonjaphet5547 2 года назад

      Kaka usiku Kuna baridi huenda anaendesha pikipiki 😁😁😁🏃🏃

  • @saidwakufuta8340
    @saidwakufuta8340 2 года назад +8

    Coutry hana ishu kwanza kiingereza chenywe hakijui analeta miyayusho tu kwanza mziki wake ulikuwa hauna ishu kz zake haziuziki yni na wala hajarejesha pesha zetu kwa konde

  • @brucepaterne2872
    @brucepaterne2872 2 года назад

    Kama unamkubali County wizzy gonga like🔥💯👑

  • @richlymo
    @richlymo 2 года назад +10

    Konde boy Harmonize ♥️

  • @lonidoboymnyama6763
    @lonidoboymnyama6763 2 года назад

    Tisha sana

  • @pendonoor8869
    @pendonoor8869 2 года назад +4

    country Boy amepupa!

  • @brucepaterne2872
    @brucepaterne2872 2 года назад

    Father 🔥🔥💯💯👑

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 2 года назад +3

    Mh sifa nyingiiiiii😂

  • @ibbyikh1788
    @ibbyikh1788 2 года назад +10

    Unavaa winter Jacket Dar City na joto hilo kweli unyamwezi

  • @gambathegreat8997
    @gambathegreat8997 2 года назад +11

    Why are these artists keeping on wearing jackets in Dar es salaam while there is high °c?

    • @bobsalim4285
      @bobsalim4285 2 года назад +1

      @gamba..just copying wat they see from EU n US without knowing why they put on jackets.
      Soo SAD

    • @kodackdeblack7982
      @kodackdeblack7982 2 года назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @classicscoresmartine9098
      @classicscoresmartine9098 2 года назад

      Dripping bro

    • @yunyun799
      @yunyun799 2 года назад

      @@bobsalim4285 kweli😂😂😂

  • @jay-nyeye1900
    @jay-nyeye1900 2 года назад +2

    Country huo ni uigizaji mnyamwezi gani anaweka swaga za wazi 🤣🤣🤣🤣

  • @nicksonlwiwa144
    @nicksonlwiwa144 2 года назад

    Nimependa sie ni icon

  • @walieracynthia254
    @walieracynthia254 2 года назад +4

    Nimekwama hapo kwa icon

  • @mathanikibuti6676
    @mathanikibuti6676 2 года назад +12

    Msimchote sana akaya mwaga yote kwamaana atashindwa kupishana na tempo¡¡

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 2 года назад +4

    Kondeboy 🔥🔥🔥

  • @AyoRayBeatz
    @AyoRayBeatz 2 года назад +3

    Ngeri imenoga I say 😂😂

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 года назад

    Oooh konde konde ss mna taka asi ulizwiii na alikuwa Uko?
    Mbona watu wakitoka wcb waki ulizwa mna enjoy wanavyo ichafuwa?? Tuliyeni ni maswali ya kawaidaaa

  • @rojaabasi2319
    @rojaabasi2319 2 года назад

    Konde gang for every bade 🔥

  • @reenkim2221
    @reenkim2221 2 года назад +8

    Huyu hata hana show yoyote, anjishaua na ni mkebe tu, song zake ni chapa ulale

  • @khalifajuma26
    @khalifajuma26 2 года назад +7

    Swagger zinakuwa nyingi Sana Mzee mpaka unaboa

  • @othumanikamilagwa1129
    @othumanikamilagwa1129 2 года назад

    Kwani jamani kuna baridi naona majaket mazito au ubishoo tu....

  • @ommysanga8706
    @ommysanga8706 2 года назад

    Sana wiz

  • @istambulkumedo7641
    @istambulkumedo7641 2 года назад +1

    Huyu Wayne wa buza anafosi ugonvi na Tembo

  • @Lewinglovbi6699
    @Lewinglovbi6699 2 года назад

    Hilo coats Vipi jamani Kwa kitoto ya Dar 😂😂

  • @nurumgohelen3867
    @nurumgohelen3867 2 года назад

    Noma sana naitwa japhetizo kutoka njombe makambako kusin nafanya Muzik ingia youb Sachi japhetizo utapata Ngoma Kali zote usisahau subscribe asante

  • @sketadre1981
    @sketadre1981 2 года назад

    Ma young wapo wengi wewe ata mbele wapo

  • @alantonio855
    @alantonio855 2 года назад

    Kila week-end lazima Kondeboy atrendishe kipindi hichi

  • @abaspaundy8081
    @abaspaundy8081 2 года назад +4

    Ana lolote uyo mtoto wa mama

  • @amanimtasha2584
    @amanimtasha2584 2 года назад +4

    Hivi hawa wasanii wetu wanaovaaga makoti ya winter na sunglasses huwa wanawaza nini kichwani mwao???? 🤣🤣🤣🤣🙌🏿

  • @sadamramadhan9887
    @sadamramadhan9887 2 года назад

    Hahahaha namukubali msela

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 2 года назад

    Big Sunday haiwez bila harmonize kutajwa

  • @jacquelinerayamu3187
    @jacquelinerayamu3187 2 года назад +2

    Mtchweeee 😏

  • @benallo549
    @benallo549 2 года назад +7

    Konde gang 4 everybody

  • @mordeetz
    @mordeetz 2 года назад +1

    Konde gang

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 2 года назад +4

    Umeanza ujinga tu jombaaa

  • @godsson5954
    @godsson5954 2 года назад +1

    mm kani inspire krs one rakim biggie nas jay z na tupac kibongo bongo ni saigon kala pina sugu na prof jay na jay mo na sio list anayoitaja hapo so now i understand why this generation makes hiphop DEAD

  • @piusjuma4864
    @piusjuma4864 2 года назад +3

    😅 😅 Ww young lunya kwa kuchana humfikii hata nusu

    • @jumaa_manandi1149
      @jumaa_manandi1149 2 года назад

      Lunya anamuita Country's*FAza😂😎

    • @wavuvitv2025
      @wavuvitv2025 2 года назад

      Mdogo ake lkn

    • @mariamsengasu6813
      @mariamsengasu6813 2 года назад

      Hata Wayne anazidiwa na drake ila haifuti the fact that amemtoa don't be blind....kumtoa mtu si sababu hata usher kamtoa Justin Bieber ila alizidiwa usher hata harmonise au rayvanny huenda mbeleni wakamzidi mondi ni kawaida kila mtu ana nafasi yake.

  • @danielmrombo
    @danielmrombo 2 года назад +3

    Ushatoka watarajia nini. Konde gang hukuperform, ulibuma huko

  • @مونيكمونيك-ع1غ
    @مونيكمونيك-ع1غ 2 года назад +3

    Kondegang forever

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 2 года назад +1

    Huyu jamaa kichefchef tupu

  • @alvarobaisama6671
    @alvarobaisama6671 2 года назад +5

    Icon 🍁

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 2 года назад

    Upokee hela ya nini wakati umetoka

  • @abdallahabdallahmagonga3475
    @abdallahabdallahmagonga3475 2 года назад +1

    Tembooooo

  • @manenoramadhan1432
    @manenoramadhan1432 2 года назад +3

    Mtabak kuisema kondegang ila hamuiwez

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 2 года назад +1

    *leo utavuja tuu maana sio kwa koti hilo dar*

    • @pamelaemmy8180
      @pamelaemmy8180 2 года назад

      Daaa kiswahili chako tu😄😄😄🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @purechuse
    @purechuse 2 года назад

    kama kunawanawake wanapenda wanaume kama huyu aslamu aleykum

    • @Trappqueen970
      @Trappqueen970 Год назад +1

      Aleykm salaam kwakwel

    • @purechuse
      @purechuse Год назад +2

      @@Trappqueen970 hahahaha nina zawad yako mrembo wangu 😂

  • @abedpatrick1771
    @abedpatrick1771 2 года назад +3

    Unatafta kikitu Siku zote ulikuwa wapi

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 2 года назад

      Mbona ashasema mara kibao? Alafu kwani haki ina muda? 😂

  • @hassanihussein2731
    @hassanihussein2731 2 года назад

    Anaongea ka choko yan

  • @hafidhdrogba6154
    @hafidhdrogba6154 2 года назад +1

    Sasa iyo reng rover.umenunua kwa biashalagan

  • @frednyaonge7350
    @frednyaonge7350 11 дней назад

    unabana pua sn.......wototo wa dar bhana

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 года назад

    This is Nuclear family

  • @newgeneration730
    @newgeneration730 2 года назад +1

    🔥

  • @patoptz6316
    @patoptz6316 2 года назад

    Boy

  • @wow4408
    @wow4408 2 года назад

    Huyu kijana ni mjinga kweli
    Hata wewe 👂Sikiliza alichosema kwenye wimbo wake 😱
    👇👇👇👇👇👇👇
    ruclips.net/video/_dCcqYllTjU/видео.html

  • @bakariomary5781
    @bakariomary5781 2 года назад

    Haya makoti sasaa

    • @pamelaemmy8180
      @pamelaemmy8180 2 года назад +1

      Ukimuuliza hapo kavaa bei gani atakuambia 5M

    • @bakariomary5781
      @bakariomary5781 2 года назад

      @@pamelaemmy8180 😂😂😂 wazee wa Code

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 2 года назад +1

    Mikuwa mnadhani harmonize ni mnyonyaji kama boss wenu

  • @hafidhkhalid930
    @hafidhkhalid930 2 года назад +1

    Sasa umevaa nn hapo cha maana koti hilo na joto dah si kujitesa

  • @emmanuelsilvester1032
    @emmanuelsilvester1032 2 года назад +1

    Mh huyu nae Kam maji usipo yaoga utakuywa

  • @izackrichard3014
    @izackrichard3014 2 года назад +1

    hahahahahhahah 🙄🙄🙄 khaa harmonize kumbe mbaya ivoo

  • @nickloyab9023
    @nickloyab9023 2 года назад +1

    Nafeel kama harmo alofail kumsign huyu mtu coz I don't feel any vibes in his song it is just a favour bro without konde you are nothing

  • @blackblue9729
    @blackblue9729 2 года назад +1

    Wasanii wabongo munazingua dar jua kali lakini makoti utazani mupo mkoani fu#$k

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 года назад +3

    Uwo mkoti na mjua wa bongo

  • @babnaafaizaani3368
    @babnaafaizaani3368 2 года назад +2

    Rapper gani mshamba joto loto namjacket

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 2 года назад +2

    Eti WCB wanyonyaji mmesikia upande wa pili kinachofanywa? Sasa wcb inawaonesheni maendeleo ya Dunia yakisasa baadae mnajikompeya nao kkkk

    • @pilimwanza8117
      @pilimwanza8117 2 года назад +1

      Distribution company ilikazimika ijilipe pesa zake ili apewe hati miliki zake hakusema kanyonywa. Harmonize na Rayvan wamelipishwa milioni mia 6 na milioni mia 8. Country wiz hajalipa hata robo ya hiyo that's for sure

    • @Saidkhel
      @Saidkhel 2 года назад

      @@pilimwanza8117 sasa alipe kwa kipi wakat hajasapotiwa kwa chochote alikuwa anapoteza mda yeye ndiye aliye takiwa alipwe kwa kupotezewa mda

  • @gakatheboy4494
    @gakatheboy4494 2 года назад +1

    Bofya haparuclips.net/video/2nrBKw5EZjc/видео.html

  • @grandpatimi
    @grandpatimi 2 года назад +9

    Konde gang 4 everybody

  • @nurumgohelen3867
    @nurumgohelen3867 2 года назад +1

    Noma sana naitwa japhetizo kutoka njombe makambako kusin nafanya Muzik ingia youb Sachi japhetizo utapata Ngoma Kali zote usisahau subscribe asante