Ata mm mzee zembo nisaidi kinjana anaitwa evans alinidanganja ati yeye ni agent atapatia mtoto wangu job nikampatia 170k ati amepata kasi dubai kutoka mwezi wa tatu last year akaniblock nisaidie mimi ni mugonjwa cancer nilikatwo matiti tafathali
Namimi Kuna mtu alikula ten million zangu na mwingine amekula million 1.2, mwingine amekula 380,000/Ts, bonvi nisaidie kwa mzee sebo nifanyeje,kwa watu awa,
mutakoma mwaka huku mulitutumia yakutosha na vile tumemupata muzee sembo mutajuwa hamujui kitawarba
Mzee sebo tuondolee ruto kwa kiti anatutesa sana na kuabduct vijana wadogo
Mzee sebo nitabilie mm mahisa yangu hahiend visuri
Walidhani hatutawapata round hii watatii
Kwa nini uwamini mtu hujui
Spiritual war is only for those do understand spiritual things@@Flo-r3g
😢😢😢😢😂😂😂 unaanzaje kupea mwanaumme prsa ilihali wazazi hawaoni hata 1k jamani 😭😭😭😭 wacha nikae hivyo ww hiyo n uchawi kijana alitumia 😢😢😢😢😢
Sante Mzee sebo wa kazi nzuri
Mara hii wanaume wamekalisha makende kukula pesa za madem wa gulf wamepatikana 😂
Nakuambia 🤲
Mbona utume pesa kwà mtu hukuzaliwa nae
Mzee sebo nitabirie nini kinaendelea kwa yangu juu nimekosa bibi kabisa😢
Uko how old
Niko hapa😂😂😂
@loseeal3440 wapi?
😂😂
😂😂😂😂😂 kwani ww ni mzee sebo @@naseeralbishi4726
Ata mm niibiwa si anivutie mwizi huyo kweli
Adi mm hiyo ndyo naomba
Watu wa gulf mtakoma kupe wanaume pesa
Hiyo ni kweli
Ata mm mzee zembo nisaidi kinjana anaitwa evans alinidanganja ati yeye ni agent atapatia mtoto wangu job nikampatia 170k ati amepata kasi dubai kutoka mwezi wa tatu last year akaniblock nisaidie mimi ni mugonjwa cancer nilikatwo matiti tafathali
Sorry Madam 😢😢😢
Pole kwa hiyo madam
Mbona Mzee sebo Koko hationi maendereo
Wakuje wezi wote
Thanks mzee sebo for helping pple
Sarah Asante kwa mavazi
Lak bato ajaongolewa
🙏🙏🙏🙏mi pia naomba tu njia yangu imefunguka sana hta kazi Sina deni zinakwama cjui shida ni nini
Hello
haya Mimi mutumishi naomba uniombee sina kanzi na Niko huku south arebia nateseka
Namimi Kuna mtu alikula ten million zangu na mwingine amekula million 1.2, mwingine amekula 380,000/Ts, bonvi nisaidie kwa mzee sebo nifanyeje,kwa watu awa,
Woiyeeeeee pole aky bonvee akuje akusaidie
Na sisi happa tujifunze heri tukuomboe mayatima kuliko na wasiojiweza na si wanaume
Niombe. Mzee. Doa. Yangu. Mume. Wangu. Anapenda. Usherati
Hata mm pesa zng zilibiwa bank Mshwari na Mpesa na cjui huyo mtu mpaka leo
Kwan mshwari pia wanaiba ghaii.....zangu kwa kcb pia
Hao ni watu wa safaricom
Aje aki
Ata yaku nazilikua locked 64k
Nivutie mmoja amekatalia zangu pia 260k
Call bonvi urasaidika
Heeeeee iyo nao ni Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sante mungu this time round watatii....
Wooi mzee sebo tukubuke wote wenye tuko gulf tunapitia
This time round wacha MUNGU ajidhihirishe mwaka huu
𝑾𝒂𝒔𝒄𝒉𝒂𝒏𝒂 𝒘𝒂 𝒈𝒖𝒍𝒇 𝒎𝒎𝒆𝒇𝒊𝒌𝒊𝒘𝒂😂😂
Mm siez tumia mwanaume doo
Wanaume wengi wanatumia madawa sikuhizi kubadilisha roho wako mboka mbaya sana
@rahema907 waaah mm huomba sana Kila cku mungu aniepushe na hayo mambo ya kuombwa doo
Mzee sebo nyumbani wachawi wananisumbua sana
Niko 😢😢na Agent amekatalia pesa zangu
Naomba aky pia mm anivutie jamaa alikul 150k
Huwa napeana free advice ukijua uliaja so called bwana kenya sahau jipe shughuli aja papara
Mliozoea Kula vya watu mtatii this time round
Mzee Sebo 🙏 help me I get my money back from people who took please help me
Sebo niobee mngongo Iko na shita sana
Haki siku hizi ugonjwa wa migongo ni mingi hata mtoto wangu ni mdogo lakini anaumwa mgongo imagine na my siz pia,😢 it's too bad
Wamepatwa mutatii mtajuwa Mungu ninani
Ameen
Tusaidie akiii
Mzee sebo nisaidie pia kuna pesa yangu laki na ililiwa namtu akajipa shugli wala hana time😢😢
Jqmn mm pia nilisafir but nilipo rud hata 5bob sina nilikua nikiomba omba jamn ,maombi nahitaji sahii njia zangu zifunguke na na niweze kurud tena
Mzee sebo siku moja ufurute mwarabu uwakomeshe kuteza watu
😂😂😂kabsaa
Hiyo siku naisubiria😂
@@MourineOkech-zf7sz 🫣🤔😁😁😁
Huyu si mzeee sebo
Mm hapa naogopa haya mambo juu l hv been prayerful lkn hakuna malaika amewahi nikujia in person,l just trust in God.
ambia mzee kuna tamaa anakuanga na 80k zangu aniitishie plz
Mwambie mzee sembo aniangalilie haki nimepoteza pesa Nyong'o Sana zieze Rudi haki
Aky kama mm nko na shida pia mm nko na roho kabisa ya kutuma tabiu BT cna aky naomba munoombee kabisa
🙏🙏🙏🙏
👍
Arudishe pesa yote ama umwangamize
Ata mm Kuna mtu alikula pesa yangu 50,000 aki round hii tunataka wakome kabisa
😂😂😂😂😂😂😂
Wueeeh ni moto,hata mm nataka walete agent mwingine hapo alini corn 17k,uwongo imefika mwisho sasa
olewenu wanawake wanafanya kazi munatumia madawa mukikula mukinona
Wapi
Madawa yanaletwa na nani
Afadhali upee mama aliyekuzaa akule kuliko mwanaume ambaye humjui
𝐼 𝑙𝑖𝑘𝑒 𝑡ℎ𝑒 𝑤𝑎𝑦 𝑆𝑎𝑟𝑎ℎ 𝑖𝑠 𝑡𝑎𝑙𝑘𝑖𝑛𝑔 𝑛𝑢ℎ 😂😂😂😂𝑛𝑖 𝑘𝑎 𝑎𝑘𝑖𝑝𝑒𝑤𝑎 𝑛𝑎𝑓𝑎𝑠𝑖 𝑎𝑡𝑎𝑜𝑛𝑎 ℎ𝑢𝑦𝑜 𝑗𝑎𝑚𝑎 𝑤𝑎𝑟😂😂😂😂
Ndio mzee sebo tusaidie aki...
🙏🙏🙏