Alafu una haribu kiengereza sio haikuwa broadcasting hapo mzee ume haribu English unapasua kusema haikuwa broadcasted hapo ndipo English inakuwa poa! Kwhyo jirekebishe mzee😂
Mtangazaji ni domo kaya! Elimu ndogo na haoni haja ya kujifunza zaidi. Hakupata ajira kwa kigezo cha elimu bali ni wepesi wa kuzungumza. Kwa kijiwe cha kahawa atafaa sana. Poleni waandishi wa habari. Tasnia imevamiwa na makanjanja!
Kenge wew 🐸🐸🐸
Alafu una haribu kiengereza sio haikuwa broadcasting hapo mzee ume haribu English unapasua kusema haikuwa broadcasted hapo ndipo English inakuwa poa! Kwhyo jirekebishe mzee😂
Tenses failure
Mtangazaji ni domo kaya! Elimu ndogo na haoni haja ya kujifunza zaidi. Hakupata ajira kwa kigezo cha elimu bali ni wepesi wa kuzungumza. Kwa kijiwe cha kahawa atafaa sana. Poleni waandishi wa habari. Tasnia imevamiwa na makanjanja!
Mbona wachambuzi hawaionglei simba na imecheza na timu kutoka saudi Arabia na tumeshinda kweli simba tuna 😢😢 ndani na nje ya uwanja
Bro mech ilikuwa live tumeiona😂
Hatutaki umbea
Haikutamgazwa! Kwani unaumia? Sisi tunajibweda na mfalme
Kwanza neno abrodikasting au abrosticated?
Basi bwana jamaa asamehewe tu matenses yamekuwa shida!!
Yangu macho na masikio ila naipenda sana simba jamani.
Nyie mnataka ionekane ili iweje?
Ubay ubwela
tusubiri ya tarehe 8 itakuwa live ubaya ubwela ndio tutajua unaenda pande gani