Watekaji na waujai msijizime data kumbukeni hayo mnayoyafanya hukumu yenu mtaikuta siku ya kisimamo cha hukumu mbele ya HAKIMU MUADILIFU MWENYEZI MUNGU, hayo hayana shaka mtayakuta tu mbele ya Mwenyezi Mungu
Dhulma haidumu bali ni hasara nadhan ndani ya serekali hii sasa imekuwa ya tishio dhulma mauaji nakila baya ifike pahali sasa wananchi wafunguke kudai haki vinginevo vijana mtaisha nakubakia masikin uwoga ni laana
Mungu ampe unafuu kwa haraka na yoyote yule aliehusika Mungu amlipe hapahapa duniani 🙏
Mwendazake kaiharbu Tanzania yetu
Watekaji na waujai msijizime data kumbukeni hayo mnayoyafanya hukumu yenu mtaikuta siku ya kisimamo cha hukumu mbele ya HAKIMU MUADILIFU MWENYEZI MUNGU, hayo hayana shaka mtayakuta tu mbele ya Mwenyezi Mungu
Inasikitisha sana 😭
Alaniwe mwendazake na. Waliokamata kijiti pia walaniwe kwa Jina la yesu
Hongereni viongizi kwa ufuatiliaji
Mungu tusaidie manake ili wimbi la utekaji linazidi serikali tunataka mmalize tatizo hili.
Huyu rais mbona haongei chochote kuhusu hali hii au anaona ni kawaida tu hatari sana nchi huru imerudishwa utumwani aibu gani hii hizo R 4 za nini?
Mtaendeleya kuteka na kuwauwa hukumu yenu itaanza kwa familiy zenu mungu anawaona mtagaramiya mungu ana video yenu vitu mnavyo fanya
Maneno huumba,wakati ule c alijiteka akasumbua Serikali ndo akakutwa kwa Iringa kwa demu.Ndoto imetimia alipenda sn.
Kuteka teka imekua mazoea ipo ck watajiteka wenyewe mbere zetu
Dhulma haidumu bali ni hasara nadhan ndani ya serekali hii sasa imekuwa ya tishio dhulma mauaji nakila baya ifike pahali sasa wananchi wafunguke kudai haki vinginevo vijana mtaisha nakubakia masikin uwoga ni laana
Wakati ule c alijiteka? hicho ndo alikipenda.Hapo kafaulu kujiteka,bichwa kubwaaa.
Mmmmh ni xhida kwel kwel
Ccm ni mbaya kuliko wakoloni wa kizungu
Kuna mijitu inamlaani Magufuli,magufuli ndo aliteka?mijitu hata chupi haina.
Usanii tu
Wewe ni ubwa
Omba yasikukute bro
Yakikufika au kwa ndugu yako ndio utajua ni usanii..
Sijui kama umzima kwanza kichwani hadi tundu lako la tatu nyoko wewe