Nakukubali sana mbona siku hizi siku sikii kabisaa bishop maana kipindi chako kilinifungua mengi sana sana au siku hizi unatoa kipindi radio gani bishop siku hizi
Askofi ubarikiwe kwa jina LA yesu kristo mtumishi wa mungu nafuatilia sana mafundisho yako juu ya history ya taifa ya Israel ila sehemu ya tatu najaribu kulicheki hapa silioni kwenye account yako naomba muendelezo yako ya Israel
Mtumishi tunakuomba uondoe utata kuhusu kitabu cha nabii isaya sura ya 21 haya ya 13 na sura ya 8 haya ya 8 pia kuhusu dibaji ya kitabu cha biblia maana haieleweki machoni pa watu vizuri . tutashukuru
safi sana mchungaji endelea kutupa elimu
Asante kwa ujumbe muzurri,mungu akubarikii
Nimekuelewa aulerian
Amen Bishop ngonyani
Thanks,,,mwendelezo......
Mungu awabariki wote mlio comment, Tumerudi tena kwa kasi, tpo pamoja nawapenda sana
Nawezapata mawasiliano ya simu?
Mwendelezo jmniiii
Nime.shukuru.sana..nikonakufata.apa.congo.lumbu.mbasshi.salamu.mwalimu.nimimi.zongwe.musafir
Thank you very much Mungu wangu akubariki Sana some nzuri Sana
AMEEEEEEEN
Mtumishi wa mungu, Mbona kimya. Tunaomba utusaidie muendelezo
BISHOP NASHUKULU UMENIFUNGUA MACHO MIMI MILIANZA KUKUSIKILIZA KWENYE KIPINDI CHA ISLAELI KATIKA UNABII UNANIBALIKI SANA
Ahsante kwa Hii elimu
Ubarikiwe na Bwana. Uko vzr. Mumishi.
(Rev. Simpasa)
UBARIKIWE SANA ASKOFU MUNGU AKUTIE NGUVU NATAMANI SANA JINSI UNAVYOFAFANUA HABARI ZA TAIFA LA ISRAELI
Nakukubali sana mbona siku hizi siku sikii kabisaa bishop maana kipindi chako kilinifungua mengi sana sana au siku hizi unatoa kipindi radio gani bishop siku hizi
Tupe sehemu Ya tatu yahaya mafundisho
Asante Askofu kwa kutuletea historia ya taifa la Israeli🇮🇱barikiwa Sana
Yn Mungu akubaliki sn Mtumishi ..
Ubarikiwe pastor..tunasubiri mwendelezo
wonderful teachings be blessed rev.
Shalom! Mtumishi barikiwa sana kwa ufunuo Am from Kenya
Mungu akubariki mtumixhi wa mungu
Kwanza, asante sana kwa somo zuri japo tunahitaji episode 3 ili historia ikamilike. Pili, nitapataje vitabu vyako mwalimu ili nijipatie maarifa?
Nabarikiwa na somo hili je nitapataje hicho kitabu?
Amen ubarikiwe Baba Askofu kwa elimu nzuri isiyo na gharama kwenda chuo ukweli nimebarikiwa kuyajua haya na Mungu akubariki sana kwa huduma hii njema
Mtumishi tumalizie hiyo pat3 basi tunaisubiria kwa hamu saba
Mtumishi lile sanduku la agano lilipotelea wapi au lipo wapi kwa sasa
Pole kwa kuchelewa kujibu, kama bado upo hewani tuma tena msg, utajibiwa
Sehemu ya 3 napataje
ubarikiwe mtumishi!!!
Nilisubiria Sanaa MUENDELEZO huu
Mungu azidi kukutumia kwa kutafasri za taifa teule la Israel.
barikiwe sana Mtumishi wa Bwana
Yaani hapa nikianza kuisoma Biblia nitakuwa naelewa mtiririko ulivyo.
Safi mno
Hata siku 1 mwafrika hajawahi kumweka mzungu utumwa misri. Wala mzungu hajawahi kwenda utumwani.
Askofi ubarikiwe kwa jina LA yesu kristo mtumishi wa mungu nafuatilia sana mafundisho yako juu ya history ya taifa ya Israel ila sehemu ya tatu najaribu kulicheki hapa silioni kwenye account yako naomba muendelezo yako ya Israel
Asante sana
Kuna utawala wa Otman empire ambao pia ulitawala Dunia sijasikia?
Amen
Hicho kitabu kinapatikanaje UFUNUO WA YOHANA
Wasiliana kwa 0755407764
Ubarikiwe mtumishi, kitabu kinapatikana wapi
Wasiliana na 0755407764, utakipata
Mbn ya ttu ulisema wki ijayo yenye maana ya menmene tekeli na perezi mkuu
Mafundisho yako ni maziri sana.
Ningeshauri uondoe hiyo background sound maana inatuondoa kwenye uwepo wa kupokea unacho fundisha.
Ubarikiwe mwalimu.
Bishop nahitaji hicho kitabu
Wasiliana na 0755407764, utakipata
Tukiuliza Maswali HUTUJIBU. Kuna haja gani kutualika kwenye RUclips Channel hii?
Pole, but tumerudi upya sasa
Mbona sipati kipindi cha tatu au uliishia hapo hapo
Muendelezo bado haujaandaliwa?
Jambon pasteur kwanini umesitisha muendelezo ulipatwa natatizo gani kwanini hukuendela hayo mafundisho mazuri
Vitabu hivi vinapatikana wapi bishop nije nichukue
Wasiliana kwa 0755407764
Muendelezo lin
Mtumishi tunakuomba uondoe utata kuhusu kitabu cha nabii isaya sura ya 21 haya ya 13 na sura ya 8 haya ya 8 pia kuhusu dibaji ya kitabu cha biblia maana haieleweki machoni pa watu vizuri . tutashukuru
Pole kwa kuchelewa kujibu. Kama bado upo hewani numa tena msg ujibiwe. Barikiwa