Makala Maalum: Jinamizi la Cabo Delgado

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Uasi unaoendelea katika jimbo la Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji ni kama jinamizi: makazi ya watu na vijiji vinashambuliwa kwa mabomu na kuchomwa moto. Ubakaji, utekaji nyara na mauaji yamepelekea maelfu ya watu kukimbia. Waandishi wa VOA Amancio Vilanculos na Omary Kaseko walitembelea kambi kadhaa za wakimbizi kaskazini mwa Msumbiji ambako waathirika wamekimbilia kutafuta usalama bila uhakika ni lini wanaweza kurudi majumbani kwao.

Комментарии • 5