Nisiwe muongo wimbo nimeuona na una ujumbe mzur sana hasa ukizingatia niliyoyapitia maishani. Mungu azidi kukubariki Binti mkristo Kwa kazi unayoifanya. Siku moja nitatembelea kanisa la wasabato ili nisikie nyimbo zenu. Muwe na siku njema Watanzania wenzangu✌️
Nisiwe muongo wimbo nimeuona na una ujumbe mzur sana hasa ukizingatia niliyoyapitia maishani. Mungu azidi kukubariki Binti mkristo Kwa kazi unayoifanya.
Siku moja nitatembelea kanisa la wasabato ili nisikie nyimbo zenu.
Muwe na siku njema Watanzania wenzangu✌️
U are well come at iringa ndo dada fund anapatikana
Ooh! Karibu sanaaaaa
May the Almaight God grant you with blessings .Am blessed a lot🙏🙏
Thank you 🥰such a good melody
All the love from Zambia
🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Thank you❤
Melody iko 💥
Kazii nzurii🥰🥰🥰nngekua naeza kupata tungepanga kakitu🥰🥰
Mungu akubariki. Katika kushukuru unapokea zaidi. Pokea zaidi mama. 😊
barikiwa juddy Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi kwaajili ya utukufu wa kazi yake
*Hakika maisha yako ni mbaraka kwetu,,, Mungu akutumie zaidi dada Fundi... Jude Bujeje🙌🙌🙌*
🙏🏾
Umebarikiwa unazidi kutubariki....continued counting your blessings dear one
Hongera sana juddy mungu akutangulie aisee 🙏🙏🙏
Hatukulipa chochote tuwe haiiii,hatukuwa na connection tupate kazi...Kwetu ni MUNGU TU.
Hakika ni macho ya Bwana yaongozayo hatua zetu ...Tunakushukuru Mungu mfanyaji tena na tena!Hongera mwana wa Mungu nyimbo ni nzuri san.
asante sana🙏🏾
Keep going girl nice voice much love 🇰🇪🇰🇪 ❤
Asante Bwana umefanya tena..🙏
🙌 Hakika Amefanya tena
Nakukubali sana Judith moto sana zote Kali Mungu akutumie tupo na wewe wadau wako
🔥🔥🔥 mzuri jamani
Congrats dear may Almighty God bless the work of your hands?I’m blessed
Thank you so much dear❤
Nyimbo nzuri sana
Alooooo🙌🙌🙌
Whaaaaaat a song
Ujumbe mzito🤲
Mziki makini🎧
Keep the goodmusic @judy
😊🙏🏾
Ubarikiwe dadafundi....
Congratulations dear sister 😍
Thanks a lot
Barikiwa sana Judy. Mungu azidi kukutumia kipekee sana. Wimbo ni mzuri sana.
Asante sana🙏🏾
🙏🏾
Nimebarikiwa sana kukuona leo Kanisani Ilala🥹🙏🏾🙌🏾
asante sana humphrey🥰
Blessed u are 🔥wajina🙏🙏
Nice one watching from Kenya ...😊❤️Mungu akuinue katika viwango vingine
Thank you dear!
Good song judi amen🙏🏼
Hongera sana kwa kazi mzuri Mungu akusimamie sana
Asante sana dear!
Unajua hadi unajua tenaa.... such kind of a blessing song hongera dada Judy kwa kuendelea kutubariki😊🙏🏾
Dada Lizzy kasema🤗🤗🤗
Asante dear🙏🏾
Hongera dada fundi
Asante dada Judy wimbo una ujumbe mzuri sana🙏🙏
Safii Sana
Nimebarikiwa sana na wimbo huu, sichoki kuusikiliza
🙏🏾
Watching from Ilala dsm big up my sister God bless u 🙏 Good job
Amen🙏🏾
Kazi nzuri sana, ubarikiwe mtumishi
Mungu amefanya tena
Ubarikiwe Judy
Mungu aendelee kukuinua. Wewe ni mwimbaji wa aina ya tofauti
Nmebarikiwa dada Fundi, Mungu akuinue zaid.
👏👏👏👏ahsante BWANA🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera dogo
hongra dada sio ufund tu hata ufundi wa uimbaji
Waooooo barikiwa sanaaa Dear 🥰
Anitha 🤗🤗🤗 msalimie Kelsy Kerubo mwambie tunaomba collabo yako, yake na Judy muwe ndani ya wimbo mmoja.
Nyie watu n noma💯
@@cubic-nj1fc Sawa ujumbe umefika huuu
Congratulations
Shinning♥️♥️♥️♥️
❤❤
Keep it up ,ukapotelee mbinguni rafiki🙏
Another hit from you dada fundi. Sauti yako ni tamu sana, ujumbe upo on point, hakika Mungu atukuzwe👏👏👏umebarikiwa dada fundi,hongera sana
🙏🏾🙏🏾
your Grace lord i love this song
🙏🏾🙏🏾
Be Blessed Judy! Keep it up up & Up
Amen🙏🏾
Hongera sana Kwa kazi nzuri
🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲✌️
Still on peak🔥🔥🔥🔥🔥..
Mungu azidi kukubariki na kukuinua..
#TillNoMoreIntroductions..
🙏🏾
Amen ❤
#SisiNdoWaleTunaolindwaNaMungu😎
My sister ❤️❤️❤️
Wimbo mzuri Mungu akubariki
🙏🏾
Ameeeeeen❤
Amen dada jud♥️♥️
Hongera Judith
🙏🏾🙏🏾
@@judybujeje5164 you have luck, keep going.🤗🤗
Asante 🙏🔊🎶🎵
⚡⚡⚡⚡⚡⚡
Brilliant 🥳🥳🥳😇 absolutely brilliant. Hii nyimbo imekuwa kali and hopefully it will go all the way up to the trends
Cubic unaongea sana😆😆😆😆
sawa mtoto wa Rais😍😍😍
🙃🙃rais wa mchongo😆
😁😁😁😁😁 amna sema saiz kastaafu ndo mana unasema wa mchongo
Nfanyue mchongo nije ata kwa mashamba ya baba ako ntafanya kaz kwa bidii hamtaona kosa ata moja😃
God is Good. #asantebwana
all the time😊😇
🙏🙏
Hi Judy
Tjank you for your beautiful song
❤❤
How can we DM you please?
🙌🙌❤️
Be blessed dada
Hongera dada Judy nmekufaham kupitia Monica lkn nafurahi pia kwa kazi zako hakika Mungu akutumie zaidi kupitia vipaji vyako vzur ❤❤ ,bado unashona ?
🙏
Hongera mum