Great video kama kawaida but avoid using some words and instructing the driver on what to do. "Hiyo trailer imemuharibia hesabu..." "Pigia huyo mjinga honi..." Let us learn to respect every road user regardless. Anyway, great video from a day one subscriber
Hii video sii yaa leo niya wednesday last week wanafinzi wakienda aftam from ogalo butula murumba bumala kuendelea.......hadi nakuru lanet barnabas stopover
Alafu leta videos za a full journey sio "Rampage..,competitions of hill climbs and here and midway to there..." Angalia ata views mingi ulipata kwa full journeys. Watu abroad wanataka kuona ukitoka haoa unamaliza safari..,na interviews na after safari..,baba utaambiwa mara ngapi!
Kabisa lakini hata hivyo Isuzu wanaendelea vizuri na improvements zao hii Isuzu 34 s 280hp inaweza sana kwa climbing Lane na inapotea kuliko Isuzu Mv 123 ya kitambo. Cha kusahanga fuel consumption is very, low maintenance cost na availability of their cheap durable spare parts faida kubwa kwa Investors ukilinganisha na Scania, Man and Benz ambazo kila kitu costs zao ni expensive sana faida ndogo kwa investors. Zote hufika their destination at the same time frame. Europe vs Japan
The kind of madness that we see on our roads is appalling, sometimes we just blame the government bure tu.Huyo msee wa fielder hapendi maisha yake. Hapo ni wapi penye road inapanuliwa?
The video is great, but I'll suggest also on the full videos, huwa entertaining saana, but the video Iko sawa
Nice, always following.Engine sound 👌
Thanks 👍
....you must be a fellow Mitsubishi Fuso Mahewa lover ama??😅
Nice video keep up
Hello Mr. Hope you are good am Kenyan I enjoy your videos alot kindly upload more.
I will
where is Chebechebe 😁 ,Dwaniki Richard AND Chines hawa madriver hatari sana i really love the way they fly with team malaika😋😋👌👌
Yaani Naeza sikia engine ya bus vizuri na Hizi pods
Great video kama kawaida but avoid using some words and instructing the driver on what to do.
"Hiyo trailer imemuharibia hesabu..."
"Pigia huyo mjinga honi..."
Let us learn to respect every road user regardless.
Anyway, great video from a day one subscriber
Hii video sii yaa leo niya wednesday last week wanafinzi wakienda aftam from ogalo butula murumba bumala kuendelea.......hadi nakuru lanet barnabas stopover
Yes
Hapo kwa 13.03 the indicator communication ❤
Cool engine sound this is from Nairobi to Kisumu route.
Kisumu-nairobi
Videos kali alafu punguza kuongea sana …..
It was 2011 on my way to US embassy for visa...I used Guardian, today I love in US,13 years❤
Amazing!
Always on time
Lakini atakama ni rampage mlikubali kuongozwa sana na kcu
This must be KDK402Z
Alafu leta videos za a full journey sio "Rampage..,competitions of hill climbs and here and midway to there..."
Angalia ata views mingi ulipata kwa full journeys.
Watu abroad wanataka kuona ukitoka haoa unamaliza safari..,na interviews na after safari..,baba utaambiwa mara ngapi!
Kabisa lakini hata hivyo Isuzu wanaendelea vizuri na improvements zao hii Isuzu 34 s 280hp inaweza sana kwa climbing Lane na inapotea kuliko Isuzu Mv 123 ya kitambo. Cha kusahanga fuel consumption is very, low maintenance cost na availability of their cheap durable spare parts faida kubwa kwa Investors ukilinganisha na Scania, Man and Benz ambazo kila kitu costs zao ni expensive sana faida ndogo kwa investors. Zote hufika their destination at the same time frame. Europe vs Japan
@@philipisohe8035 Very clear business is all about profits and sustainability .
Hebu tuundie moja tuone kama example?
Si alishaweka full video,, ama unataka a re-upload hiyo video 😂😅
Dualing of the highway in progress
if only hio horsepower ya fvr34s ingeongezwa i bet inaeza angusha scania f360......nice job btw
Kabisa
wewe unajua Scania kweli??
Between the two, which is turbo charged?
Both
The kind of madness that we see on our roads is appalling, sometimes we just blame the government bure tu.Huyo msee wa fielder hapendi maisha yake. Hapo ni wapi penye road inapanuliwa?
Ngata bridge
Hii safari imetoka wapi na inaelekea wapi bro mbona haujilezi vizuri
Ogalo to Nairobi
Hizo freno si ni mob sana lakini. Ama driver ameset engine brake iwe on full time
Ikifika 80 freno inanyonga
Hizi 34 zinakuwanga kubwa height wise kuliko easy coach
Depends with body maker
Fvr34 has chase extended but should easy coach fuso not extended but are in the same class of 4x2 lorries
This is from where to where?
From kisumu
From Nairobi to Kisumu route, that area is from Nakuru.