MAISHA MAPYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 28

  • @Cde_zubeir
    @Cde_zubeir 5 дней назад +1

    Kiukwel wanawake wengi wangekua kama ZAMA ingekua safi😊, me napenda upole wa Zama na jinsi anavyoongea na mume na wake ❤️

  • @superboybronze
    @superboybronze 4 дня назад

    Una content kali sana brotha ila zipo off quality

  • @EagleShotokanDojo
    @EagleShotokanDojo 8 дней назад

    Ongela Sana ndgu Yangu uwezo nimkubwa sana 🙏

  • @JustusSimon-s6h
    @JustusSimon-s6h 10 дней назад +1

    😂😂😂😂 kwel @nanga Ndy kukaza fuvu hivooo😂

  • @johnwillingstone3121
    @johnwillingstone3121 11 дней назад +1

    Nakubali sana Nanga

  • @karlschrader4026
    @karlschrader4026 11 дней назад +1

    Big Up Nanga 💪🏽💪🏽

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 10 дней назад +1

    😂nanga dictator 😂jamani mwanamke hapumui

  • @ricco_junior
    @ricco_junior 9 дней назад

    Nanga unajua kuigiza sana🇰🇪😂😂😂😂😂😂

  • @ridhiwanihafidhi6868
    @ridhiwanihafidhi6868 11 дней назад +1

    Hehe Nanga Bana 😂😂😂😂

  • @hammytototundu9292
    @hammytototundu9292 8 дней назад

    Nanga kama Nanga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ndizoshukuru6142
    @ndizoshukuru6142 6 дней назад

    Ila Nanga 😂😂😂

  • @POLITICS_WAR_DIPLOMACY
    @POLITICS_WAR_DIPLOMACY 10 дней назад +1

    PILAU MPAKA PAWE NA TUKIO

  • @kajiakivuyo1645
    @kajiakivuyo1645 8 дней назад

    Nanga captain 😂😂😂😂😂

  • @DennisMagoma
    @DennisMagoma 11 дней назад +9

    Imenichukua miezi sita namfatilia tu Nanga katika uhusika wake. Najiuliza kwanini Nanga, kwenye scene zote lazima awe negative tu. Hakuna scene Nanga anaweza kukubaliana na wazo la mwenzake?

    • @ramadhanimmana3829
      @ramadhanimmana3829 11 дней назад

      😅😅😅😅😅

    • @hilalimohammed9396
      @hilalimohammed9396 10 дней назад +3

      Ipo. Juzi tu nimeiona anauza nguo. Mwisho alikubaliana na matokeo. Tunasema kawezwa.

  • @twiser6029
    @twiser6029 10 дней назад

    😮😊😊

  • @dorcaskayinga6373
    @dorcaskayinga6373 9 дней назад

    Ubabe tuu, yaani mke hana Amani kabisa😢

  • @eliabeliud490
    @eliabeliud490 11 дней назад

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @tatomary1375
    @tatomary1375 9 дней назад

    😂😂

  • @omarMchoya
    @omarMchoya 8 дней назад

    Nanga hapo kweny kula nimekataa hata kama ndomaisha magum so kihvo

  • @wesleymichael9290
    @wesleymichael9290 11 дней назад +1

    Ila zama napenda unavokua mwelewa

  • @geraldpaul1962
    @geraldpaul1962 11 дней назад

    Sio comedy hii

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 9 дней назад

      Ni kweli hii sio comedy ni mafundisho mengine ya maisha na ubabe

  • @wesleymichael9290
    @wesleymichael9290 11 дней назад

    Wengine apo mdomo mdomo akula kofi...

  • @hilalimohammed9396
    @hilalimohammed9396 10 дней назад +1

    Mh! Mzazi kama unakuwa na muongozo uo. Basi mtoto itakuwa anasoma katika mazingira magumu. Anasoma na njaa. Unaweza ukamuathiri kisaikolojia.