Tunakushukuruni nyote mlofwatilia filam yetu AHADI na hapa ndio mwisho.pia tunatumia fursa hii kwa kualikeni kuwa wengi mno kesho saa nane kwa majira ya africa ya kati kwa kupokea kipindi cetu kipya kabisa kitwaco HINDUKA.ambaco kitakua na mafunzo tofauti kupitia micezo tofauti.micezo itakuwepo yakirundi na kiswahili. shukran
Man'sha Allahu tabark Allah ima kweli nimejifunza mambo Muhimu shukran Allah Ghaz'wajallah adhidi kuwabarki nakuwarahisishia nakuwatiria taufiqi Mudhidi kufanya yare ANAO ya penda Allah Ghaz'wajallah ln shaa Allah 🤝
Iyi muvie sichoki kuiyon 🔥🔥🔥🔥👌💯💯💕
Tunakushukuruni nyote mlofwatilia filam yetu AHADI na hapa ndio mwisho.pia tunatumia fursa hii kwa kualikeni kuwa wengi mno kesho saa nane kwa majira ya africa ya kati kwa kupokea kipindi cetu kipya kabisa kitwaco HINDUKA.ambaco kitakua na mafunzo tofauti kupitia micezo tofauti.micezo itakuwepo yakirundi na kiswahili.
shukran
Asante Sana mugisha naomba utuwekeye LA Belle salha
Mm nimiwakubali Sana kiukweli mnaweza
Hiyo qaswida inaitwaje
Naomba Hii qasida ewe Mola yaitwaje hio
Iyo nasheed naiomba naitaka sana
Mashaallah movie nzur sana mtupe kingine..........
I’ve watched this movie over the years but I always come and look for it 😂😂😂
Were together 😅
Nzuri sana kbisa ila munatupa mda mdogo sana Mugisha
Mugisha zuradufasha uduhe 30min basi uzoba ukoze,nugusaba 🙏🙏sitegeko
hazogera aho tuzoza tubaha iyo 30min ariko si ubu.mwihangane.buke buke nirwo rugendo
@@mugishamedia2632 kweli Kbisa subra huvuta khayri ln shaa Allah 🙏
ManshaAllah. napenda muvizako zina mafunzo ndani 🙏🙏🙏❤
Mashaallah nzur kwel
Kama umemwona Mugisha mwishoni mwishoni, gonga like hahahaaa!
Manshaallah Allah awazidishiye ujasiri mu endeleyeni kutulimisha
Asante ni mwederezo 🙏🙏🙏🙏from tanzania
Safin sana kabisa nafurahiya hii movie ya Ahadi
Man'sha Allahu tabark Allah ima kweli nimejifunza mambo Muhimu shukran Allah Ghaz'wajallah adhidi kuwabarki nakuwarahisishia nakuwatiria taufiqi Mudhidi kufanya yare ANAO ya penda Allah Ghaz'wajallah ln shaa Allah 🤝
aamina
Mwendelezo kaka 7,8,9.....
Manshallah ongera saaan hasant Nimekuwa wakwaza 🙏🙏🙏🙏😘😘
Tunashkru saaana kwa iyi movie Ina mafunzo kabisaaaaa
Mashaallah movie Nzuri yenye mafunzo.
😅🤣😂Swahibu ananifurahisha
Mashallah mungu mkubwa
Mashaallah move nzur san
Mbona wanaswali pamoja pamoja haifai hicho inafaa mke awe njema step moja
Mashaa Allah Ahadi nzuri kwakwer
Allah awalipe kila la kher
Naipenda sanaa iyi movie
Wama yatakillaha yaja'allahu makhraja wa ya ruzuqhu min haythu la yahtasib
Asante sana nzuri san kabisa
Mashallah 😍😍😍
Nimejifunza kitu nashkr
Tunashukurusana.....mwenderezo....7...8
Twaibu utaniuwa hhh
Turabamenyesheje abanywanyi bacu yuko film Ahadi ihereye ngaha.twongera turonkeraho akaryo kokubamenyesha yuko,kuva ejo saa munani amasaha ya East Africa niho muzotangura gukurikirana igice cambere ca za film zacu HINDUKA.film zizoza zica ngaha buri munsi wambere nuwakane.tubasavye mube benshi mukwakira ico kiganira kizoba gikurikizwa n'amafilm afise amasomo atandukanye.murakoze
Ndakurinyuma grafrere jew mdakwemera pe nanje niho nkiheza kuraba izo film zose
Naomba iyo qawsida
Mashaalllah
Kaka nuriya anakiherehere ndomanawalikuwag walimuwek mukapo yagari hahahahaha
Jmn movie 😀😀😀😀🔥🔥🔥🔥🔥
Ukitaka kheri kwa hii dunia um yenyekee we we Allah
murakoze kutwigisha
Hiyo kaswida inaitwaje
Mashaa Allah tabarak'Allah
Wow nice movie Inaisha,?
Maashallah
komeza
Courage🤣🤣🤣🤣
Egome vraiment.
ni bonge ya Movie kabisa ila munatunyim minite
Mashaalllah mwenye nayo iyo kaswida anitumie +968 90215643
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh JAZAKA ALLAH KHERI hiii khaswida naombeni kwa anae waza kunisaidia ±96898682869 Namba Yangu hiyo ya whtp..