ALLAH AKUJAALIE MWISHO ULIO MWEMA WEWE NASISI PAMOJA INSHAALLAH, ALLAH AKUONGEZEE HOFU YAKE(ALLAH) AKUONDOLEE HOFU YAWALIMWENGU, AKUFANYIE WEPESI PENYE UZITO, NA AKAINGIZE KWENYE PEPO YAKE YENYE KUPENDEZA WEWE PAMOJA NASI, AAMIN INSHAALLAH..🙏🙏
Aammiin Kwa yote mema sh. Aliyotuombea Mimi ombi langu nataka shehe atutekelezee mawaidha mazuri yenye kujitosheleza juu ya wale wenye kuhasimiana ktk sababu mbali mbali hassa zile sababu zinazojitokeza zaidi ktk mazingira tuliyo lkn itakuwa vizuri zaidi kwanza akitupa hasara na faida za kuhasimiana au kupendana Kwa wahusika wa mzungiko wa familia (aqrab). Shekhe anaweza kuyengeneza kigongo kizuuri kutokana na maelezo haya La zaidi nawatakieni kheri nyote mashekhe ,waisilamu na wahusikaji wa mfikisho huu Assalaamu alaykum mwanzo wa maelezo na mwisho wa maelezo
Subhna Allah Allah tujalie mwisho mwm🤲🤲
Yarab maulana tujalie mwsho mwemaa shekh tunakupenda San mung akuongezee umri mref na weny barak
Ya Allah sw❤ nijaliye mwisho mwema na utujaliy tuwe niwenyekufata amri zake na atujaliy twaqw ktk nyoyo zetu ya Allah ya llah ya Allah
SUBHANA ALLAH
ALLAH tujaliye mwisho mwema ss na vizazi vetu kwa ujumla THUMMA AMIN 🤲
Yarabi 2pe husulhatma yarabi na vizazi vye2
Amiin yarabi Amiin
Subhana allah Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema insha allah🤲🌹🤲🌹🤲🌹🤲🌹🌹
Allah atuongoe na atuongoze in Sha Allah,,na atujaalie mwisho mwema
Mungu tujalie mwisho mwema
Subhna allah allah atuwongoze Kátia njia nzuri🤲🤲🤲🤲🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Aaamiiin
@@bentybenty23432:24
Allah tupe mwisho mwema Ameen❤🤲
ALLAH AKUJAALIE MWISHO ULIO MWEMA WEWE NASISI PAMOJA INSHAALLAH, ALLAH AKUONGEZEE HOFU YAKE(ALLAH) AKUONDOLEE HOFU YAWALIMWENGU, AKUFANYIE WEPESI PENYE UZITO, NA AKAINGIZE KWENYE PEPO YAKE YENYE KUPENDEZA WEWE PAMOJA NASI, AAMIN INSHAALLAH..🙏🙏
Mwenyizi mungu akubariki
Yaallaah tujaalie mwisho mwena
Mwenyizi mungu akubiki sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Yaa allaah tusamehe na tujalie mwisho mwema
Mashaallah shekhe wangu
Subuhanllha yaallah tujalie mwisho mwema 😭
Allah atujalie mwisho mwem
Allah akujalie uzidi tukumbusha kila iitwayo leo,
Allah tujalie mwisho mwema yarab
Inna lilah waina illah rajughun yarab tujaliekutamka shahada mwisho wetu
Allah atujaalie mwisho mwema
Subhannallah yarabby tujalie mwisho mwema amiin
Allah atusameh na atujaalie yaliy mema inshaallha
Mungu akipend maisha mema
Shukrani shekh kwa mawwidha Mazuri Allah akulipe kheri Inshaallah
Amin
Subhna Allah tujalie mwisho mwema yarabi
Rabbi tujalie khusni likhatima
Allah nijaalie mwisho mwema mm na waislam wenzangu yalabi
amin😭😭
Barakha Allah
Inna lilahi waina ilahi rajiun subhanallah Allah Akbar inasikitisha sanaaa
Allah atunusur kwa hilo na atujalie mwisho mwema
SUBHANALLAH 😭 😢. Khusnul khatimah yaa Rabby 🤲
mungu akujaalie maisha marefu inshaalla
Yaa Allah tujalie mwisho mwema
Yaalwah tujalie mwisho mwema inshallah
Yaaaah allah tuongoz na utusameh dhambi zetu
Ya ALLAH tujalie mwisho mwema
Yaa Allah tujaalie minal faaizin na tupate husnul khatima
Tupe mwisho mwema yaa rabbi
Mola atusameh makosa yetu tunayoyajua na tusioyajua na atujaalie khatma njema😢
Aammiin Kwa yote mema sh. Aliyotuombea
Mimi ombi langu nataka shehe atutekelezee mawaidha mazuri yenye kujitosheleza juu ya wale wenye kuhasimiana ktk sababu mbali mbali hassa zile sababu zinazojitokeza zaidi ktk mazingira tuliyo lkn itakuwa vizuri zaidi kwanza akitupa hasara na faida za kuhasimiana au kupendana Kwa wahusika wa mzungiko wa familia (aqrab).
Shekhe anaweza kuyengeneza kigongo kizuuri kutokana na maelezo haya
La zaidi nawatakieni kheri nyote mashekhe ,waisilamu na wahusikaji wa mfikisho huu
Assalaamu alaykum mwanzo wa maelezo na mwisho wa maelezo
Mungu atupe mwisho mwema Ameen ❤
Ya Allah tujalie mwisho mwema🤲
Eee...mwenyez mungu tujaalie mwisho mwema
Ya allah 🙏🙏 tujalie mwisho mwema yarabi ameen 😭😭
Yaa Allah tujarie mwisho mwem
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
Yaa Allaah tujalie hatma njema yarabby 🤲
Walykum salam warahmatullah wabarakatuh
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Allh tupe mwisho mwema
Allah atujalie mwisho mwema inshaallah
Yaarabii tujalie mwixho mwema
Yaaarab tusamehe makosa yetu na atujalie mwisho mwema insh'allah
Ya rabbi tujaalie mwish mwem
Allahu massalim yarrabiy
Allah 2jaalie mwisho mwema 🙏
Lahawla Walakuata illah billah..😭😭😭
Yaarabbi tunusuru Waja wako nautujaalie mwisho mwema
Allah atujalie mwisho mwema Allah tunusulu na moto Wa jahanam,atujalie pepo mola wetu.
Innalillahi wainna ileihi rajiuon
Yote heri
Allah mkubwa
Amin
Tunaomba mwisho mwema yaarab
Yaraby khusnal khatima indalimaut
Ametakasika allah
Yarabbi tujaalie wenye kukuabudu wewe ya allah
Allah atujalie vifo vyema na atupe vitabu vyetu waislam kwa mkono wa kulia
Amiin
Aaamiin
Amiin ya rabii
Amiin Ya Raabi❤
Amiin rhuma Amiin
Subhanallah
Ee mungu tujaliye mwisho mwema
Mungu atunusuru
Yarabi tusame makosa wote subhan
Subhana Allah
Ya Allah tusamehe tunakosa kila siku kila wakati,na wewe ndio msamehe wa yote
Inalilahi waina ilaihi ranjiun
Mung tusamehe kila siku binadamu ni wenye dhambi❤😢😢
May Allaaah will give us good ending inshallah 🎉😢❤
allah tujaarie mwisho ulio mwema
Subhan Allah 😭
Ameen🤲
Tujali mwisho mwema ya Allah😢
Shekhe wa motoo
Yarabb tupemwixho mwema
Amiin
Ameen thuma Ameen
Juzuu kuvutia bangi!!!
Mawaidha mazuri ❤❤❤
Sana ni somo
Rabiitu bil bagi rabbah subhanah llah😢😭
Subuhannallah
Mola wetu tupu ufahamu tuache kudanganyika na dunia tufuate njia zako ulizo amrisha
Amiin🤲🤲🤲
this is too much😢😢💔😭
Mola atuongoze katika kila hatua zetu kwenye hii dunia.huu ni msiba mkubwa siku ya kiyama
Vijana wenzangu tubadilike maana kifo nichaote sio wazee tu
Tujaliye mwisho mwema
Allaah
subhana llah
😭
Sijui ata nisemaj 😭😭😭😭😭toba bangi mait Qur'an wavutia bangi🙆🙆🙆🙆toba
Allahuma Amiin
Allahumma ammin
😢😢😢
Allah atusamehe😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂